Acha adabu yako wakutukana masheikh zetu,Mche Mungu sisi walitulea katika muongozo mzuri Kazi yake aliyoifanya wewe hata nusu ya theluthi hujaifikia Acha Ria na kibri msijafanye muwasafi kumbe ni mifano ya aliyefukuzwa peponi na Allaah kwa sababu ya Kibri na Ria
ماشاءالله المفتي اطال الله في عمرك
اللهم اغفر له وارحمه واسكنه في جنة نعيم
Innalilah wainalillah rajuun
Allah amsamehe makosa yake na kufa kwake iwe sababu ya kupungua kwa bidaaa na fitna zidi ya Ahlu sunna.
Allah.amrehemu.shehe.wetu.alikuwa.simba.kwa.mawahabi
Allah amsamehe makosa yake ikiwemo kueneza bodaa na uzushi hasa kuhimiza watu kusoma maulidi
Ww ni mmoja wa watu unayetakiwa kupelekwa mirembe
Acha adabu yako wakutukana masheikh zetu,Mche Mungu sisi walitulea katika muongozo mzuri
Kazi yake aliyoifanya wewe hata nusu ya theluthi hujaifikia
Acha Ria na kibri msijafanye muwasafi kumbe ni mifano ya aliyefukuzwa peponi na Allaah kwa sababu ya Kibri na Ria
Acha ujinga mpumbavu usifate ushabiki pambana na hali yako