AMETAKA KULIA MBELE YA QASSIM MAFUTA ABUU MUHAMMAD SALUM ZANZIBAR

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 71

  • @musarashid-xw1qm
    @musarashid-xw1qm Месяц назад

    Nimependa hapa .(aukwakua ndugu
    Yetu anaasili ya barra) allah amehem aubuu muawia hasani awazi

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 Месяц назад

    أنا من زنجبار نعم

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 Месяц назад +1

    😢wallah naichukia mijitu isojielewa inayoleta. Ubaguzi. Ety ubara na upwani. Hiyo. Ni mijitu ya hovyo. Huwezi. Kua mlinganizi. Wa daawat salafiyyah harafu. Una uhzibyyah wa ulabila. Nawachukia. Saan. Watu hao. 😢wallah

  • @AllyHamran
    @AllyHamran 2 месяца назад

    Allah akuhifadhi.

  • @SaleheKhamis
    @SaleheKhamis 2 месяца назад +3

    Munakula sum za wanawazuoni sasa sumu zinaenea kwenye miili yenu

  • @ش.ف.ا.ع
    @ش.ف.ا.ع 2 месяца назад

    Ukweli usemwe usemwe tena hakuna kumpaka mtu mafuta

  • @2km.a579
    @2km.a579 2 месяца назад

    Mwenye hii chanel Allah akuongoze. Hamna haja ya kuanzisha moto tena kama waliozungumza mambo haya miaka 2yrs na iliyopita. Watu wako katika kutafuta suluhisho wewe unawasha moto.
    Isije ikawa sababu ya kukuangamiza nduguwe muislamu.

    • @SuolFat
      @SuolFat 2 месяца назад

      Acha ukweli uchukue nafasi yake

    • @pavillioncry5241
      @pavillioncry5241 2 месяца назад

      Huuu ndo ukweli

  • @2km.a579
    @2km.a579 2 месяца назад +1

    Wallahy huu ni umbea mtupu anatoa. Haya ni mambo hayana faida na Daawah kabisa. Ila yakihitajika hapo. Lakini kila wakati naskia ni huyu kafanya yule kafanya...... maadamu halihusiani na daawah achana nalo. Kafundisheni watu daaawah.

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 2 месяца назад

      Wacha na wao wabainishwe hawa wamaefanya mengi sanna

  • @allymbarouk5362
    @allymbarouk5362 Месяц назад

    Huo ndio usalafi munao uweza

  • @MB-yq3ty
    @MB-yq3ty 2 месяца назад

    Nami Naona kusemana hovyo huku mmekalia UZANZIBAR NA UBARA ambao sio ujinga Bali upumbavu mkubwa. Zungumzeni mtu kwa makosa yake ya kidini kakosea wapi na anatakiwa ajirekebishe wapi sio personal attack kila kukicha. Hata mrushaji wa Chanel hii inaonekana anapenda sana umbea.

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 2 месяца назад

      Akhy hizi fitna naona zinafika mbali sana maana saivi masufi wanafurahia wachawi wakina Diwani nao ety wanaposti kwenye page zao za uganga.

    • @adamaliali2206
      @adamaliali2206 2 месяца назад

      Kubali asili yako maalim

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 месяца назад +1

      Huyu mwenye hii channel majuzi alipost clip kuonesha namna ya kupiga pesa kupitia utube!
      Naona sasa hivi yeye anaweka post za kuwavutia viewers!
      Allah atamlipa kutokana na nia yake! Mimi siijui nia yake...
      ILA ANAKURUPUKA SANA....!!!

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 месяца назад

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Anashangaza kidogo huyu,,,, na mm anachonikera zaidi mambo ya nyuma ndio ana upload sikuhizi,,, hii itakua ni fitnah na so hakki,,, namuomba katika masuala hayo ajirekebishe kidogo,,,

  • @ALLYMOHAMMED-ge2cs
    @ALLYMOHAMMED-ge2cs 2 месяца назад

    Haya yanajenga nini?

  • @الحق-د
    @الحق-د 2 месяца назад

    Hii clip ni ya mwaka gani???

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 месяца назад

      @@الحق-د huyu lazima tumuulize mana yeye mambo yaliyopita huko ndio anayaleta sikuhizi,,,, Namuomba atume vitu vya sasa na sio vilivyopita,,,, ili tupate kufaidika zaidi inshaallah

    • @SuolFat
      @SuolFat 2 месяца назад

      Imetoka Jana hio

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 месяца назад

      @@SuolFat asante

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 месяца назад

      ​@@KhalfanMassoud Imetoka jana sawa ila hiyo audio sio ya jana😂

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 месяца назад

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x wanazingua kidogo jamaa hawa,,,, Ila sawa,,, mm wakiendelea na tabia ya kuleta mambo ya nyuma kama hivi itakua sina mda nao tena,,, kama anazipata darsa na mawaidha ya sikuhizi nj vyema ayalete hayo,,, ila akifanya hivi sisi tutasema 1. Anataka viewers 2. Mfitinishaji.
      Allah atujaalie dhana njema kwake na amjalie atusikilize tunapo mpatia mawazo,,,

  • @mashaurimvungi2232
    @mashaurimvungi2232 2 месяца назад

    Tunasema hizi ni zilipendwa tafuta haki maana mumepinda kila siku munalialia munatafuya huruma ya watu rudini kwenye haki ndilo salama yenu bila hivyo munapotea mdogo mpaka shimoni muangukie huko

  • @muhammedaloufy4086
    @muhammedaloufy4086 2 месяца назад

    Hakuna dini hapa ni majisifu tu na kukashifiana! Mlianza kutukana masheikh wasiokuwa salafi sasa Allah anawapiga laana mtatukanana mpaka mtiwe makaburini!

  • @AbuuRayyan-j8x
    @AbuuRayyan-j8x 2 месяца назад +1

    Uyo Qassim Mafuta Hawa wengine hajawahi ata kawataja ktk mdomo wake Sasa wanaham awataje tu japo kwa ubaya hahahaha mtazaa mawe mwaka huu.

  • @AbrahamanSaidi-uf1dw
    @AbrahamanSaidi-uf1dw 2 месяца назад

    Upuuzi myupu

    • @NassorHassan-no1cr
      @NassorHassan-no1cr 2 месяца назад

      ،mukiongea nyinyi ni sawa wakiongea waengine upuuzi sijji nan aliowapa ufungua wa haki hawa????

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 2 месяца назад

    Salim hakanyaki farouk
    Wala hasubutu hatii mkuu wake pale
    Chawa wa kasim.mafuta

  • @SuolFat
    @SuolFat 2 месяца назад

    Mawahabi sasa wamegeuka mapapa

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 месяца назад +1

      Ww nenda kwenye comment za yusuphu diwani huku hakukufai mtu wa bidaa

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 Месяц назад

    Mmhh kama kasema watu wabara ni watu wabaya huyo sio salafi usalafi hauna ubara. Na upwani. Huyo. Analeta ujikundi. ALLAH amuongoze alosema hivyo. SUBHANALLAH. Hivi. Baadhi. Ya wazanzibar. Mbona wanamambo. Yakike. As kua mbara. Ni tatizo. Au wabara. Hawana haqq yakuishi. Kwa hili. Halihitajii ushabiki. ALLAH amuongoze huyo. Mwenye uhzibyyah wa. Rangi.

  • @KikwaleRashid
    @KikwaleRashid 2 месяца назад

    Watu wa Utatu mtakatifu Wana falijiana

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 2 месяца назад +1

      We jamaa Allah akuongoze ujue hakki maana umepotea hujui kama umepotea, Sasa Hilo litawadhuru Nini masalafi, ukiwasemea utatu hali ya kuwa hawana Hilo sana sana unajitia raana mwenyewe na mbele ya Allah utakwenda kueleza hizo kejeli zako, ww unadhani utaixhi milele duniani tupo kwenye mtihani kila Jambo linaandikwa Sasa ninyi mnakanusha hakki kwa kudanganywa na mashekh zenu hawoo mtakwenda kuulizwa na mtakataana hizo kejeli zenu, ww unadhani dawa ya ahlsunnah salafi mtaizuru Nini kwa maneno yenu watu wa batwili toka muanze kutuita wahabi wahabi aijatudhuru kitu watu wanaelewa daawa na wanaifata sunnah ninyi bakini na udhalimu wenu wa kushindana na kweli na kugeuza tafsili kwa matakwa yenu kuwazulia waislamu utatu utakufa peke yako huto kuwa na hawoo wanaokufanya kuwakejeli waislamu kuikejeli hakki

    • @abouswaleh7375
      @abouswaleh7375 Месяц назад

      ​@@AbdulIssa-o7eHII NDIYO HALI YAO HAWA JAMAA ZETU.... ALLAH AWAONGOZE YAANI CJAPATA KUONA WATU WA AJABU KAMA WAO, UNAELEKEZWA KATIKA LILE LILILOTEKELEZWA NA KUFUNZWA NA MTUME WAKO UNAFANYA UADUI???
      WALLAH NINYI NI WATU WAKIAJABU SAANA.

  • @SaidSeif-d4y
    @SaidSeif-d4y 2 месяца назад

    Alfitnatu'ashadduminlqaaatil😮😮😮 ,, wajinga wakubwa . Mnachojuwa ni fitna walfar'qa,, bila shaka ndo masalafi walivyokuwa

    • @abouswaleh7375
      @abouswaleh7375 Месяц назад

      ACHA UJINGA JAMAA, KWANI MNAKUAGA NA USHETANI WA AINA GANI MPAKA HUWA MNAKUWA KAMA VICHAA HIVI NA NINYI MWAJINASIBISHA NA UISLAMU???
      MBONA HIVYO AN???, HUU NI UJINGA ULIOPINDUKIA BALI NI USHETANI KABISA😢... HIVI WEWE KULINGANIWA KUFUATA NJIA YA WEMA WALIOTANGULIA NDIYO UWAFANYIE WATU UADUI NA CHUKI KAMA UZIONYESHAZO HAPO???
      NA NANI ALIYESEMA KUWA WATU WAKIWA WANAFATA NJIA YA SAWA HAWAWEZI INGILIWA NA FITNA???
      WAMEFITINIKA MASWAHABA SEUZE IWE SISI TULIO KATIKA HIZI ZAMA ZA WAOVU???
      ACHENI UJINGA WAKIPUMBAVU.

  • @manhutamankuta7366
    @manhutamankuta7366 2 месяца назад

    Allama Qaasim ibn maftaa ibn Qaasim Alqurashiy alipata tazkiya kwa sheikh ibn baaz, utheymiin,Albani na muqbil sasa Sidhani kama unamuweza kielimu kuna kitabu alikiandika Sheikh qaasim maftaa ndio kinafundishwa university of madina mnalijua hilo

    • @SadamSaid-x1q
      @SadamSaid-x1q 2 месяца назад

      Maashaa Allaah.
      Kitabu gani kaka ?

    • @alminzilmohd9662
      @alminzilmohd9662 2 месяца назад

      kitabu kipi mwalimu

    • @KhalfanMassoud
      @KhalfanMassoud 2 месяца назад

      Kipi ety?

    • @Ibnsalim3
      @Ibnsalim3 2 месяца назад

      Alamaah tenaa dah!! Kwa kweli nyy mumechupa mipaka

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 2 месяца назад

      ​@@Ibnsalim3 Hahahaha!
      Usiseme "ninyi" Mtuhumu huyohuyo aliyesema hayo maneno, sio sisi sote!

  • @SaleheKhamis
    @SaleheKhamis 2 месяца назад

    Munakula sum za wanawazuoni sasa sumu zinaenea kwenye miili yenu

    • @abouswaleh7375
      @abouswaleh7375 Месяц назад

      YAA'N MTUME ATIWE DOSARI KISHA AJE MTU AJIFANYE YEYE NI A'LIM SAANA KUMSEMA KWA UBAYA KISHA NAWE UNASIMAMA NAYE KUTHIBITISHA SIO???
      NAWE WAJIONA UKO SAWA TU???
      JINGA MURRAKKABU!!!
      MMEKALIA UPUMBAVU TU NA USHETANI YAANI HATA KAMA NI KWELI KUWA MTUME ALIKOSEA NAWE WAONA MTU ANAMTWAA'NI HIVI NI KWELI UTASIMAMA NAYE IKIWA WEWE KWELI WAMPENDA MTUME???
      UJINGA 🚮🚮🚮

    • @abouswaleh7375
      @abouswaleh7375 Месяц назад

      ATI SUMU WEWE WAIJUA SUMU WEWE,,,, 🚮🚮🚮