Huy mtot n mkweli100%sabb angemezeshwa maneno angebabaika lkn a rudia Kil alichosema mwanzo ten kW ufasaha... We jiuliz huy mtot siy mwenye huo mtaa ameweza kuondok kwend kW huy mama said..
Huyo dada ni muongo mtoto kasema kweli siku kumi na moja mungu kawaadhirisha hao wanalo walillotaka kulifanya kwa mtoto, kimazingaombwe uchawi upo Allah atusitiri. Wanamtisha kwa kweli. Huyo mtoto.
Safi sana mjumbe Mjumbe oyeeeee Safi babu oyeeeee kwa busara Mjumbe oyeeeee nampenda Sana kwa ajili ya Allah msema kweli huyo bint anajihami huko police ndio mtaenda kuchambwa
SubhanAllah Alhamdullah mashaAllah kupatikana kwa mtoto mwenyeez mungu ni mwema inawezekana kweli kuna kitu nyuma ya panzia wamepelekwe police watasema mwizi hawezi kusema mimi mwizi dili zimepangwa na bibi na mtoto wake
Yan mtoto jinsi anavyoongea it's like amepangwa yan yan anaelewa alivyopandishwa gar kituo alichopandishiwa lakin et hajui aliposhukia haimake sense na wakati anarudishwa pia kwamba hakujua kituo anachopandia gar mmmh doesn't make sense yan ili wanafamilia wawe na amn hii issue ni ya polis mtoto anatakiwa kubanwa aseme ukwel vzuriii
Huyu dada mwanga na mtandii wake mweupe achafua mwenzie na inshallah hii aibu itamkuta yy amueleleza mama wa mwenzie shetani huyo dada usilie anti Allah atakulipa na mamako huyo mshezzi allah atamlaani
Sa nyingine itakuwa uyo dada anaenda kumsalimia rabda alitumia mbinu ya kuvaa majuba kama anavyovaa uyo shangazi ake kwa hakili ya haraka ya uyo mtoto akajua moja kwa moja uyu ni shangazi kunbe sio ntu mwingine tofauti na uyo kijtazamo wanuu
Mie ni mzazi pia nna watt wakubwa zaid ya huyo mtt aliepotea kuna baadhi ya watt pia ni waongo kubalini kaata kuna watt pia waongo na hiyo ni familiya inatakiwa mkae muyamalize wote ni familiya 1 na bibi uliemchukua huyo mtt mrudishe kwao tabora maana hpo kapotea karudi mwisho wa ck atapotea kabisa asirudi siombei mabaya na mkienda police kesi itawageukia maana huyo ni mtt wa baadhi ya watu wanasemaga mtt hasemi uongo
Kuna watoto waongo sana..... ni bora wakanda police ajulikane nani mkweli kwasababu kesho na keshokutwa yatakuja yajirejee kwasabu hapo kuna misunderstanding
Watoto ni kweli wanaongea ukweli ila huyu mtoto ni mgombanishi na ni muongo haswaa tena haswa na huyo akipata kichapo cha fimbo 2 ataongea ukweli na alomfumdisha aongee hayo mauongo
Ila Sikiliza Maelezo Ya bibi Ya Ile Habar Ya Kwanza Utagundua Kitu. Mm Nilipata Mashaka Pale Niliposikia Kua Bibi huyo Mke Anamwambia Bibi Wa Mtoto Aangalie Nguo za Mtoto Kama zipo Kama Hamna Badi Kaenda Kufanya Kazi. Je Amejuaje hayo ? Tena Ni Mda Mfup tu mtoto kupotea. Kwa Siku Aliopotea wala Huwezi Kuangalia Nguo zake Kwa haraka ila Yule Mkwe Amejichanganya. Lazima Kuna Mchezo Umechezeka Na Wahusika Wapo hapo hapo.
Hawa wanosema mtoto apigwe ili aongee ukweli ni uonevu kama kupigwa wapigwe wote Kila Moja kivyake mambo yataeleweka na huyo mtoto aondoke hapo hapako salama kwake
Ila watoto wanapangwa pia mi siwezi kuamini mtoto moja kwa moja maana katika maisha yangu niliwahi singiziwa kitu na alonitolea ushahidi Ni mtoto wa miaka 10 kapangwa na kayanyoosha kwa hiyo watoto wadogo pia wanaongopa pia
Hiyo kesi sijui ukweli upo wapi. Lkn wanaosema mtto hasemi uongo si kweli. Kuna wtto waongo km nn na wanajua kupanga. Na hata uisilam umetufunza sisi watuwazima kua wakweli kwa sabbu ukiwa muongo na mtto atakua muongo. Mtto akizungukwa na watu/marafiki, ndugu nk waongo au mtu muongo nayy mara nyingi sna hua muongo.
Subhanaallah family imeingia mtafaruku kwaitajika hekma ya hali y juu kwa sababu hapo undugu haukatiki ila chuki itakua ndani kwa ndani jaribuni kumlani shetani na mumshinde
Hapo iliwapate utulivu hiyo family watawanyike walioa waondoke watafute miji yao. Vinginevyo wataumizana.zamani iliwezekana maisha hayo ya kulundikana pamoja .sio zamahizi .mambo hayo tuwaachie wasomali waarabu wahindi kwa sababu wao dini moja kabla moja imani moja . .
Subhanallah huyu mtoto atakuwa muongo maana kuna watoto wapo baadhi yao waongo,kwa hiyo msimuamini sana huyu atakuwa kapangwa aseme uongo
Msikilize vizuri mtoto siyo muongo ni yakweri haya pale laazima wakatae ss wewe jiulize aliebdawapisikuzotehizo
Kuna watoto wanaweza kudanganya ukiujua ukweli unaweza usiamini na kuchoka kabisa
@@hanifatanzania7258 mimi naona mtoto ni mkweli kwa sababu angedanganya angebadilisha maneno ila anarudia yaleyale alosema mwanzo
Huy mtot n mkweli100%sabb angemezeshwa maneno angebabaika lkn a rudia Kil alichosema mwanzo ten kW ufasaha... We jiuliz huy mtot siy mwenye huo mtaa ameweza kuondok kwend kW huy mama said..
@@fatumamuya283 umeonaee miakwamia huyu bibi na mwanae kunakitu hapo
Familia hizi za kiafrica bora mama yangu anaishi porini
Uyu mtoto anaongea ukweli
Kweli mtoto wa mkoani far hawezi kutembea peke yake. Yuko sahihi mtoto
Kabisa
Apo vizuur uyo mtu aliokabidhiwa mtt na bibi angekuja apo uyo mama said waliona kivu kukaa mtt kwa mwanae
Kweli kabsaa mtoto anaongea
Mjumbe hayupo sawa uyo
Mtoto anasema ukweli sababu habadilishi maneno wala hababaiki
Jamaniii ht mtt anaweza kuwa muongo kashapangwa
kweli kabisa
Huyo mtoto ni mkweli ila wayaongee wayamalize tuu
Asante kaka mtoto amepatikana kweli funika kombe mwanahalam apite
Wee dada muongo, muogope Mungu
Kweli sintomfahmu
Mm nikiwa kama mzazi naomba mtoto apelekwe polisi akaojiwe kesho wanaweza wakarudia tena
Huyo dada ni muongo mtoto kasema kweli siku kumi na moja mungu kawaadhirisha hao wanalo walillotaka kulifanya kwa mtoto, kimazingaombwe uchawi upo Allah atusitiri. Wanamtisha kwa kweli. Huyo mtoto.
Kapatikn Salam 🙏🙏🙏
Huyo Shangazi ni wa jela tu, maelezo ya mtoto yamenyooka vizuri
Kwanza angalia anavyopanik kwan sura zao tu zinaonyesha hao hao walimtorosha mtoto alaf wa kajifanya wapo pamoja kumtafuta
Waliona kero mtt kukaa kwa mwanae jmn
Njia, ya muongo nifupi huyo shangaz na bibi lao moja man anavolazimisha kuongea lafuz ambayo sio yake
Yani shangaz na ma mkwe ndo wahusika wakubwa kwa kumpoteza mtoto mtoto hawez pangwa maneno yote hayo ila pia wif mtu na ma mkwe wake pia hawaelewanagi
Mi siukumu ila ukweli ujulikane
we dada wew mutoto hakuwangi mwongo
Mungu anawaona na mashungi yenu
😂😂😂😂😂
Usiongelee mashungi hayahusiani na uongo uliopo hapo!!!
Mtoto mzima mshukuruni mungu Maisha yaendelee mungu ndio mwenye kujuwa kweli na muongo
Mtt kweli huyo
Safi sana mjumbe
Mjumbe oyeeeee
Safi babu oyeeeee kwa busara
Mjumbe oyeeeee nampenda Sana kwa ajili ya Allah msema kweli huyo bint anajihami huko police ndio mtaenda kuchambwa
Huu ni mpango
Kuna watu hawatakiwi kuishi hapo
Wahachane na mambo ya kwenda Polesi madam mtoto amepatikana. Mushukuruni Mungu
Huyu mtt ni kweli
Mtoto mkweli angalia uso wa shangaz alipotajwa
Sasa ndugu wote hata walioa wanakaa nyumba moja na mawifi wakapange nyumba jamani
SubhanAllah Alhamdullah mashaAllah kupatikana kwa mtoto mwenyeez mungu ni mwema inawezekana kweli kuna kitu nyuma ya panzia wamepelekwe police watasema mwizi hawezi kusema mimi mwizi dili zimepangwa na bibi na mtoto wake
Mtihan San
@@MumyGifty-rs7yx uyo mtoto nimkweĺi tïzama mazungumzo ya uyo bib na mwanawe dunia imeisha msitake kuwakatalia waende polisi ukweli utajulikana
Yan mtoto jinsi anavyoongea it's like amepangwa yan yan anaelewa alivyopandishwa gar kituo alichopandishiwa lakin et hajui aliposhukia haimake sense na wakati anarudishwa pia kwamba hakujua kituo anachopandia gar mmmh doesn't make sense yan ili wanafamilia wawe na amn hii issue ni ya polis mtoto anatakiwa kubanwa aseme ukwel vzuriii
Swahihi haswa
Ujue tokea aje ana wiki na kwa hivyo bado ni mgeni
Mtoto kapangwa huyo
Unaonekana unakibichwa kizito umeambia mtoto anawiki tangia aje sasa atajua wapi vituo na mitaa
Ushaambiwa mtoto ni mgeni
hakuna bibi anapenda mjukuu wake ateseke huyo mama wa mtoto anatafuta njia akae pekeyake
Kweli
Mama wifi muhame hapo hamutakiwi ndo maana
Wenae mama mamkwe aondokenyumban Kwake aondokeuyo alieolewa na mumewe uyo wifi apo sikaolewatuu apo kwa mama mkwe
Awezi kudanganya iyo kweli kabisa
Umeonaee mtoto anaongea ukweli
mjumbe pia sio mtu mzuri
Mtoto kafundishwaa aseme bibi kuna chuki hapo hii familia
Mtoto anaongea ukweli huyu huyu dada atakuwa anajua Kila kitu
Huyu dada mwanga na mtandii wake mweupe achafua mwenzie na inshallah hii aibu itamkuta yy amueleleza mama wa mwenzie shetani huyo dada usilie anti Allah atakulipa na mamako huyo mshezzi allah atamlaani
Ayo Mambo si yakichaw Ayo mtoto katengenezwa uyo mwanaume kashikwa na mke na uyo mtoto wa mwanamke si wa mume
Mwandishi maashaallaah unahekma
Sa nyingine itakuwa uyo dada anaenda kumsalimia rabda alitumia mbinu ya kuvaa majuba kama anavyovaa uyo shangazi ake kwa hakili ya haraka ya uyo mtoto akajua moja kwa moja uyu ni shangazi kunbe sio ntu mwingine tofauti na uyo kijtazamo wanuu
Subuhana llah wifi muogope mungu hii imetengenezwa kuwachafua bibi nashangazi tumogope mungu Allah Akbar
Kabisa
Hapa inaelekea kuna bifu kati ya hizi pande mbili
Nyie kuna watoto waongo msimuamini huyo mtoto hapo kupata ukweli ba kuikomesha tabia mbaya bola nendeni polisi ijulikane ukweli unafiki uishe
Uyo mtt muongo uyo
Mtoto pia anaweza kuwa muongo pengine huko alikotoka alikuwa na tabia hiyo, mbona bibi yupo tayari kwenda police
Sasa polisi kuna cctv camera???
Huyo Shangazi achukuliwe hatua msione mahijabu makubwa mkafikiri wote ni watu wa dini
😢usimuhukumu mtu Kwa usichokijua mungu atakuadhibu
Kwanza huyo mtt nimuogo na mamaake nawajumbe wao ninjama zimepangwa hizo mambo yapelekeni mbele hayo msiyqnyamazie
Hawa watu wazima waongo na mungu anawaona
Kiukweli hapa atuwezi kujua nani mkweli Mungu ndo anajua yote haya ya Ayotte ongereka muhimu muyamalize maisha yaendelee
Mtoto hawezi kudanganya,kumzulia shangazi hivihivi ,mbona asitaje watu wengine, au angesema tuu simjui,lakini kamtaja shangazi.
Kaka upovizu Sanaa unajua dhamani ya mama na dada damu nzitooooo
Pole sana mshukur mungu mtoto amepatikana bas
Inabidi ichunguzwe
Hao wakamatwe mtoto anasema ukweli, muangalie huyo Dada machoni utajua ni muongo
Jamani msiseme hvyo msimuhukumu mtu bl ukweli hao wazazi wa chuki zao hao huyo mtt Kwa jinc ya maelezo kashapangwa
Waweke picha ya mtt atajulikana alipelekwa kitongoji gani?
Mimi naona kuna anayetakiwa kutimuliwa kwenye familia
Huyo alimpeleka kufanya kazi huyo mtoto sio muongo
Mie ni mzazi pia nna watt wakubwa zaid ya huyo mtt aliepotea kuna baadhi ya watt pia ni waongo kubalini kaata kuna watt pia waongo na hiyo ni familiya inatakiwa mkae muyamalize wote ni familiya 1 na bibi uliemchukua huyo mtt mrudishe kwao tabora maana hpo kapotea karudi mwisho wa ck atapotea kabisa asirudi siombei mabaya na mkienda police kesi itawageukia maana huyo ni mtt wa baadhi ya watu wanasemaga mtt hasemi uongo
Watoto wa vijijini wanatabia za uongo sana mama hamtaki mkwewe
Mama..na..mwana....aibu..gani..hii....subhana...Aliah......mtoto...haongopi...nikweli....mbona...hajataja...jirani
Ni mkwe ndo kafanya yote hayo mi jrani hapa tynamjua vizur huyu bb
@@nurubaby9356kwan Ana Tabia za aina gaan?
Mmmh! Huyu Shangazi kama ndo amehusika na upotevu wa Mtoto.
Kuna watoto waongo sana..... ni bora wakanda police ajulikane nani mkweli kwasababu kesho na keshokutwa yatakuja yajirejee kwasabu hapo kuna misunderstanding
Kapelekwa hadi police na jibu ndo hilohilo
Ninavyo ona nimambo ya kutengenezwa haya
Ya waswahili ni mengi. La muhimu tuombe mungu huyo mtoto awe salama
Hakuna cha waswahili wala nini? Tatizo likitokea limetokea tu.hakuna cha waswahili hapo. Binadamu wana matatizo every second. Around the world.
2😂😂@@mwawekomiuda9779
Uyo mjumbe ndo aliyemuifaz mtoto mwanaume nae kashikwa na mke
Mtoto anasema ukweli
Ila wanasemaga watoto wanasema ukweli
Hatarii!Kuyamaliza nyumbani mambo mabaya kama haya sio sawa,bora kuyapeleka kwenye serikali yapate kukomeshwa.
Huyo wifi kapewa pesa AMTOROSHE
Uyu msicha alivaa kitambaa cheusi sio muongo ila kuna shida hapa kubwa na mtoto akibanwa atasema ukweli
Mama maadam mtoto kapatikani mludishe uyo mtoto mkoani apo cyo sehem nzur uyo wifi mtu ana maneno mengi lkn simuamin
Huyo mwenye ushungi mweusi muongo, maneno ni mengi jamani.
Umeonaeee
Huyo bibi mwangalieni sana
🎉 mnavyo ongea kwa kupaza saiti mnamtisha mtt
Mjumbe unasema yalosemwa yamesemwa inamana mmeridhika kuwazalilisha familiaya mke mungu anakuona
Mazingira haya yanaashiriia uwepo wa sayansi,Mungu amesimama kuepusha mchakato usikamiilike
Watoto ni kweli wanaongea ukweli ila huyu mtoto ni mgombanishi na ni muongo haswaa tena haswa na huyo akipata kichapo cha fimbo 2 ataongea ukweli na alomfumdisha aongee hayo mauongo
Ila Sikiliza Maelezo Ya bibi Ya Ile Habar Ya Kwanza Utagundua Kitu.
Mm Nilipata Mashaka Pale Niliposikia Kua Bibi huyo Mke Anamwambia Bibi Wa Mtoto Aangalie Nguo za Mtoto Kama zipo Kama Hamna Badi Kaenda Kufanya Kazi. Je Amejuaje hayo ? Tena Ni Mda Mfup tu mtoto kupotea.
Kwa Siku Aliopotea wala Huwezi Kuangalia Nguo zake Kwa haraka ila Yule Mkwe Amejichanganya. Lazima Kuna Mchezo Umechezeka Na Wahusika Wapo hapo hapo.
Usikatae mm mwanagu alikua kuna kitu anafanyiwa ila mm hakuwahi kuniambia kila nikimjaribu kumbana ila alimwita mama yake mkubwa na kumwambia
Duu dunia ni nyeusi tiii. Kama mtoto anaongea uongo. Ni talented fantasy popoli.akaigize tuu atafaa 😂
@@beathagabriel8438 ndugu weee hatar
Hawa wanosema mtoto apigwe ili aongee ukweli ni uonevu kama kupigwa wapigwe wote Kila Moja kivyake mambo yataeleweka na huyo mtoto aondoke hapo hapako salama kwake
Saaafiii kaka kweli mwanaume ni kichwa cha familia
Ili nyumba ikae na amani uyo mtoto wamrudishe kwako kwa sababu ana weza akatokea lingine ikawa shida tena
Ila watoto wanapangwa pia mi siwezi kuamini mtoto moja kwa moja maana katika maisha yangu niliwahi singiziwa kitu na alonitolea ushahidi Ni mtoto wa miaka 10 kapangwa na kayanyoosha kwa hiyo watoto wadogo pia wanaongopa pia
Kweli unavyo sema fatuma
Halafu na wewe dada wewe mishungi wewe mungu anakuona
Huyu mtoto hata shule haendi hii kesi ifuatiwe kwa undani kuna watoto wengi basi wanapitia haya 😭
Yeah anatakiwa awe shule.
Yani hapo kuna kesi tatu tofaut mtoto alitoka tabora kuja kufanya kaz za ndan
Wacha waende police Imelda hapo kuna mchezo mchafu baina ya wifi na mtoto na mjumbe
👌👌Wameumbuka awo watuwazima mtoto kashaeleza ukweli mtupu..
Imelda mwenyewe hoi
Ni kweli huyo mtoto anaongea ukweli
Waongo Hao huyo ni mtoto anaongea kweli
Weee mitoto ya siku hizi hatari waongo kama nini
Huyu dada kuna kitu sio bure
Hata mimi naona hivyo
Subhanallah pole bibi wa mtoto
Mtoto kasema kweli
Huyu mtoto Ni mkweli kabisa
Waislamu wanapenda kuowa kuolewa na kukaa pamoja nyumba moja utakuta wakwe tano wajukuu umo umo
Kwel
mjumbe anamjua mama said
Msimuonee huyo mtoto,hao mtu na mama yake ni wezi wa mtoto wote pelekeni polisi.
Mungu mwema
Pole Damelda kwa kazi😂😂😂
Hiyo kesi sijui ukweli upo wapi. Lkn wanaosema mtto hasemi uongo si kweli. Kuna wtto waongo km nn na wanajua kupanga. Na hata uisilam umetufunza sisi watuwazima kua wakweli kwa sabbu ukiwa muongo na mtto atakua muongo. Mtto akizungukwa na watu/marafiki, ndugu nk waongo au mtu muongo nayy mara nyingi sna hua muongo.
Jamani tusiwe upanda wowote maana hatujui nani mkweli nani muongo anae jua ni Allah peke
Kapatikana mshukuruni Mungu mzozano acheni
Baba wa mtoto na mke wake wakatafute nyumba ya kukaa hapo hapana maisha mweeee
Kwa maelezo ya mtoto sio ya kufundishwa jamani
Huyo ni mtoto wao au Ajira kwa watoto??
Ingekuwa ni muongo angebadilisha maneno mtoto ni kweli kabisa
Huyo mtoto ni mkweli hata wakienda polisi watashindwa mtoto anajieleza vizuri tuu
Kabisa
Subhanaallah family imeingia mtafaruku kwaitajika hekma ya hali y juu kwa sababu hapo undugu haukatiki ila chuki itakua ndani kwa ndani jaribuni kumlani shetani na mumshinde
Siku hizi hakuna wa wakuamini . Familia ndio chanzo cha matatizo mengi
Kivipi fafanua kidogo
Uyu baba atari nanusu😂😂 yaani mtihani sana jamani 😂😂😂😂
Duhhh
Hapo iliwapate utulivu hiyo family watawanyike walioa waondoke watafute miji yao. Vinginevyo wataumizana.zamani iliwezekana maisha hayo ya kulundikana pamoja .sio zamahizi .mambo hayo tuwaachie wasomali waarabu wahindi kwa sababu wao dini moja kabla moja imani moja . .
Wtoto wengine waogo tu snaaa
Kunakitu hapo mchnguze hawa wa bibi na huyu dada mtoto hawazi ongopa wamtafute huyu ili kukomesha
Huyu mtt ni mkweli hasahau hata moja
Mh huyo bibi hafai tena hafai mtoto Hashemi uongo