MWAMPOSA ATAKUFA KISHA ATA HUKUMIWA EV PASCHAL CASSIAN

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 127

  • @FhDg-mg1gn
    @FhDg-mg1gn 2 месяца назад +6

    Amen mtumishi wa mungu neno njema. Mungu akupa nguvu simamana ukweli

  • @YohanaMaswaga-p4z
    @YohanaMaswaga-p4z 2 месяца назад +2

    Mungu akubariki mtumish wa Mungu hakika nimekuelewa nana ahidi kuacha kila kitu na kumrudia Mungu 🙏🙏🙏🙏

  • @Francomsangawale
    @Francomsangawale Месяц назад

    Amen Amen mtumishi wa MUNGU ubarikiwe.

  • @AllyMasterKitali
    @AllyMasterKitali 29 дней назад

    Mweshimiwa mungu akubariki kwa kuwamsha watanzania wasiojielewa wanadanganya na hao mataperi makubwa

  • @matridakyando101
    @matridakyando101 2 месяца назад +3

    Pole Sana unayeamini kwamba mwamposa Ni mtumishi wa Mungu neno la Mungu linasema wazi kuwa watatokea manabii na makristo wa uongo,watafanya miujiza yamkini kuwapoteza hata wateule.Ndugu angalia nyakati.watumishi wa Mungu hawakupangii utoe sadaka kiasi Fulani.Mtu anawauzia maji mnaamini maji kuliko Mungu .Pole Sana badirika mwamini Mungu.

  • @MisheckNgapulila
    @MisheckNgapulila 2 месяца назад +4

    Barikiwa sana mtumishi

  • @venerandamaufi8574
    @venerandamaufi8574 Месяц назад

    MUNGU!walinde na uwafinike kwa damu ya mwanao mpenzi Yesu Kristo watumishi wako wanaofanya kazi ktk shamba lako kama ulivyowatuma! Amen

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 2 месяца назад +3

    Tunawaona wengine kama ni binadamu kumbe ni mapepo katika form ya kibinadamu ndiyo maana hawana hofu na Mungu YEHOVA paza sauti usiacha Yesu atakulipa Mtumishi wa Bwana ubarikiwe sana.

  • @MGALILAYABillionaire
    @MGALILAYABillionaire 2 месяца назад +8

    Walio kwa mwamposa ni wahitaji tu hakuna anayeenda kutafuta Yesu. Wamesahau mwanaume Yesu anakuja kuhukumu kila mmoja na kumlipa kadiri na matendo yake.

  • @bantusworshipingpraisingan4294
    @bantusworshipingpraisingan4294 2 месяца назад

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu.

  • @SatruminMasawe
    @SatruminMasawe 2 месяца назад

    Mungu tusaidie tuweze kuyaishi maisha yakukupendeza katuandike katika kitabu cha uzima

  • @OmbenOmary
    @OmbenOmary 2 месяца назад

    Safi mtumishi was Mungu songs mbele usiogepi

  • @DanielJuma-y5d
    @DanielJuma-y5d Месяц назад

    Mtumishi ubarikiwe Sana kwa kuzidi kuwakumbusha watu

  • @SatruminMasawe
    @SatruminMasawe 2 месяца назад

    Mtumish ubarikiwe sanaa endelea kuisema kwel ya bwana watu tuponye roho zetu

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 2 месяца назад

    Mtumishi Cassian ninakuelewa. Asante zidi kufunuliwa unene kwa umakini kitu ulichopeea

  • @flaviusrobert3197
    @flaviusrobert3197 2 месяца назад

    Kweli injili ya kuambiwa ukweli wa kuacha dhambi na kutengeneza wingu zuri na Mungu haipo, barikiwa mtumishi kwa kuisema kweli

  • @SaraGisuka
    @SaraGisuka 2 месяца назад

    Mungu akulinde na kukuzingira msemakweli!

  • @kasindejonathan978
    @kasindejonathan978 2 месяца назад +1

    Huna lolote casian kazi kupiga kelele tu huna waumini??? Huyo unaemsema kila kukicha hana habari na wewe kabisa hana muda mchafu kukusikiliza ..makofi kwa Yesu.Amen

  • @martinahlighare6495
    @martinahlighare6495 2 месяца назад +3

    Kwa mapenzi yako Mungu, naomba jina langu liandikwe kwa kitabu cha matendo mema na majina yatakaposomwa, langu lisikosekane bali niuridhi ufalme wa uzima wa milele.

  • @aganomwangajilo8338
    @aganomwangajilo8338 2 месяца назад

    Ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @jamesboka-kk9rv
    @jamesboka-kk9rv 2 месяца назад

    mutumish wabwana paza sauti watu wasikie yesu anakuja tena swali ambalo tunajiuliza tutapatikana sem gan balikiwa sana kwa jumbe njema🎉🎉🎉🎉🎉

  • @HamphleyLucas
    @HamphleyLucas Месяц назад

    Yesu ndio mwanjilish wa miujiza kwhyo miujiza ni ahadi ya Mungu

  • @mauaabdalah3917
    @mauaabdalah3917 2 месяца назад

    MTU akikemea dhambi akikombolewa atammoja Bac kwa Mungu n neema kubwa na anafurahia kaka gooooooo Mungu atalupigania usiogope❤

  • @JanethMkala
    @JanethMkala 2 месяца назад

    Mungu akulinde Casiani

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 месяца назад +4

    Mwamposa hana tofauti na yule kiboko wa wachawi.Tofauti yao ni kwamba huyu ni mtanzania orgi n al vinginenyo huenda Mwamposa ni mbaya zaidi kuliko mkongomani.Sisi misukule tunazidi kutoa sadaka😢😢

  • @ElishaPanga-l7t
    @ElishaPanga-l7t 2 месяца назад

    pasko mungu akulinde umalize kusudi lamungu salam ,sema ukweli hadikufa uichoke

  • @VenanceMsemwa
    @VenanceMsemwa 2 месяца назад

    Amina sana mtumishi wa mungu

  • @BarakaKalinga-j3g
    @BarakaKalinga-j3g 2 месяца назад

    Mungu nioneshe watumishi wako sahihi ili nikutumikie katika roho na kweli

  • @florencemushi6561
    @florencemushi6561 2 месяца назад +1

    Cassian Dunia imejaa watu ni Mungu ajuae walio wake na ambao si wake. Mungu ameonya tusiwanyoshee vidole watumishi wake Mungu atawahukumu mwenyewe. Nashauri uhubiri kwa wote usiilenge watumishi.

    • @GeorgeChitemo-kt8sw
      @GeorgeChitemo-kt8sw 2 месяца назад

      Hawa wahuni wabudu rusifa mwamposa usimuite mtumishi WA Mungu unakosea Sana

    • @israelisponsor8755
      @israelisponsor8755 2 месяца назад +1

      Wapi biblia inakataza usimuonye MTU mtoshaji bila kutaka jina? Mwombe Mungu WA kweli atakufungua

  • @ImeldaMyinga
    @ImeldaMyinga 2 месяца назад +1

    Watu wangefunuliwa waone vitu mwamposa anafanya nyieee au ngoja ninyamaze tu

  • @hafsalucky1088
    @hafsalucky1088 2 месяца назад +2

    Mwamposa is the true man of God.Km kuna Mtumishi Namwamini asiye na longolongo ni Mwamposa❤✔️💯 Anahubiri kweli na anafundisha watu namna ya kutoka ktk Umaskini na ujinga kupitia Yesu kristo.

    • @henrysizya239
      @henrysizya239 2 месяца назад +2

      Inategemea unamuona kuwa sahihi kimwili au kiroho?
      1 John 4:1
      Wapenzi, msiiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho, kwamba zimetokana na Mungu; kwa sababu manabii wa uongo wengi wametokea duniani.

    • @elibarikielikana1824
      @elibarikielikana1824 Месяц назад

      Ukishapata ya dunia na ya rohon ukawa maskin ukapotea upotevuni itakufaa nini

    • @Millieykitawa9652
      @Millieykitawa9652 Месяц назад

      😂😂😂😂😂 mwenye macho na aone😢nakusikitikia maana hata yesu alisema wananikiri mimi midomoni laki mioyo yao iko mbali na mimi.hayo yote yalitabiriwa.uvarikiwe mtumishi wa Mungu Pascal

  • @dunstanRupia
    @dunstanRupia Месяц назад

    Kweli kizazi hiki ni cha kutamani miujiza. Yesu alikemea uovu. Kasian upon kwa ajili ya kuendeleza kazi ya Yesu. Unanibadilisha kuelekea kwenye utakatifu. Maana vyote ni batili katika ulimwengu. Mungu akuongoze.

  • @yusuphmatinya8560
    @yusuphmatinya8560 Месяц назад

    Poleni wapambe wa mtandaoni yesu yukaribu atawakuta kwenye umbea hata kasian na ww utakufa usimtaje mtu kila siku

  • @izamahmasaki4795
    @izamahmasaki4795 Месяц назад

    Ninyi make mkimsema mwamposa TU , hata Cha kuhubiri ili watu wakuelewe hakuna , we Kanisa lako liko ndani ya gari mashart uliyopewa na freemason

  • @MargaretMwenda-sw4iw
    @MargaretMwenda-sw4iw Месяц назад

    Watanzania Someni biblia ,Kaa ndani kwako na familia Yako mtafuteni Mungu kwa kusoma neno kulielewa na Kuwana mahusiano mazuri na Mungu.Acheni Hawa wanaojiita manabiiii.....

  • @Davidgeorge-xq8me
    @Davidgeorge-xq8me 2 месяца назад

    Jamani ,msitishwe na ishara ni muujiza hizi ni nyakati za mwisho,ufunguo umeelezea Kila kitu.Msiziamini hizo roho bali zipimeni,msisadiki mkiambiwa YESU Yuko huku wala kule,ni wewe kumheshimu MUNGU na kuyatenda yaliyo mapenzi yake,kwani hapo ulipo yupo pamoja naye.

  • @rabiamenshoo1988
    @rabiamenshoo1988 Месяц назад

    Wacha kutupigia kelele sisi.

    • @Imaniamockgmail
      @Imaniamockgmail Месяц назад

      😀😃🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣😂daaa!

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 2 месяца назад

    Maskiniii nyieee tuanze upya jamani

  • @HamphleyLucas
    @HamphleyLucas Месяц назад

    Unatafuta kiki kupitia Mwamposa?

  • @JzjQj
    @JzjQj 2 месяца назад

    Amen amen 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @IvethaGonza
    @IvethaGonza Месяц назад

    Basi siku moja tuubilie neno tumechoka kila siku ni watumishi tu

  • @Blessing32162
    @Blessing32162 2 месяца назад +2

    Point Huuuw wale chuma hiko

  • @ryobanchagwa2499
    @ryobanchagwa2499 2 месяца назад

    Kweli PASCHAL YAANI NALIA

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 месяца назад +2

    Misukule hawaelewi.Wajinga ndio waliwao😢

  • @dunstanRupia
    @dunstanRupia Месяц назад

    Natamani unibariki niiache uovu kabisa😢

  • @EvaliniEvelin
    @EvaliniEvelin 2 месяца назад

    Wote tunajua udanganie walio na wivu na mwaposa

  • @geitandelwa299
    @geitandelwa299 2 месяца назад +1

    Ukweli NAOMBA MUNGU ANIHURUMIE TU MM

  • @manethmwiyanja2452
    @manethmwiyanja2452 Месяц назад

    kweli kabisa

  • @eliasmyamba4767
    @eliasmyamba4767 2 месяца назад

    👏👏👏

  • @obinasimbeye1750
    @obinasimbeye1750 2 месяца назад

    Kazi kuwashambulia watu Fanya kazi ya Mungu bana chujio lipo kwa Mungu wewe vipi

    • @SylvesterMakenzie
      @SylvesterMakenzie 2 месяца назад

      Wew ni mpumbavu wa mwisho bila kuwasema hao matapeli ss tutawajuwaje?juz Kati alimsema kiboko ya wachawi wajinga kama wew mkamtukana leo yako wapi kiboko anawazihaki watanzania kuwa kawapiga vilaki tano vyao

    • @SarahMkuye
      @SarahMkuye 2 месяца назад

      Mungu akusaidie kuelewa jitahid na kusoma biblia

  • @yusuphmatinya8560
    @yusuphmatinya8560 Месяц назад

    Yamekushinda kuhubiri nahisi bado ukofirimason hujatoka ndo maana unafatilia yawenzio tapeli wa mtanaoni

  • @AnethSwila-tw9mv
    @AnethSwila-tw9mv Месяц назад

    Wengi wanamtetea mwamposa kwakuwa hawalijui neno linasema nini .....casian wewe sema kweli yote utalipwa siku moja ukifika mbinguni

  • @miriamjohn7644
    @miriamjohn7644 2 месяца назад

    Hakuna atakeishi milele kila mtu atakufa vile walivyojenga ni kwa ajili ya wengine atakaowaacha duniani waviendeleze ... kila mmoja ana wakati wake wa kung'aa na kufifia

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 2 месяца назад +1

    Mwamposa amelala na christina Shusho nk😢😢

  • @remmyalfred6736
    @remmyalfred6736 Месяц назад

    INJILI HII NDIYO HALISI, MUNGU AZIDI KUKUTUMIA ZAIDI MPAKWA MAFUTA WA BWANA!

  • @moshiwasua5749
    @moshiwasua5749 2 месяца назад +8

    Mimi mawazo yangu ,, Kwa sasa Tanzania Mwamponsa namba moja kwa nguvu za Mungu. Pomoja na Watumishi wengine wenye Nguvu ,Mwamponsa hahubiri mafuta Wala hivyo vitu vingine. ,, Ila anakipatia mafuta halafu unapo yatumia. Taja jina la Yesu. Hayo ni mafunuo makubwa sana ,mtafahamu baadaye sana.

    • @GeorgeChitemo-kt8sw
      @GeorgeChitemo-kt8sw 2 месяца назад +4

      Hana Yesu hata tone moja NI muabudu rusifa mkubwa Sana mwamposa mwakajana ametoa kafara moshi bado Tu umefungwa na wee?

    • @lilianfelix5143
      @lilianfelix5143 2 месяца назад +1

      Hata mmseme kivipi sitoweza acha kusali kwake. Mungu wa Bulldozer na haishi milele. Amenities mbali sana❤

    • @HamphleyLucas
      @HamphleyLucas 2 месяца назад

      Wew ndio ulichoitiwa hicho?

    • @HamphleyLucas
      @HamphleyLucas 2 месяца назад +1

      Hivi wew huna kaz ya kufanya Casian

    • @HamphleyLucas
      @HamphleyLucas 2 месяца назад

      Unataka ahubir avue nguo ndio ujue hebu avha kumnena masihi wa Mungu

  • @barakakilave1121
    @barakakilave1121 2 месяца назад

    ameeeee mtumshiiiiii

  • @obinasimbeye1750
    @obinasimbeye1750 2 месяца назад

    Lipua huyo kabisa mwamposa inaoneka unatikisa anga zake maana halali bila kulitaja jia mwposa pigaaa aendelee kubwabwaja. We endelea tunakuhitaji sana Mungu aendelee kukutumia zaidi yahapo ulipo Ili wazidi kuchanganyikiwa nawewe. Piga kazi sisi usiwasikilize ha wamekosa kazi

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 2 месяца назад

    Watu tunakazi mweee

  • @EmmyJerremiah
    @EmmyJerremiah 2 месяца назад

    Mwamposa tubu....alafu nyie mnaomtetea mkatubu pia ....na MUNGU awafunulie .....mwamposa,suguye,kuhan musa,geordavie,mzee wa upako , kiboko ya wachawi,,, na ambao sijawataja najua hadi wa kimataifa ntawataja sku nyingine. Woooote nliotaja hapo ni WAPIGA DILI .. kama unabisha tubu

  • @charlesnyanhanga4382
    @charlesnyanhanga4382 2 месяца назад

    Amina

  • @FestoYohana-ll4wk
    @FestoYohana-ll4wk Месяц назад

    ww huna akili anaetoa miujiza ni yesu ww hata kuponya mgonjwa wamafua huwez

  • @EvaliniEvelin
    @EvaliniEvelin 2 месяца назад

    We unataka kanisa la mwaposa wawe wawili wewe ni mkolofi tu mbona akijibu mweziyo ,ubili alicho kutuma MUNGU mbona nawewe nimwenyie zabi tu.fania yako anae kuunga mkono anawivu na vitu

  • @monicaelias3801
    @monicaelias3801 20 дней назад

    Endelea kuuhubiri ukweli wa Neno lililo hia mtumishi wa Mungu wewe umenawa kazi ni kwao watenda miujiza fake pamojana watendwa miujiza hiyo hawataki kuitumiadamu ya Yesu wataka miujiza ni heri wangekusikiliza tu na kuchukuahatua ili waiepuke Jehanamu ya moto wa milele yot

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o 2 месяца назад

    Heee

  • @obinasimbeye1750
    @obinasimbeye1750 2 месяца назад

    Wewe pia utakufa achana na mwamposa na kazi yake

    • @SarahMkuye
      @SarahMkuye 2 месяца назад +1

      Kufa ktk Kristo usife kwenda jehanam ndomana anasistiza sana kutengeneza na yesu usife ktk dhambi Mungu akusaidie kuelewa hayo anayohubiri

  • @MaxCharles-wj5dg
    @MaxCharles-wj5dg Месяц назад

    mwamposa akikuombea unapona

  • @EvaliniEvelin
    @EvaliniEvelin 2 месяца назад

    I wewe ndo ya kweri yako?

  • @JoyceHamsonmwashamba
    @JoyceHamsonmwashamba 2 месяца назад

    Pumbavu utamua wewe selikali Iko wapi inaacha vichaa mitandaoni wanatawala na kutuhalibia mitandao huna akili wewe ni kichaa tu

  • @rambostalon2888
    @rambostalon2888 Месяц назад

    Unamatatizo ww

  • @EzekiaMichael-jn5np
    @EzekiaMichael-jn5np 2 месяца назад

    Katika watu wanaokemea dhambi na kumtafuta Mungu Mwamposa Yuko vizuri na Kuhani Mussa Yuko vizuri juu ya ukweli kwenda Mbinguni ni juu ya Mimi na wewe mchungaji kazi yake ni kumtaftia malisho ng'ombe wake swala la kula na kunywa maji ni juu ya ng'ombe mwenyewe sio mchungaji yeye mchungaji anakua amenawa mikono tayari

  • @ScolaJapheth-e3y
    @ScolaJapheth-e3y 2 месяца назад

    Hemu hubiri neno la mung achana na mambo ya watyu

  • @juliusjoseph6320
    @juliusjoseph6320 2 месяца назад

    Hukumu ni Sasa sio mpaka mtu afe .Mchungaji maandiko yanasema anayeamini ahukumiwi bali asieamini amekwisha hukumiwa kwa hiyo kunawatu wanatembea wakiwa katika hukumu

  • @GeorgeNgonela
    @GeorgeNgonela 2 месяца назад

    Ukweli ndg unatafuta Kiki tu kufurahisha dhehebu lako kwani Yesu hakitenda miujiza? Na wewe tumia neema ukiyopewa na Mungu huna kigezo chochote cha kumashamblia mwamposa, na wewe onyesha kazi ili tuone nguvu ya Mungu iliyo juu yako

  • @josemangula8806
    @josemangula8806 2 месяца назад

    Siku mkimwona Mwamposa mbinguni sijui mtazungumza nini nyie binadamu acha Yesu aludi yeye ndo msemaji wa mwisho

  • @juliusjoseph6320
    @juliusjoseph6320 2 месяца назад

    Acha kututisha .Embu kula chuma hicho
    Yohana 11:26
    “naye kila aishiye na kuniamini hatakufa kabisa hata milele. Je! Unayasadiki hayo?

    😂😂😂😂

  • @moshiwasua5749
    @moshiwasua5749 2 месяца назад +3

    Mnapiga kelele kuwa Linda washirika wenu. , hiyo haiwasaidii siku hizi watu wana ufahamu siyo kama zamani Wewe hata kama una nguvu za Mungu , zitafanya kazi saa ngapi ,,muda wote wewe unapambana na wenzako. ,Hatukuoni hata siku moja ukiombea Wagonjwa au ukiwaongoza watu sala ya Toba wewe ni vijembe kila siku ,,,, BADILIKA Mtumishi

    • @GeofreyKalo-ot3we
      @GeofreyKalo-ot3we 2 месяца назад

      Barikiwa! Amezidi vijembe huyu,

    • @mosesg.pendael8381
      @mosesg.pendael8381 2 месяца назад

      Wana ufahamu? Na wako kwa kiboko ya wachawi?

    • @Pendopasilika
      @Pendopasilika 2 месяца назад

      Sio kwamba Wana ufahamu, hapana Ila wamepumbazwa na hao watumishi wa shetani hawana ufahamu kabisa ndio maana kutwa kubebelea katoni za maji na mafuta hamna kitu hapo Ni waongo pamoja na kuwaongoza Sala ya Toba ili wawadanganye wengi

    • @Pendopasilika
      @Pendopasilika 2 месяца назад

      Sasa nimeelewa Amina barikiwa

  • @lwanjiedna5233
    @lwanjiedna5233 2 месяца назад

    Kila siku Mwamposa Mwamposa kwa nini usiende kawe ukamuambie?.Maana ninavyomjua yule yuko busy sana hata mtandaoni hayupo

    • @obinasimbeye1750
      @obinasimbeye1750 2 месяца назад

      Hanatofauti na wasengenyaji huyu nenda kawe hudhuri Ibadan kisha mfuate ofisini kwake umwambie huo unaoona ni iootoshaji. Sisi hata usemeje hututoi hapa.tunamwamini YESU kupitis Mtumishi wake Meamposa

  • @annehaysanday9214
    @annehaysanday9214 2 месяца назад

    Ni nani aliyekuweka wewe kuhukumu?Hubiri injili kazi ya kuhukumu muachie Mungu.Na wewe si ukusanye watu?

  • @Rashid-vm1fk
    @Rashid-vm1fk 2 месяца назад +1

    Tunawaona wengine kama ni binadamu kumbe ni mapepo katika form ya kibinadamu ndiyo maana hawana hofu na Mungu YEHOVA paza sauti usiacha Yesu atakulipa Mtumishi wa Bwana ubarikiwe sana.

    • @Janesikweya
      @Janesikweya 2 месяца назад

      Amen wengi ni vipofu tuzidi kuwaombea😭😭