FAIDA 10 ZA KUSOMA VITABU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 ноя 2024

Комментарии • 118

  • @frumensrevelian4857
    @frumensrevelian4857 5 лет назад +3

    Habari kaka, samahan kaka mimi napenda sana kusoma vitabu na napenda kkuuliza naomba kupata ushauri ni aina gani ya vitabu nivisome kwa maana mm napenda na vision yangu ni kuwa mwanasiasa na kiongozi mzuri, napenda kushauriwa nisome mambo yapi ama vitabu vipi zaidii, ntashukuru sana sana kaka.Mwaka huu nimeanza zaidi kujitengea muda zaidi kuamka mapema zaidi asubh nakujisomea, mipango yangu ya kisiasa ni miaka kumi mbele niwe mwanasiasa bora.
    Ntashukuru sana.

  • @maundumwingizi8027
    @maundumwingizi8027 5 лет назад +8

    Umesema kweli kabisa EZDEN. Faida zote ulizotaja nimeanza kuziona maishani mwangu tangu nilivyoanza kujibidiisha kusoma vitabu. Sasa naweza kusoma vitabu zaidi ya 50 kwa mwaka.

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  5 лет назад

      Sawasawa... hongera sana kaka.

    • @zaytoonabdallah1172
      @zaytoonabdallah1172 5 лет назад

      Duuuuh, MaashaaAllaah hongera sana. naamini ipo siku inshaaAllaah nami nitasema kama hivyo. 50 books in a year! that's wow!

    • @ferfizymdr7153
      @ferfizymdr7153 5 лет назад

      Habari kaka mambo vipi?
      Unanisaidiaje na mimi kupata vitabu?

    • @mohammedrashid2906
      @mohammedrashid2906 3 года назад

      Safi

  • @bentzboufurnitures9452
    @bentzboufurnitures9452 5 лет назад +2

    More more nice

  • @misskwileka1956
    @misskwileka1956 5 лет назад +2

    Hii ni kweli kabisa.. Hasa hiyo no 6, VITABU VINAPELEKEA MTU KUJUA MAMBO MENGI, KUZUNGUMZA POINT... Wooow 😍😍😍

  • @akshots_tz
    @akshots_tz 5 лет назад +1

    asante sana, naomba kuuliza utaratibu gani nitumie katika kusoma vitabu maana me nimsomaji lkn kuna baadhi ya vitu nnavisoma katika vitabu lkn nnajikuta kama nnavisahau kuvifanyia kazi japo sio vyote... natanguliza shukrani

  • @rachellebahati7512
    @rachellebahati7512 5 лет назад +2

    Ansante sana bro.Mungu akulinde

  • @alphamenson3784
    @alphamenson3784 5 лет назад +7

    Sow a thought, reap a belief.
    Sow a belief, reap an attitude.
    Sow an attitude, reap an action.
    Sow an action, reap a habit.
    Sow a habit, reap a character.
    Sow a character n yo gonna reap a DESTINY.
    We only reap wat we sow...at de end of de day is wat yo put in is wat yo gonna get it out.
    Start by changin yuh thought n cultivate yuh MIND...God bless y'all.

  • @hassanmsuya9057
    @hassanmsuya9057 5 лет назад

    Yap brother nimekupata ni ukweli usio pingika maana hata tofauti ya fikra za MTU anae jifuza kitu IPO asante sana

  • @zuhraramzan2828
    @zuhraramzan2828 5 лет назад +3

    Shukura mngu akupe weps uendelee kutpa hamasa ya kusoma vtabu kiukweli asante sana kaka angu

  • @siwemamelchior1686
    @siwemamelchior1686 5 лет назад +1

    May Almighty God bless you. Unagawa knowledge nzuri sana kwa walio tayari kuelewa. Ubarikiwe sana tena.

  • @mohamedkhateeb5098
    @mohamedkhateeb5098 5 лет назад

    Shukran sana kaka,nimejifunza kitu hapo...kiukweli mimi ni mmoja wapo wa watu ambao ni wavivu sana wa kusoma vitabu..but from now on nitajitahidi sana kusoma vitabu.Thanks!

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 лет назад +4

    Yap! I like that idear ya kusoma kitabu na kuirudia. Ntajaribu in shaa Allah. Shukran kaka Ezden. Mola akubariki 😘

  • @rehemajuma1933
    @rehemajuma1933 5 лет назад +3

    Mungu akubariki kaka kwa elimu unayotupatia

  • @upendoeliud6053
    @upendoeliud6053 4 года назад

    Asante sana kaka kweli nimepata vitu vipya, naanza kulifanyia kazi hili.🙏

  • @michaelstephen7616
    @michaelstephen7616 5 лет назад +1

    pamoja sana kaka mabadiliko muhimu

  • @stanslausnyangige5978
    @stanslausnyangige5978 5 лет назад

    Shukuran kaka najifunza mengi sana na ninashukuru kwa msaada unaoutoa napenda kusoma lakin sijui nisome vitabu gan
    Nidsidie kwa hilo pia nayabadil maisha yangu kila siku

  • @rajabumsumi7578
    @rajabumsumi7578 5 лет назад +4

    Bro nakuelewa sana Allah akupe maisha marefu ili uzidi ku2pa madini bro

  • @vitendotv8732
    @vitendotv8732 5 лет назад

    Asante sana kaka Ezden naomba unitumie majina ya hvyo vitabu vzri vya kusoma

  • @ukhtyhalimasubscribedismai6497
    @ukhtyhalimasubscribedismai6497 5 лет назад +3

    Very very good I like it ☝☝👏👏 😘😘 kweli kabisa brother yaani hizi faida ulizotaja hakika MTU akizifuatilia tutapiga hatua zaidi 😍😍

  • @thelimitlessclass7909
    @thelimitlessclass7909 5 лет назад +1

    I appreciate this

  • @maryammaram2612
    @maryammaram2612 5 лет назад +8

    Shukran kaka Ezden naahidi kufatilia vitabu tofaut📚📚 na vingi zaidi naamin mabadiliko mazurii nitayaona.. 🙏🙏🙏

  • @japhetmwamba9579
    @japhetmwamba9579 5 лет назад +4

    Napenda sana kusoma vitab nipo mwanza nitavipataje

  • @suphianimtego3028
    @suphianimtego3028 5 лет назад +3

    Inshaalah

  • @manenolugendo6396
    @manenolugendo6396 5 лет назад +2

    Ujumbe mzuri sana..

  • @gibsonmukulas3644
    @gibsonmukulas3644 5 лет назад

    kaka Mungu akubariki sana unatoa elimu sana nadhani kwakuwa siyo mchoyo wa elimu basi nawe utafanikiwa zaid maana unapenda kujua meng ili usaidie weng

  • @bihuriashaabani689
    @bihuriashaabani689 4 года назад

    Shukrani bro.

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 3 года назад

    Ahsante Mkuu

  • @matingo-bk1248
    @matingo-bk1248 5 лет назад +1

    Thanx

  • @frankonesmo280
    @frankonesmo280 5 лет назад +1

    Thanks kaka for good story

  • @yasinikateula6605
    @yasinikateula6605 5 лет назад +2

    kwel kabsa

  • @UbunifuTemple
    @UbunifuTemple 5 лет назад +3

    I like it

  • @emotionalvoice972
    @emotionalvoice972 5 лет назад +2

    Allah azidi kukuongoza kk, tuendelee kupata madini kutoka kwako,
    Najifunza vingi sana out of formal education,

    • @successpathnetwork
      @successpathnetwork  5 лет назад

      NNashukuru sana kaka. Help me spreading the word. Just share this link na wengine pia. Im uploading a new video right now...soon utaiona. Pita

  • @brothermams28
    @brothermams28 5 лет назад

    Aisee somo zuri imeeleweka vzr

  • @centvcentv1252
    @centvcentv1252 5 лет назад +1

    kweli kaka ezden hasa iyo faida ya 7..yaan kama unanisema mm aise.

  • @bintimushi3148
    @bintimushi3148 5 лет назад

    Kaka nakufatilia Sana, nataka nianze kusoma vitabu, naomba niongoze nafanyaje.

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 5 лет назад +2

    Ahsante sana,pamoja kaka

  • @godfreyeliabu2582
    @godfreyeliabu2582 5 лет назад

    Habari mwalimu ezden jumanne, somohili litanijenga kwani kuna tabia mbaya zimekuwa chronic kwangu /na wengine maombiyangu ni ujalibu kutoa aina ya vitabu ikiwezekana na majina yeke na vinapo patikana ingawa umewahikusema wewe pia unavyo

  • @gibsonmukulas3644
    @gibsonmukulas3644 5 лет назад

    good sana

  • @obachristopher4389
    @obachristopher4389 5 лет назад

    Big ishu sana safi broo

  • @joseefaidabutu6467
    @joseefaidabutu6467 5 лет назад +3

    Asante kaka, n'itajitahidi kusoma vitabu

  • @linahlymo7285
    @linahlymo7285 5 лет назад +2

    Nashida nakitabu

  • @Maulidfundi
    @Maulidfundi 5 лет назад

    Nataka nianze kusoma vitabu,,,nianze na kitabu cha aina gan! Nisaidie.

  • @simonsumaye6324
    @simonsumaye6324 5 лет назад

    Each one teach one safi

  • @samsonezekiel9232
    @samsonezekiel9232 4 года назад

    Good ldea

  • @demarcusideka1506
    @demarcusideka1506 5 лет назад

    Bravo brother.

  • @LazaroSamwel
    @LazaroSamwel 5 лет назад +2

    kazi nzuri kk

  • @Fantastic.-gm1eo
    @Fantastic.-gm1eo 15 дней назад

    Msaada Nikisoma kitabu naanza kusinzia

  • @zaytoonabdallah1172
    @zaytoonabdallah1172 5 лет назад +1

    Nakubaliana nawe kuwa "Kitabu kimoja tu kinaweza kukubadilisha" mimi mpaka sasa sijasoma vitabu vingi ila napenda kusoma vitabu na nimegundua kuwa ninachokosea ni kuwa nasoma kitabu kinaponifikia na huwa sifanyi jitihada ya kuvitafuta vilipo. nitaanza kujirekebisha katika hilo. Ahsante kwa kunihamasisha. but, Ezden, would you like to recommend a book for me, i will appreciate that. Ahsante.

  • @edwardalfred1172
    @edwardalfred1172 5 лет назад

    Nashukuru ila naomba unishauri nianze kusoma kitabu gani.

  • @topazmjackison7294
    @topazmjackison7294 3 года назад

    Kaka Habari ya sumbuwi umenipa hamasa Sana mimi natamani Sana kusoma vitambu

  • @najlazezynaji117
    @najlazezynaji117 5 лет назад +5

    Like zenu Kwa broo#Ezden

  • @worshipertv9968
    @worshipertv9968 5 лет назад +1

    Kaka napenda sana kusoma vitabu ila nashindwa nianzie wapi kila nikisema naanza ikifika kesho unakuta nipo tu naviona na ninapenda kununua sana vitabu

  • @abdul-rahmankhatib6036
    @abdul-rahmankhatib6036 4 года назад +1

    ukweli ni kwamba nnahamu sana ya kuanza kusoma vitabu.. shida ni wapi napata?

  • @christophercravery102
    @christophercravery102 5 лет назад +4

    "Do the do before the do does you"

  • @gwantwamwaipaja1177
    @gwantwamwaipaja1177 5 лет назад

    BRo..mm naomba..unipe muongozo...wa vitabu vya kusomaaa...pia nitasomaje ktbu kmoja for 3dyz..nmtingwa na mambo ya chuooo lkn ntmn..sana nisomeee

  • @rizikimoshi4798
    @rizikimoshi4798 5 лет назад +1

    brother nashida na vitabu vyako nitapa

  • @japharimandalafamily6868
    @japharimandalafamily6868 5 лет назад +2

    Je nivitabu vyaaina gani ambavyo vinatakiwa kusomwa?

  • @fadhilimohammedi9004
    @fadhilimohammedi9004 5 лет назад

    Mimi.nikisoma mstari mmoja tu nnapiga sana myayo na machozi na taya zinauma je? Kitabu gani na unasomaje nielezee

  • @yasinikateula6605
    @yasinikateula6605 5 лет назад +3

    Uko sahihi binafsi nimeanza kubadilika mwaka huu 2018 Baada ya kuanza kusoma kitabu nimegundua makosa meng Sana niliyoyafanya

  • @babalois7240
    @babalois7240 5 лет назад +2

    Online... VITABU AFYA YA UBONGO

  • @jabsonwillifred6641
    @jabsonwillifred6641 4 года назад

    naendelea kusoma vitabu. saf

  • @moarusha4093
    @moarusha4093 5 лет назад

    Naomba unisaidie majinavya vtabu ambazo naeza soma ili kuongezaa maarfaaa please kaka
    Ziwe za siasa maisha kwa ujumla

  • @biubwaahmadi40
    @biubwaahmadi40 5 лет назад

    Ahsante sana kaka Edzen.
    Na mim nataka kuanza kusoma vitabu.
    Je nianze kusoma kitabu gani??
    Naomba unijulishe na nitakifatilia.
    Ahsante sana.

  • @stanslausnyangige5978
    @stanslausnyangige5978 5 лет назад +1

    Naitaji kaka pls

  • @godwinmsomba6909
    @godwinmsomba6909 5 лет назад

    Asante bro. Nataka nianze kusoma ni kitabu gani nianze?

  • @Faraobeatz
    @Faraobeatz 2 года назад

    Natamani Sana kusoma vitabu vya kiswahili vyenye mtazamo chanya lakin bado sijajua namna ya kuvi download

  • @amansaid7601
    @amansaid7601 5 лет назад

    kaka m
    naomba unisaidie ushaur mimi nasoma lakini sielewi napenda sana kusoma vtabu

  • @hamisadodo453
    @hamisadodo453 5 лет назад +7

    Kaka sijawahi soma vitabu nimeanza kuvutiwa nimependa xana mada zako ila nimvivu wakusoma xana sijui kwanini

    • @ArmchairtourismTv
      @ArmchairtourismTv 3 года назад

      Usiache, kila cku ipo cku utazoea ni ngumusana mwanzo so tafta kwanza zle str unazopenda

  • @asiajuma5784
    @asiajuma5784 5 лет назад +2

    Mi natamani sn kusoma vitabu ila jinsi ya kuvipata ss mi nipo shinyanga 🙇‍♀️

    • @advocatekarama4917
      @advocatekarama4917 5 лет назад +1

      Asia Juma jaribu ata kwenye mitandao mfano google store kna vitabu vinapatikana bure

  • @zuhraramzan2828
    @zuhraramzan2828 5 лет назад

    Asnte nimejifunza faida ya kusoma maana nilikuwa sjui maana ya kusoma kitabu

  • @kibandamodern
    @kibandamodern 2 года назад

    Nichagulie

  • @suleimandadu4859
    @suleimandadu4859 2 года назад

    Katika kusoma vitabu ni vitabu vya aina fulani au ni vyovyote?

  • @AbdulHalim-su7kl
    @AbdulHalim-su7kl 5 лет назад +3

    Broo ntk kitabu cha kuaza nach....

  • @victormanyama109
    @victormanyama109 5 лет назад +1

    ezden naomba unichagulie vitabu vitatu nikanunua samahan

  • @shammoha5297
    @shammoha5297 5 лет назад +3

    Can you recommend one book for me? Thanks👍

    • @mezani782
      @mezani782 5 лет назад

      The Millionaire Next Door by J. Stanley

  • @swalehesheha5391
    @swalehesheha5391 5 лет назад +1

    A.sante sana nilichelewa kuona vedio zako ila Shukran sana.
    Kwa jina naitwa swaleh sheha mkaazi wa zanzibar ninachoomba kupata majina ya hivyo vitabu mana nami kujisomea.
    Na swali langu je naweza kupata kwenye mtandao hivyo Vitabu?

  • @Maulidfundi
    @Maulidfundi 5 лет назад

    Na sina mazoea ya kusoma kitabuuu.

  • @ahnafabdallah9433
    @ahnafabdallah9433 4 года назад

    Ipo app ya kudownload vitabu?

  • @barakachongera9705
    @barakachongera9705 3 года назад

    Kaka samahani naomba kujua ni kitabu gani ambacho natakiwa kuanza nacho?"

  • @rajabkibugula9122
    @rajabkibugula9122 5 лет назад

    Nimekuelewa ndugu, sasa nilikuwa naomba unielekeze kuhusu kitabu chakuanza nacho kusoma

  • @johnvicenthmuna5151
    @johnvicenthmuna5151 5 лет назад

    Broo VP kwa wasiyo elewa lugha Fulani ya kitabu kitawasaidiaje

  • @francissamwel6628
    @francissamwel6628 5 лет назад

    Broo minapenda kwel kuanza kusoma vitabu ilasijui nisome vitabu vp au vya ainagan

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 5 лет назад

    Hii hija kwamba kitabu kimoja ukikisoma kwa umakini na inavyopaswa kinatosha kukubadilisha,.NAIAFIKI,maana nilisoma kitabu kimoja na nikajikuta nikianza kuchukua hatua

  • @Lutumbabrand
    @Lutumbabrand 5 лет назад

    Sikiliza simulizi nzuri na za kusisimua ruclips.net/video/V1Ki1U9YuPg/видео.html
    Ujio mpya wa muziki wa taarabu ruclips.net/video/tYTzjztYoEI/видео.html

  • @mariamoses1098
    @mariamoses1098 5 лет назад +2

    Nahitaji kitabu

  • @valenceremmy515
    @valenceremmy515 5 лет назад +1

    Nakupata xana brother ezden bt naomba contact ako ili tuwaxiliane unielekeze mamb fulan

    • @issabakari694
      @issabakari694 5 лет назад

      Uko vzr sana bro big up Allah akeweke coz kwa ayo maarifa unayo tupa unatapa msukumo vijana wa kujitambua coz watu wanalalamika oooh maisha magumu wakati kwa kufuatilia vitu kama ivi unaweza ukapata kitu so ungetutajia baadhi ya vitabu ili tuanze navyo,Asante sana

  • @fanpmaarifa3697
    @fanpmaarifa3697 3 года назад

    Ni vitabu vya aina gani unapaswa usome

  • @bakarkingwaba5505
    @bakarkingwaba5505 5 лет назад

    Nipatie kitabu kizuri lkn kiwe kwa kiswahili

  • @victormanyama109
    @victormanyama109 5 лет назад +1

    maana nimehamasika sana sitaki tena kurudi nyuma

  • @salimnjowoka4357
    @salimnjowoka4357 5 лет назад

    Sasa kiongozi,muda mwingine unasoma kitabu onaona maneno magumu mengi.inapelekea kuchoka kukisoma.hapa unasharauri vp.Mkuu.

  • @benjaminndaki8212
    @benjaminndaki8212 5 лет назад

    Brother hii kitu unatufunza unaweza tupatia no yako

  • @stonyshipindi2152
    @stonyshipindi2152 4 года назад

    Sasa hivyo vitaabu vilivyo andikwa kwa rugha ya kiswahili vipo au??????

  • @emmanuelludovick8749
    @emmanuelludovick8749 5 лет назад +1

    Naomba msaada naitaji kuanza kusoma vitabu kila siku naomba msaada wa ezden simu ni +255743348856 daresalam

  • @beatricejames4403
    @beatricejames4403 4 года назад

    Ezden nataman kuanza kusoma vitabu ila nasemaga ntaanza ntaanza mwisho mda unaenda nashindwa pliz assist me on how to do it please namba zangu whatsap 0683381889

  • @msambachacha8523
    @msambachacha8523 5 лет назад +2

    Broo naomba unitumie majina ya Vitabu 20 unavyo vikubali (msambacha@gmail.com) ntakushukuru sana mkuu