INATISHA BAHARIA YUZO:NILICHOMWA MOTO/WALIJUA NIMEKUFA/MELI YA AJABU/NILIENDESHA MELI PEKE YANGU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 ноя 2023
  • Ni historia ya kustaajabisha ya kijana aliyepata misukosuko ya kimaisha tangu akiwa nchi kavu, baba yake mzazi alimtamanisha maisha, kutokana na hali ngumu ya kiuchumi ya nyumbani kwao.
    Aliishi na mama yake kwa kipindi kirefu huku baba yake mzazi akipotea kwa zaidi ya miaka miwili, alisoma kwa tabu mpaka alipoamua kujitoa kafara kwa ajili ya familia yake, ili iishi vizuri.
    Maisha yake ya shule hayakuwa rafiki sana, kutokana na uhalisia wa kilichokuwa kikimsibu tangu nyumbani kwao, endelea kuifuatilia story hii kwa undani, ili kujua nini kilimtokea kijana huyu aliyependa maisha ya melini tangu akiwa na umri mdogo!
    --
    Dar24 ni chanzo namba moja cha habari kwa watanzania mahali popote walipo duniani. Kwa habari za uhakika kutoka nyanja mbali mbali.
    JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA DAR24 MEDIA: +255 679 979 786
    ⚫️ Email: dar24newsroom@gmail.com
    ⚫️ Website: www.dar24.com
    ⚫️ Instagram: @Dar24news
    ⚫️ Facebook: @dar24
    ⚫️ Twitter: @Dar24News
    #mbanga #kabunyau #dupamdupange

Комментарии • 39

  • @dar24media
    @dar24media  6 месяцев назад +6

    Kwa mahitaji ya nguo zenye chapa ya "Kabunyau" wasiliana nasi popote ulipo kupitia namba zetu,...0764368113...na ..0717 066207...&..0653127761

  • @dottowache5149
    @dottowache5149 6 месяцев назад +2

    Tupo na yuzo Leo baharia big up

  • @user-oo6zi5rl8v
    @user-oo6zi5rl8v 6 месяцев назад +3

    Kweli kila Baharia ana safari ndefu sana ila huyu mwamba respect kwake

  • @demolenebooysen2085
    @demolenebooysen2085 6 месяцев назад +5

    Hebu mpeni like za kutosha #SIMBA WA BAHARINI-YUZO MTUNDU TRUE SAILOR ⛵️

  • @lawrencedeocary9940
    @lawrencedeocary9940 6 месяцев назад +1

    Sawa tuko Brazzaville wajaribu.storý sawa

  • @bakari-si1pw
    @bakari-si1pw 6 месяцев назад +1

    Safi sana My Brother 🔥🔥🔥

  • @hashimrashid6380
    @hashimrashid6380 6 месяцев назад +2

    Sailor

  • @Japanese-lz1or
    @Japanese-lz1or 6 месяцев назад +2

    Dahh kumbe familia pugu kajungeni primary school

  • @Simba_wa_bahari
    @Simba_wa_bahari 6 месяцев назад

    Nawapenda wote hakuna kukata tamaa kwa magumu yoyote jua mungu anamipango na ww god is able

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk 6 месяцев назад

    Long time sijashow love ndaaani ya mbanga

  • @stanastana3199
    @stanastana3199 6 месяцев назад +4

    Vipi toka uhuru tupate,hatujawai pata waziri baharia serikalini,lazima ccm waangalie hili jambo,baharia moja ateuliwe kuwa waziri

  • @njegeledaniel3446
    @njegeledaniel3446 6 месяцев назад +1

    Baharia sauti haisikiki vizuri

  • @yohanakashinje1548
    @yohanakashinje1548 6 месяцев назад +1

    Hii nayo Kali

  • @mohammedmussa6740
    @mohammedmussa6740 6 месяцев назад +1

    🍿🔥🔥

  • @michealjoseph3207
    @michealjoseph3207 6 месяцев назад +1

    Baharia. Baharia mbabe ni baharia balozi bhanaa

  • @kasimumudy0269
    @kasimumudy0269 6 месяцев назад +1

    Ili bonge la tambara dupaaaa...mwana kwanza kapoa alafu safiiii

  • @madownloadionlinetv759
    @madownloadionlinetv759 6 месяцев назад +1

    madownloadi mm kweli ni mpambanaji

  • @demolenebooysen2085
    @demolenebooysen2085 6 месяцев назад +2

    Yuzo Mtundu SIMBA WA BAHARINI sijawahi kukupinga by #DAX-MONGA

    • @Simba_wa_bahari
      @Simba_wa_bahari 4 месяца назад

      My bloodline💪🏻💪🏻💪🏻always⚓️

  • @user-mb3zq1jr1q
    @user-mb3zq1jr1q 6 месяцев назад

    We mwanangu dupa sela ❤kaka tumewasha Tena

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 6 месяцев назад +1

    Simchezo tumeanza tena saf sana

  • @Ander61tz
    @Ander61tz 6 месяцев назад

    Born hapa mzaliwa

  • @madownloadionlinetv759
    @madownloadionlinetv759 6 месяцев назад +1

    refrect my life but nilikuwa kichwa sijawahi kufeli

  • @InnocentRichard-qs8ux
    @InnocentRichard-qs8ux 6 месяцев назад +1

    Baada ya kabunyau akaja gamba mla chake .,leo tupo na uyu..tupo pamoja saana

    • @fallykhan2383
      @fallykhan2383 6 месяцев назад

      ila Gamba mla chake alikua na ile mmmrrrrghhh😂😂 swaga flanu hivi mix kingereza kizuuuri

  • @madownloadionlinetv759
    @madownloadionlinetv759 6 месяцев назад +1

    nachoshukuru nilimuwa kicjwa sijwahi kufeli shule na kutumia pombe

  • @MuddMunishi
    @MuddMunishi Месяц назад

    Mwamba uyo apo

  • @Laizer3
    @Laizer3 9 дней назад

    🚢 ⚓ 🛳 sailor

  • @saraicharles2450
    @saraicharles2450 6 месяцев назад +1

    Pugu kajiungeni umemaliza mwaka gani

    • @frankdanford8245
      @frankdanford8245 6 месяцев назад

      Kwa mujibu wa mwaka aliomaliza form 4 ilikuwa ni 2012 sasa kwa hesabu za haraka haraka darasa la 7 kamaliza mwaka 2008 bado dogo sana kiumri huyu mdogo wetu.

  • @josephmay4260
    @josephmay4260 6 месяцев назад +1

    mule mule

  • @michealjoseph3207
    @michealjoseph3207 6 месяцев назад +1

    Huyu mbona mlaini hivi? Huyu baharia kwel?

    • @lailahmohd9395
      @lailahmohd9395 6 месяцев назад +1

      Ww mgumu unafanya kazi mbona unaleta umama kichwa km tango

    • @demolenebooysen2085
      @demolenebooysen2085 6 месяцев назад +2

      Huyu ni SIMBA WA BAHARINI ... muhuni kuliko wewe kama humjui piga chini kabla wauni hatuja kulukia

    • @mosongatz4534
      @mosongatz4534 5 месяцев назад

      jichanganye tu uone show