Zuchu - Mama (Official Lyric Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 дек 2024

Комментарии • 382

  • @ZaiZainabu-o4p
    @ZaiZainabu-o4p 6 дней назад +64

    I love you Momo utae soma comment hii mung awape maisha marefu mama zetu nakuwapa afya nafuralah ❤❤❤❤🎉

  • @officialreyclassic1873
    @officialreyclassic1873 6 дней назад +159

    Jamani anaependa mamaake like hapa

    • @Changarikajr-c5b
      @Changarikajr-c5b 6 дней назад

      Martha mwaipaja typing🖋🖋🖋

    • @Zuu673
      @Zuu673 6 дней назад

      ​@@Changarikajr-c5b😂😂😂😂 mbwa wewe

    • @YoungNyeratz-iw2cb
      @YoungNyeratz-iw2cb 6 дней назад

      Mm simpend mama yangu ni comment wap

    • @Zuu673
      @Zuu673 6 дней назад

      @@YoungNyeratz-iw2cb kwann?

    • @Changarikajr-c5b
      @Changarikajr-c5b 5 дней назад +1

      @@Zuu673 🤣🤣🤣

  • @traviegrey3434
    @traviegrey3434 6 дней назад +31

    Umeimba Kwa hisia sana...I wish this holiday nngekua kua Kwa Mama🥺🥺

  • @FilbertKakiko
    @FilbertKakiko 6 дней назад +33

    SHOUT OUT TO ALL MOTHERS Thank you zuchu for this ❤❤❤

  • @ritasamuel4684
    @ritasamuel4684 6 дней назад +30

    Zuchu😩This song got me emotional.My Mom🥹 Mapenzi yake ya dhati, I love you Mama❤I wish angekua nimtumie this song, I miss you Moma❤❤❤

  • @Changarikajr-c5b
    @Changarikajr-c5b 6 дней назад +16

    Mwaipaja akisiliza ubeti wa pili ulivyobeba ujumbe mzur bas Mungu atatenda jambo🙏

  • @elmago_
    @elmago_ 6 дней назад +12

    Mwenyezi mungu awatunze mama zetu...Ameen 🙏🤍

  • @DangerMusictz-n5c
    @DangerMusictz-n5c 6 дней назад +17

    Zuchu wewe ndio msanii wakike ambae auna malingo pia unajuwa sana dada yangu ila please angalia nawadogo zako wanao angaika nakipaji kama chako japo wachachetu uwasaidie

    • @QuinCelinefans
      @QuinCelinefans 5 дней назад

      Who helped her they will come out by themselves insha'Allah hardwork pays

    • @RabiaWahadh
      @RabiaWahadh 5 дней назад

      🔥🔥🔥 Zuch 💯🔥🔥

  • @RoyAshuma
    @RoyAshuma 5 дней назад +6

    Ninafuraha kwa kua Zuchu amempa lizer Nafasi...lizer Kapiga beat nomaa... Zuchu Kenya Tunakukubali♥️♥️♥️♥️🇰🇪🇰🇪

  • @dieudonnebigirimana8083
    @dieudonnebigirimana8083 5 дней назад +11

    Nyimbo hii inanifurahisha mpaka natoa machozi 😭😭😭
    Bas zuchu ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
    From 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @vickynyakio7346
    @vickynyakio7346 6 дней назад +9

    Aki hadi nimelia...i love my mama so much...Thanks to God for our Parents ❤❤❤❤

  • @Stellah-i6v
    @Stellah-i6v 6 дней назад +22

    Much love from Kenya,,, mnaopenda mama zenu like apa jamani

  • @Harexo
    @Harexo 5 дней назад +19

    Hivi we zuhura unatuchukuliaje kweli. Yani hâta kompa moja kweli utunyime😭💔

  • @Mwaminiomar
    @Mwaminiomar 6 дней назад +11

    Nyimbo yangu pendwa kiukweli❤❤❤❤❤,I love you mama

  • @Justin_Nano
    @Justin_Nano 6 дней назад +12

    Mama zuchu nakupenda sana❤🎉🎉 nawatakia mwaka mwema 💓💓 Sina Kya kuwalipa zaidi heri Christmas 🎁🎄 njema na new year

  • @AhmedAli-bh1mn
    @AhmedAli-bh1mn 6 дней назад +15

    Nakupenda sana zuchu wetu❤❤❤❤ 🇧🇮✌️✌️

  • @aminamzuzuri5621
    @aminamzuzuri5621 5 дней назад +9

    Huu wimbo utaliza wengi zuchu unajua

  • @amodaneissaamir2830
    @amodaneissaamir2830 6 дней назад +7

    Mama popote ulipo nakupenda sana😢ailavio mamangu❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️🙌🙌🙌🙌🙌

  • @theballosm
    @theballosm 6 дней назад +12

    The best album 2024 tz❤❤❤ im tell you guy's

  • @lovarbicard4378
    @lovarbicard4378 6 дней назад +3

    Maman Mungu akulinde akuzidishiye tena maisha ni lovar bicard nataka liké kama unamupenda mamako🎉🎉🎉🎉

  • @evolution1381
    @evolution1381 6 дней назад +28

    Kama Mungu amekubaliki uzima like hapa

  • @MachomachoTegh
    @MachomachoTegh 5 дней назад +9

    ❤❤❤ I love 💕💕 mama. Mama ni mama

  • @MustaphaSwai
    @MustaphaSwai 5 дней назад +4

    ❤❤❤❤❤❤❤❤
    Bonge la ngoma kwa ajili ya mama Mama mama

  • @lastybaby
    @lastybaby 6 дней назад +4

    yani wimbo na utamu wake...much love from kenya

  • @DorinaAzia
    @DorinaAzia 4 дня назад +3

    Akuna nyimbo mbaya kwa zuchu kiukweri upewe mauwa yako 🌟🌟🌟

  • @mariamree2972
    @mariamree2972 День назад

    I wish angekuwa hai nimtumie huu wimbo😢😢....jamani Mama nakupenda sana en i miss you soo much my darling Mom 💖....May Allah grant you janna tul firdaus🙏

  • @LIZAHJOEL
    @LIZAHJOEL 2 дня назад +1

    Mum is the most popular person in the world take care of her as she took care of you ❤ MUM I LOVE YOU😢 NIPE LIKE HAPA

  • @Ar_rajul
    @Ar_rajul 6 дней назад +15

    If you still love your momma even though she's 6 feet under the ground...😥😥

  • @MichaelSpearsJr
    @MichaelSpearsJr 6 дней назад +6

    I actually had a plan of featuring Zuchu on my previous release, unfortunately we couldn't reach her, I believed that with just her vocals, the track was gonna be a hit. You're a shining star✨️ 💛 0:16

  • @elizabethmlangwa550
    @elizabethmlangwa550 5 дней назад +10

    Hii ni ya kufungia mwaka 2024❤

  • @PatimaMakame-g5u
    @PatimaMakame-g5u 5 дней назад +2

    Mungu akubarikizuchu aaah moyo unafrahia kuona unafanya kazinzur mashallah nakupenda san zuchuu

  • @tomaramadhan1742
    @tomaramadhan1742 2 дня назад

    Mama Nakupenda Sana mwenyezi mungu Akuweke mahali pema peponi🤲🤲🤲

  • @Sunflower001-xt3ou
    @Sunflower001-xt3ou 6 дней назад +4

    Shout out to all mothers

  • @NGAIZATV
    @NGAIZATV 6 дней назад +20

    THE BEST ALBUM LIKES ZA ZUCHU 🇹🇿🇹🇿🇹🇿📌📌

  • @Aisharayssan
    @Aisharayssan 5 дней назад +1

    It's indeed peace and money oyaa eeh I don't care bwana ni mwendo wa kusaka hela maneno mengi waachie wahenga too much hate turns to love u got it if you don't get it forget about it 🙌

  • @AnnoyedMarsh-is4nr
    @AnnoyedMarsh-is4nr 2 дня назад

    I love momy ❤❤ ahsanteeee sanaa dada zuhura kwa wimbo mzurii

  • @dorcusmushi7613
    @dorcusmushi7613 12 часов назад

    Asante zuchu kutambua thamani ya mama Mungu akutunze

  • @mohamedlopa8410
    @mohamedlopa8410 6 дней назад +8

    Utakayesoma hii comment mungu akupe hitaji la moyo wako 🤲🤲🤲🤲💫💫💫💫💫💫🤲🤲🤲🤲🤲🤲💫💫💫💫🤲🤲🤲🤲💫💫

  • @NeemaOmari-h2j
    @NeemaOmari-h2j 6 дней назад +6

    I love you ❤ mama

  • @JellyRuba2022
    @JellyRuba2022 3 дня назад

    Kiukweli mama yangu nampenda sana koz alinizaa kama baraka ya kweli🙏

  • @panchovalentino3576
    @panchovalentino3576 6 дней назад +4

    Hii Nyimbo Kali Kali Kali SANA 🎶🎼🎵🔊✔️✔️💯🔥#MAMA

  • @dimidoleva7503
    @dimidoleva7503 4 дня назад +1

    My mama passed away 10 days ago😢 This song helps me ease the pain. Mama is my hero, I love you Mama. ❤ Nakupenda sana. I know you look down to us with warmth and care.I hug you, I bow to you.

  • @ChristopherKayombo-o5m
    @ChristopherKayombo-o5m 6 дней назад +3

    Basii adija kopa aje atie makopa hapaaa🎉❤❤

  • @JLMEDIA-35
    @JLMEDIA-35 6 дней назад +8

    Zuchu nakupenda pia ❤❤❤

  • @sixbatan
    @sixbatan 6 дней назад +11

    Mnipe like zangu nasikiliza huu wimbo nikiwa Tokyo,Japan 🇯🇵

  • @nataliaserapiao1408
    @nataliaserapiao1408 5 дней назад +1

    Yes my girl love you Mother you’re blessing pour like tsunami!!❤❤❤❤👏❤️❤️🌹this album is dope!!🌹🌹🌹🌹🌹🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙏🏼

  • @agbordorothy4901
    @agbordorothy4901 6 дней назад +4

    Zuchu has touched all ❤❤❤❤UK 🇬🇧

  • @MamaVicent
    @MamaVicent 4 дня назад

    Nakupend Sana zuchu kwa kuwakumbusha watu nampend San mama na baba kuliko mtu yoyote

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 6 дней назад +8

    Zu chu chu chu ❤❤❤

  • @CatherineEmmanuel-r9m
    @CatherineEmmanuel-r9m 4 дня назад

    Love
    Mom
    So
    Much
    Mungu
    Akupe
    Maisha
    Marefu

  • @Glory_Ade
    @Glory_Ade 6 дней назад +2

    Jamani nakupenda mama yangu😭❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @FOREVERofficiel
    @FOREVERofficiel 5 дней назад +4

    I love my mother❤❤ too life

  • @AnnahMwingira
    @AnnahMwingira 4 дня назад

    Lots of love to mama ujakosea dada yangu zuch

  • @peacelove2109
    @peacelove2109 5 дней назад +2

    Huu wimbo kanitoa machooooziiiii

  • @LukaiyaMuhamedi
    @LukaiyaMuhamedi 5 дней назад +3

    Nakupenda mama yangu ❤❤❤❤

  • @mvmezerosamira3960
    @mvmezerosamira3960 4 дня назад

    Queen Zuchu hunaga baya napenda mashairi yako. Mama siku zote❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉

  • @khamisshee803
    @khamisshee803 5 дней назад +2

    🔥🔥🔥
    AKA BACHUCHU MOMBASA 001
    🇰🇪+254🇰🇪

  • @Sammy-yg8lk
    @Sammy-yg8lk 4 дня назад

    Zuchu kwakweli hiyo nyimbo siko sawa sana❤❤❤

  • @imuworldtz
    @imuworldtz 3 дня назад

    Zuchu inatosha sasa mama.....Wenzako watakosa vya kuimba.

  • @RashidSunuku
    @RashidSunuku 5 дней назад +5

    Hii nayo ni nzuri

  • @KidalosMafumbula
    @KidalosMafumbula 6 дней назад +2

    Wa kongomani muko wapi tujuwane kwa like zenu APA kama una mupenda zuchu 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇧🇮🇧🇮

  • @RayChausa-g6m
    @RayChausa-g6m 4 дня назад

    ❤❤❤❤Kitu kimenyooka❤hii ndio nyimbo yangu pendwa❤

  • @JanethAluto
    @JanethAluto 2 дня назад

    Duuh Zuchu umenifanya nmetoa machozi natamani angekuwa hai hlf ningemuwekea huu wimbo

  • @yusfamohammed5181
    @yusfamohammed5181 6 дней назад +5

    Lov uh zuchu since day 1❤

  • @hamidamtewele4821
    @hamidamtewele4821 6 дней назад +7

    Mama angu i miss her😭

  • @Morphinekerubo
    @Morphinekerubo 6 дней назад +2

    Mama MTU wa maana

  • @neymarjrthevinch9872
    @neymarjrthevinch9872 5 дней назад +5

    2namaliz mwak n burudan huk jaman ka unamkubal zuch drop like

  • @Glory_Ade
    @Glory_Ade 6 дней назад +1

    Nikulipe nini mimi mama❤😭

  • @amodaneissaamir2830
    @amodaneissaamir2830 6 дней назад +1

    🎉🎉🎉🎉💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾💃🏾zuchu ww kibokooo🙌🙌🙌🙌🙌

  • @OtiOtiUleMchelsea
    @OtiOtiUleMchelsea 11 часов назад +1

    Naipenda lakini sipewi jamani
    @Zuchu hii imeweza naikubali 💯💯

  • @beatricenjambi5695
    @beatricenjambi5695 6 дней назад +2

    I love you mum❤❤❤

  • @robertmigabe8721
    @robertmigabe8721 5 дней назад

    Mama kama mama aki duniani akuna mtu nampenda kuliko mama angu

  • @Zuu673
    @Zuu673 6 дней назад +9

    😢dah nimejikuta nalia sana we zuchu 😢😢😢

  • @negoboy002
    @negoboy002 6 дней назад +4

    Wakumi na 5😢 sijachelewa ❤❤❤😂

  • @muliendani1396
    @muliendani1396 3 дня назад

    Mungu hakulinde mama yangu ❤mie love you 😘

  • @JellyRuba2022
    @JellyRuba2022 3 дня назад

    UKOO WA WASAFI YAANI USAFINI ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @abdallahmindika1641
    @abdallahmindika1641 2 дня назад

    Umetuliza wengi na hap ndio mama zetu baadh wapo hai na tunalia sas wakiend mbele za haki duuuj😢😢😢😢😢😢 tupambane kuwasaidia wazaz wetu kam bado wapo hai kwakwel

  • @Emily-k98
    @Emily-k98 2 дня назад

    Mom is mom hata iweje hawezi kukuacha kirahisi ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤kama mama ako yuko hai kwa sasa niwekee hata like moja kwa kushukulu MUNGU mwenzenu hapa amatanglia ila nina imani huko alipo ananiskia😢😢😢❤❤❤❤❤

  • @tausimbulumi503
    @tausimbulumi503 4 дня назад

    Mama i love you mam nakupenda sana 💔

  • @wakahare9271
    @wakahare9271 6 дней назад

    Best song in the Album. Izo ngoma zingine bado haiwezi fikia iii .

  • @Glory_Ade
    @Glory_Ade 5 дней назад

    Dear mama, Asante😭😍❤️

  • @SimonKatemi
    @SimonKatemi 5 дней назад

    Ananikumbusha Namba Mama alivyo take Care of me

  • @JosephMumuza
    @JosephMumuza 4 дня назад

    Maman wanguama nakupenda❤❤❤

  • @MaluuEver
    @MaluuEver 5 дней назад +1

    Kweli umenipa nyimbo ya mama eka like

  • @victoriaedfonss727
    @victoriaedfonss727 5 дней назад

    Yan da zuuu huu wimbo upewe maua yake❤❤ love you my mom

  • @tabithatriza372
    @tabithatriza372 5 дней назад +1

    Special dedication to all mothers

  • @chutney1173
    @chutney1173 6 дней назад +1

    ZUCHU YOU ARE THE BEST 🙌🏾

  • @MarcelKipushikaronda-q2d
    @MarcelKipushikaronda-q2d 5 дней назад

    Oooh mama nakutakia maisha marefu

  • @AudryArakaza
    @AudryArakaza 5 дней назад

    mama i love you mam wherever you are make sure i still remember you

  • @FahadAli-ni5eu
    @FahadAli-ni5eu 6 дней назад

    Tunakupenda donge ndio kwa mama

  • @winfridashirima4579
    @winfridashirima4579 4 дня назад +2

    I love you momy pumzika kwa amani kipenzi changu 😭😭😭😭😭😭😭

  • @BrendaSevern-d3j
    @BrendaSevern-d3j 2 дня назад

    Mungu hape maish marefu

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 6 дней назад +1

    Mashaallah ukhty Zuhura

  • @happinesspascalnyambita8426
    @happinesspascalnyambita8426 5 дней назад +1

    Tusio na mama njooni tubembelezane😭😭

  • @aishunishuni1687
    @aishunishuni1687 5 дней назад +1

    Nakupenda mama❤❤❤

  • @DoreenKemuma-i5k
    @DoreenKemuma-i5k 6 дней назад +2

    mama nakupenda

  • @shaibchat8054
    @shaibchat8054 6 дней назад +1

    Kuubababakee zuchu ni balaaa mtot huyu

  • @MarylineAgesa-vv9mg
    @MarylineAgesa-vv9mg 5 дней назад

    mamaaaa nakupenda ❤️❤️

  • @achatafereche7287
    @achatafereche7287 5 дней назад

    Machallah merci beaucoup Zuchu wangu france Marseille ❤❤❤❤

  • @cndeboe11
    @cndeboe11 6 дней назад +1

    Mimi wapili ❤❤❤