Ongera sana simbaplatnumz kwa kuongonza namba one, mpaka kwenye mirahaba 7M, kama namba yako RUclips 🤩🤩🔥🔥🔥 Mi wakwanza kutoka msumbiji Mozambique🇲🇿 mkoa Cabo Delgado Mjini Pemba Carioca
Jwa taarifa yako Hakuna msanii tz anyemzidi alikiba kwa kuimba tukiondoa utimu hanaga matusi katika nyimbo anastaili kabisa nyimbo zake zinaeleweka ni ww ambae Huna uwezo Wa kuelewa
Yaani nyie nyote inamana mmefurahia watu kupewa pesa baada ya kukemea huu ujinga hzo pesa wangelisadia wagonjwa hospital watu wasijiweza mmefikira hvo au hamjaenda hospital kuona wagonjwa maisha yao.
@@malak-lz6kxnawewe nae unapenda kucompar maisha kila sehem kuna misaada yake yan wewe kisa unajuwa wagonjwa unataka kila pesa ziwe zinaenda kwa wagonjwa tukila pesa
Alikiba ndio msani mkubwa tz na Africa nzima muwe mnakumbuka rekodi alikiba alishinda tuzo ya msani Bora barani Africa mwaka elufumili na kumina sita hakuna cha segeno wara Congo wara Nigeria
makusanyo ya kwenye Media, Mabaa, Clubs na sehem zingine kuna ghalama zinalipiwa kulingana na nyimbo zinavyosikiliza mpk mirabaha ya nje ya nchi ipo serikali huwa inafuatilia inakusanya ndo msanii anapewa.
Hii serekal upuuzi mtupu hospital mtu hta dawa ananunua mwenyewe kwanin hizi pesa wasiweke kwenye wagonjwa kuwasaidia wanaenda kupoteza kwenye ushetani.
Wasanii wa king Music wao hawapataki mirabaha? Yaani wao show hawapaki, Music platforms zote mauzo yao haieleweki,na Cosota nae hawape mirabaa😂😂 king wao mwenyewe mirabaha ya kitoto saaana
King music alikiba analoho mbaya wamewafanya kama wasanii kama akudo bila yeye haiwezekan ndio mana mondi apewe mauwa yake vijana wake wamikuwa kama alikiba
@@innocentboykid244 hiyo chuo ambayo wanafunzi awapate ukisomea hautawai pata mafanikio ya elimu ulisomea ni chuo gani? Wanafunzi wote hakuna anazo streaming music platforms ya kuonesha kweli walipita chuo

First to comment please like Yako Millard nawengineooooo❤❤
Simbaaaaa 🔥🔥 moto kila Kona 🤣🤣🤣🦁🦁🔥🔥🔥🔥
Kinq
Diamond Mnamlinganisha na Hawa wasani wa Chini ya Vitanda ila katika kila jambo Kazihirisha kuwa yeye ni Mkubwa wao Mpende msipende. 👑
Chibu na Watoto wake kama nawaona 🔥🔥
Vipi jux
Kawaida tu kingkiba mwaka jana nae mbona alichukua million saba mwabino amepita kwenye njia kingkiba tu
Eti? We mvuta bangi eti?
Ile helaa daimond alitakiwa akacontion na kituo Cha yatimaa
Nwaongoo hao wananjama n domo
Simba kuongoza ni lazima hiyo siyo ombi
mwaka jana aliongoza?
Kwa alikiba wamekosea alikiba 2 million would have been alright
Hata Boomplay, Audiomac, Spotify maokoto ya Diamond inamzidi Alikiba na mbali saana
Kabisa nadhani 1 tu ilimstahili
Imekuuma ee
@@MATIKO9640wampe laki bas
😏
Comment nying zimejaa roho mbaya zinaonyesha ndo maana wabongo wengi ni masikini & wachawi
Mbona mnziki wa bongo au lipi jamani yani milioni saba ndo anaye ongoza nchi zima ndo mapato milioni saba mlabaha
Katika uhalisia alikiba hana uwezo wa kuchukua mil 5 afu rayvan achukue 4 na harmonize 3. Hapana kabisaa
Jwa taarifa yako Hakuna msanii tz anyemzidi alikiba kwa kuimba tukiondoa utimu hanaga matusi katika nyimbo anastaili kabisa nyimbo zake zinaeleweka ni ww ambae Huna uwezo Wa kuelewa
Wewe Imbaaaa lakini Pesa ni Za Diamond Platinum CHIBU DANGOTE
Imekuuma ndgu yang Tena alitakiwa achukue milion10
Yaani nyie nyote inamana mmefurahia watu kupewa pesa baada ya kukemea huu ujinga hzo pesa wangelisadia wagonjwa hospital watu wasijiweza mmefikira hvo au hamjaenda hospital kuona wagonjwa maisha yao.
@@malak-lz6kxnawewe nae unapenda kucompar maisha kila sehem kuna misaada yake yan wewe kisa unajuwa wagonjwa unataka kila pesa ziwe zinaenda kwa wagonjwa tukila pesa
Alikiba ndio msani mkubwa tz na Africa nzima muwe mnakumbuka rekodi alikiba alishinda tuzo ya msani Bora barani Africa mwaka elufumili na kumina sita hakuna cha segeno wara Congo wara Nigeria
Nenda mahakamani mwatmya usikubali
Sasa mond milion sabazann😅😅
za kumnunulia zuchu big bom 😂😂
Nin maana ya mirabaha naomba mmoja anijb plz
Google
makusanyo ya kwenye Media, Mabaa, Clubs na sehem zingine kuna ghalama zinalipiwa kulingana na nyimbo zinavyosikiliza mpk mirabaha ya nje ya nchi ipo serikali huwa inafuatilia inakusanya ndo msanii anapewa.
Mbona harmo mmemuonea?😂
AIBU SANA KWELI MSANII ANAFANYA SHOO MILLION 200 ETI MRAHABA TSHS 7M HUU SI KUZALILISHWA?
Hii serekal upuuzi mtupu hospital mtu hta dawa ananunua mwenyewe kwanin hizi pesa wasiweke kwenye wagonjwa kuwasaidia wanaenda kupoteza kwenye ushetani.
Wasanii wa king Music wao hawapataki mirabaha? Yaani wao show hawapaki, Music platforms zote mauzo yao haieleweki,na Cosota nae hawape mirabaa😂😂 king wao mwenyewe mirabaha ya kitoto saaana
Wee naee akili hauna
@@johnshija8917 niambie wanapiga show wapi? Mauzo yao music platforms iko je?
King music alikiba analoho mbaya wamewafanya kama wasanii kama akudo bila yeye haiwezekan ndio mana mondi apewe mauwa yake vijana wake wamikuwa kama alikiba
Unajuwa nyie mmelemewa na mavi tu alikiba alisema pale ni chuo wala sio nn hv hamumuelew au