Couch vocal yupo vzuri, pia vocal yenu imetulia Sanaa, na nitoe pongez kwa masollo wote. 💯 100% karbu kwetu MPANDA MJINI mtumike pia na huku kuna vijana kwaya/revelation gospel choir tupo hapa Aic mpanda
Yaani wewe hausikilizi message ya nyimbo unaangalia mtu kavaaje unaonekana una character ya tamaa kemea hilo pepo na unatakiwa ubarikiwe na msg mengine achana nayo hakuna mtu yupo uchi hapo....usimuhuzunishe roho
Hongera san mwalimu kutunga wimbo mzuri, waimbaji mnajua hadi raha, Mungu awatunze
Nzega Mungu awabariki sana🎉🎉🎉🎉
Mko vizur Mungu aendelee kuwatumia zaid
Nawapenda kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu. Naomba sasa mnunue kifaa maalumu cha kurekodi sauti kutoka kwenye mixer. Ili tupate radha halisi.
Mungu azidi kuwainua katika kazi hii njema.
Kazi nzuri sana Debo
Watoto wa Askofu Lusato Mungu azidi kuwatumia.
Muhimu ni kuokoka na kumpa Yesu maisha ..
Mnaimba vizuri sema shida wanaoshika maiki wanafata nn mbele na wakati mbele kuna watu wanacheza ... Halafu punguzeni backvocal zinakuwa nyingi sana
Ahsante kwa ushauri
This has blessed me.
Blessed Family…🥳🤗
Duuh wanaringa sana
Munawez jaman najikuta nachez mwenyew hap
Lidya is goated ❤❤
Hu wimbo mkali sana
Nitakuja tena zoezn siku moja
mko vizuri sasa
jamen me pia nacheza huku nimelara
Amen amen, sasa mbona kanisa limewekewa X
Jiran ni kanisa la Roma ,pembeni Kuna kanisa la aic nyarugusu
watumixhi.wa MUNGU mnagonga uongo dhambi alaf mwalimu wenu ni Nan weken namba zake apo
Nipatieni namba za David/deusi
Couch vocal yupo vzuri, pia vocal yenu imetulia Sanaa, na nitoe pongez kwa masollo wote. 💯 100% karbu kwetu MPANDA MJINI mtumike pia na huku kuna vijana kwaya/revelation gospel choir tupo hapa Aic mpanda
@@TimotheoZakayoahsante sana mtumishi
Huyo kijana kwanini ana vaa tisheti tofauti na wengine na huyo wa kaunda suti sija penda wao kujitenga
Kwa hii hali narudi kujoin na vnc jmn nawapend saanaa
Karibu sana
Hatari
🔥🔥🙏🙏
Aya bana
jamn nmemc canaa
Very nice
Safi
Mavazi ya mwimbishaji naona hayajapendeza Kama za waimbaji wengine, soksi nk
Yaani wewe hausikilizi message ya nyimbo unaangalia mtu kavaaje unaonekana una character ya tamaa kemea hilo pepo na unatakiwa ubarikiwe na msg mengine achana nayo hakuna mtu yupo uchi hapo....usimuhuzunishe roho
Amen tunalifanyia kaz
Barikiwa kwa hiduma
Maua yenu
Kunarecord yake?
Hapana bado
Safi