- Видео 320
- Просмотров 314 055
KALELA ONLINE TV
Добавлен 24 окт 2017
Kalela Online Tv Ni channel ambayo inakuletea vipindi mbalimbali kama vile , Mawaidha,Qur'an, Nasheed na taarifa mbalimbali zinazotokea katika jamii , Subscribe channel hii ili kupata Habari zote za ndani na nje ya nchi.
Видео
SHEIKH_ SHAFII_ AWA_ HOST_ KWA_ SHEIKH _MTOTO NINI KILICHOKUSHAWISHI MPAKA UKAWA UNATIA D'AWA??
Просмотров 1052 часа назад
SHEIKH_ SHAFII_ AWA_ HOST_ KWA_ SHEIKH _MTOTO NINI KILICHOKUSHAWISHI MPAKA UKAWA UNATIA D'AWA??
SHEIKH JAMAL KISOMO KITUKUFU CHA QUR'AAN MASHAALLAH
Просмотров 452 часа назад
SHEIKH JAMAL KISOMO KITUKUFU CHA QUR'AAN MASHAALLAH
NDO_ BASI _TENA_ AUONEKANI _KWENYE_ ULIMWENGU_ HUU_ UMEJIANDAA_ NA NINI,?
Просмотров 7537 часов назад
NDO_ BASI _TENA_ AUONEKANI _KWENYE_ ULIMWENGU_ HUU_ UMEJIANDAA_ NA NINI,?
KWANINI _MNAFICHA_ UKWELI??_ AU _AMNA_ IMANI _TENA _NA _ALLAH??
Просмотров 1727 часов назад
KWANINI _MNAFICHA_ UKWELI??_ AU _AMNA_ IMANI _TENA _NA _ALLAH??
SHALIFU_ GANI_ ATAKUSOMA_ TABBAT YADAA_ AJUI _SURA_ ZA_ JUZUU_ AMMA_ ZINA_ MSHINDA
Просмотров 7119 часов назад
SHALIFU_ GANI_ ATAKUSOMA_ TABBAT YADAA_ AJUI _SURA_ ZA_ JUZUU_ AMMA_ ZINA_ MSHINDA
SHEIKH_MTOTO_AWATAADHALISHA_ WAISLAMU_ KWENDA_ KWA_ MASHEKHE_ WASHIRIKINA _HASA WANAOJIITA MASHARIFU
Просмотров 1,7 тыс.14 часов назад
SHEIKH_MTOTO_AWATAADHALISHA_ WAISLAMU_ KWENDA_ KWA_ MASHEKHE_ WASHIRIKINA _HASA WANAOJIITA MASHARIFU
MTOTO_WA_MIAKA_9_AWEKA_WAZI_UWONGO_WA_SHALIFU_WA_UDONGO_ANAEJIITA FIRDAUS_KILA KITU HADHARANI__
Просмотров 11 тыс.14 часов назад
MTOTO_WA_MIAKA_9_AWEKA_WAZI_UWONGO_WA_SHALIFU_WA_UDONGO_ANAEJIITA FIRDAUS_KILA KITU HADHARANI
SHALIFU WA UDONGO ANAWAONA MISUKULE
Просмотров 3,6 тыс.14 часов назад
SHALIFU WA UDONGO ANAWAONA MISUKULE
UKUMBUSHO_ KWA_ WATU _WENYE_ AKILI _NA KUTAFAKARI _MAMBO
Просмотров 22114 часов назад
Gorofa limeanguka kariakoo
MUSLAMU KWENDA KANISANI KUOMBEWA SIO HARAMU MANENO YA SHALIFU FIRDAUS
Просмотров 1,2 тыс.21 час назад
MUSLAMU KWENDA KANISANI KUOMBEWA SIO HARAMU MANENO YA SHALIFU FIRDAUS
muhindi poli muhindi wa kusini akitoa nasaha mbele ya wazee wa kijiji cha nangumbu ruangwa
Просмотров 168День назад
Muhindi poli
Mtu_ mwenye_ uwezo_ wa_ajabu_ anakutajia_ tarehe_ mwaka_ mpaka_ siku_shafii mbinje
Просмотров 17814 дней назад
Mtu_ mwenye_ uwezo_ wa_ajabu_ anakutajia_ tarehe_ mwaka_ mpaka_ siku_shafii mbinje
WATU WOTE WAMEKUFA ISPOKUA WENYE ELIMU NDIO AMBAO WAKO HAI
Просмотров 10814 дней назад
WATU WOTE WAMEKUFA ISPOKUA WENYE ELIMU NDIO AMBAO WAKO HAI
BAADA YA KUPAMBANIA DINI MNA WAZULUMU WATU
Просмотров 19821 день назад
BAADA YA KUPAMBANIA DINI MNA WAZULUMU WATU
TAARIFA YA MUNAQASHA KUUSU TAUHID TATU UST HAJJ UPEPO NA MUHAMMAD BACHO
Просмотров 81821 день назад
TAARIFA YA MUNAQASHA KUUSU TAUHID TATU UST HAJJ UPEPO NA MUHAMMAD BACHO
MAANDAMANO YA AKINA MAMA WILAYA YA MASASI WAKIAMASISHA KUCHANGIA WATOTO YATIMA
Просмотров 23121 день назад
MAANDAMANO YA AKINA MAMA WILAYA YA MASASI WAKIAMASISHA KUCHANGIA WATOTO YATIMA
WATOTO WETU AZINA YETU TUWAPELEKE KWENYE SHULE ZENYE MAADILI NA ELIMU BORA
Просмотров 12421 день назад
WATOTO WETU AZINA YETU TUWAPELEKE KWENYE SHULE ZENYE MAADILI NA ELIMU BORA
DARUWESHI MAWAZO AWATAJA WANAO KWENDA KWA P.DID WANAPANDA NDEGE MPAKA ULAYA KWA P.DID
Просмотров 12828 дней назад
DARUWESHI MAWAZO AWATAJA WANAO KWENDA KWA P.DID WANAPANDA NDEGE MPAKA ULAYA KWA P.DID
SAFARI YA HIJJA NI SAFARI YA KIIBADA TUWE NA UHIFADHI WA PESA KWAJILI YA KWENDA
Просмотров 16428 дней назад
SAFARI YA HIJJA NI SAFARI YA KIIBADA TUWE NA UHIFADHI WA PESA KWAJILI YA KWENDA
SAKATA LA MUFTI MANENO YAKE NI UONGO KABISA
Просмотров 238Месяц назад
SAKATA LA MUFTI MANENO YAKE NI UONGO KABISA
WAKULIMA WA KOROSHO KUSINI WAOMUOMBA MKUU WILAYA MASASI AWALETEE MAMA SAMIA WAMSHUKURU
Просмотров 99Месяц назад
WAKULIMA WA KOROSHO KUSINI WAOMUOMBA MKUU WILAYA MASASI AWALETEE MAMA SAMIA WAMSHUKURU
NILIJIONA NIPO KWENYE MAWINGU NATEMBEA SIKU NILIOMSIFU MTUME
Просмотров 100Месяц назад
NILIJIONA NIPO KWENYE MAWINGU NATEMBEA SIKU NILIOMSIFU MTUME
Breaking News: Nyumba yateketea kwa Moto Masasi Sokosela
Просмотров 100Месяц назад
Breaking News: Nyumba yateketea kwa Moto Masasi Sokosela
ALO KUPONZA ANA HURUMA KAKUACHA UNA LALALAMA QASWIDA
Просмотров 301Месяц назад
ALO KUPONZA ANA HURUMA KAKUACHA UNA LALALAMA QASWIDA
BACHO AMVAA TENA SHEIKH SAID SAFARI HII ATAWEZA???
Просмотров 1,6 тыс.Месяц назад
BACHO AMVAA TENA SHEIKH SAID SAFARI HII ATAWEZA???
AKILI NINI🧠 AKILI YAKO NI HAZINA USIACHE UKUTUMIKIE VIBAYA
Просмотров 72Месяц назад
AKILI NINI🧠 AKILI YAKO NI HAZINA USIACHE UKUTUMIKIE VIBAYA
MAMBO 10 YA AJABU USIO YA JUA KUUSU MTUME MUHAMMAD S.W.A. NI AJABU SANA!
Просмотров 106Месяц назад
MAMBO 10 YA AJABU USIO YA JUA KUUSU MTUME MUHAMMAD S.W.A. NI AJABU SANA!
TUANGALIE MALEZI YA WATOTO WETU NDO TAIFA LA BAADAE KUUWANA KUTAISHA IKIWA MAADILI YATAPATIKANA
Просмотров 50Месяц назад
TUANGALIE MALEZI YA WATOTO WETU NDO TAIFA LA BAADAE KUUWANA KUTAISHA IKIWA MAADILI YATAPATIKANA
وروى الديلمي في مسند الفردوس عن أنس رضي الله عنه أنه قال : قال رسول الله صلى الله عليه وسلم : أكثروا في الجنازة قول لا إله إلا الله . amepokea Addailamy katika musnadul firdaus kutoka kwa Anas R.A amesema : Amesema Mjumbe wa Allah ( S.A.W ) fanyeni kwingi kusema laailaaha illa llaah kwenye mazishi . Na neno mazishi , ni tokea maiti anapooshwa , anapovishwa sanda , anaposwaliwa hadi anapozikwa . وعن ابن عمر رضي الله عنهما قال : لم نكن نسمع من رسول الله صلى الله عليه وسلم وهو يمشي خلف للخزة إلا قول لا إله إلا الله مبدي ما وراجعا = Imepokelewa kutoka kwa Ibun Umar R. A amesema : Hatukuwa tukisikia kutoka kwa Mjumbe wa Allah ( S.A.W ) hali ya kuwa anatembea nyuma ya jeneza ila kauli ya Laa ilaaha illa llaah toka anapokwenda hadi anaporudi . rejea mizanul itidaali cha Imam Adhahabiy juzu 3/450 . Bila shaka habari ya kusindikiza jeneza kwa dhikri ndio iliyothibiti toka enzi hizo za wenye uchungu na dini .
Mashaallah shekhe mtoto Allah akutunze akukaze ufajamu Ammin
Hakuna sharifu apa
Muongo wewe
ruclips.net/video/Cz8PRMvxb1A/видео.htmlsi=_-9GfZFmE4Hxm_52
Wew ni mchawi kama wenzio usitumie dini yetu kwa utapeli
Sio unapenda wasome wenzio wewe hujui kusoma vzr. Ila wew ni mganga wa kienyeji
Huyu dajjaali shetani anamtumilia ili awapoteze waislamu.
Nani kasikia mama ana mimba miaka3😂😂😂😂 tapeli san huyuu
😂😂😂
Huyu jamaa ni mchawi mshirikinaP 100% aliyechificha lwenye nyumba ya UISLAM.
ameanza kuchizika tayari
ameanza kuchizika tayari
We tapeli tu
Asante kwa kusema ukweli mi niliwambia wanawake wenzangu wasidanganyike na masharifu baadhi matapeli walinisema Sana Allah azd kudhiirisha ukweli Alhamdulillah
Yani dini nzuri kama hii ataitowa wapi aisee naipenda sana ya utaniambia bin kigeni islam nidinii peke ❤🤲
Allah akuoe kher nyingi sheikh mtoto
Mashaallah allahu akbar
Karibu kwenye channel yetu kwa faida mbali mbali
Waislamu tuweni na stara, si kila jambo liwekwe kwenye mitandao. Kaeni faragha na muhusika Kwanza, ili mpate ufafanuzi wa kauli yake mwenyewe LIVE. Tunapo chukulia jambo kwa jazba hasa mitandaoni hata Mwenyezi Mungu sijuwi kama anapenda. Maana kubwa ya Sharif ni kiongozi pengine yeye kujiita Sharif ni kiongozi kwwnye mambo yake ya tiba maana hata MAJINNI hujiiita MA SHARIF sasa kama Sharif ni ukoo wa Mtume hao majinni tusemeje? Elimu ni pana sana sharti waislamu tusiwe na hewe hewe. Najuwa wengi miongoni mwetu tunafuata mkumbo. Tukija katika makosefu katika kusoma Qur'an hili jambo mliangalie sana wengine tatizo ulimi. Huyu kijana sharif Firdaus inawezekana ni jina la kazi si la katika dini. Majinni wengi hujiita SHARIF hili bila shaka mnanajuwa. Mimi kama mimi nitajaribu nikutane naye nyumbani kwake kongowe napenda na Ustaz Mazinge awepo. Tumalize utata. Mwenye swali 0784417511.
ww hem muogope Allah ivi quran enyewe hujui alaf wajiita sharifu..hem acha bangi bana
Huyo niwakumtandika bakora
Hata kijana mdogo kama huyu mnamuatack...subhanallah Si mumwambie tu ajiendeleze zaidi kuliko kusema ati kitabu cha allah bado kinakupiga chenga...ndio nini yaan mtihani. Kwakweli Allah amlinde na hasad na kila ubaya amin
Masha Allah sh amenifurahisha sana kuweka bayani juu ya sharif mshirikina
Mashallah Mashallah akuzidishie na akulinde na mahasidi
Acha uongo ww tapeli tu
Nyie nyote watu wa bidaa, umaneni
Mashaallah tabarakarahman Allah akuzidishie elmu yaarab ❤
Wasimamizi wa huyu mtoto wasidanganywe mtoto kutembezwa kufanya dawa apo analemazwa, wangempeleka kusoma kwa watu sahihi
Jamani tumeingiliwa na tapeli kama upande WA wenzetu kujifanya Kuna makarama uyo mbn hatumuelew jamani
Huyu anamfumbia sgeikh kishki
Acha kupotosha watu ww kijana wapi mtume alipeleka jeneza na dhikri hizoo? Ww umesoma wapi dini? Uoni hadithi sahihi mtume amekemea vikali mno kusindikiza majeneza yenu kwa sauti? Au hizo hadithi mnaziluka hamfundishwi, la tutaba ljanaiza bi sauti wala nnari, msiyafate majeneza yenu kwa sauti wala moto, na imamu nawawi pia amekakemea hilo acheni bidaa fateni mafundisho sahihi ya mtume mtakwenda kujibu hawa watu mnaowapoteza kesho yaumal kiama mtume kafunsisha kila kitu, ninyi maskiko yenu mmeweka pamba, macho mkayafunika kusudi msione hakki.
وروى الديلمي في مسند الفردوس عن أنس رضي الله عنه أنه قال : قال رسول الله صلى الله عليه وسلم : أكثروا في الجنازة قول لا إله إلا الله . amepokea Addailamy katika musnadul firdaus kutoka kwa Anas R.A amesema : Amesema Mjumbe wa Allah ( S.A.W ) fanyeni kwingi kusema laailaaha illa llaah kwenye mazishi . Na neno mazishi , ni tokea maiti anapooshwa , anapovishwa sanda , anaposwaliwa hadi anapozikwa . وعن ابن عمر رضي الله عنهما قال : لم نكن نسمع من رسول الله صلى الله عليه وسلم وهو يمشي خلف للخزة إلا قول لا إله إلا الله مبدي ما وراجعا = Imepokelewa kutoka kwa Ibun Umar R. A amesema : Hatukuwa tukisikia kutoka kwa Mjumbe wa Allah ( S.A.W ) hali ya kuwa anatembea nyuma ya jeneza ila kauli ya Laa ilaaha illa llaah toka anapokwenda hadi anaporudi . rejea mizanul itidaali cha Imam Adhahabiy juzu 3/450 . Bila shaka habari ya kusindikiza jeneza kwa dhikri ndio iliyothibiti toka enzi hizo za wenye uchungu na dini .
Umeshajulikani. Uwongo umeisha. Tafta mbinu zingine. 😂😂😂.
Alafu anajiita sharifu 😂😂😂
Ndio tabia Yao Wana mazingaombwe waganga hawa
TAPELI LA KIMATAIFA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
MashaAllah mtoto mzuri Allah azidi kumuhifadhi yaa rabby....mm naomba sheikh Ramadhan azidi kupata tajwij zaidi
Huyu jamaa hajuwi kusoma kurani vizuri kisha anajipa usharifu dah 😂😂😢bwamdogo mungu hadhihakiwi dogo 😢😢 tapeli mpigaji wewe
Masha Allah
ماشاءالله
Acha usenge wewe tapeli hujui chochote tapeli tuu
Wewe umeingia ktk hii fani ya kupiga hela chini ya kivuli cha dini kwa meno ya juu Sasa hivi unaporomoka kwa ajili ya ujuaji mwingiiiii, ungetulia ungepiga sana, kilicho kuponza ni pupa.
Mashallah Allah akuzidishie kila la heri mdogo angu ❤❤❤
sheikh mwenyezi mungu akulipe heri ule sheikh n'a mshirikina ule
Huyo ni jambazi apigwe bakora sawasawa kavaa mashuka na mashungi ya unafiki Tapeli MMungu kamfedhehesha na mishkh njaa wengine Allah atawaangamiza
Matapeli majina yao tutayaweka open ktk mitandao! wajiita mashekh kumbe njaa tupu kila alieibiwa atawalani open!! Allah atawadhalilisha Ameen 🤲
آمين
Mbona lafidhi yake ni nzito, yeye ni mzaliwa wa Uganda?
muhaya
sheikh kalela ,😂😂😂 kaka yako yupo bado Masasi au ,Ameshaoa au bado ila nimefurahi sana kukuona mtu wa kusini mwenzangu .
Mashaallah nimefurah pia
Mashaall akulipe kher kwa kuwatoa watu katik ujinga
HAMDULILAHI ALLA AKUSTIRI NA UMRI MREFU AMEEN .
Nawewe mke wetu acha uongo huna jambo lamaana usitishe watu mnafiki mkubwa