MENEJA WA BALEKE ATEMA NYONGO | YANGA WAMEFANYA UJANJA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 дек 2024

Комментарии • 19

  • @LeonardHaule-j2c
    @LeonardHaule-j2c День назад +2

    Wamebanwa saiz hamna kubust na sindano,kutegemea sindano madhara ndo hayo,,

  • @AbujadiAbdalaAbujadiAbujad
    @AbujadiAbdalaAbujadiAbujad 17 часов назад

    ongele kwasana unajua kuchamboa 🇲🇿

  • @CHARLESJUMANNE-d3m
    @CHARLESJUMANNE-d3m День назад +1

    Yaan huyu siyo boya tu but ni p didy

  • @AdamMwombeki
    @AdamMwombeki День назад +1

    U ajira were kaa kimya

  • @ismailngulingar2133
    @ismailngulingar2133 День назад

    Kweli upo sahihi kabisa

  • @HurumoMndeme-e1z
    @HurumoMndeme-e1z День назад +1

    Hueleweki wachezaji wazeee mara watashinda mara wamechoka

  • @hawakilua9145
    @hawakilua9145 День назад

    Nawenae ni mchambuzi,

  • @angellomarcel5677
    @angellomarcel5677 12 часов назад

    Unajua kuongea vzr lkn kuna kitu unaharibu unayakataa maneno yako Mwenyewe

  • @johnmsagga5327
    @johnmsagga5327 18 часов назад

    Uwezo upi wewe unautaka kuchambua? Weka vigezo!!! Au unamtaka akusifie?

  • @yunusimchala6569
    @yunusimchala6569 День назад

    Yao miaka 26,baka 25 boka 26 ,max 22, mzize 20, kibabage 23, dube 26 baleke 24

    • @simonnjovu586
      @simonnjovu586 17 часов назад

      Sasa hiyo miaka ni ya wazee? Miaka 18-20 ni watoto sio wachezaji.

  • @Ba63828
    @Ba63828 День назад

    Ebu tupe umri wa wachezaji wa YANGA si kubuni tu muongo sana huyu jamaa

  • @zahramsangi3632
    @zahramsangi3632 День назад

    Huna unalolijia wewe, acha ukinga leasababi ya njaa yako…huijui Yanga wewe

  • @lucassusu-q1s
    @lucassusu-q1s День назад

    Wewe nae boya hueleweki,kwani wewe uliona amekataa kumpa mkono

  • @lucassusu-q1s
    @lucassusu-q1s День назад

    Sio mchambuzi wewe huna uwezo

  • @lucassusu-q1s
    @lucassusu-q1s День назад

    Siku hizi ukila ukashiba unaamka na kuchambua,wewe Nani kakwambia ameingiliwa,so kama unataka anaowajua tufukuze wote harafu tusajili wapya ndo unachomaanisha

  • @josephpanya9654
    @josephpanya9654 День назад

    Huna akili wewe mchambuzu

    • @josephpanya9654
      @josephpanya9654 День назад

      First eleven ya yanga wazee wako wangapi?m cty nao ni wazee?ni kwaida kushuka kiwango lkn usiseme uzee acha ujinga fara wewe

    • @maendeleoleo2594
      @maendeleoleo2594 День назад +1

      Nyie simlisema Simba wazee