WAFARIKI KWA KUNYWA DAWA YA KUACHA POMBE WALIYOPEWA NA MGANGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 1 фев 2025

Комментарии • 28

  • @aickatesha4542
    @aickatesha4542 6 месяцев назад +1

    Mtaani kwangu aseeee

  • @absm8084
    @absm8084 6 месяцев назад +1

    Duuuh😢😢😢😢😢 that is spiritual power Maombi na Sala na MAJITOLEO kwa Yesu Kristo ndiyo dawa pekee

  • @zuwenasalim2794
    @zuwenasalim2794 6 месяцев назад +2

    Mmewalazimisha kifo ,polen Mungu awasamehe zambi zao ila kama kuna mwingine mlevi mpeleken soba kueousha vifo vya lazima

  • @mymuhnabdallahshaban7763
    @mymuhnabdallahshaban7763 6 месяцев назад

    Tangu lini kuacha pombe na waganga Hee hyo kwapa sumu nin heeee😢😢😢😢😢

  • @mymuhnabdallahshaban7763
    @mymuhnabdallahshaban7763 6 месяцев назад

    Pombe na asali wapi na wapi inauwa hasa 😢😢😢

  • @jessybaraka5899
    @jessybaraka5899 6 месяцев назад

    I 7am

  • @RubenMtuwaMungu-bz8ee
    @RubenMtuwaMungu-bz8ee 6 месяцев назад +3

    Ulimwenguni kote anayebadilisha tabia zisizo faa ni Yesu kristo pekee. Humtaki Yesu hutaki mabadiliko.😂😂😂😂😂

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 6 месяцев назад +5

    Dawa ya kuacha pombe ni kumkiri YESU KUWA BWANA NA MWOKOZI WAO TU HAKUNA LINGINE......

  • @ruqaiamohammed345
    @ruqaiamohammed345 6 месяцев назад +2

    Bac hawawakeri tena washa lala ucngiz wa milele wapumzike kwa aman😢

  • @PendoMatemba
    @PendoMatemba 6 месяцев назад +1

    Jamani

  • @AFYABORATV
    @AFYABORATV 6 месяцев назад

    Sasa siwasha acha mnawaokoa wa nini tena?

  • @LameckPeter-bj6ky
    @LameckPeter-bj6ky 6 месяцев назад +3

    YESU ndiye jibu pekee la kuacha dhambi ikiwemo na ulevi, dini haisaidii chochote zaidi dini itakusaidia kukuzika tu ndio maana hapo Kuna nyimbo za dini, kaburi sio nyumba ya milele ni nyumba ya udongo/ mbolea. Nyumban kwetu kwa MUNGU muumba mbingu na inchi.

    • @samweli7985
      @samweli7985 6 месяцев назад +1

      Nikweli ndugu, YESU ndiyo jibu

  • @ZAMZUNZAMIRU
    @ZAMZUNZAMIRU 6 месяцев назад +1

    Hawanywi tena

  • @joycehaule9717
    @joycehaule9717 6 месяцев назад

    Mtaalamu katuma Jini makata hahahaha

  • @MohammedSalumHamad
    @MohammedSalumHamad 6 месяцев назад +3

    Ndio tayari ao washaacha

    • @Nashoora8
      @Nashoora8 6 месяцев назад

      😂😂😂😂

  • @MteuleMabuku
    @MteuleMabuku 6 месяцев назад

    Hebu kwanza ncheke..
    Nakumbuka ndugu yangu yule aliye pelekwa kwa mganga ili aache pombe..
    Baada ya tiba Alicha kwa mwezi mmoja kamili ,siku ya kwanza kumaliza mwezi alikunywa pombe,ndugu zangu walipo muuliza vipi akasema ,nimekunywa pombe kujipongeza kuwa nimeacha😂😂true story.

  • @KuyaNkalango
    @KuyaNkalango 6 месяцев назад

    Kwisha kazi

  • @DimitryMghamba
    @DimitryMghamba 6 месяцев назад

    Kwisha enyewe wameacha pombehao

  • @isamony58
    @isamony58 6 месяцев назад +1

    Baada ya kuwa peleka soba kutibuwa nyie mmewamini waganga wakienyejii

  • @mwitajoseph8315
    @mwitajoseph8315 6 месяцев назад

    Hao wameacha pombe milele hata harufu tu ya konyagi hawataisikia tena duniani wala kaburini pole yao sana

  • @vickytango5591
    @vickytango5591 6 месяцев назад

    Nini maana ya kazima

  • @ShalhaS-wj6qf
    @ShalhaS-wj6qf 6 месяцев назад

    Wapuzi nyie munger wapeleka kanisani sio kwa waganga ao nyie ndio muliwauwa mnazingishia wa ganga

  • @pendo8082
    @pendo8082 6 месяцев назад

    Duh