Asalam alykum ndugu zangu waislamu.kwa majina naitwa Mariam Zahran Dina.nimeipenda historia ya shekhe Muhammed ayoub.me nipo zanzibar.naomba Namba yako ya CMU Kwa mawasiliano na maongezi Zaidi
INNALLILLAH WAINA ILLAIH RAJIUN Allah amfanyie wepesi katika safar yetu hii na ATUPE mwisho MWEMA YAARAB. Wanafunzi wa sheikh kuweni wenye kuipeleka mbele Dini WACHENI mizozo isiyokuwa na maana katika DINI. Bega kwa bega mpaka Firdaus
ENZI HIZO HAPAKUWA NA MAWAHABI MAANA KWA SASA ANGEONEKANA MJINGA HAFAI WALA HANA ELIMU MAWAHABI AKILI ZAO SIJUI ZIKOJE YAANI WAMEANISHWA KUWA WAO NDO WANAJUA KILAKITU ILA WENGINE WOOOOTE HAWAJUI KITU
Maashaa Allah sanad nzuri sana ,Allah amuhifadhi almarhum sheikh M Ayoub
Hiyo ndio sanad mzuri ya sheikh wetu MaashaAllah.
تغمده الله برحمته nijivunia kupita TAMTAna kupata walau moshi wake
Ahsante kwa taarifa nzuri ya uchambuzi wa kihistoria
Akhiy nawe MWENYEZI MUNGU ASIKUACHE KATIKA KUNDI LA WAJA WAKE ANAOWAPENDA KWA BARAKA ZAO AAMIIN
Allaah amrehemu shekhe wangu. Alikua akinipenda sana. Niko Oman 🇴🇲 lakini simsahau
Maashaallaah..
MashaLlah
MashaAllah
Mashaallah mzungumzaji ni fasaha sana.
Asalam alykum ndugu zangu waislamu.kwa majina naitwa Mariam Zahran Dina.nimeipenda historia ya shekhe Muhammed ayoub.me nipo zanzibar.naomba Namba yako ya CMU Kwa mawasiliano na maongezi Zaidi
Allah alifanye kaburi lake ni bustani miongoni mwa mabustani ya peponi.
قد مات قوم وما ماتت مكارمهم
وعاش قوم وهم بين الناس أموات
رضي الله عنه .. 🌹
Maaashaallaaah... Swadakta
Shukran Sana nimefurahi kwa tarehe hii mola akubariki sana
Shukran
Mungu amrehemu amueke pema peponi jina zuri la kwetu mnyanjani Shekh kannena wele wa mnyanjani watajua hilo neno
Allahumma ighifirahu warhamhu waskanahu filjannah
Allaahumma aamin
Allahumma ighifirahu warhamhu waskanahu filjannah
Amyn
INNALLILLAH WAINA ILLAIH RAJIUN Allah amfanyie wepesi katika safar yetu hii na ATUPE mwisho MWEMA YAARAB. Wanafunzi wa sheikh kuweni wenye kuipeleka mbele Dini WACHENI mizozo isiyokuwa na maana katika DINI. Bega kwa bega mpaka Firdaus
Aaamiin yaa Rabbi
Mungu amrehem shekhe wetu na afanye kaburi yake kuwa viwanja vya peponi amin isnaallah
Aamin yaa Rabbi
Shukran Sana sheikh
Mashaallah alla amuondeshee kiza ktk kabri yake
allah akuhifadhi uzidi kutupa ilimu
Maashaallaah
jazakallahu khayran
Aaaamiiin
بارك الله فيك
Mashallah
Shukran
اللهم اغفرله وارحمه واسكنه في الجنة
Aaamin
Kaka mungu akujaarie Mana unaturisha Sana neno la mungu
Aaamiin aaamin
naomba historia ya muasisi wa mahawa na muasisi wa zahrau
Wa kwanza
😆😆😆 hongera mzeee💪
Wanavyooni wengi wamepitia kwa sheikh Ayoub na ukiwaona aliowasomesha ni mashikh wakubwa
Nikweli mkuu
Kaswida za tamtaa deeii
اللهم اغفرله وارحمه واسكنه في الجنة
Tunaomba historia ya shekh Shaban Mohammed harir muasis wa maawal islam
Inshaallaah. Tutaifuatilia sheikh
Kasida yangu ipo hapo makao makuu. ان نجا مجتلاء × في ذالهدي
isisahaulike kuwa Tamta ni chuo cha Masufi.Haifai Kusoma hapo.
Allah awaongoze.
ENZI HIZO HAPAKUWA NA MAWAHABI MAANA KWA SASA ANGEONEKANA MJINGA HAFAI WALA HANA ELIMU
MAWAHABI AKILI ZAO SIJUI ZIKOJE YAANI WAMEANISHWA KUWA WAO NDO WANAJUA KILAKITU ILA WENGINE WOOOOTE HAWAJUI KITU
Mbona kidevu umekikwangua sasa😂😂