Huyo Askofu anapora na kula sadaka ya waumini wake ambao wanaipata kwa shida anawaanisha kuwa inafanya kazi ya kanisa anatakiwa apelekewe wakaguzi ni mwizi achunguzwe
Halafu Bishop nakusalimia Kwa jina la Yesu. Sasa Nina swali kwako. Mbona sisi unatwambiaga kunywa uji nyoosha miguu. Wewe mbona unakunywa Ceres na hunyooshi miguu? Bangladeshi.😅😅 Tunakupenda askofu wetu.
Kweli kbsa mzee fungua macho
Mungu akubariki sana Askofu Mpemba. Huu ni ukweli usiopingika!
Asante Bish, Kufichua Wanafiki Wanaolipotosha Neno!
Mtumishi...siku hiz wanavaa mavazi ya dini lakini mioyo yao inatumikia agenda zao
AMEEN ASKOFU WETU WA NGUVU
...Chumvi ikiharibika itatiwa nini? Tena ikolee....
Haifai tena.
Ameshusha Heshima ya Joho la Kuhani.
Yule askofu mpuuzi..
Ina maana haoni maumivu ya watanzania?
umeme mgao maji mgao maisha magumu...
Huyo Askofu anapora na kula sadaka ya waumini wake ambao wanaipata kwa shida anawaanisha kuwa inafanya kazi ya kanisa anatakiwa apelekewe wakaguzi ni mwizi achunguzwe
Ni nani Huyo
Haswaaaaa huyo ni mtumishi wa serikal akiwa na title ya Uaskofu.
👊✌👍.
Aminaaaaa
Halafu Bishop nakusalimia Kwa jina la Yesu.
Sasa Nina swali kwako.
Mbona sisi unatwambiaga kunywa uji nyoosha miguu.
Wewe mbona unakunywa Ceres na hunyooshi miguu?
Bangladeshi.😅😅
Tunakupenda askofu wetu.
🤣🤣🤣
Nina mashaka na uaskofu wake,kazi ya kiongozi wa dini ni kukemea maovu.