‘Tulikuwa tukitukanwa hapa leo mnakuja na haya mengine’ -Abdallah Ulega

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Mbunge wa Mkuranga Abdallah Ulega amesema kuna watu walikuwa wanaitukana serikali kwa kushindwa kununua ndege hata ndogo na kushindwa hata na baadhi ya nchi za jirani lakini baada ya serikali kununua ndege mpya bado watu haohao wameendelea tena kutoa kasoro.

Комментарии • 16