Ni Imani yangu kwamba miongoni mwenu ni Malaika watakatifu wa Mungu hata ndio twasikia kupitia kwenu sauti zao. Utukufu wote kwa Bwana wetu Muumba wa vyote juu ya mbingu na nchi. Kwa mazingira mliochagua kuuimba huu wimbo ni kwa Utukufu wa Bwana mbali na, soma Mwanzo 11:3,4. Naendelea kuwaweka katika maombi nikitumainia ya kwamba Yesu akizuka hivi karibuni zote tutamkaribisha mawinguni tukiimba wimbo wa ushindi was Musa na Mwana kondoo ufunuo 22:7,12 ;15:2,3.
Eiii, huu wimbo mliketi kitako, mkautunza vilivyo.. na sasa ni kubarikiwa tu. God bless you. I repeated this song at my place of work. I can`t tell the feeling I had in my heart. Asanteni sana, na msonge mbele zaidi.
Mungu awabariki sana wanasongambele kwa nyimbo zenu zinazobariki. Hakika wimbo huu unaniguza sana kwa kuwa unazungumzia UKUU WA MUNGU kupitia kitabu cha Ayubu. Mtunzi wa wimbo huu Mungu akubariki na akuzidishie Neema yake hadi viwango vya juu vya imani hadi utimilifu wa utukufu wake nanyi waimbaji Mungu awaongoze ili mueze kuimba kwa Roho pia na ufahamu.Hakika Hakuna Mungu mwingine. Bado Anatawala. Mbarikiwe sana🇰🇪
Yani huu wimbo mmetandika....Amina sana
Ooooh Hallelujah 🙏🏾🙏🏾🙏🏾,HAKUNA KAMA MUNGU KWA HAKIKA
I leave my comment here,whoever will watch this song,listen to the message from this song,like subscribe and be blessed🙏
Si Kwa nje tu
Wonderful and awesome song!! Indeed,we cannot compare human being with God.❤
may god bless you songa mbele choir nawapenda sana baraka tele
Mmeamua kunitoa nje niende kanisa kesho mungu awe nayi 🙏
Amin Mungu akutunze katik kanisa lake
Mbarikiwe wapendwa Mungu awape nguvu na uwezo
Amen Amen napenda nyimbo zenu sana❤
Wimbo mzuri sana 🎉🎉🎉 mungu azidi kuwapa nguvu
MUNGU azidi kuwapa nguvu ya kumtumikia Yeye peke yake nyimbo zenu zinanibarki sana
Ni Imani yangu kwamba miongoni mwenu ni Malaika watakatifu wa Mungu hata ndio twasikia kupitia kwenu sauti zao. Utukufu wote kwa Bwana wetu Muumba wa vyote juu ya mbingu na nchi. Kwa mazingira mliochagua kuuimba huu wimbo ni kwa Utukufu wa Bwana mbali na, soma Mwanzo 11:3,4.
Naendelea kuwaweka katika maombi nikitumainia ya kwamba Yesu akizuka hivi karibuni zote tutamkaribisha mawinguni tukiimba wimbo wa ushindi was Musa na Mwana kondoo ufunuo 22:7,12 ;15:2,3.
AMEN
Ayubu anashangaaa hakika bwana ni mkuuu mbarikiwe sana Songa mbele
Mko sawa❤
Kwaya makini sana... Mbarikiwe
Nimebarikiwa Tele na nyimbo zenu. Mungu awabariki maradufu. Elder Oyaro
God bless your voices
Mungu awabariki msonge mbele
Hii kwaya kweli uimba nyimbo tamu saba..nskumbuka makambi 2019MATHARE NORTH (KENYA)
I'm really blessed! Barikiwa sana wana na binti za mfalme!
Jmn songmbele Never dissapoint Siez elezea nawapendaa sanaa. My best choirrr always❤❤❤
You've been a blessing to my family, continue spreading the gospel, especially end time messages.
Mungu azidi kuwainua Wanasongambele. Nawapenda sana buru. Nguvu hiyo jamani daaaa!! Bwana apewe sifa. Ila naomba mawasiano wenu jamani
No other God, except Heavenly Father..My God. Ndiye mtawala. Amina...❤❤❤❤
Waoooooooohhhhh nice choir mbarikiwe watoto wa baba
Nafurahshwa sana na nyimbo zenu BWANA awatumie zaidi tubarkiwe kupitia nyimbo hizi
Mmpendeza waimbaji mbalikiwe mno
Nawaombea sana Mungu wimbo mtaimba next to this one huwe juu ya ufunuo 15:2,3 "wimbo wa Musa na Mwana kondoo." Mbarikiwe sana.
My best choir in Tanzaniaa mnaimbaa sanaa🎉🎉
Amen
Great song.Mungu awabariki sana wanakwaya wa Songa Mbele.Looking forward to see you at Mathare North camp meeting.
Muonekano wenu unamtukuza MUNGU mana hamshindani na dunia hii mubarikiwe sna
Imenibariki mzidi kubarikiwa songambele muende mbali zaidi
IM BLESSED HERE IN THE UK 🇬🇧
AMEN 🙏 I’m from Zimbabwe 🇿🇼
Songa mbele to the world,,you remain my favourite
Hope to see you in Saika Central again
Mmbarikwe Sana watu wa Mungu nawapenda Sana endeleen kumsifu Mungu tunabarikiwa Sana na nyimbo zenu siku zote
Napenda kwaya hii sana.nyimbo zao ubeba mambo mazito.mbarikiwe zaidi
Nimeusikiza huu wimbo toka Nairobi hadi nyumbani kisii🙏💯✅
Ronny from south Africa I'm always blessed with your songs..full of messages and with high energy
Eiii, huu wimbo mliketi kitako, mkautunza vilivyo.. na sasa ni kubarikiwa tu. God bless you. I repeated this song at my place of work. I can`t tell the feeling I had in my heart. Asanteni sana, na msonge mbele zaidi.
The way i love Tanzanian SDA Choirs! May God continue blessing Tanzania.
My favorite choir
Ameeen Mungu wa mbinguni awabariki awazidishie afya njema mzidi kumtumikia hapa duniani na awapatie Neema ya kuurithi uzima wa milele
God bless you songa mbele
Haleluya haleluya haleluya mbarikiwe duniani na mbiguni hakika mnanibariki
Wimbo mzuri sana ,msalimie Sharon my classmate
Wimbo mzuri ajabu
Kombea Rafiki Yangu nabarikiwa salimiana Asante sana.
Wimbo huu unaniguza Rohoni nikiwa Nairobi, Kenya. Mungu azidi kuwabariki
You are doing great job, spreading end time gospel and close of probation, may God continue using you to reach as many as possible, 🙏 🙏 🙏
Hallelujah hallelujah hallelujah,hakika hakuna mwingine kama MUNGU.
Mbarikiwe sana. watoto wa Mungu
Aminaa bwana asifiwe songambele nawapenda Sana
Guys mtunzi wa nyimbo za hawa jamaa 🙌🙌 Mungu aendelee kumbariki na kumtumia
Nawapenda sana
Mungu awabariki sana wanasongambele kwa nyimbo zenu zinazobariki. Hakika wimbo huu unaniguza sana kwa kuwa unazungumzia UKUU WA MUNGU kupitia kitabu cha Ayubu. Mtunzi wa wimbo huu Mungu akubariki na akuzidishie Neema yake hadi viwango vya juu vya imani hadi utimilifu wa utukufu wake nanyi waimbaji Mungu awaongoze ili mueze kuimba kwa Roho pia na ufahamu.Hakika Hakuna Mungu mwingine. Bado Anatawala. Mbarikiwe sana🇰🇪
Songambele my real heart their songs are the best
Nabrikiwa sana be blessed ❤️
You pple can sing! Clean vocals. I know God is happy with your worship!! Songa mbele hadi mwisho wa dahari
Amen wimbo mzuri sana
❤❤❤Amina
Wimbo mzuri xanaa barikiwenii xanaa na Bwana
Hakuna mwigne kama Mungu❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Niwatietumoyo katikauimbaji wenumkawavutewenu❤❤❤❤❤
Mbarikiwe na Bwana kwa kazi nzuri
Please any link that one can access to you through fon contact
Mumenibari Mungu awape nguvu yakusonga mbele
Here in Uganda enjoying the melody
Amen I feel blessed as a singer this is a challenge 🙏
Kazi nzurinsana Mungu wetu wa mbinguni awabariki sana na injili isonge mbele
Wimbo mzuri.mbarikiwe.
Atukuzwe Mungu kwa vipawa alivyowapatia. Bwana awabariki sana kwa kukubali kutumika
Amen wapendwa mbarikiwe..
Amina Mabarikiwe watu wa Mungu
It's. Song.that up lift soul
Powerful piece. Great poetry. Amen 🎉
Napenda sana nyimbo zenu, Mungu atukuzwe
Barikiweni sana kwa ujumbe mzuri nafurahia nyimbo zunu kabisa ni joseph kutoka meru kenya.
Nyimbo zilizo na upangilio safi
We always listen to your songs throughout, coz they are a rejuvenation to our hearts, be blessed.
Nous vous souhaitons un bon avancement, mungu Awa bariki
Dunia imeingia kanisani. Lakini hongereni Wasabato kwa kujitahidi kuihifadhi sura ya Utakatifu angalau kwa nje. Mungu awabariki sana.
Mubarikiwe saana
Amina mbarikiwe mno
Mungu awabaliki 🎉🎉❤❤
Barikiweni sana
Let almighty God bless you so much
Weka no tupate mawasiliano tuwaalike mkuje mtubariki
Ameen nmebarikiwa sana
The vocals on another level 👌
Mungu awabariki sana
endeleeni kuvaa hivo hivyo kwa heshima ya nyimbozenu.
Mungu azidi kuwainua
Amina.... barikiweni
What a song!
Keep on praising the Lord.
Wow,so inspiring
😢😢😢😢😢😢😢😢
Very inspiring... ❤
Be blessed abundantly
Mubarikiwe
Baraka tele
Be blessed my fellow Christians