Mbona inakuwa shida kuamini km watu wanajiunga na uislam ni jambo la kawaida tu? Na wapo waislam ambao wanajiunga na ukristo ..kila mtu anaenda njia aliyojichagulia..
Namuomba Allah akujaze Nour ya Uislamu kifuani mwako siku MMOJA uwe ni Muislamu na uipigane na kuilingania kwa wengine na akufishe na Shahada ili uingie pepon Aamin
Masha'Allah TabarakaAllah Rahman
Maasha Allah
MAASHALLAH Allah akufanyie wepes
Ma Shaa Allah
Mashaallah
Ma sha allah
Lkn zinyoe hizo nywele
Masha- Allah!
Mashaallah jazaqallah kheir
Alhamdulillah
Masha Allah
Amina
Huyu masai n tunamjua acha marupe rupe ana ect nn we mjng nn insha allah Masai mungu akupe nuru dunian na akhera
Mbona inakuuma Masai Kawa Muislamu?SI ni chaguo lake mwenyewe.Usikonde joe.
Allahmdulillah
Alhamdulilah
Mm nahic unge badili muolekeo wa nywele
Nywele Haina shida,itavutia Wamasai wengine kwenye Uislamu.
Mashaallah takbiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiir
Allah Akbar
Alhamdulhai
Akafukuswa nyumbani😅
Ni vizuri ila bado hebu ondoa hzo nywele zako.kwanza
Masai na asili yake ,lakini nywele siyo sababu chamsingi imani na matendo
Ondoa hizo nywele
Dogo ww
Huyu siyo mmsai ni trik tu kuwapata wamasai katk uisilam.ila sawa tu nayo ni dini kama dini zingine.huyo jamaa ana act kama masai lkn is not
Mbona inakuwa shida kuamini km watu wanajiunga na uislam ni jambo la kawaida tu? Na wapo waislam ambao wanajiunga na ukristo ..kila mtu anaenda njia aliyojichagulia..
Na uislam sio dini kama dini zingine ,uislam ndio dini pekee
Wapi kwa bibilia u cristo ni dini wacha kuropoka tu
Namuomba Allah akujaze Nour ya Uislamu kifuani mwako siku MMOJA uwe ni Muislamu na uipigane na kuilingania kwa wengine na akufishe na Shahada ili uingie pepon Aamin
Huwajui wa wamasai wewe?sasa ni nani huyu
Ma shaa Allah subhanallah
Mashaallah