Mh Tundu Lissu Atoa Mwongozo Matata Bungeni

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2016
  • Sikiliza mwongozo wa Mh.Tundu Lissu kutoka katika kambi ya upinzani juu ya serikali ya awamu ya tano na kauli mbiu ya hapa kazi tu

Комментарии • 140

  • @TatuMasoud-ox7qo
    @TatuMasoud-ox7qo Год назад +2

    Yaani natamani tundulisu siku moja uje uwe raisi wa Tanzania tunakupenda sana mungu akulinde na akuepushe na wabaya

  • @emmanuelngadaya1412
    @emmanuelngadaya1412 8 лет назад +20

    lissu is genius, I admire him

  • @evodbaliremwa4146
    @evodbaliremwa4146 7 лет назад +34

    kwa mapendekezo yangu binafsi TUNDU LISU anafaa kuwa mwanasheria mkuu wa SERIKALI watanzania wote tunamuelewa vizuri

  • @dostovan5142
    @dostovan5142 10 месяцев назад +2

    Hata asipokua raisa Lisu will always be remembered as a true patriot of modern Tz, a real gem

  • @kilakoyjoseph1990
    @kilakoyjoseph1990 7 лет назад +13

    Kweli mh Lisu Watanzania tunaona umuhimu wako katk nchi hii we pray always for you be blessed

  • @jumaalex7707
    @jumaalex7707 3 года назад +5

    Your my choice brother you deserve to be genius

  • @mossesmlokozi3425
    @mossesmlokozi3425 6 лет назад +12

    cjaona Kiongoz kama lissu yuko vzr sana yaan namkubali

  • @manish-fp1fb
    @manish-fp1fb 7 лет назад +20

    Wale wanaojifanya mnamkejeli Tundu Lissu, embu njooni kwenye hoja hii kama mtaielewa na kuipangua... mbona hii hamumpongezi.

  • @bernardbenedicto1373
    @bernardbenedicto1373 3 года назад +2

    Mmmmh tundulisu munguu akusaidiee

  • @gtmalanga6953
    @gtmalanga6953 3 года назад +5

    Hakika ww ni Jembe!,Yaan natamani kujifunza mengi kutoka kwakoAllah akupe maisha mema Tundu lissu

  • @williamkirway4620
    @williamkirway4620 3 года назад +2

    Watakukumbuka Kwa uthubuti,una maarifa mpaka wananchi wanakukubali29/1/2021 mungu pekee akulinde.

  • @masoudbakar8653
    @masoudbakar8653 7 лет назад +9

    mungu akuweke na akujaalie afya njema

  • @amanibwire4423
    @amanibwire4423 2 года назад +5

    Like 2022 kama unaangalia madini

  • @yeseyesaya5902
    @yeseyesaya5902 6 лет назад +12

    Lisu ww ni mpango Wa mungu

  • @KhalfanJuma-ii4fk
    @KhalfanJuma-ii4fk 24 дня назад

    Lissu jembe kweli kweli mungu mpe maisha marefu

  • @regandominic4267
    @regandominic4267 2 года назад +2

    Mungu aendelee kukutunza Lissu for presidential

  • @kassimsemlamba3928
    @kassimsemlamba3928 7 лет назад +9

    Lissu you are real good in politics keep it up 4months ago

  • @ableazaria9076
    @ableazaria9076 8 лет назад +14

    Tundu your the role model for patriots.
    you don't talk for your opposition but because your son of Tanzania,son of Africa.
    don't stop doing what your doing,your the voice of more than 45miln including the presiddnt Magufuli.
    bless you

  • @mfalmekaitaba2425
    @mfalmekaitaba2425 Год назад +2

    Dah!! Linapokuja suala la Sheria kiukweli #Lissu anaongea vitu mpaka na wao wanajiuliza hiki kichwa vipi wanaogopa hata kumjibu.

  • @safinayetublogyetu7158
    @safinayetublogyetu7158 7 лет назад +13

    ee Mungu nisaidie siku moja niende bungeni nimuone lissu akichangia bungeni jaman

  • @allankashoro2077
    @allankashoro2077 8 лет назад +9

    Kichwa sana Mh Tundu Lissu

  • @eddoryusuphu1019
    @eddoryusuphu1019 7 лет назад +1

    Bashe big up sana wakikuuwa
    Watakutana na gharika la AALLAH tutafunga na mungu atajibu

  • @zahranibrahim3551
    @zahranibrahim3551 7 лет назад +13

    lisu akisamam razima vijitabu vya katiba na sheria vishikwe kwa mawazir na spika

  • @daudhenry8909
    @daudhenry8909 4 года назад +4

    Generous

  • @peemoneybags410
    @peemoneybags410 2 года назад +2

    Long Live Tundu Lissu

  • @ramadhansaid8629
    @ramadhansaid8629 2 года назад +2

    Hahaha Kuna watu aisee mungu ameqabarik

  • @allymtamilwa6321
    @allymtamilwa6321 2 года назад +3

    Hizi ibara zimeeleweka?

  • @jumameneja1245
    @jumameneja1245 5 лет назад +1

    Mungu akupe maisha marefu mheshimiwa tz inakuhitaji sana uitumikie

  • @abbamohamed6302
    @abbamohamed6302 6 лет назад +9

    huyu mh lisu cjaona wa kumfananisha nae ktk viongozi wa tz kiukweli jamaa anajua anachokifanya cyo hao wa kina ndio mzee

  • @isayaemanuelshalali8453
    @isayaemanuelshalali8453 6 лет назад +4

    Lisu Mungu akubariki sana.

  • @kalumbugideon4159
    @kalumbugideon4159 2 года назад +3

    Una kitu kikubwa Sana Ndugu ndani ya Moyo wako.

  • @ivankmugi5191
    @ivankmugi5191 8 лет назад +4

    mungu katupatia wangu wasomi wote ila awa wenzetu wanatumia vyeo vyao.

  • @trgphonegeorge3832
    @trgphonegeorge3832 6 лет назад +9

    Halafu mtu anataka kukuua hivi hivi tu!! Ndo maana walishindwa!!!

  • @johnkomba2774
    @johnkomba2774 3 года назад +2

    Safi sana

  • @beatusmushi2686
    @beatusmushi2686 2 года назад

    Kwa kweli Lissu ni pasua maini. Akisimama tu kila waziri hukaa chonjo. Mambo haya ya kuweza kutumia utaratibu mzuri wa sheria na kunyoosha mambo ili yaeleweke ni kipaji sana. Hongera kwa kuwafumbua macho.

  • @mazdunga4233
    @mazdunga4233 7 лет назад +6

    safii

  • @DanielDaniel-ey8th
    @DanielDaniel-ey8th 7 лет назад +7

    Uishi miaka 10000

  • @ramadhanikhalfan4983
    @ramadhanikhalfan4983 4 года назад +2

    Safi sana lissu

  • @hassandito6728
    @hassandito6728 5 лет назад +3

    Hii n zawadi ya watanzania mungu katupa aseh raisi wa tls

  • @mwalimhamad6674
    @mwalimhamad6674 5 лет назад +2

    Lisu he is a lion

  • @nnkotrinity860
    @nnkotrinity860 7 лет назад +2

    upo kwa ajili ya wanyonge Tindu hongera sana

    • @eliasindayisaba8024
      @eliasindayisaba8024 6 лет назад +1

      Tupate wap mtu kama Tundu Lissu mwenye Roho ya Mungu ndani yake?Mwz 41:38

  • @harunamashaka6200
    @harunamashaka6200 7 лет назад +7

    Waambie hao wanatoa macho 222222222

  • @emanuelmbondo4598
    @emanuelmbondo4598 7 лет назад +13

    Lissu yaishe basi,utawaua hawa watu

  • @hawahamady9628
    @hawahamady9628 8 лет назад +9

    Wabunge wa vyama vyetu vya upinzan wanakili na wanatumia sana katiba hawa wengne wanapiga makofi na ndo wako weng sasa jaman mungu utuhurumie sanaa

    • @johakimjohn5056
      @johakimjohn5056 7 лет назад +1

      namkubali tundu lisu bila kujali upinzani huyu jamaa ninoma wabunge wote wangekua kama huyu nchi yetu ingefika mbali

  • @robertlinuma6051
    @robertlinuma6051 Год назад +1

    Kwenye hiz NONDO .wale jamaa wa taarifa huwez kuwasikia .jamaa n mwamba haswa !! Hapa unaona umuhimu wa kubadili baadhi ya sheria za jins ya upatikanaji wa wabunge. Mbunge lazma awe msomi. Bwana

  • @Paplick9
    @Paplick9 3 года назад +3

    Tanzania tulihitaji Raisi kama huyu

  • @victormollel3246
    @victormollel3246 6 лет назад +3

    Lisu wew nikichwa wew ni azina ya taifa letu ndiyo mahan wemeshindwa kukuuwa wew msema kweli,

  • @petermwita2833
    @petermwita2833 7 лет назад +2

    tundu lissu jembe sana

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 3 года назад +2

    Hatari

  • @fayeezomar8283
    @fayeezomar8283 7 лет назад +3

    respect u!

  • @denischacha9104
    @denischacha9104 5 лет назад +1

    Jembe la kazi

  • @user-nx9mo6sd8x
    @user-nx9mo6sd8x 2 месяца назад

    Fire

  • @frankmwakibinga3627
    @frankmwakibinga3627 5 лет назад +1

    Uendelee kufunikwa na damu ya aliye juu, nimekukumbuka sana kamamda upone na uishi milele.

  • @zacchaeusnzella7394
    @zacchaeusnzella7394 7 лет назад +2

    ThisManIsSoWise

  • @denischacha9104
    @denischacha9104 4 года назад +1

    LISU ✌✌✌

  • @jumamnyambwa7993
    @jumamnyambwa7993 4 года назад +1

    Mungu aendelee kukulinda

  • @danielmathias2951
    @danielmathias2951 7 лет назад +1

    aise.

  • @giftmwinyi6857
    @giftmwinyi6857 8 лет назад +3

    namkubal sana lisu

    • @hishamally4846
      @hishamally4846 7 лет назад +3

      Yusuph Ally asante mkuu tundu lisu kwa hutuba yako nzuri sana ya zanzibar dimani mkuu umeongea ukweli mungu akuwepe akupe uzima na afya njema hongera tundu lisu msema kweli

    • @johnhinjutv4443
      @johnhinjutv4443 7 лет назад

      tundulisu wewe MTU muhimu sana

    • @msafilyngeze4202
      @msafilyngeze4202 6 лет назад

      gift mwinyi wewe.nijembe.mungu.akongezeye.siku.ziwenyingi.ameni

    • @hassanmashambo1327
      @hassanmashambo1327 3 года назад

      Huwa sichokagi kuangalia hiz clip za lissu hakika umeshushwa kwa makusudi

  • @janethpalangyo7790
    @janethpalangyo7790 7 лет назад +9

    wewe ni mtu muhimu Tanzania Mungu akupe uzima na afya njema na uendelelee kututetea.

  • @fatmamayenga4583
    @fatmamayenga4583 7 лет назад +4

    lisu ni Masada Kubwa xana

  • @officialf2dux412
    @officialf2dux412 7 лет назад +10

    Tundu lisu ni jembe sana

  • @trgphonegeorge3832
    @trgphonegeorge3832 6 лет назад +2

    Namuona mrithi wa werema na mwakyembe kwa mbali!!

  • @nurdinfikili3098
    @nurdinfikili3098 7 лет назад +4

    fanya kweli

  • @imanenterprise5905
    @imanenterprise5905 8 лет назад +2

    Special one!!!!

  • @malongokadama6644
    @malongokadama6644 5 лет назад +6

    Mbali na elimu uliyonayo,ata uwezo bnafs umeonekana! Haijalish unalipwa kiac gan cha pesa...ucmamiz mzur na utetez wa haki za wengi (wanyonge) umekuwa tija na mchango mkubwa ktk ujenzi wa taifa hili

  • @ramadhanally6118
    @ramadhanally6118 6 лет назад +1

    bungee katan ahamad katan

  • @JonxonMollel-vz8qi
    @JonxonMollel-vz8qi Год назад +1

    Mh

  • @mussajangwa4878
    @mussajangwa4878 3 года назад +1

    Lissu no one like you

  • @magirajohanes3331
    @magirajohanes3331 7 лет назад +6

    JPM hivi sheria zetu hazikuruhusu kuchagua upande wa pili???? wekeni hiyo sheria bana huyu mtu Tundu Lissu mweken pale kwenye Katiba na sheria wazili patanoga sana

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 года назад +1

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌

  • @queentarimo8678
    @queentarimo8678 7 лет назад +4

    Katiba iluusuhuu kuchagua ht mawaziri upande mwngn maan hili ni jemba🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈🙈

  • @deusdeditjosephhamkadeo3382
    @deusdeditjosephhamkadeo3382 7 лет назад +20

    Usife kabisa ukae milele na usizeeke kaka

    • @saidmwiko7794
      @saidmwiko7794 6 лет назад

      Deusdedit Joseph Hamka Deo tundu lisu

  • @yusuphumuna115
    @yusuphumuna115 5 лет назад +1

    Hakika kama sheria inafuatwa Tanzania tungekuwa mataji

  • @husseinmagema7878
    @husseinmagema7878 8 лет назад +6

    jembe LA ukawa hill

  • @husseinngurumo9384
    @husseinngurumo9384 8 лет назад +2

    Kwel n noma

  • @josephmwakosya2468
    @josephmwakosya2468 7 лет назад +1

    Tanzania kama herode yupo. basi lipsu musa

  • @kingdavid7350
    @kingdavid7350 8 лет назад +2

    nisawa

  • @sizinga
    @sizinga 6 лет назад +3

    Upone haraka TL

  • @kulwajames4178
    @kulwajames4178 3 года назад +3

    Leo wamo kina babu tale, mwana fa na polepole🤣🤣 bunge la ovyo kabs

  • @fenistosanga573
    @fenistosanga573 8 лет назад +8

    Tundu lisu ni jembe

  • @robertwanda6743
    @robertwanda6743 7 лет назад +3

    mbona hapo hawaombi muongozo ,naona hapo wanasikilizatu wengine hawajui kinachoendelea

  • @eddyempire9797
    @eddyempire9797 2 месяца назад

    Mpango na Muongo😂

  • @hassaniramadhan4048
    @hassaniramadhan4048 8 лет назад +3

    nakuaminia

  • @vanessagoodluck7176
    @vanessagoodluck7176 5 лет назад

    Lisu una hekaheka ,wee noma sana

  • @emmanuelndege8915
    @emmanuelndege8915 6 лет назад +2

    Hakika ukwel uko hapa

  • @gilbertfrimin2379
    @gilbertfrimin2379 7 лет назад +1

    ni shidaa

  • @mahamudahmedy8496
    @mahamudahmedy8496 8 лет назад +9

    mheshimiwa kikwete watanzania watamkumbuka saana kwasababu ya kuwa wise kuruhusu uhuru wa vyombo vya habari lakini kwa leo hii hakina kuona bunge live mna chujiwa ndipo muangalie hii si haki ina enda kinyume na haki za binadamu hapa kazi tuh kumbe hamna kitu

  • @rafaelk4844
    @rafaelk4844 7 лет назад +1

    hatar

  • @sefuidi4535
    @sefuidi4535 5 лет назад

    M

  • @raymondonly7593
    @raymondonly7593 8 лет назад +4

    kiboko ya ccm

  • @nasibumatutera786
    @nasibumatutera786 8 месяцев назад

    😂😂

  • @albinshirima6377
    @albinshirima6377 8 лет назад +6

    jembe letu

  • @leylaabdul9725
    @leylaabdul9725 7 лет назад +5

    Lisu ni jembe

  • @peterkisanga8089
    @peterkisanga8089 5 лет назад +2

    Huyu jamaa hajawahi niangusha

  • @abeidpaul2465
    @abeidpaul2465 8 лет назад +1

    Hee

    • @paulchacha5487
      @paulchacha5487 7 лет назад +3

      kweli singida wana mbunge unafaa lisu safi sana

  • @ngajangaja6640
    @ngajangaja6640 5 лет назад +1

    Wale wamiongozo mbona kimya hapo

  • @jastinkilingo9736
    @jastinkilingo9736 8 лет назад +3

    majembe Ya Ukawa Nimekusoma Sana Lisu Kweli Wewe Nimsomi

  • @reubenkisai3982
    @reubenkisai3982 Год назад

    L

  • @yahayamatondo7920
    @yahayamatondo7920 5 лет назад

    ????????????!!!!!!!!!!!!!!

  • @swalehabdallah2437
    @swalehabdallah2437 8 лет назад +7

    huyu mtu ni msaaada mkubwa katk bunge letu