Zitto Kabwe: Sikutaka Njia Rahisi, Niliamini Wananchi Wanahitaji Chama Imara Cha Kuwasemea

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 36

  • @AdamCheze
    @AdamCheze 4 месяца назад +7

    Simuamin Mtawala Na Mpinzan Simsadiki Mana Naona Wanacheza Na Dj Kazima Mziki

  • @KassimHanga-xr7rb
    @KassimHanga-xr7rb 4 месяца назад

    Zito nakuaminia Kwa kupanga hoja ❤❤❤

  • @IDDMWENDO
    @IDDMWENDO 4 месяца назад

    Zitto nakuunga sana mkono...hata mtu mzima akizeheka hana mtazamo mpya kulingana na wakati...mtazamo ni ule ule nawakati dunia inakwenda kasi...

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 4 месяца назад +3

    Zito huaminiki. Umetoka Chadema, ukashusha cuf na kuipandusha ACT wazalendo Zanzibar. Na kuwapa uhuru bandia. Unataka kufanya hivi hivi bara uwe mtoto wa ccm Bendera kwa jina tu. Huaminiki. Ni mmoja wa wale malayamalaya. Hana msimamo.

    • @PeterMasai-x4k
      @PeterMasai-x4k 4 месяца назад

      Ufai kwani ujatulia

    • @maftahmusa9513
      @maftahmusa9513 4 месяца назад

      Azito ni kifaa anafahamu hawezi kukaa katika chama cha familia yawachaga anacho hitaji zitto ni demokrasia sio kungangania Uenyekiti kama anavyo ngangania Mbowe zitto kichwa sanaaaaa

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 4 месяца назад +1

    Ushapoteza muwlekeo wa kisiasa.Uko CCM B that is all.

  • @adamlubawa1281
    @adamlubawa1281 4 месяца назад

    Nafuuu hata ya Zitto kweli kwa kiasi anaipambania DEMOCRACY KWANI AMETAWALA KWA KIPINDI CHAKE NA SASA AMEWAACHIA WENZIE

  • @rahmaabdallah4514
    @rahmaabdallah4514 4 месяца назад

    Binaadamu wengi ndivyo tulivyo tukiwa hatuna au hatu uwezo mambo mengi atasema km mimi ningefanya hivi na mungu akimpa husahau zile ahadi hulewa na raha starehe za dunnia.....

  • @iddyekanda6456
    @iddyekanda6456 4 месяца назад +2

    Huyu haaminiki kabisa ten mnafiki mkubwa

  • @fredgonga9470
    @fredgonga9470 4 месяца назад +1

    Huyu Nyepesi ni kama Lyatonga Mrema, na TLP yake.. ila ni SSM B huyu... Mchunguzeni vizuri, Yuko kwa ajili kugawa upinzani Tu. Hawezi shindana na SSM hata Kidogo.

  • @samsonmwijage1869
    @samsonmwijage1869 4 месяца назад +3

    Hizi kauli zako na misimamo yako wewe Zito ndiyo iliyowafanya chadema chini ya M/kiti Mbowe wakufukuze kutoka chama chao chadema.
    Ulimkaribisha Bernad Membe kwa mbwembe ACT lakini naye hakudumu akakukimbia na kurudi alikotoka.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 4 месяца назад

    Mimi siamini vyama😢

  • @edwincharleswasha-eu5sv
    @edwincharleswasha-eu5sv 4 месяца назад

    Chama chakuwasemea bila action yoyote ww pandikizi

  • @JosephMagige-lf9ns
    @JosephMagige-lf9ns 4 месяца назад +1

    Hiyo ndiyo kweli na kweli tupu

  • @juliusmsegu3347
    @juliusmsegu3347 4 месяца назад +2

    CHAMA PEKEE TZ KINACHOONEKANA DHAHIRI KUWASEMEA NA KUTETEA HAKI ZA WA TZ NI CHADEMA PEKEE. NYIE WENGINE NI WAIGIZAJI TU. UKITAKA KUAMINI HILO ANGALIA POLISI WANATUMIA NGUVU KUZIMA HARAKATI ZA CHAMA GANI NA KWA MAKOSA GANI YA MAANA?

  • @songeza
    @songeza 4 месяца назад

    Nawe Zitto huwezi hata siku moja kuwa madarakani labda utoe ushauri tu kwamba ccm ebu fanyeni moja mbili tatu

  • @davieswillson9782
    @davieswillson9782 4 месяца назад +2

    Dongo Kwa msigwa anasaliti cdm

  • @abujamalaalghammawiy7470
    @abujamalaalghammawiy7470 4 месяца назад +2

    ACT Wazalendo ndio chama pekee kwa sasa cha upinzani TZ

  • @mdedsm5522
    @mdedsm5522 4 месяца назад +1

    Viva ACT

  • @justicebridge
    @justicebridge 4 месяца назад +1

    Nakukuvali sana kamand zito

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya8561 4 месяца назад

    Nani atakupa uwaziri mbona wewe nimwizi .ndiyo maana Chadema walikufukuza

  • @Ba63828
    @Ba63828 4 месяца назад

    Bado wewe ni kiongozi tena si uling'atuka

  • @ShabaniWabiga
    @ShabaniWabiga 4 месяца назад +1

    Nakuunga mkono zito

  • @godfreyfrancis1013
    @godfreyfrancis1013 4 месяца назад

    Good

  • @ShabaniWabiga
    @ShabaniWabiga 4 месяца назад +1

    Akuunga mkono zto

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 4 месяца назад +3

    Chadema bado tuko pamoja nawe zito

    • @nikodemmwahangila3334
      @nikodemmwahangila3334 4 месяца назад

      Hivi zito ninani alikumwagiaga tindikali maana usoni hukuwa hivyo ninani

  • @Jal210
    @Jal210 4 месяца назад +2

    Wewe acha ujinga wako

    • @neemanziku5403
      @neemanziku5403 4 месяца назад +1

      Ww ndo mjinga zaidi

    • @mdedsm5522
      @mdedsm5522 4 месяца назад

      Mjinga wahedi

    • @daudipartson5463
      @daudipartson5463 4 месяца назад

      @@neemanziku5403 mwambie huyo. si ajabu atakuwa ni mmoja wao wa hao maendelamu wanaotuteka kututesa na kutuua daily!

    • @monicamwita7865
      @monicamwita7865 4 месяца назад

      Ujinga gani au ndiyo wewe mji 😮

    • @francismomo7067
      @francismomo7067 4 месяца назад

      Unataka aongee nn....heshim uhuru wa watu .hii nchi n ya mfumo wa vyama vingi

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 4 месяца назад +2

    HIKI NDICHO CHAMA HALISI CHA UPINZANI NA CHENYE DEMOKRASIA YA KWELI NA SIO CHADEMA CHAMA CHA MTU BINAFSI MBOWE PEKEE!!! MF.ZITTO KAWA MWENYEKITI MIAKA MITANO ACT NA ILIPOISHA AKAMUACHIA DORRTH AMBAYE NDIO MWENYEKITI....LKN MBOWE MPAKA SASA ANA MIAKA 20 KAMA MWENYEKITI!!!! HUU SI UHUNI???