You are the best rapper,hivi ndivyo vichwa vinavyoweza kufanya ngoma inayoishi. Maudhui ya wimbo ni mazuri na yenye ku-touch nyonyo za watu. Hii inatukumbusha kuwa karibu na Mungu cause no one is permanent. We need even a second. Big up sana Frege...dedicating the song to limitless hustlers.
Kazi nzuri sna Meki, nimependa sana mikato yake ilivyo, rangi zimetulia sana, vinganishi vyake vizuri. kile kikolombwezo cha mtetemo wa taswira kinavutia sana inafanya utake kuiona tena na tena.

Kazi iko poa sana!
Endeleza mwendo huo huo ikiwezekana zidisha zaidi!
Kazi nzuri sna Meki, nimependa sana mikato yake ilivyo, rangi zimetulia sana, vinganishi vyake vizuri. kile kikolombwezo cha mtetemo wa taswira kinavutia sana inafanya utake kuiona tena na tena.
Vocal zimetulia, keep it up FREGE
asante sana mkuu.. tukishikamana pamoja tunaweza mkuu
Still rocking with the timeless hit...r.i.p Sophia Mgagi.
Kaz nzur frege kaza
Sawa Mzumbe boy
This is a legacy
f.r.e.s.h
,😦😦😦
Kaz nzur frege kaza