Ameen mtumishi mm huku niliembali tunabarikiwa kwa Imani tuu maana hata niki kuchukua mawasiliano napokelewaa na watu wengine lakin hatupati nafas ya kukupata mtumish lakini tunakupenda sana na tunatoa Sadaka nikiamin zinakufikia mtumish wa mungu
Nabarikiwa sana sana na maombi yako kuna sehemu December yalinivusha nilipita pagumu ila kwa kukusikiliza wewe kwa RUclips nilibarikiwa sana,,niko Netherlands
Pastor umebeba future za wengi,,Mungu akutumie zaidi ,be blessed the son of God
Wee baba unahubiri vizuri mnoo Yani unachambua kimojakimoja nmekuelewa sana🎉
That man is a true definition of man of God..may the Lord do him good❤
Tangia nianze kuskiza pastor kapola wallahi amekuwa baraka kwangu mungu akubariki na akulinde
Mungu naakubariki NASA Kwa huduma yako Kwangu imenieniwa sana kiroho
Mtumishi wa Mungu Mimi ni mara ya Kwanza kukuangalia na nimependa Sana jinsi unafundisha natamani siku moja nikutane nawe tu Kwa ushauri na maombi
SoMo zuri sana!!Imani chanzo chake ni kusikia na kusikia uja kwa neno la Mungu
Huwa nafarijika sanaaa nikimsikiliza paster huyu
Like your proverbs. Stay blessed
Amen 🙏 nakusikiza nikiwa Kenya
Nimebarikiwa sana 🇰🇪
I love this man of GOD I'm from Kenya
I think us all Kenyans should gather and visit him, he's a father to many Kenyan💯
Mungu akubariki sana mtu wa Mungu. Natamani kukuona ila mageti ni mengi, pia ramani inanipotea.
Nakupenda mtumishi wa mungu kwa kwli wafundish sana tena san
Neno la mungu nikubwa Sana hata likiguswa msitali mmoja tu linasisimwa
, indeed i love the massage may God bless you pastor nafarijika sana from Kenya
God bless pastor tony
Ubarikiwe sana mchungaji Antony kaponyi kwa mahubr mazr
😂😂😂
Mungu akubariki mtumishi
Amina
Mtumish wa Mungu ubarikiwe Sana maafundisho yako Yana tubarikia mna
So blessing massage. IMANI YANGU IKO WAPI?
Pastor strong nakupenda unaubili yalio kweli una future hatar
Ameen mtumishi mm huku niliembali tunabarikiwa kwa Imani tuu maana hata niki kuchukua mawasiliano napokelewaa na watu wengine lakin hatupati nafas ya kukupata mtumish lakini tunakupenda sana na tunatoa Sadaka nikiamin zinakufikia mtumish wa mungu
Naomba za Sayaka zina majina mangapi Zaid za majina.ya Tony kapola na neema mke wa pastor?
Kiukwel pastor unanibariki sana
Balikiwa sana mtumishi wa Mungu.
Barikiwa sana
A good teacher indeed 🙏
Watching from kenya roverside been blessed by the word .
God bless u more my pastor
Nakuelewa sana pastor ubarikiwe sana,,
Nakuelewa sana mchungaji ubarikiwe mno
Sijaenda ibadani but am blessed with this
Amenn❤️
@Pastor tony Kopala you're a thief... You're not Pastor Tony Kapola
Uko vizuri mchungaji
❤❤🙏🏿🙏🏿🙏
Nabarikiwa sana sana na maombi yako kuna sehemu December yalinivusha nilipita pagumu ila kwa kukusikiliza wewe kwa RUclips nilibarikiwa sana,,niko Netherlands
Gbg u
Il
🙏🙏
Mungu akubariki Sana
Ameni mtumishi wangu unanijenga kiimani🙏
🌹🌹 perfect preaching
Sichoki kukusikiza. Maarifa unayo nipa basi sitapotea wala kuangamia.
From Kenya with love
Dodoma ni lini tena
Amina wapi yupo
Amin
Like your teachings pastor
🎉🎉🎉🎉excellent
Amen mtumishi wa mungu na ubarikiwe sana
be blessed pastor
Amen
Amen tuko pamoja
God have large store to you be blessed
ubarikiwe
Na Mimi pia naitaji iwe muda Wangu wa uponyaji
This is very powerful man of God, ( what do we 👂 hear).
Amen.
Nakuelewa sana mtumishi.
Amen 🙏🙏🙏
Hahahahaha 😂😂😂 ume tu amisha bwana wewe ume gusa point kubwa muno barikiwa
Word👏👏👏Glory be to God .
Hallelujah
Mungu akubariki Sana 🙏
When are you coming to Arusha?
is there a complete English sermon I wish I could have other people here in the US listen to the messages.
Nabarikiwa sana mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏🙏
Thank you so much Pastor be blessed
Shame on you. You're a thief you're not Pastor Tony Kapola
@@anthonykapola mbona tena
Barikiwa mtumishi wa Mungu tulimaliza pamoja kitopeni 2002 jina lako ni Anthony na jina mingine ni Uwezo Mimi ni Andrew Michael Kihampa big up bro
Barikiwa mtumishi wa Mungu tulimaliza pamoja kitopeni 2002 jina lako ni Anthony na jina mingine ni Uwezo Mimi ni Andrew Michael Kihampa big up bro
Thank you very much man off God
This is a very powerful word of God
Hii ni Marko ngapi paster?
Hii ilikuani lini jmn🙄🙄
ilikuwa mwaka 2020
Amina
Umenifungua macho pastor Mungu akulinde san@
Barikiwa sana
Amen
Huwa na Kuelewa Sana Mtumishi wa MUNGU
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
Amen
@Pastor tony Kopala this guy is using the name of PASTOR TONY... He is a thief
Nabarikiwa sana maombi yako
Nakufwatilia na nabarikiwa pia,be blessed Paster.