Kodi zenyewe mnatoza kubwa sana alafu amshauriki uyo kuna kitu kakichoka kutoka kwa ao Tra, na ao Tra wachunguzwe uyo co chizi avunje vioo bila sababu ipo sababu
TUWE WAKWELI HUYO JAMAA ATAKUWA ALIUDHIWA SANA , UKWELI UWE UNAWEKWA WAZI TRA NI WAONEZI SANA HATA MTU MWINGINE ANAWEZA KUVUNJA SHERIA KUTOKANA NA KUONEWA. MKIWEZA MFUNGENI ILA WENGI TUNA UCHUNGU NA MAONEZI MNAYOTUFANYIA YAANI TRA NA POLICE NI ZERO
Hapo kwa tunavyowajua hao kuna kitu tu na ndio maana huyu jamaa akapatwa na hasira mbona huyu jamaa hana za ivyoo mkuu fanya mahojiono mazuli na huyo jamaa utapa ukweli
Kodi zenyewe mnatoza kubwa sana alafu amshauriki uyo kuna kitu kakichoka kutoka kwa ao Tra, na ao Tra wachunguzwe uyo co chizi avunje vioo bila sababu ipo sababu
Rais ajiangarie sana huyu jamaa anaujumbe mzito hiyo nimeseji Kwa ke kua watu wake wanaonea watu
Nashindwa kuchangia jambo hapo kwani wanasema wao tu wenye nchi Yao.
Bado TRA utendaji wenu sio mzuri
Majb ynapatkana Leo muongeaji dogo lina kubwa lake.
Ndiomaana Mimi staki kufanya biashara Tanzania hata Kama ni nyumbani lkn ubabe mwingi
Kuna kitu hapo huyo jamaa sio chizi avunje gari.hapo mnatuongopea
Mtu hawez kusimama na kuanza kuvunja gar kioo, hapo Kuna kitu, TRA Huwa wanatumia ubabe fulani hivi, na kukubambika Kes zingine
Kwa hapo uchunguzi Tu ufanyike inawezekana kuna baadhi ya maelezo yapo nyuma ya pazia wanamuonea ,au NI jazba zake yote yanawezekana.
Nakuunga mkono juu ya ilo Jazba zina sababu zake sio hivi hivi tu
Ishu ni hao jamaa wa tra wanataka kila mtu awanyeyekee angeua mtu ndio mgesema ukweli nyie.
Huyu jamaa itakuwa mlimkwaza mbona mpole sana.
MTU Mwny akili timamu HAWEZI KUCHUKUA NYUNDO AANZE KUPIGA GARI bila sababu!! UCHUNGUZI UFANYIKE!!
Akabomoa gari mnamuona halaf mkaanz kumtafta mda huo mlikiw wapi ila hapo bado hatujaelewa ezekana kuna Mambo nyuma hili
Maelezo yake hayaeleweki uchunguzi ufanyike.bongo nuksi wanaweza kukubandikia
TUWE WAKWELI HUYO JAMAA ATAKUWA ALIUDHIWA SANA , UKWELI UWE UNAWEKWA WAZI TRA NI WAONEZI SANA HATA MTU MWINGINE ANAWEZA KUVUNJA SHERIA KUTOKANA NA KUONEWA. MKIWEZA MFUNGENI ILA WENGI TUNA UCHUNGU NA MAONEZI MNAYOTUFANYIA YAANI TRA NA POLICE NI ZERO
GHARAMA ULIYORUMIA INGETUMIKA KWA SHUGHULI NYINGINE ZA FAIDA KWA SERIKALI
Maoni yangu RC itakuwa vem sana ukafanya uchunguzi wa kina nyuma yake inawezakena yupo mtu..
Mpumbavu huo anapigana n'a sirikali ya TZ ?
Hapo kwa tunavyowajua hao kuna kitu tu na ndio maana huyu jamaa akapatwa na hasira mbona huyu jamaa hana za ivyoo mkuu fanya mahojiono mazuli na huyo jamaa utapa ukweli
Hahahh hapo jina tra ndio linatia hofu
Kuna kitu hapo kama siyo bangi bas kuna matatizo na huyo mtu
Tra waonevu
Kuna kitu hapo wacha jaziba
Swala la hakamatiki halihusu maelezo yako,elezea kilichotokea na sababu ya kutokea
Uwiii alichukulia powa eer
Aliendelea kubaki Tz ili ampime mkuu wa mkoa mpya hapo ni kunyea mtondoo
Busara ikuongoze kaka
mumemukosea mahara maana nyinyi sio
Kuna saa nasikiaqa kutapika
Hasira hasara 😭😷
Makubwa haya Sasa mbona kijana huyu Ni msitarabu sana?
Unamjua
Mh🤣🤣🤣🤣🤣