Alisema Hana Kazi nyingine ya kumpa pato ndo maana ,lakini asema akipata mfadhili ATA wacha Si basinuwe mfadhili wake umsimamie mahitaji yake kuliko kupenda maana hakumsaidi na chochote
Mungu akupe kila la kheir na pia akupe mwisho mwema.msihukumu watu hali yakuwa bado mnaishi wapenzi kwan.mwenyewe mungu ameshajitukuza Alaisa Allah biahkami llhakimi ww unaemlan kumbe ww afirit zaid yke tuwe wastarabu na wenye kujuwa nn tunakifanya
Kabisa na hata zingekua zk atafuta basata atafuta hati miliki je Sisi tulizonazo atazifuta vipi kwanza lands wa miliki wasipige ktk show na wa naweza kupewa wengine waziimbe ni hiyari ya bendi
@@HusnaSalum-p1q Ujumbe ndio nini Hapo Hakuna kuimba, wala sijui nyimbo za ujumbe, hakuna kuimba kwa aina yoyote katika Uislamu...ukitaka kuimba soma Qur ani tu ,utaimba na huku unazungumza na Allah ( Ya Jabar..)
Sasa bi mwanahawa ndo utamfananisha na alivokua Snura.Yule aloyafanya haya kustahiki ktk jamii ndo Maana akaomba zifutwe..Mama huyu ni mwenye maadili yake na Aliiimba nyimbo zenye ujumbe wa Elimu heshma.Tutamuenzi kwa kazi yake nzuri ya sanaa ya uimbaji.Allah akufanyie wepec kwenye safari yako ya maisha.
Unaona dhambi ya mwenzio wewe hapo ulipo unazinika bila kipimo kwasababu ni kizani huonekani basi unajipa utakatifu. Ameandaliwa tamasha la kuagwa wewe unajipa umalaika
Watu wanashauri nyimbo zifutwe. Zitafutwa wapi mpk watu walionazo mitaani na kuhusu kufuta nyimbo za mwanahawa ye ye alikua anapewa nyimbo kuimba tu sio zake ni za band hii lazima ieleweke ingekua Katunga ye ye kairmba yeye Katia muziki anazimiliki ye ye pia kuzifuta ni ngumu iliyobakia aamue kumuomba allah na kurudi kwenye mikono ya mola wake na kufanya toba tu. Na Sisi tumuombee.... Inshaalah kheri iwe juu yk kwa kipindi kipya kwake
Akili yako ya Kipimbi kweli. Yaani nyimbo ameimba miaka mingi iliopita eti zifutwe. Yeye amestaafu. Atapumzika sasa kuimba. Hayo ya kusema atubu au sijui afanyaje hayawahusu ninyi. Hayo ni yake na Mungu wake
Mwenyez.Mungu akufanyie wepesi Kwa kila jambo
Mwenyezi mungu amfanyie wepesi asije akageuka kama mzee yusufu jitahid kuomba tomba kwa alla Mwenyezi mungu mwingi wakusamehe
Hata snura pia kaomba toba kwa mola wake lwahiyo msimjaji allah anajua na pia kajirudi bado ananguvu zake
Anaimba ya mwisho mwisho nilijua anamrudia mungu kumbe kastaafu kwasababu ya uzee
Hata nami nilijua ana acha kwa ajili ya Allah
Amestaafu kazi mengine si yetu kujua we know she's a Muslim
Heri ya Snura amemjua Mola wake akiwa na nguvu zake. Mwanahawa yeye Hadi hawezi kutembea. Na bado aksimba ' one for the road' ! Subhanallah!
Alisema Hana Kazi nyingine ya kumpa pato ndo maana ,lakini asema akipata mfadhili ATA wacha Si basinuwe mfadhili wake umsimamie mahitaji yake kuliko kupenda maana hakumsaidi na chochote
Yani kuna baadhi ya watu wanamuhukumu mtu kama wao washapewa ujumbe kwamba flani fil jannah ya ALLAH jifikiri wwe ndo umuhukumu mwenzio
@@Sakinaamani-o1t Tumeitwa Umma Bora kwa sababu ya kukatazana Mabaya na kuamrishana mazuri .
Kila nafsi inajua inalolichuma, toba haiko hivyo.
Kweli
nyimbo zina uzito wa tungo sana aah asante Mama nyimbo hizi zimetufunza maan hii ni fasihi pevu sana
@@lonnmutta2073 hakuna nyimbo yenye mafunzo hata moja
Mungu akupe kila la kheir na pia akupe mwisho mwema.msihukumu watu hali yakuwa bado mnaishi wapenzi kwan.mwenyewe mungu ameshajitukuza Alaisa Allah biahkami llhakimi ww unaemlan kumbe ww afirit zaid yke tuwe wastarabu na wenye kujuwa nn tunakifanya
Musiyo yajua nyimbo alizo imba zote ziko chini ya bendii yy alikuwa muajiriwa 2 hana mamlaka ya kusema zisipigwe tutakukumbuka sana bibi
Kabisa na hata zingekua zk atafuta basata atafuta hati miliki je Sisi tulizonazo atazifuta vipi kwanza lands wa miliki wasipige ktk show na wa naweza kupewa wengine waziimbe ni hiyari ya bendi
Inatosha bibi ww rud kwa Allah (sw)
Hili tamasha la kumuaga. Ameshaacha
@@AshuuuBakariSi kwa sababu ya Allah ameacha, ingekua kwa sababu yake muumbaji ingekua tofauti.
Allah akuhifadhi bi mkubwa MwanaHawa,,kubwa ni kufanya Ibada mola atujaalie mwisho mwema
Mashallah icho ndo kipaji alicho pewa na Allah acha atumie ata mungu alisema jisaidie nayey atusaidia unaweza kulud kwa Allah akaimba kama anajiweza
Hicho ni kipaji au upotofu zee zima halijielewi tu
shetani akiwapambia mambo mnayaona ya kawaida eti kipaji kapewa na Allah yani huoni hata tabu kulitamka jina la Allah katika kutetea upuuzi
Mwenyezimungu akufanyiye sahla mashallah
Allah anasamehe mama yangu saivi kila siku usikose kuleta isthifar alau mara mia nakupenda mama allah akupe mwisho mwema
Bi mwanahawa mnyazimungu akutiliewepisi tutakukumbuka sana kwa uhodari wakoo wa kuimba sauti yako iko unique huna mpizani
Allah ndio muweza wa yote tuzidi kumuombea Dua tu
Kila mtu na maisha yake achane mambo ya umbea yenu mmnayajuwa muachene mama wa mwenzen,,,hasbiyallah nyiee kwan mliambiwa mtizame
Mungu amuongoe tubu Kwa mola wko umrudie mungu
Sioni kibaya mpaka mnamuhukum kajistir vizuri nyimbo ina ujumbe usikute wewe unayemuhikum roho yako mbaya hata kusaidia ndugu huwezi
@@HusnaSalum-p1q Ujumbe ndio nini Hapo Hakuna kuimba, wala sijui nyimbo za ujumbe, hakuna kuimba kwa aina yoyote katika Uislamu...ukitaka kuimba soma Qur ani tu ,utaimba na huku unazungumza na Allah ( Ya Jabar..)
@@R10_Rajabhuku umefata nin
zilekasida za harusi au ramadhani zile nyimbo au km ile jinalangu ramadhani 😅
@@R10_Rajabkwenda kule. Wahhabi wewe, Qaswida haramu, mashairi kughani haramu. Wewe una mangapi acha unafiki
Wakumbuka shuka kushakuacha allaha akungoze
😂
😅😅😅😅😅
"Usitukane wakunga na uzazi bado ungalipo "
Mimi nyimbo za huyu mama husikiliza na kuliya sababu sina ujumbe ndani yake mola amsimamiye 😢😢
@@OmanSohar-d7z qur an ndio ujumbe tosha ndugu yangu usijidanganye hakuna wimbo wenye ujumbe zaidi ya chukizo kwa allah
Yaani w😅e Achatu
Bora umeacha mama yangu
Duuuuh !!!! Kha Sunura
Sasa bi mwanahawa ndo utamfananisha na alivokua Snura.Yule aloyafanya haya kustahiki ktk jamii ndo Maana akaomba zifutwe..Mama huyu ni mwenye maadili yake na Aliiimba nyimbo zenye ujumbe wa Elimu heshma.Tutamuenzi kwa kazi yake nzuri ya sanaa ya uimbaji.Allah akufanyie wepec kwenye safari yako ya maisha.
Katika Uislamu hakuna kitu wimbo hata useme unamsifia Mtume Rasul na Allah hakuna kuimba katika Uislamu
snura ametubu amerud kwa allah mwanahawa yeye amestaafu nivitu viwili tofaut
@@MWANAHAMISIOTTO Hapo sawa
@@MWANAHAMISIOTTOkutofaitsha ndo hawajui 😂😂😂
@@ShamsiMbago-n2q kabisa
Iyo sio sahihi km ukifa Leo motoni bado ujatubia
Tunakuona msaidizi wa hukumu za waja
Wew mwenyew kwnn bando lako usiingie u tube kuangalia mambo ya Mungu unakuja kuangalia taarabu au ulijua ni qaswida kpnz
Unaona dhambi ya mwenzio wewe hapo ulipo unazinika bila kipimo kwasababu ni kizani huonekani basi unajipa utakatifu. Ameandaliwa tamasha la kuagwa wewe unajipa umalaika
Usìmtishe, huo moto haupo, au wewe umejuaje kama ni kweli upo?
Wewe ulie tubia mbona hujakaa ukasoma qulan ukaja RUclips tena ukaseach kabisa show ya mwanahawa msipende kuhukumu Allah pekee ndio ajuae
Ache amrudie mungu tena
❤❤🇰🇪
MAMA SAMIA TUNAKUOMBA MPELEKE MWANAHAWA HIJJA IN SHAA ALLAH
HAKUWEZI HIJA KWA HALI YAKE YA UGONJWA SAIVI
Hakika kila jambo lina mwanzo na mwisho wake
Taftaa msalaa mamaa maanaa ayoo mambooo ukiondokaa mthan
Badala ya kutubia unaenda kwenye mapombe tena
Bilisi wezako wapo .hapo.wanakusindikiza..naamaliyako.unajua .ukiwa mzinifu.naukafikia muda huwezi tn kuzini.bc unamalizia .naukuwadii.tuu.😂
Maskini uzee wote huu hajajielewa tu
Tamaa za kina zamaradi wamtumia kujinufaisha kesho kwa Allah atajibu nini bibi wewe
Usimtishie maisha huyo mnaemuabudu hayupo
Watu wanashauri nyimbo zifutwe. Zitafutwa wapi mpk watu walionazo mitaani na kuhusu kufuta nyimbo za mwanahawa ye ye alikua anapewa nyimbo kuimba tu sio zake ni za band hii lazima ieleweke ingekua Katunga ye ye kairmba yeye Katia muziki anazimiliki ye ye pia kuzifuta ni ngumu iliyobakia aamue kumuomba allah na kurudi kwenye mikono ya mola wake na kufanya toba tu. Na Sisi tumuombee.... Inshaalah kheri iwe juu yk kwa kipindi kipya kwake
Bibi uko sw tunnakubali mpaka sasa
Alitakiwa kuacha kimya na utumie siku hiyo kuomba nyimbo zake zoote zifutwe na zisichezwe kabisa hata ktk harusi kama alivyofanya Snura.
Kabisa
Usichukue nafasi ya U Mungu. Mwache mama wa watu
Ushamuona Bi mwanahawa akicheza wazi wazi na kutojistrizi,, nyimbo zake za mafunzo ,, sio za chura
Haya malaika😁🤣acha ujuaji mwamuuu
Akili yako ya Kipimbi kweli. Yaani nyimbo ameimba miaka mingi iliopita eti zifutwe. Yeye amestaafu. Atapumzika sasa kuimba. Hayo ya kusema atubu au sijui afanyaje hayawahusu ninyi. Hayo ni yake na Mungu wake
Nyimbo zako bado zitadumu
Mtu ata kutembea hawezi ataka ujana rudi kwa Mola wako huko
Hakimu ni mungu tu
Tatizo muda ushaenda ache tena
Mitihan mikubwa tuombe Allah atujaliye khatima njema na vizazi vyema mwisho mwema ila uhai mtihan mkubwa
Mwanahawa hakuwahi kuimba wimbo mbaya so nyie mnaosema vibaya hamuelewi kaeni kimya
Unajua hukmu ya nyimbo katika dini ya uislamu??
Vile ntakukumbka mwanahawa Jamn na wimbo wang pendwa wa muda wote "Mwanamke hurka" jmn naupenda wimbo daily naupga
H