NIDA WAJA NA NJIA RAHISI YA KUPATA KITAMBULISHO CHA TAIFA
HTML-код
- Опубликовано: 13 янв 2025
- Naibu Waziri mambo ya ndani ya nchi Daniel Silo amewataka Watanzania wakachukuwe Vitambulisho vyao kwenye Maeneo ambayo wamesajiliwa kwani zaidi ya vitambulisho milioni 20 tayari vimechapishwa kwaajili ya Watanzania
Mhe Silo ameyasema hayo alipotembelea Makao Makuu ya NIDA Jijini Dar es salaam ambapo amesema Serikali imetoa shilingi Bilioni 42.5 ili kuhakikisha watanzania wote waliosajiliwa wanapata vitambulisho