Kama historia aliyoelezea sheikh Alhad siyo ya kweli ni yapi alafu sheikh alikugusia tu wala haikuwa mada mada ni kuhusu watu kujiandikisha kwa ajili ya uchaguzi alaf izo tume zilizo mpitisha mufti si ni watu kwani na yeye hakuwemo mbona hamsemi alaf mbona mnamsemea mabaya tu kwani yeye hana mema au ndo ukiondoka bakwata na mema yako yanaondoka
Sasa mtamjua Alhad....