Watanzania Tuache Ujinga...

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 авг 2024

Комментарии • 42

  • @peemsafi6068
    @peemsafi6068 6 месяцев назад +3

    Mzee huu ni ukweli Kabsa barikiwa sana❤

  • @leahmgunda4154
    @leahmgunda4154 8 дней назад +1

    Nimekuelewa. Yapo mambo yanafanyika bila maoni ya raia, hivi ni lini tulipendekeza Wamasai wahamishwe?Tuombe sana hili janga liishe salama.

  • @barakaayubu6126
    @barakaayubu6126 6 месяцев назад +2

    Uko sahihi Sana bishop wangu..!!

  • @ChiefMpemba-lh8pp
    @ChiefMpemba-lh8pp 6 месяцев назад +2

    Bangladesh!!!!
    Hapa kuna mambo mengiiii sanaa ya kujifunza.
    Kila jambo lina watu wake maalumu wa kutimiza hilo Jambo.📌

  • @meiruzibwe9145
    @meiruzibwe9145 6 месяцев назад +1

    Napata nguvu mpya na matumaini mapya ninapomsikiliza Bishop MPEMBA.
    Mungu ambariki sana mzee MPEMBA 🙏

  • @samoskiyalo6095
    @samoskiyalo6095 6 месяцев назад +4

    Kijifunza kwanza katiba ni kutupotezea muda na niuoga wa demokrasia

  • @gabrielmahala9848
    @gabrielmahala9848 6 месяцев назад +3

    Nafikiri dawa imewangia ccm maana ndio ambao hawataki katiba mpya, na hawataki katiba mpya kwa sababu hii iliyopo inawapa uraji

  • @aaronswai3092
    @aaronswai3092 6 месяцев назад +2

    Nakubaliana nawe Askofu Mpemba kwa 100%!

  • @eliasnganira7661
    @eliasnganira7661 4 месяца назад

    Kufikiri ni muhimu sana

  • @ChristianMkumbo-ix2ke
    @ChristianMkumbo-ix2ke 6 месяцев назад +2

    Kaka tatizo CCM wanafikiri TANZANIA ya Nyerere na Tanzania ya leo ni sawa they're not going we the time

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 6 месяцев назад +2

    👊✌️👍

  • @ephraimkabeya9648
    @ephraimkabeya9648 6 месяцев назад +2

    Ukoje siku hizi..?!!. 🤔🤔🤔

  • @mosesg.pendael8381
    @mosesg.pendael8381 6 месяцев назад +2

    Nitumie nafasi hii kumwambia askofu yeye ni bangaladesh 😂😂😂! Tuiboreshe hii. Unataka kujenga ghorofa afu material zote zipo (yaani katiba pendekezwa ipo) afu unahitaji mawazo ya watu. Kuna Material zinapitwaga muda ujue, bangaladesh!!!!

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 5 месяцев назад

    Maoni tulisha toa tena kwa wingi sana. Na cha ajabu huyu mama alikura posho kwa wingi sana alikuwa masaidizi mwenyekiti Warioba. Baada ya kula maposho leo anaongea mambo ya ajabu. Lakini tulifanya hivyo wakati wa Kikwete.

  • @rehemageorge9506
    @rehemageorge9506 6 месяцев назад +1

    Mmmmh.unavyojidai 😂😂😂 na marekani isokuwa na maralia duuh.

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  6 месяцев назад +1

      Kuna wakati ilikuwa na malaria lakini ilipata viongozi wenye maono wakaitengeneza. Sisi viongozi wetu wanaiba tu na kujilimbikizia mali. Hakuna raha kama kutosumbuliwa na malaria. Acha tu nijidai.

  • @kabhikachambala3392
    @kabhikachambala3392 6 месяцев назад

    Ikiwa unahitaji kujenga Katiba ni vyema kukusanya maoni ya watu wengi kwa sababu suala la Katiba sio sawa na sayansi isiobadilika .... Politics is subjective na sio objective science. Kwa hio usahihi unapimwa kwa wastani. Ni vigumu kutambua katika suala la kisiasa nani mwenye nia njema. Sio kwamba Kila mtu hujitokeza bali wawakilishi wa makundi tofautitofauti ndio hutoa maoni kwa sehemu kubwa na maoni hayo hufasiriwa na kuwekwa ktk mpangilio vizuri kwa sababu baadhi ya watu huwa na maoni mazuri lakini wakashindwa kuyawasilisha vyema. Na baadhi ya watu wenye weledi wa mambo kadhaa hupewa kipaumbele kusema maoni yao.

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  6 месяцев назад +1

      Katiba tuliyonayo sasa, hii ya mwaka 1977 nani alikusanya maoni? Mnaposoma kataeni kukaririshwa UJINGA.

  • @kombidin..2583
    @kombidin..2583 6 месяцев назад +1

    Sit up comedy! Bangladesh! This thug is under the influence of "The herb of happiness"😅

  • @evancemosha7862
    @evancemosha7862 6 месяцев назад

    Asante

  • @deogratiasmashimbi2281
    @deogratiasmashimbi2281 5 месяцев назад

    Umepotoka ndugu Askofu. Siasa ni social science na siyo hard science kama ilivyo engineering. Unahitaji maoni ya watu. Wakijifungia watu wachache kuiandika kama hii tuliyo nayo ya 1977 ninyi wenyewe mtakuwa wa kwanza kulalamika kuwa hamkushirikishwa. Ukianza ku-entertain mambo ya wachache kuamua kwa niaba ya wengi, usishangae hata uchaguzi wa viongozi tutaambiwa ni suala la wachache.

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  5 месяцев назад

      Katiba ya 1977 iliandikwa na watu wachache wenye elimu ndogo kulinganisha na utandawazi wa elimu uliopo sasa. Kama imezidi kufaa mpk leo, fikiria wasomi wa sasa wangetupa Katiba nzuri kiasi gani? Hata nikipewa jukumu la kuwaletea Katiba najua nini cha kufanya na kuleta Katiba nzuri kuliko hiyo ya 1977. Hata hivyo kama hiyo iliyopo mnaipenda endeleeni nayo. Mimi hainiumizi kwa lolote!

    • @deogratiasmashimbi2281
      @deogratiasmashimbi2281 5 месяцев назад

      Katiba ya 1977 inafaa kubadilishwa kwa aina ya mazingira tuliyo nayo kwa sasa. Lakini utaratibu wa kuiandaa hii mpya, ni vema ukawa shirikishi.

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  5 месяцев назад

      @@deogratiasmashimbi2281 Tuliishashirikishwa wakati wa maoni ya Tume ya Warioba. Kama maoni yale yametupwa, hakuna maoni yatakayozingatiwa. Endeleeni kusubiri kutimia kwa kauli za wa tu wa Pwani. Mtasubiri sana maana hamjui kuwa uongo, mipasho, vijembe na kutia chumvi ni jadi yao!!

  • @fatumahassanduale4701
    @fatumahassanduale4701 6 месяцев назад

    Unasahau huo ni ujenzi, lakini unahitaji hao wenye hizo hela wakubaliane hela yao itumije kwenye ujenzi au la,wakikubaliane gorofa lijengwe sasa ndiyo wataalam waje, na tukikataa ujenzi huo haitajengwa, katiba siyo ya wasomi peke yake ni makubaliano ya wananchi na na watakavyo ongozwa wana hiyari ya kukata katiba mpya au kukubali kama hiyo gorofa yako.

    • @stevdwin8014
      @stevdwin8014 6 месяцев назад +1

      Sikiliza! Elewa! Fikiri!
      Acha kusikiliza hili uwahi ku comment Elewa mada kwanza .

    • @stevdwin8014
      @stevdwin8014 6 месяцев назад

      Kila siku Zina nunuliwa gari za Hela nyingi kwa ajili ya viongozi, ndege treni za umeme nk wap wtz tulisha wahi shilikishwa kuwa tunakubali hili mambo yaende.... Kwaiyo kuhusu katiba inahitaji watu wenye weredi hili tuipate.

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  6 месяцев назад

      Katiba inayotumika sasa ni ya mwaka 1977. Wananchi gani walitoa maoni ili ipatikane? Tatizo mnakaririshwa na hamjui historia ya nchi. Kama Katiba ya sasa ilipatikana bila maoni ya wananchi, Katiba ya mpya inawezaje kushindwa kupatikana iwapo sasa tuna wasomi wengi wa mambo ya sheria kuliko mwaka 1977? Kabla ya kunijibu tafakari zaidi.

  • @jesaminzo
    @jesaminzo 6 месяцев назад

    Hawa wanajua kabisa ni "delaying tactics" wanayotufanyia na kwanza wanajua kabisa kwamba watanzania wengi hata hii iliyopo hawaisomi kwa hiyo wanaweza tugeuza wapendavyo! Ninachokiamini ile level wanayotuona sisi ni manyani, muda si muda watakuja watambue kuwa kumbe wao ndiyo manyani.

  • @user-jl6uj4lf6q
    @user-jl6uj4lf6q 4 месяца назад

    Huko marekani ni kwenu?au ni ulimbukeni wakusujudu mazungu.

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  4 месяца назад

      Dunia yote hii ni mali ya Baba yangu aliye mbinguni. Mungu wangu aliupenda ulimwengu wote. Hakuipenda Tanzania na wala hajui kipande hicho. Anamiliki dunia yote na vyote viijazavyo. Kwa hiyo huku niliko ni kwa Baba yangu pia. Umeelewa?

  • @musajoseph7896
    @musajoseph7896 4 месяца назад

    Bishop samahani
    Wewe ni engineer wa fan gani?

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  4 месяца назад

      Engineer wa ujenzi wa moyo!

    • @musajoseph7896
      @musajoseph7896 4 месяца назад

      @@bishopaugustinempemba4561 sawa baba.
      I am your fans since your first church at flaisha. I was your memba those day when I still young boy studying bugalika secondary. But now am working as ELECTRICAL FIELD TECHNICIAN in aitel telecommunications tower.

    • @musajoseph7896
      @musajoseph7896 4 месяца назад

      @@bishopaugustinempemba4561 I like your reflector.
      I meant to know why you dress reflector.

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  4 месяца назад

      @@musajoseph7896 I was studying transportation logistics

    • @musajoseph7896
      @musajoseph7896 4 месяца назад

      @@bishopaugustinempemba4561 👌

  • @mohamedjakaya5355
    @mohamedjakaya5355 6 месяцев назад +2

    Acha ujinga. Hayo ni maoni yako kila mtanzania ana haki ya kutoa maoni

    • @jesaminzo
      @jesaminzo 6 месяцев назад

      Elewa content, acha kudandia gari kwa mbele.Hili iliyopo hata yenyewe huijui. Kwa mfano hata nikikuuliza uniambie kifungu kinachozungumzia wajibu wako hata huelewi

    • @samsonfulgence5553
      @samsonfulgence5553 6 месяцев назад

      Si maoni sisi Watanzania tulishayatoa kupitia kamati ya kukusanya maoni ya Watanzania iliyoongozwa na jaji Joseph Sinde Warioba? Maoni gani Tena mengine? Si hiyo hatua ya maoni tulishapita? We Mohamed Jakaya vip ndg. yangu? Bangaladesh.