kazi hii ninzuri sana ntemi ila inachukua mda mfupi kuisha na mnachelewa kutoa nyingine mapema mnatukata vibe maan inaishia pazur mpaka nyingine itoke unakuta umeanza kusahau hadi ulipo ishia
I can't wait for the next episode woow it's so amazing ntemi ananibamba tu saana anaona wengine Ni wajinga sababu ya kujusa kizungu nayeye mwenyewe anakaa kuhurumiwa tu hajielewi I really love this thanks Sana kapaya to be honest of all the kapaya great films this is my best and my favorite mob love to you kapaya and your team your great fan from Kenya though currently in Dubai napenda Sana filamu zako
@@kapaayathegreat filam umeceza ukirara na mam muzazi kusudi urudi kwahariyako yakiume inaisha ukiwa umepereka mucumba wako wando ukawaonesha mam muzazi na mama yako mudogo nyingine n ambao imeisha unafany alusi nayure bit muzaziwak ariokua kica nizo 👍👍👍❤❤❤❤☝
Kwa upande wangu naona kila kitu kipo sawa..anadumisha Mila na desturi za kwao na Tanzania kiujumla...kwa asiyeelewa lugha inayotumika Kuna maandishi hapo chini anaweza kuyafatilia, onyesho ni zuri na Lina maadili na mafunzo kiujumla... Wasukuma hoyeeee ✊✊ 🤣🤣😂😂
filamu nzuri sana. Nawafuatilia kutoka Kenya
Waooh nawapenda sana Wapendwa. Kazi nzur 👏👏👏🔥🔥🔥
💥💥💥💥najua itakua ni moto
Keep moving bro iko poa nimependa kuona mazingira halis ya home kwetu.
Eti akili yako yafanya kazi saa ngapi nikufate saa hiyoo ntemi unafituko kwa kweli nailed it patamu apoo👌👌👌👌
Hongereni jamani Hadi rahaaaa move nzuri nimeipenda
Vizuri sana wasukuma w tz😂😂😂🎉🎉🎉❤❤❤
Mko sawa endeleen kutetea tamaduni ya africa
Ntemi bhana unatisha mpaka basi, Mungu akufikishe mbali mbali mbali zaidi,utafanya kazi na watu wakubwa sana, we tulia tu.
Ameen sana 🙏
Yaani ina utamu wa kipekee. Hongereni sana kwa jopo zima.
Ahsante sana 🙏
Kapaya the great 👍🙏💯❣️🌹
Wee ntemi wanchekesha sana wenye wanaongea kisungu n wachinga you nailed it 😂😂😂
Kazi nzuri watching from Saudi Arabia nawapenda saaan ongera
Kapaya kazi zenu nzuri Sana hamujawahi kutuangusha hongerani sana
Ahsante sana 🙏
Iko poa sana yani mgekua mnatoa kwa wiki mala mbili
Nimekuw nipeisubir kwa hamu sanaaaa kaka kapaya ila nirikuw naomb ungekuwak munatow ku wiki ata mala mbili kwamaana napend sanaaa movie zak🥰🥰
Kazi nzuri sana kwani inaongelea uhalisia wa mazingira ya jamii ya kitanzania hususani kanda ya ziwa.
Kapaya kama kapaya🏋️🏋️
So proud of you guys, mko vizuri keep it up 💪
Yan natogwa sana omama otena masala nalekwambekeja wanibona nde mbole🤣🤣🤣🤣🤣imenifurahisha sana hiyo sehem
Temi ni tamsilia uri sana hongera sana kaka
Jamani Eeeeh luga mpunguze swahili njo tunataka
kazi hii ninzuri sana ntemi ila inachukua mda mfupi kuisha na mnachelewa kutoa nyingine mapema mnatukata vibe maan inaishia pazur mpaka nyingine itoke unakuta umeanza kusahau hadi ulipo ishia
Nayitogaga sana emuvi eye inaelimisha sana tanzania
I can't wait for the next episode woow it's so amazing ntemi ananibamba tu saana anaona wengine Ni wajinga sababu ya kujusa kizungu nayeye mwenyewe anakaa kuhurumiwa tu hajielewi I really love this thanks Sana kapaya to be honest of all the kapaya great films this is my best and my favorite mob love to you kapaya and your team your great fan from Kenya though currently in Dubai napenda Sana filamu zako
🙏🙏🤝
Kazi ya karashani hiyo hatari Sana mweee
Next episode waiting, thank dia
Tamthilia nzuri sana
Kazi nzuri mashaallah 🥰
Gud One Next
Good job guys ❤️
Kapaya adi unatusanganya kwakiruga kipenzi afu filamu nzuri san naire nyingin utup muenderezo
ipi tena hiyo mpenzi wangu
@@kapaayathegreat filam umeceza ukirara na mam muzazi kusudi urudi kwahariyako yakiume inaisha ukiwa umepereka mucumba wako wando ukawaonesha mam muzazi na mama yako mudogo nyingine n ambao imeisha unafany alusi nayure bit muzaziwak ariokua kica nizo 👍👍👍❤❤❤❤☝
Good job 👌👌
Ntemi nimeipend ni sanaa naisubiri sizon 4
Mwendelezo
Sasa naanza kujifundisha kikulya☺☺☺☺
Kazi safi
❤❤❤❤❤❤❤❤❤ nice
Nzuri movie 😂😂😂😂
Kwa upande wangu naona kila kitu kipo sawa..anadumisha Mila na desturi za kwao na Tanzania kiujumla...kwa asiyeelewa lugha inayotumika Kuna maandishi hapo chini anaweza kuyafatilia, onyesho ni zuri na Lina maadili na mafunzo kiujumla... Wasukuma hoyeeee ✊✊ 🤣🤣😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅
Move naipenda sana hii
Haha🤣🤣🤣 ntemi unajua kuvaa uhusika sana,Hadi unakera ujue dah! Et akili yako inafanya kazi saa ngapi😀🤣,Mungu akufikishe mbali sana sana sana
🙏🙏
Weee kapaya olegwela ogwiyo mbaya anaubaya gani ss
Ntemi unachekesha sana
Ntemi ni nzr tunasubili mwendelezo
Ila mzuri maashaallah
Saf💯
Mtt hajui kisukuma
Jaman me napenda sana kazi zenu i wish naomba nikija mnipokee please tatizo cjajua nawapataje that is the problem
Ukitaka utawapata usijari
Woow
Filamu nzuri sana
Nafata kutokea Canada Ottawa
Nisaidie kusambaza kwa marafiki na magroup please
🙌🙌🙌🙌
Vzr sanaaaaa
weeee
@@kapaayathegreat kabisa HV mko wapi
@@dorkaslucas5120 hatujaelewa swali lako mpenzi
@@dorkaslucas5120 tunapatkana kwa Tanzanian
@@kapaayathegreat mnaishi sehm gan na munaigiza mkiwa upande gani
Mwendelezo nasubri❤️
Sawa utaupata mpenzi
Usisahau ku SUBSCRIBE
@@kapaayathegreat tuna sub kirab usijal na comments juu 😆🤸
mi nimempenda uyo Jeremiah jaman
Kapaya ongea kiswahili mimi sielewi jamani
Zur mashaa allha
Leo wakwanza kutoka ntuzu
Nasubili kwa ham sana
Asante Kwa muendelezo ilaluha ndomtihani umlubna Niko oman
Kuna maandishi yako hapo chini ya kiswahili
Mtemi ni hatarii
Ntemi ni shida watani zangu 🤣🤣
Wow
Movie nzuri sana
Lugha tamu🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣huyo mtoto kaonewa huruma na bibi yake lkn yeye anamfokea😆😆😅😅😅🤣🤣
Ilaa kisukuma jmn khaaa 😖🥴🥴😳😳😳😳
Kisukuma raha jamani lekabhila itale
@@johncharles8930 🤪🤪
Mmeniuzi leo hamjamueka mzee saimon 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwakweli hata mm sjapenda mn yule mzee kiboko hahahaha 😂😂😂😂😂
@@mwanaidisadi5021 😅😆😆🤣🤣🤣🤣🤣nampenda kweli mzee saimon
Kapaya eee....hayo maandish madogonsana bana...mi sion sasa 🤔
Bahati, ukieka makubwa yataziba picha mama
oooh... kumbe...sawa eee.🙏🌹💕
Hii lugha ikopoa nawafwatilia nikiwa kenya
Oh jaman kanumba
Eti khakili yake inafanyakazi sangapi 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nzur lkn lugha jmn 😭😭
😂😂😂😂😂hapo kwa lugha mm nmekwama
Wanafaid wanaojua kisukuma🤣🤣🤣🤣🤣🤣
@@lizzybahati3739 wanandika maana ila zinend harak haupti vizr kuzisoma
Mimi ndio sielw kbsaa sijui kwasemwaje
Fateni actions msijari wadau🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Ntemi wanipunga, lugha yakwenye video imekua tabu
Ilaa wachimbaji wanapata shida jmn mtu akifanikiwa kimaisha nwacheni tyu kapitia Mengi
Mtem hahahaha
inapataka wapi hi
🤣🤣🤣🤣dogo hasaidiki
Hio lugha yenu sio mbaya ila mkichukua kwa urefu mna tuzingua mana hatuelewi plz
Soma maneno yanayotokea hapo chini
@@kapaayathegreat kwa kwl cyaoni yakitokea nngeona ncngelalamika na kupitwa na utamu 🤣🤣🤣🤣
@@bbrsssaad1282 jamani wewe
@@kapaayathegreat kwl nmadogo kiukwl ila twende nalo tu madamu huko kwengine naelewa ntafika tu 🤣🤣🤣🤣ucjal jirani yangu nmkenya mm
@@bbrsssaad1282 usiwe na mashaka
Ntemi 76
Next episode ni lini?
Kila alhamis saa tisa na nusu
Kazi nzuri sana 🥰