Asante Dr. Moses Kulola: Asante Mwl. Mwakasege

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Pepere:fumbuamacholeo@gmail.com

Комментарии • 33

  • @ThobiasMarandu
    @ThobiasMarandu 3 года назад +2

    Huo Ni Ukweli Kabisa, I really Respect Mwalimu Mwakasege na Marehemu Dr, Moses Kulola. Wengine Ni Wilfred Ufwinki, Aaron Mabondo RIP Few More

  • @johnvascogodfrey7070
    @johnvascogodfrey7070 3 года назад +2

    Hapa nimekuelewa Sana Bishop

  • @adamsonkyando682
    @adamsonkyando682 3 года назад +1

    Ni kweli kabisa Hilo umenena wanajutahidi sana kujiwekea chumvi kuwa nzuri siku zote

  • @adamsonkyando682
    @adamsonkyando682 3 года назад

    Pia mtumishi wa Mungu kila mtu na wito alio itiwa karama Mungu hakuweka moja valu kila mmoja alimoa alicyovtaka yaye

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 года назад +2

    Asante Mzee fumbua macho. 🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌✌

  • @MariamAden-u3t
    @MariamAden-u3t 3 месяца назад

    Amen ni ukweli kabisa usiopingika

  • @lwihurazakayo3864
    @lwihurazakayo3864 3 года назад

    Nakubali, kanisa la "Kwa Nnema" ni kwa ajili ya Wana wa Mungu si la dhehebu fulani.

  • @upendoeliudi5196
    @upendoeliudi5196 3 года назад

    Aminaa

  • @tag-mlandegebethlehemchurc1146
    @tag-mlandegebethlehemchurc1146 3 года назад

    Kwanza Pastor una sauti nzuri

  • @duniamapitosotewamungu3467
    @duniamapitosotewamungu3467 3 года назад

    Respect brother God bless you

  • @raphaelshan4905
    @raphaelshan4905 3 года назад +1

    Amen! bishop.

  • @samsonezekiel5239
    @samsonezekiel5239 3 года назад

    Kweli kabisa wawili hao nawaelewAaaa

  • @ngalulabutungo9660
    @ngalulabutungo9660 3 года назад

    Amen bishop

  • @erickkambula3558
    @erickkambula3558 3 года назад

    Ubarikiwe

  • @sosthenesmaemba
    @sosthenesmaemba 3 года назад

    Amen Amen Amen

  • @warakawayohana2896
    @warakawayohana2896 3 года назад

    Hayo ndio mambo mazuri yakutueleza

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  3 года назад

      Kama kuna usiyoyapenda kwa nini usiyatafute kwingineko? Channel hii ni ya kwangu na ninafanya nipendavyo bila kutafuta ushauri mtazamaji. Nadhani unajua vipindi vya TV ni maamuzi ya wenye TV na hawapangiwi cha kurusha na watazamaji.

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 3 года назад +1

      @@bishopaugustinempemba4561 Sawa bwana mkubwa endelea kipindi ni chako tv ni yako lkn tumechagua kutochajwa chanjo zenu tunazo zetu za asili

    • @bishopaugustinempemba4561
      @bishopaugustinempemba4561  3 года назад

      @@warakawayohana2896 Hata Yesu alihubiri tu Injili na hakuwalazimisha watu kuokoka. Kuchanja ni hiari. Usisahau hilo

    • @warakawayohana2896
      @warakawayohana2896 3 года назад

      @@bishopaugustinempemba4561 Hapo umejibu vyema ni HIARI

  • @healingclinic978
    @healingclinic978 3 года назад

    Bishop kwanini huduma tano hazipo kwenye kanisa?

  • @frankmtei3017
    @frankmtei3017 3 года назад

    Ameen!!!

  • @janetybubegwa5272
    @janetybubegwa5272 3 года назад

    Amina

  • @boazmwaipungu8989
    @boazmwaipungu8989 3 года назад

    Sure 💯

  • @izackmwanahapa2015
    @izackmwanahapa2015 3 года назад

    Amen

  • @bennyjohn1412
    @bennyjohn1412 3 года назад

    Wewe ujuwi uko wapi

  • @bennyjohn1412
    @bennyjohn1412 3 года назад

    Wewe unapenda Sana mediya

  • @drsumatz7539
    @drsumatz7539 3 года назад

    Jiwe gizani ila limewakuta 😀😀😀

  • @bennyjohn1412
    @bennyjohn1412 3 года назад

    Wewe je umejifunza nini

  • @bennyjohn1412
    @bennyjohn1412 3 года назад

    Muongo wewe aupo kabisa

    • @jjrussell081
      @jjrussell081 3 года назад

      Umegusa eeehh, endelea kuongeza comments. Upload video zako na wewe upate views.

  • @bennyjohn1412
    @bennyjohn1412 3 года назад

    Mnafiki mkubwa sana

  • @abisairobert5098
    @abisairobert5098 3 года назад

    Amen