Amepata Kazi Nairobi, sasa haniongeleshi!!! | Hali Ilivyo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 дек 2024

Комментарии • 113

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 5 лет назад +56

    Lakini wacha tuseme ukweli Kama unakubaliana nami dem akihama either aende kazi Nairob Mombasa ama University kusoma sahau yeye weka like tukisonga 👇👇👇👇

  • @carolineokorley1057
    @carolineokorley1057 5 лет назад +1

    Good advise Dr jalas, and Alex, the diagnoses is on point👊🏾👊🏾👊🏾

  • @phoebeangela560
    @phoebeangela560 5 лет назад +3

    😂😂😂😂Jalash aki ati umdhanie siye sijakua. tho thumbs up guys

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 5 лет назад +2

    Wawa hiii ni noma walai, good advice mmempea guys

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 5 лет назад +9

    Jalas huyu dem ata huyu boy akifunga safari ya kukuja Nai huyu dem atamzimia simu believe me

  • @abrahammusungu5573
    @abrahammusungu5573 5 лет назад +36

    I will NEVER retire from telling men that the only proposal these women hear is when you fertilize her. They dont care even if you introduce them to God.

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 лет назад +4

    umdhaniaye siye amekuwa😂😂😂😂😂😂jalas

  • @janewanjiru2217
    @janewanjiru2217 5 лет назад +1

    Huyooo ameeenda Alex kubali

  • @patrickshigoli6893
    @patrickshigoli6893 5 лет назад +10

    Jalas tell this guy kwa ground hapa Nairobi vitu ni different, let him forget and move on

  • @eunicewairimu5015
    @eunicewairimu5015 5 лет назад +2

    Mwakideu achia daktari Ile mfupa ngumu 😂😂😂huyu jamaa ameachwa aachike tu atapata mwengine kanisani

  • @kennnethmangi
    @kennnethmangi 5 лет назад +6

    Daktari anatafuta Ile mfupa inauma🤣🤣🤣🤣

  • @brianaluso
    @brianaluso 5 лет назад +1

    funga safari! kutoka bungoma moja kwa moja mpaka hapa nairobi upatane na picha kamili😂😂😂 kiongozi wa kanisa usidhubutu. ile radi itakupiga ukifika nairobi , hutapendelea😂😂😂😂

  • @derickligenga7504
    @derickligenga7504 5 лет назад

    Jalas God bless u bro

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 лет назад +4

    jalas umechoma Nairobi nafisi na manyangao😂😂😂😂😂😉😂😅😅😅😅mwakideu ameokoa mgongo😅😅😅😅😅😅am done jalas

  • @francismuchira4
    @francismuchira4 4 года назад

    Utaaaakuliiwa BIBI!😂😂😂

  • @okothmcokothja-ragen6172
    @okothmcokothja-ragen6172 5 лет назад +3

    Hi Nairobi wasichana hujanjaruka sana.. more so ati wewe umebaki ushago.

  • @lemmywanjeh4366
    @lemmywanjeh4366 3 года назад

    My lady alipoenda qatar as a housegirl yeye na mm kwisha

  • @geoffreyanthony1488
    @geoffreyanthony1488 5 лет назад +1

    Yesu wangu

  • @monicamichael8119
    @monicamichael8119 5 лет назад +1

    Jeras mapenz yakanisa niyamtakatifu nàcyo yamtak kitu🤣🤣🤣

  • @godsfavour5665
    @godsfavour5665 5 лет назад +1

    😂😂😂😂church girls yawa..hii itakuwa ngumu sana huyu boy a move on.huyu dem ni mjeuri mefika kule jua inachomokea "Nairofi"

  • @missphanice613
    @missphanice613 5 лет назад

    Umdhanie ndiye sijakua 🤣🤣🤣🤣🤣Jalango yawa

  • @nabwilelinet7027
    @nabwilelinet7027 5 лет назад +3

    My county ebungoma

  • @jacobgithinji6808
    @jacobgithinji6808 5 лет назад +1

    Boss huyo anakulwa mbaya sana huku nrb...msahau tu...dame akianza ujeuri ni sign ya kuwa na mtu mwingine. Sahau boss nrb watu ni wabaya.

  • @agneskhakali2069
    @agneskhakali2069 5 лет назад +1

    Kapendo na katiba haziokoki hata

  • @nafulabetty4437
    @nafulabetty4437 5 лет назад

    Kuna manyang'au na mafisi Nairobi hapa utakuliwa my friend 😂😂😂

  • @margaretmulinge8419
    @margaretmulinge8419 5 лет назад +4

    Hio Swahili ya jalas aina mwingine

  • @kevostech2018
    @kevostech2018 5 лет назад +2

    😂😂😂😂na ameokoka mgongo ,elexy

  • @wakurasylvester4927
    @wakurasylvester4927 5 лет назад

    Acha zako Kwa ground vitu ni different 😀 buda

  • @raybrankxbalozi3684
    @raybrankxbalozi3684 5 лет назад +1

    Jalas unaua 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @kamomaltd1899
    @kamomaltd1899 5 лет назад

    “...roho mtakatifu na mtaka kitu!” 😁😆😂

  • @levindalolalola7255
    @levindalolalola7255 5 лет назад +1

    😂😂😂😂😂aki jalasi ww

  • @ernestsifuna
    @ernestsifuna 5 лет назад +2

    mnapata wapi ngufu za kutafuta dem kwa kanisa....heri niokote kwa bar than picking a pretender in the church

  • @ruthkosgey9176
    @ruthkosgey9176 5 лет назад +6

    Na kumbe tu good men exists wenye wanakeep on checking on you????wow.😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂♨️♨️♨️Jalas,eti Alekii ameokoa nini😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂♨️♨️♨️♨️♨️♨️♨️

    • @alextowett260
      @alextowett260 5 лет назад

      haha acha izo Ruth...try me

    • @ruthkosgey9176
      @ruthkosgey9176 5 лет назад

      @@alextowett260 😂😂😂kweli???

    • @alextowett260
      @alextowett260 5 лет назад

      @@ruthkosgey9176 kabisa...nitumie mail nikushow iyo story vizuri at itstowett@gmail.com

    • @ruthkosgey9176
      @ruthkosgey9176 5 лет назад

      @@alextowett260 okay lemme do so.

  • @blessedsuccessful
    @blessedsuccessful 5 лет назад +2

    The guy can move on but he just wants to be assured that the relationship is dead before he moves on

  • @martinmuthoka7930
    @martinmuthoka7930 5 лет назад +2

    kijana wa kanisa anataka kuoa virgin ,hapo ndio wasichana huepa @120km/h

  • @lorraineatieno6544
    @lorraineatieno6544 4 года назад

    Jama mwenyewe hana job hata fare ya kwenda Nai ni problem...the lady has a second thought...aanze kujipanga huyu jamaa

  • @everlyneminayo3881
    @everlyneminayo3881 2 года назад

    Huyo alipata caretaker wa plot 🙄 Niko ukoi baada 2years

  • @madamboss348
    @madamboss348 5 лет назад

    Utakuliwa😂😂😂😂

  • @evanskipruto8124
    @evanskipruto8124 4 года назад

    Jalas and Mwakideu why did you part ways

  • @estherlokwawi8255
    @estherlokwawi8255 5 лет назад +2

    Church manenos eishh! Kwa group vitu ni different

  • @maxlove2668
    @maxlove2668 5 лет назад

    Hiyo ni mikora

  • @njoramichael7051
    @njoramichael7051 5 лет назад +2

    Iyo msemo wako jalas 😅 🤣😅 🤣😅 🤣😅 🤣 aiiii hakuna

  • @ADB-97
    @ADB-97 5 лет назад +3

    Afunge safari lakini asibebe shoka

  • @reginawambua7433
    @reginawambua7433 5 лет назад +5

    Kwa nini dem akikam Nairobi anaongopwa, btw niliachwa na jamaa after kumaliza shule juu ya kukam Nairobi nilirundi home nikapata chalii ashaniacha, chenye tu aliniambia ,"sijuhi nini ulikuwa unafanya Nairobi kwa huo muda wote".🤣🤣🤣🤣🤣🤣that's how niliachwa

    • @keeneds
      @keeneds 5 лет назад +1

      Jogoo ni mob

    • @reginawambua7433
      @reginawambua7433 5 лет назад

      @@keeneds sio madem wote wa Nairobi wabaya

    • @onesmusmbuguawamwak5077
      @onesmusmbuguawamwak5077 5 лет назад +1

      sana..aki.. Nairobi is city.. l had a lady who l loved so much.... ako nairobi na mimi niko qater....l was flastauted like hell.... but anyway life is so sweet and smoothing .... as l come back to kenya ...l ll look a wife...

    • @onesmusmbuguawamwak5077
      @onesmusmbuguawamwak5077 5 лет назад +1

      0740118388....whatapp...

    • @reginawambua7433
      @reginawambua7433 5 лет назад

      @@onesmusmbuguawamwak5077 code ni ya Qatar au Nairobi?

  • @festusmuema6314
    @festusmuema6314 5 лет назад

    huyo dem ni mshamba tu

  • @ruthmbuthiambuthia5590
    @ruthmbuthiambuthia5590 5 лет назад +1

    Jalas ww ni sumu ati huyu ni ule msichana wa kanisa

  • @winfredoneko3209
    @winfredoneko3209 5 лет назад +1

    jalas ameharibu na wrong number 🤣🤣🤣🤣

  • @quinncordelia4902
    @quinncordelia4902 5 лет назад

    Huyo msichana aminibore..bure sana eti wa church..mwanamke mzuri apatikani kanisani..na hiyo ni kweli..wa dunia ndo wife material 🙆‍♀️🙆‍♀️

  • @wycliffeselebwa2342
    @wycliffeselebwa2342 5 лет назад +2

    Jalas akiskia ako Bungoma na Dem ako Nairobi... anajua apa kuna kucheka

  • @ByronTaaka
    @ByronTaaka 5 лет назад

    🤣🤣 Nairobi Shamba La Mawe. 🤣🤣

  • @dancaorero9123
    @dancaorero9123 5 лет назад

    Plz c mtu anipe sms no yao plz plz plz

  • @patriotkenya
    @patriotkenya 4 года назад

    Bro achana na huyu dame.. She is taken. Tafuta mwingine

  • @sawa8171
    @sawa8171 4 года назад

    🤣🤣🤣

  • @mercylineabuko9572
    @mercylineabuko9572 5 лет назад

    Jipange kijana mkulima tna ushago bungoma eti unataka kua pastor endelea

  • @shadyamohammed2527
    @shadyamohammed2527 5 лет назад +1

    Huyo dem ako sawa.. Hawa vijana wa theology hubehave vi immature sana

    • @fabyscarl
      @fabyscarl 5 лет назад

      How do u know yet u r a Muslim?

    • @ruthnyaudo5034
      @ruthnyaudo5034 5 лет назад

      @@fabyscarl good question darling

  • @aggycherry9400
    @aggycherry9400 5 лет назад +1

    Jalas yawa,udhanie.....😅😅😅😅😅

    • @agnethermwakera7609
      @agnethermwakera7609 5 лет назад

      Nitapata wapi mtu anitafute na Mimi jamani ,..,yawa...!!!

    • @aggycherry9400
      @aggycherry9400 5 лет назад +1

      @@agnethermwakera7609 😅😅😅😅

  • @monicamichael8119
    @monicamichael8119 4 года назад

    Jamn mm nimtanzania nashida nanyie now nilikuw namjaluo mkeny sasa tumeachan ila kunashida naomb kuongeleshwa nanyie no zangu ni0682491755

  • @TopCreators4849
    @TopCreators4849 5 лет назад

    Kevin atafute Bibi mkulima ameokoka

  • @aggieschaeffwangari3295
    @aggieschaeffwangari3295 5 лет назад +1

    You guys lol...

  • @mulinzinga9981
    @mulinzinga9981 5 лет назад +1

    Some me n are foolish. Mtu hakuongeleshi bado unamfuata. Ujinga hioooooooooo.

    • @otienooduor9702
      @otienooduor9702 5 лет назад

      No he was just inquiring. It's not foolishness.