Mume wangu ameniacha | Hali Ilivyo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 58

  • @jemutaijoy5700
    @jemutaijoy5700 5 лет назад +9

    Hata mimi niliacha mtoto wangu nikaenda #USA kuhustle💪I miss her soo much👌🇰🇪🇺🇸🇺🇸🇺🇸

    • @alisaalis9218
      @alisaalis9218 5 лет назад +1

      Wow hata mimi,,Nliacha watoto sai nko saudia Arabia,,,Nataka kuja huko naeza fanya aje dear

    • @minayoever3657
      @minayoever3657 5 лет назад

      Kweli

  • @beverlyneandia2755
    @beverlyneandia2755 5 лет назад +4

    My luhya kingsmen wanatuangusha aki

  • @nathanieldennis5461
    @nathanieldennis5461 3 года назад

    Huyo mwanamke alizaa akajiwachilia mzee akaloose interest

  • @georgadiaomakada4516
    @georgadiaomakada4516 5 лет назад +6

    Am the second to comment for the first time since I started to view Alexnajalas wakiwa radio maisha

  • @dantemedia4740
    @dantemedia4740 5 лет назад +5

    Mawaidha nzuri

  • @sweetmumwake9729
    @sweetmumwake9729 5 лет назад +1

    Congrats Jalas kila mtu jikaze na mzigo wake mwenyewe..uyo mwanaume ni falaa sana

  • @florencetatu5999
    @florencetatu5999 4 года назад

    Mkae mkijua kuna ugonjwa

  • @sashamonique9438
    @sashamonique9438 5 лет назад +5

    on point jalas...

  • @nzisakasau8234
    @nzisakasau8234 5 лет назад +7

    mawaidha mazuri sana

    • @chakubutakamangila2274
      @chakubutakamangila2274 4 года назад +1

      Nzisa Kasau nakuona unafatiliya sana hali ilivyo ya milele fm 📻

    • @nzisakasau8234
      @nzisakasau8234 4 года назад

      @@chakubutakamangila2274 kabisa napenda sana😊

  • @agneskhakali2069
    @agneskhakali2069 5 лет назад

    Kaa kando na huyo mtu ili ukutane na baraka zako na jaribu kutoa mawazo yako kwake, kilio chako ni watoto na Mungu amekisikia dadangu Mungu atakuinua zaidi bora uamini Kwa jambo unaloliombea. I was I the same shoes but what God has done for me my dear hata Mimi mwenyewe siamini kama ni Mimi . Yuanitafuta now but wakati wake uliisha. Toa mawazo utazeeka kabla ya uzee

  • @58667679
    @58667679 4 года назад

    Jalas,inawezekana mtu kuishi peke yake bila kuwa na mwanamke maishani..Sio lazima! Inategemea uko na umri gani.

  • @dadotuneya7173
    @dadotuneya7173 5 лет назад +1

    Jalas ukweli tu unasema

  • @charleswanjau2679
    @charleswanjau2679 4 года назад

    Hali ilivyo clinic 😀😀😀

  • @moulinemoulinr9136
    @moulinemoulinr9136 5 лет назад +6

    wanawake wanamchanganya kweli aki hiyo mwanaume atakuja juta

  • @salomegoogle7207
    @salomegoogle7207 5 лет назад

    mawaitha mazuri jalas

  • @vincentlubai7508
    @vincentlubai7508 5 лет назад +5

    Third to comment

  • @antonyndungu9599
    @antonyndungu9599 5 лет назад +11

    Mwezi??? Ata wewe jalango usitupime..... tunachapa 2 months Vila katiba.... bora ARIMIS😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @leengugi1196
    @leengugi1196 5 лет назад +2

    Jalas watu hukaa bnah ata miaka mbili ata tatu ukiwa na mtu mnaheshimiana utasubiri

  • @piarants3958
    @piarants3958 5 лет назад +6

    No jalas I disagree .mom in law is good looking after her kids. She is trying alot.God give her wisdom 🙏🙏🙏👍🏿👍🏿❤❤❤🙏🙏🙏🙏

    • @mwendapoleee
      @mwendapoleee 5 лет назад +1

      Lakini mama alisha kulea,wajukuu sio kazi yake hio ni mzigo, kumtembelea ndiyo.Baba watoto anajivinjari na ndongondongo na mama ana shugulikia wajukuu booooooh👎

  • @floridaalega3844
    @floridaalega3844 5 лет назад +6

    Wanaume wengine puthooo

  • @hadhijabaya4386
    @hadhijabaya4386 5 лет назад

    🙌🙌👌👌

  • @monicamichael8119
    @monicamichael8119 5 лет назад

    Ukwel mwanaume Kam anakupenda popote unakwend naww

  • @getunyamvus5170
    @getunyamvus5170 5 лет назад +3

    Ghai na wale tuko disposal tutafanya niniiii

  • @stecybeib948
    @stecybeib948 5 лет назад +2

    True Jalas

  • @mursilmursal
    @mursilmursal 5 лет назад

    Wanaume kama hawa wanafaa kichapo plz wanaume wacheni kutesa wanawake kama hautaki wachana na yeye huyu ni mtoto wa mwnyewe unamtese huku unamtukana na hata hautumi kitu sio poa kabisa...jua kwamba kwao haku fukuzwa
    #menshouldstopthis

  • @johnmwangi2435
    @johnmwangi2435 5 лет назад +2

    Jalas pia wewe unatupima walai tupo wanaume tunaoka ata mwaka bila katiba aishii wacha kutubeba hivyo bwana

  • @pampamie2375
    @pampamie2375 5 лет назад +6

    Chapa job leave this idiot man forever kuzaa ni blessings na kuolewa sio lazima

  • @habibobashir5276
    @habibobashir5276 5 лет назад

    mabibi wa KDFs wataenda wap bas jalas ?

  • @olet3475
    @olet3475 4 года назад

    Jalas you are laying, unaweza kaa bila mwanamke for one year, some people are in gulf and they wife's back in Kenya and wanavumilia knowing what took them there,