RAHBY- TRUMP WATU WA GAZA WAHAMIE MISRI NA JORDAN

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 86

  • @SwedyMohamed-vt5zm
    @SwedyMohamed-vt5zm День назад +12

    Wapalestina wako kamili Gado,wako ngangari kinoma.Ni mapambano TU mpaka kieleweke.Aluta kontinua.Allah awazidishie Kila la kheri.Allah awazidishie ukakamavu ninyi(Palestina)Houth(wayemeni), Hisbullah(Lebanon)bila kuisahau Iran.Allah atajaalia TU mpaka PALESTINA itakuwa Huru kabisa na watakuwa na jeshi imara zaidi.

  • @ZsbAlbarwani
    @ZsbAlbarwani 9 часов назад +1

    Wanataka kuiteka kamili Palestine vita yenyewe wa America ndio anaipiga Palestine,anataka kuwatowa watu gaza kiujanja Wapalestin wanaakili sana Mwenyezi Mungu awalinde kwenye Ardhi yao Insha'Allah

  • @Irfaan-k1j
    @Irfaan-k1j День назад +8

    Ww fundi Allah akupe kila la kheri ktk maisha yko kwa kuwatetea wapalestina.

  • @mohamedS-yd9wh
    @mohamedS-yd9wh День назад +4

    Ibrahim Rahby shukran kwa taarifa unazotuletea, lakini huyu Trump ana akili nyingi sana na hiyo ndiyo sababu inamuondolea maarifa na hiyo ni sababu ya kupungukiwa na akili timamu inayojielewa. Wapalestina ni watu wenye akili timamu, wenye maono mazuri, wenye imaan ya kumjua Mwenyezi Mungu na kumtegemea yeye tu. Yeye anataka waondoke ili bwana wake mazayuni aingie kiurahisi na kufanya makazi mapya ya israel. Allah awape hekma zaidi, nguvu zaidi, uwezo zaidi, imaan zaidi. Yeye ndiye mwenye nguvu mwenye uwezo. Kama moto ulioichoma marekani haujampa fundisho basi Tunakuomba Allah mtukufu apeleke adhabu zaidi kwake nae ndiye mjuzi mwenye hekma.

  • @issadullah2074
    @issadullah2074 День назад +11

    Bola walale kwenye vifusi kuliko kutoka

  • @salehkhamis-ob8ln
    @salehkhamis-ob8ln 22 часа назад +3

    Mbona trump hataki wakimbizi na wageni anawafukuza lakin nchi nyingine anataka wapokee wakimbizi. Jinga sana hili zee

  • @sultanmohammed8634
    @sultanmohammed8634 14 часов назад

    Yes absolutely yes yes maneno yko kweli kabisa Rahbi

  • @mohamedahmed-yj5rq
    @mohamedahmed-yj5rq 11 часов назад

    ❤❤❤ safi sana

  • @issamuhammedi
    @issamuhammedi День назад +8

    Yeye mbona anawafukuza wahamiaji

  • @KolthoumIbrahim
    @KolthoumIbrahim 11 часов назад +1

    Kwa nini awapangie si wana maamuzi yao yenyewe.

  • @abdallahkhalfan3966
    @abdallahkhalfan3966 День назад +9

    Kaondoka shetani kaja ebilisi hakuna hata kiongozo 1 wa marekani mwenye mapenzi na Palestine

  • @gharibalhusni2716
    @gharibalhusni2716 16 часов назад

    Mola akupe umri wenye kumridhia akupe mafanikio ya dunia na akhera 🖌️🖋️🖍️ahsant Rahby

  • @yassinhamza1969
    @yassinhamza1969 День назад +10

    Trump mjinga Sana kwann asianze na raia wake waliounguliwa awapeleke Venezuela au Mexico ili ajenge Los Angeles

  • @abdulrazack9577
    @abdulrazack9577 День назад +8

    Kwa nini wahame nyumbani kwao

  • @MuzammilMundu
    @MuzammilMundu 21 час назад +1

    Angalie ya kwake bana achane na maisha ya waisilamu

  • @yahayaannu3663
    @yahayaannu3663 20 часов назад +1

    Binafs nilivyoona hii taarifa nilicheka sana 😂😂 nkajua hyu Trump yko kwny Ndoto 😅

  • @SAYMOEKARIM
    @SAYMOEKARIM 19 часов назад +1

    hata tokea kiongozi yoyote wa marekani akawa mzuri Kwa Africa na waarabu never . marekani ni adui wa amani Duniani
    alfu haujui km Palestina 🇵🇸 wanalindwa na Dua za waumini wote na wapenda haki Duniani #

  • @fatmafatu1128
    @fatmafatu1128 День назад +9

    Shetani mkubwa huyu wahame ili iweje wachukue Gaza yote hawa maibirisi

  • @AzizaShaik-v8o
    @AzizaShaik-v8o 11 часов назад

    Waleykumu salamu nsdgu

  • @adamnasibu5931
    @adamnasibu5931 День назад +6

    Na watu wa Israel wahamie Marekani

  • @SalimMohamedFaraj
    @SalimMohamedFaraj День назад +6

    Nawashangaa Arab America waliompigia kura hawakumjua Trump

  • @Mumewangu
    @Mumewangu День назад +7

    Kuvunja majumba yao lengo lao wahame alafu waweke wazayuni

  • @binseify4615
    @binseify4615 23 часа назад +4

    Tokea lini kafiri akampendelea wema muislamu hilo haliingii akilini

  • @KH-on8pp
    @KH-on8pp День назад +6

    Hiyo ni ndoto ya mchana kwa Trump kusema awahamishe toka Ghaza

  • @MuzammilMundu
    @MuzammilMundu 21 час назад

    Kaka safi sana tuko na wewe bega Kwa bega

  • @AishaTabi-e2z
    @AishaTabi-e2z День назад +2

    Asante sana bro niukweli

  • @AllyOmarHamad
    @AllyOmarHamad День назад +3

    Wapalestini hawana tofauti na wazanzibar

  • @FatumaOmary-wn3zw
    @FatumaOmary-wn3zw День назад +6

    W.slm mdogo wangu nataka niseme hivii yaani hawa wapalestina wakikubali tu yaani ndo mwisho wao hawatokaa kurudi tena hapo mpaka kiama hii mm naona km danganya toto ili hawa jamaa waondoke lkn mm navyowajua wapalestina eti watakubali kuondoka hio ni uongo yaani namaanisha hawatakubali abadan wa asilan katu katu yaani wasahau hilo wao waendelee tu kuwauwa watakufa nusu na nusu watabaki na allah ipo siku allah ataleta nusra lkn si eti kuhama hilo haliwezekani kabisa waache wajiburudishe.

  • @FatumaRashid-db6cc
    @FatumaRashid-db6cc День назад +2

    Tumekuelewa kaka
    Shukrani

  • @mohayussuf2057
    @mohayussuf2057 День назад +3

    Chizi fresh huyu

  • @QueenLilianMushi
    @QueenLilianMushi День назад +6

    Ila tramp waajabu sana yani yeye hataki wakimbizi lakini anataka nchi zingine kupokea wAkimbizi...... mzee hatari sana huyu.

  • @seydoumkenga
    @seydoumkenga День назад +3

    saudi mnafiki kaka

  • @HakizimanaJeandieu-dy7cx
    @HakizimanaJeandieu-dy7cx День назад +5

    Huyu Trump ni mpuuzi anaongeya ujinga

  • @SalimMohamedFaraj
    @SalimMohamedFaraj День назад +6

    Hiyo ni mbinu ya kuwaondoa ili mazayuni wachukue Gaza na watawandoa wa Palestine wa ukingo wa magharib waondoke

  • @CANIVATZ
    @CANIVATZ День назад +4

    Yaan trampu nimshenzi sana ndo maana walitaka kumuuwa mshenz huyu

  • @tumaininchimbi2414
    @tumaininchimbi2414 23 часа назад +1

    Huo ushauri Trump sio sawa, kinachotakiwa vitaimalizwe na wapalestina wabaki kwenye Nchi yao.

  • @abubakarsaid7303
    @abubakarsaid7303 День назад +2

    Mtego huoo

  • @AhmedAladhary
    @AhmedAladhary 15 часов назад

    Halafu gaza. Akae mkewe

  • @AbdullaMohd-cn3qe
    @AbdullaMohd-cn3qe День назад +3

    Wa kwanza leo

  • @MfiriNasawe
    @MfiriNasawe 13 часов назад

    Haiwezekani zama hizi watu kuhama nchi yao kwa amri ya mtu mwingine,kama mungu akiamua hatawaizraeli wanaweza kuhama

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 21 час назад

    Wa aleykum msalamu, Allah awatie nguvu wapalestine waendelee na msimamo huoo, na wanamsimamo kweli na nchi yao ingekuwa Africa sie na njaa zetu mapema sana tumeachia ardhi

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 День назад +6

    Huyu mzee kunawakati nafikiri anavuta bangi kwahiyo anataka GAZA wakalie mayahudi?

  • @AbdallahMapande-t5i
    @AbdallahMapande-t5i 19 часов назад

    Huyu jamaa anapenda vita

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 20 часов назад

    Ameshindwa mwenzake awezee yeye mpumbavu

  • @HalfanMaulid
    @HalfanMaulid День назад +4

    Kwa nini hawakupewa hifadhi wakati vita umeanza.

  • @salmahussein1242
    @salmahussein1242 День назад +6

    He is so stupid....kwanza ile statement yake ya kuisifia tu kuwa gaza ni nzuri ina mandhari mazuri, bahari ni husdaa tu ilishamjaa kuwa anaisifia kwa maslahi sio kwa huruma....yaani kwa mwenye akili alishang'amua hilo kuwa tamaa ya ardhi ilimjia....hasidi kweli

  • @HusseinHassan-p7g
    @HusseinHassan-p7g День назад +2

    Mtawala yoyote amerika awezi kuwa mwema kwa wapalestina 14:20

  • @hanifahassan-sf1gg
    @hanifahassan-sf1gg 13 часов назад

    Wakitaka kuwapeleka afrika hawakuweza no way

  • @JesusPower-n7h
    @JesusPower-n7h 21 час назад +1

    trump uko sasa kila unachokisema sikupingi we chochea moto baba

  • @mrafm7285
    @mrafm7285 20 часов назад

    Hata wakiijenga hiyo Gaza wataibomoa tena ni Bora wafie kwao tu

  • @ahmedAwesu-g8o
    @ahmedAwesu-g8o День назад

    Waalaykum salaam

  • @Sarah-e1o9k
    @Sarah-e1o9k 21 час назад

    Watu wa gaza wameshasema hawahami kama kujengewa wajengewe wakiwa hapa sahau kuhama kama kuhama wamishe wayahud wa mchongo warudi EUROPE walikotoka

  • @zahraalbaloochi2841
    @zahraalbaloochi2841 День назад +3

    Trump wanamkera nini kwani wapo USA

  • @almiseo6343
    @almiseo6343 День назад +2

    Kuna kitu kimoja pia hujakifikiria mbnu ya kivita walioitumia hamas n kitendawili kwao pia wanataka waijue kuwadhibiti

  • @ShemsaKiobya-x8h
    @ShemsaKiobya-x8h 20 часов назад

    Yeye si ataki wahamiaji iweje awapelekee wenzake hakuna kutoka

  • @AzizaShaik-v8o
    @AzizaShaik-v8o 23 часа назад

    ❤❤❤❤

  • @JesusPower-n7h
    @JesusPower-n7h 21 час назад

    tamka lingine trump we unahuruma sana unahuruma mpaka kwa adui zako

  • @cath-ef7wd
    @cath-ef7wd 22 часа назад

    Huyo ni nguruwe kama nguruwe wengine wa kizayuni

  • @AhmedZahor
    @AhmedZahor 15 часов назад

    Hili Trump Juso lake ka nyani

  • @MfiriNasawe
    @MfiriNasawe 13 часов назад

    Hapo nipo sitelewana nae ,halitakaa lifanikiwe hilo watu khuhama nchi yao,gaza msikubali shetani hatosheti hata huko misr watakuja kuwafukuza bora mkomae na kwenu

  • @ekimnkande2873
    @ekimnkande2873 20 часов назад

    Watakufa zaidi kuna wakati inabidi kutafuta usalama wapalestina wengi sanà wamekufa

  • @hamoudcreator6343
    @hamoudcreator6343 День назад +1

    Kama anawapenda kwanini Usiwachukue yeye, awapeleke Miami... Mshenzi

  • @hanifahassan-sf1gg
    @hanifahassan-sf1gg 13 часов назад

    No way Jordan yenyewe Haina kazi mbona awahamishe watakaa Kwa tent Hadi wamalize kujenga wanataka kuiba ardhi

  • @thuweinmassoud9062
    @thuweinmassoud9062 День назад

    yemen

  • @Jal210
    @Jal210 23 часа назад

    Hakuna kuhama hawa wanataka wachukue nchi yenu

  • @salumsuleiman1361
    @salumsuleiman1361 День назад +1

    Upo sahihi km nilivyo waza, Baada ya Trump kusema hivyo

  • @suzananuhuh1370
    @suzananuhuh1370 День назад

    ❤❤q

  • @AGM19697
    @AGM19697 День назад +1

    Sasa watajengaje gaza?

  • @arafahhh5574
    @arafahhh5574 День назад

    Yeye mbona anawafukuza walioishi america miaka mia ila kwa wenzie rahisi

  • @rikekikonyo2265
    @rikekikonyo2265 9 часов назад

    Nyie mbona hamuami Marekani kwenda nchi nyingine mbwa nyie

  • @MuzammilMundu
    @MuzammilMundu 21 час назад

    Akijaribu tu kufanya anavyofikiria haiwezekani ban atanza kuhama yeye mjinga sana huyo kafiri hatumuogopi

  • @anisetmarandu2720
    @anisetmarandu2720 22 часа назад

    Waondoke bhn, waachie ardhi ni ya Izraeli bhn

  • @latifsahib7110
    @latifsahib7110 19 часов назад

    Miaka miwili, wanapeleka mabomu. Kisha unataka wahame ujenge ulichobomoa baada ya kusitisha vita dhidi ya maadui ambao hawajaisha...! Imagine unakubaliana na gaidi kumaliza vita ukiwa unajua kabisa bado ana nguvu...VITUKO

  • @ShemsaKiobya-x8h
    @ShemsaKiobya-x8h 20 часов назад

    Huo ni uwizi wa ardhi, waameiba hawatosheki

  • @mchopacalvin2986
    @mchopacalvin2986 День назад +4

    Niambie lini palestina ilikuwa dola na kiongoziwake alikuwa nani?
    Wewe una maslahi binafsi na ni mdini huna lolote

  • @mchopacalvin2986
    @mchopacalvin2986 День назад +2

    Hapa Tanzania hakuna mahala WAARABU Wanakalia? Mbona hiyo huchambui????

  • @MfiriNasawe
    @MfiriNasawe 13 часов назад

    Wazo la trampu ni kuipoteza palestina hiyo misaada ya kuwahamisha wapalestina kwanini wasiwape hizo fedha wapalestina kama kianzio cha maisha?kwasababu wao ndio waliowafanyia madhila yote

  • @mohamedkhalifa6014
    @mohamedkhalifa6014 День назад

    Ni sahihi, trump ana ubinadamu ndani yake, kiufupi Gaza imeharibiwa hazifai huduma nyingi za kijamii zimekufa

  • @rayakhalifa855
    @rayakhalifa855 21 час назад

    😡😡😡😡

  • @tadashifrancis3164
    @tadashifrancis3164 День назад

    Huyu mwehu mbona hatamki Hamas? Na oparation zao za kigaidi Israel na wa Palestine Lile ni eneo Lao wote wanatakiwa wakubali wakatae pale ni eneo la jamii mbili.