Dr sule tungekuomba utueleze ni miti aina gani majina yake na maelekezo ya kutengeza.ili uwape binadamu elimu sababu leo tuko hai kesho hatuko.kizazi kijacho wajuwe namna za kutafuta hizo mimea na kupata faida na kunusurika na maradhi jazakaallahu kheiran.pepo yako utakuwa ushaijenga duniani na akhera amin

❤❤Jazallah kheri kwèli maneno yako ni sawa kabisa frm Kenya❤❤
Maji ya kisima ndio maji original kutoka kwa Allah Tabbarak Rahman ❤
Masha Allah Tabbarak Rahman ❤wazindue waislam
Kweli kabisa maneno yako
Mashallah Dr sule
Huyu mtu ninamkubali sana! Yuko vizuri kivitabu na kihistoria!
Nawashangaa wasomi nawasikitikiya😂😂
Umeongea uzuri, sifia uislam katika misingi ya kiislam lakin si kuponda ukristo
Sule acha janja janja
Tupe majina ya hio miti