KAULI ya SHEIKH KISHKI KUHUSU BINTI wa YOMBO ALIYEBAKWA na WATU 5 - ''INAKUAJE VIJANA WATANO?''...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 янв 2025
  • KAULI ya SHEIKH KISHKI KUHUSU BINTI wa YOMBO ALIYEBAKWA na WATU 5 - ''INAKUAJE VIJANA WATANO?''...
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9z...
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_y...
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globa...
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusiv...
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/gl...
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 37

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  5 месяцев назад +3

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

  • @umsoud3306
    @umsoud3306 5 месяцев назад +1

    Allaah Amrehem Ampumzishe Fii'jannah Amiin

  • @HusnaSalum-p1q
    @HusnaSalum-p1q 5 месяцев назад +1

    Ni kweli tumurudie Mungu tunaibeba sana dunia shiriki imetawala sana

  • @SuleimanKhdija
    @SuleimanKhdija 5 месяцев назад

    Mashallah sheikh 🎉🎉🎉

  • @stephenrwaich1078
    @stephenrwaich1078 5 месяцев назад

    hicho kichwa cha habari ni kama ulikuwa unamtongoza binti wa watu then baaada ya kujua ana uja uzito wako ukaamua kumtelekeza.Ahsante shekhe kwa maneno yenye subra

  • @umsoud3306
    @umsoud3306 5 месяцев назад

    إنا لله وإنا إليه راجعون

  • @MaryamShabani-n2u
    @MaryamShabani-n2u 5 месяцев назад

    Tena mtihani sana

  • @KassimSalim-fi1me
    @KassimSalim-fi1me 5 месяцев назад

    Mbn mnazingua mnatoa taarifa tofauti hii ni ya msiba na kichwa cha habari tofauti

  • @Ayuminchasi
    @Ayuminchasi 5 месяцев назад

    Uongozi mbovu sana

  • @fatumakapilima-n1v
    @fatumakapilima-n1v 5 месяцев назад

    Zeroes

  • @dulasele-ud8cw
    @dulasele-ud8cw 5 месяцев назад +4

    Mi naona Kamaserikali inachangia kuongezeka kwa hili tatizo serikali imepoa sana kwa janga hili watoto wadogo wanahalibiwa mtaani

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 5 месяцев назад

      chaa ajabu kiongozi wa dini mkubwa nchini anadanganya kua basi linaendeshwa vizuri anashindwa kumwambia ukweli raisi ajirekebishe

  • @khadijajeylan6553
    @khadijajeylan6553 5 месяцев назад

    Mama samia liangalie hili suala kwa jicho la tatu na wewe ni mwanamke na umezaa pia unauja uchungu wa mtoto

  • @AlAl-sd9pl
    @AlAl-sd9pl 5 месяцев назад +1

    Iv watu wanauchukuliaje huu uwongoz wa mama... Kila mtu anafanya anachokitaka.. Na mama hapaz saut kwa nini

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 5 месяцев назад

      Mama anazalaulika pia mwanamke hafai kuwa kiongozi

  • @FatumaHamisi-qw2sk
    @FatumaHamisi-qw2sk 5 месяцев назад

    Ni mbaya

  • @HamisJuma-bh8uy
    @HamisJuma-bh8uy 5 месяцев назад +5

    Yaan kichwa cha habar unaandika hovy kabisa

  • @machoshabani838
    @machoshabani838 5 месяцев назад

    Taperi kicha cha habari hakifanani na habar

  • @MariamAlly-hk7io
    @MariamAlly-hk7io 5 месяцев назад

    Aliyebakwa mwengine na msiba wamama mudi
    Kidawa

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 5 месяцев назад +1

    Sheikh kishki anazugumzia msiba mwengine mamake mudi K

  • @Twahamwela-ch5lz
    @Twahamwela-ch5lz 5 месяцев назад +1

    Sasa ndgu yang hzo view ulizopata na uwongo ulioandika dhambi zke ztakuwa ngap

  • @kLaknFXIOLI73acvSSWurw
    @kLaknFXIOLI73acvSSWurw 5 месяцев назад

    Nchi ambayo viongozi wa serikali hawalaani uovu ???? RIP JPM

  • @AllaudinMeghji
    @AllaudinMeghji 5 месяцев назад

    Hawa global hawaamuniki tena

  • @StevenGiven
    @StevenGiven 5 месяцев назад

    Huyu dada kafariki 😢

  • @alphoncewilliam4325
    @alphoncewilliam4325 5 месяцев назад

    Hajafa

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 5 месяцев назад

    tatizo la waislam unafiq ndio unatuangamiza waislam

    • @issaibrahim8796
      @issaibrahim8796 5 месяцев назад

      Sio kwamba wewe ndio mnafiki mwenyewe.

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 5 месяцев назад

      @@issaibrahim8796 mimi na nyie wote ndio maana nimesema kwa ujumla sasa we unakataa wakat Mungu akuona u mnafiq ,,,, sie waislam wengi wetu wanafiq sana unamsifia mtu anaekosea kisa tu vipesa hovyo kabsa

    • @issaibrahim8796
      @issaibrahim8796 5 месяцев назад

      @@aishaalbalushaishabalush8291 Sasa ukiwa kama Muislam mzuri sio vema kusema waislam wote ni wanafk bali ungesema baadh ya waislam wenye tabia hizo ni wanafik usipende kunzugumza mambo kwa ujumla kwan hujui yaliyomo ndani ya nafsi za waja wengine.

    • @NeemaSamson-ti8pc
      @NeemaSamson-ti8pc 5 месяцев назад

      Mmmmh maajabu kiukweli sijawahi kuona muislamu kama wewe mwenye kuandika hivyo, ingawa sio wote mpo na unafki

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 5 месяцев назад

      @@NeemaSamson-ti8pc mie islam niliekamilika ndio maana naandika mapungufu yetu asiyeona mapungufu ya sie binaadam tunaoshindwa kuwa wakweli na tunajiita viongozi wa dini na tumejaliwa ma iman ya Allah kisha unaongea uongo kisa unaogopa shetan kukunyima vipesa hakuna kheir ya uislam kama hivo

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 5 месяцев назад

    Watz bado wapumbavu sana

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 5 месяцев назад

    kwanza mnashangaza sana kusema hajajiandaa wakat alikua alikua banet na rais vipi afanye kinyume na mwenzie waislam muache kukumbatia maovu mnazidisha laana nchini na inaruhusiwa kujiuzuru kama hawezi mbaya zaid miaka yote yupo serkalin vp asijue kuongoza? rabda kama anakichwa cha panzi hakina ubongo

    • @Kutaila99
      @Kutaila99 5 месяцев назад

      Naam hakujiandaa kua Rais kaz zake hazikua hiz ila niile kusema mbuz kafia kwa muuza supu unadhan itakuaje