The best interview ever,have been laughing since the start of the interview this guy from Canada is hilarious and good hearted man.Keep it up EBM fro bringing such a video,watching from Kenya.
I fill so good me nipo Australia I wish tungekua na ndugi zetu kaka zetu kama hivi tukapatana na kubadilishana mawazo. Thank you brothers keep doing what you do bro salute
Nipo Israel kwa sasa mwakan nakuja Canada by God's Grace. Keep it up Brother Makulilo hakika namshukuru Mungu sana kwaajili yako God Bless you and your Family
And how to come there,I'm personally ready to hustle any kind of job so long as not illegal to earn extra cash,here in Kenya it's hand to mouth not even a penny to buy inner-ware now the way things are here it's not good at all
I agree with this guy ,I suffered alot in Kenya 🇰🇪 and then moved to the 🇬🇧,!I don't miss anything in Kenya Kenya reminds me of the suffering I had to endure .Wewe boss umenena
Wow, I really love your honesty,like you I feel the same, apart from my family I think I`d be ok without goiing back to Kenya *for now* but people frown when you say it so openly. I was dirt poor in Kenya, I could not afford a $10 a month rent makupa and bombolulu, Switzerland changed my life, why would I want to give up something I fought so hard to get? Anyway I do think wenye kijipiga kifua "nimefika" nitakua mkurugenzi hivi karibuni are the newcomers.I have been here 25 years, I'm more realistic in expectations, and what I have to bring to the table to get that high table if I want it. I hope to hear more, from people like you, not people who came 3, 4 years ago and want to tell me they know it all.
Most of us we come from a family which we have been provided in order to support back our family....but mostly we still struggle for get opportunity of being relocated at Canada through job, scholarships or any means. So hii hustle tunayoifanya kufika huko kufikilia kurudi tena shida
Kenya ni ya wenye wako na connection with government. I left kenya for Australia, never looked back. I must admit, it is not for everyone. You have to be ready to do minieal jobs to start with. Minimum pay per hour in Australia is $21 dollars.
Hey, am planning to immigrate to Aussie in February 2023. Am moving to Good coast. How's the place generally? Are there opportunities for fresh immigrants?
Habari yako our coach, nimesha subiria unijibu ila aujibu, naomba unijibu please Mimi ni Alex Baliba from Tanzania, nimetaka kujuwa lakufanya mimi nina Mke na mtoto USA sasa sijuwi nitafanya ili nijulishe kama nina Familia uko Please naomba unisaidie
Kweli hata kwa wanaume kujifunza kupika itakusaidia ukienda nchi za nje pia, coz mara hutokea ku share nyumba na wenzako, so mostly kupika huwa kwa zamu, kwa hiyo kuwa na japo idea ni kitu muhimu. Si rahisi kupikiwa na wanaume wenzako kila siku Hongera kaka kwa kuwa na kazi sehemu hiyo hiyo kwa miaka zaidi ya 20, huwa ni bahati tu, ingawaje na bidii na nidhamu ni muhimu, ila kuna wanaokosa kazi kwa muda, kuna wanao lazimika ku change kazi zaidi ya moja kwa sababu mbali mbali. Then kipindi kama cha sasa kazi ni ngumu kupata, ila mambo hugeuga geuka, so never give up katika utafutaji
Daaa waoooo❤❤❤❤❤❤ safi sana kaka miaka yote hiyo na usahau kwenu amakweli nimeamini msahau kwao nimtumwa wewe haujasahau miaka yote hiyo Mungu akupe afya njema ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
ASSLAMALAKUM WARAMATUALLAH WABARAKATU MY BROTHER FROM TZ. LIVING IN CANADA 🇨🇦 I AM PROUD OF PEOPLE OF TZ. I AM LIVING IN UK 🇬🇧 LONDON .BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA MOMBASA I ALWAYS TALK WITH MY FRIEND IN UK KISWAHILI I LOVE MY HOME LANGUAGE KISWAHILI SO MY BROTHER FROM TZ WHO LIVING IN CANADA 🇨🇦 MY BROTHER ABDUL I AM PROUD OF YOU REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM UK 🇬🇧 BUT ORIGINAL FROM KENYA MOMBASA HOME SWEET HOME ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Sasa lakini Canada 🇨🇦 visa ishakua tabu, sijui mara diploma...sijui degree loh !! Agents nao wanadai laki Mia tatu shilingi...mungu atujalie tupate hela tulipe hao agents tufike huko tuchape kazi wallahi.
Weh ata laki mia tatu ndogo wengine laki mia nne tano jameni sasa mtu jobless Kenya izo atoe wapi kama Sisi wenye tunahustle saving such money would take your life time man,noma kweli
Hi i am watching from Kenya, thanks for sharing, i am 40 and i need a job us Forklift operator, Please advise is it easy for me to get a job in Canada us forklift operator?
Kweli. Na moja ktk nasaha ninayompa mtu alokua ughaibuni au anaetaka kuja ughaibuni....mambo yako kueka private. Asijue yyte umekuja vp, unaishi vp, kipato chako, km unafanya chchte utokapo na jengine maendeleo ya wtto wako. Unaeza kupata marafiki wengi lkn ujue kikulacho kinguoni mwako.
@@hassanbilali1697 lazma kujiongeza.Sio lazma uwe bongo ndio ujiongeze bro.Huko ndio chaka linataka ujiongeze haswaa coz bila kujiongeza utajipata umekwama katika mzunguko uouo wa maisha
@@hhonest9553 sorry sikuelewa your response to my comment. Such a coincidence I have lived in canada past 35 years. My comment sikukataa what he said but the combination of Alhamdullilah na tembo. Gives a very wrong and mixed message.
i agree with is guy 👏👏👏👏👏....KWa kweli ma Isha sahi sio yakuchagua kazi, just chapa kazi..hata kama nikuosha mbwa yote nikazii bro 🔥🔥🙏🙏 bili vile alivyo SEMA Bali tu kutafuta watoto wako 🙏🙏🙏🙏👏👏👏🔥🔥🔥
Kazi ni kazi ndio ila akili muhimu.Kazi izo zakufnya siku za mwanzo ukiwa umeingia kwenye nchi.Ukichanganya unatakiwa uwe smart na kupanda ngazi sio kustick na company miaka 25 just go get pAid 20$/hr
Duu huyu jamaa nimemuelewa sana Yuko na moyo mzuri sana naamini NAMI siku moja nitafika huko naipenda sana hii nchi
Interview kali sanaa ungekua unaleta kama hizi ungetisha sana
MaashaAllah,
He look young.
Canada my dream country, may make easier for me 🤲🏻🤲🏻
Nimeipenda na uwazi wa Kaka yetu aliyetangulia Canada I'm very happy 100%
MZEE WA MJEGEJE NATAFUTA MKE 👇
ruclips.net/video/7GCHaegr-aw/видео.html
Hamna cha kujifunza..Huyu anaonekana mlevi na mhuni tuu
@@johnjohn7952 saaana
@@johnjohn7952 ukikosa cha kujifunza ina maana huumizi kichwa
A wonderful man and down to earth be blessed man
Best interview Mr. EBM. Mr. Big kaongea mambo ya muhimu sana lakin cha msingi ni kuwa na malengo katika kufanikisha kile unachokitaka katika maisha.
The best interview ever,have been laughing since the start of the interview this guy from Canada is hilarious and good hearted man.Keep it up EBM fro bringing such a video,watching from Kenya.
Sure mamii
Biggy Biggy Roho safi na anasema yote Africa kama hauna pesa yako wwe n useless hata kwa family yko.Most intresting man.
I fill so good me nipo Australia I wish tungekua na ndugi zetu kaka zetu kama hivi tukapatana na kubadilishana mawazo. Thank you brothers keep doing what you do bro salute
Allah akufanyie wepes shekh wangu said InshaAllah msitusahau japo juzuu za kusomea madrassa InshaAllah
Inshallah kheri sheikh wangu
@@SaidSaid-ef8md kaka tunaweza kuwasiliana zaidi?
@@Dee-dj1uv anytime kaka hamna shida
Una eza kuniambiya mambo ya uko ulaya
This is Amazing sana thanks EBM we are leaning alot , there is God in Heaven
Such a unique perspective. Anayafurahia maisha ya ughaibuni kama muafrika. Great interview!
Great interview. He made a good point about agreeing to start small but that is not always the case. I didn't have to.
MZEE WA MJEGEJE NATAFUTA MKE 👇
ruclips.net/video/7GCHaegr-aw/видео.html
I love how he say ukalimu wake umetokana kutoka kwa mamake. Salute from her mum👏👏
This is among of the best interview this dude is real
mahojiano yenye mnato kweli aisee. mcheshi, roho safi. asantum kwa video EBM
Nipo Israel kwa sasa mwakan nakuja Canada by God's Grace.
Keep it up Brother Makulilo hakika namshukuru Mungu sana kwaajili yako God Bless you and your Family
Nitafutie na mie Kaka angu
Israel maisha vipi?
@@simonmannjoro2314 huku Mazuri sana ila changamoto kupata working permit ndo kazi kubwa
@@fidelismsigwa9823 I love Israel connect me plz
MZEE WA MJEGEJE NATAFUTA MKE 👇
ruclips.net/video/7GCHaegr-aw/видео.html
Wow l love it
May God open door 4 us.👏👏
The guy is saying the truth. I'm in Toronto East York . If you want to come here , come with an open mind ready to hustle and you will make it
Canada is making it hard for people to come there
Hi
Connect me
And how to come there,I'm personally ready to hustle any kind of job so long as not illegal to earn extra cash,here in Kenya it's hand to mouth not even a penny to buy inner-ware now the way things are here it's not good at all
Can you help to come there
Plz plz guide me plz to come over dear I have passport air ticket iko
Lovely,amazing and encouraging.
I agree with this guy ,I suffered alot in Kenya 🇰🇪 and then moved to the 🇬🇧,!I don't miss anything in Kenya Kenya reminds me of the suffering I had to endure .Wewe boss umenena
Nipe connection na mm nizamie huko
Very true i dont miss anything there
Glory to God never miss a golden chance
Ulienda ki vipi?tuzaidie tafadhali.
Following
Hii imekua fupi sana i need to hear more form Big😄 please Big arudi tena
Akhaahahha.. sure big arudi ana mengi. Asant big💪
Kwakweli Big wamrudishe Tena aisee🤣🤣🤣
Kwakweli Big wamrudishe Tena aisee🤣🤣🤣
Aludi anastoli nzul🎉
Nani alidhani huyu jamaa ni PROFESSOR JAY? Nimejifunza mengi sana Asante Kwa kutushirikisha
Me mwanzo nilijua ni yeye
Wow, I really love your honesty,like you I feel the same, apart from my family I think I`d be ok without goiing back to Kenya *for now* but people frown when you say it so openly. I was dirt poor in Kenya, I could not afford a $10 a month rent makupa and bombolulu, Switzerland changed my life, why would I want to give up something I fought so hard to get?
Anyway I do think wenye kijipiga kifua "nimefika" nitakua mkurugenzi hivi karibuni are the newcomers.I have been here 25 years, I'm more realistic in expectations, and what I have to bring to the table to get that high table if I want it.
I hope to hear more, from people like you, not people who came 3, 4 years ago and want to tell me they know it all.
Thanks for that insight too, it gives us confidence makes this info reliable, esp for those of us seeking guidance on how to cross over soon.
Swiss 🤔
@@wilsonm.7376 Yeap Uswizi ni link tu ya kuaminika sjapata😊
Most of us we come from a family which we have been provided in order to support back our family....but mostly we still struggle for get opportunity of being relocated at Canada through job, scholarships or any means. So hii hustle tunayoifanya kufika huko kufikilia kurudi tena shida
How can l make it there
Kenya ni ya wenye wako na connection with government. I left kenya for Australia, never looked back. I must admit, it is not for everyone. You have to be ready to do minieal jobs to start with. Minimum pay per hour in Australia is $21 dollars.
Hey, am planning to immigrate to Aussie in February 2023. Am moving to Good coast. How's the place generally? Are there opportunities for fresh immigrants?
Am looking a way I can relocate to Australia, kindly advice
How can I come there I want to, connect me I want to work any job dear
Hongereni sana kwa kuwapa au kutupa Moyo katika utafutaji wa Maisha kwenye Inchi za nje.
Nimefurahia courage, and openness.
I usually like to join Canada, for unskilled jobs but I have no idea.
Kama waweza kunisaidia br nashukuru 🙏
Wacheni kujishow mukija huku wa Shamba tu watu wana kila kitu huku pesa zenu mbili za kunywea bia
Facts...as a truck driver na professions zingine you need experience and decipline
True
Driver here in Kenya if I get a chance would like to come for a job there man.
Am truck driver 7 years experience in Gulf GCC countries how can u advise me on that's
Mr.Biggy is so real.....given an opportunity kesho siko hapa my land has not given me an opportunity yet
Me to
I luv the guy his straight forward mr biggie all the why to uk huyo mkenya huyo mombasa mmoja
59 years but looking still young ..its good.
Sure
Looks unhealthy for 59 huge cheeks too much fat 😅fast food
Really, look 30 years
Masha Allah Mola awahifadhi insha Allah Jomba Abdallah
Am from Rwanda but u guy u gonna make me do that thax Ebm broo
Thats how we do, tumekuja kutafuta maisha sio kutafuta stress
money in the 🏦
Hlw
MZEE WA MJEGEJE NATAFUTA MKE 👇
ruclips.net/video/7GCHaegr-aw/видео.html
Habari yako our coach, nimesha subiria unijibu ila aujibu, naomba unijibu please
Mimi ni Alex Baliba from Tanzania, nimetaka kujuwa lakufanya mimi nina Mke na mtoto USA sasa sijuwi nitafanya ili nijulishe kama nina Familia uko
Please naomba unisaidie
Big achekesha kweli,,,watched to the end😅🤣😂
Big umetisha sana
Mashaallah bro ,Mzungu akujaalie kheri #No Stress bro.#Jeshii
Kbsa
Big popaaa! "Sha barikiwa mi bro" haha haha very fan and truth
I don’t miss shit! This guy is real and I love his Swahili ya mchicha mchicha
Such a unique and blessings to have someone like this..
Amen 🙏🏻
Kweli hata kwa wanaume kujifunza kupika itakusaidia ukienda nchi za nje pia, coz mara hutokea ku share nyumba na wenzako, so mostly kupika huwa kwa zamu, kwa hiyo kuwa na japo idea ni kitu muhimu. Si rahisi kupikiwa na wanaume wenzako kila siku
Hongera kaka kwa kuwa na kazi sehemu hiyo hiyo kwa miaka zaidi ya 20, huwa ni bahati tu, ingawaje na bidii na nidhamu ni muhimu, ila kuna wanaokosa kazi kwa muda, kuna wanao lazimika ku change kazi zaidi ya moja kwa sababu mbali mbali. Then kipindi kama cha sasa kazi ni ngumu kupata, ila mambo hugeuga geuka, so never give up katika utafutaji
best advice ever nimependa hii sana
A.aleykum Abdalla checkbob nimekuona bro nimefurai sana sana mimi ni Doctor Hussein kutoka msaji
For beginners caregiver jobs and study pays off
How does one apply for caregivers
nkajua big ana 25 wow congrats broo
Oi mze baba mambo vipi hongera sana mzee
bro Abdallah aka Mmeru...majengo msaji nimefurai sana kukuona MashaAllah!!! ❤🇰🇪👊
Daaa waoooo❤❤❤❤❤❤ safi sana kaka miaka yote hiyo na usahau kwenu amakweli nimeamini msahau kwao nimtumwa wewe haujasahau miaka yote hiyo Mungu akupe afya njema ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Wow.Am watching you from Finland. EU
Well put Biggy. Maisha ume sema no stress.Watu wanatoka Africa kuhepa stress kisha waki fika ulaya tena stress ulaya. Basi heri mtu abaki tu Africa.
Naomba namb za biggy ples
ASSLAMALAKUM WARAMATUALLAH WABARAKATU MY BROTHER FROM TZ. LIVING IN CANADA 🇨🇦 I AM PROUD OF PEOPLE OF TZ. I AM LIVING IN UK 🇬🇧 LONDON .BUT I AM ORIGINAL FROM KENYA MOMBASA I ALWAYS TALK WITH MY FRIEND IN UK KISWAHILI I LOVE MY HOME LANGUAGE KISWAHILI SO MY BROTHER FROM TZ WHO LIVING IN CANADA 🇨🇦 MY BROTHER ABDUL I AM PROUD OF YOU REMEMBER ME IN UR DUA UR BROTHER SIDIK FROM UK 🇬🇧 BUT ORIGINAL FROM KENYA MOMBASA HOME SWEET HOME ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
🎉
Sasa lakini Canada 🇨🇦 visa ishakua tabu, sijui mara diploma...sijui degree loh !! Agents nao wanadai laki Mia tatu shilingi...mungu atujalie tupate hela tulipe hao agents tufike huko tuchape kazi wallahi.
Tafuta mtu sahihi
Weh ata laki mia tatu ndogo wengine laki mia nne tano jameni sasa mtu jobless Kenya izo atoe wapi kama Sisi wenye tunahustle saving such money would take your life time man,noma kweli
@@LataBennnnnn fanya kweli basi kama kuna mtu sahihi unamuamini nishtue mamii.
@@LataBennnnnn fanya kweli basi kama kuna mtu sahihi unamuamini nishtue mamii.
Big i like umesema kweli kabisa, wish one day tufanye interview na EBM sisi tupo canada new brunswick
Big man, I like the way you are. All the best, I wish you.
Thanks buggy for the advice, stay blessed
Amazing bwana Abdul
Well said Shukran.
Nice fact kaka no stress
Soooo much encouraging.... good words..I wish one day I gonna be there.🙏🙏
Asantaa Abdhallah...Allah akueke
Big up EBM hongera sana💪💪
Dah safi sana mkuu, nimeipenda hii
Ushauri muzuri sana barikiwa but how can I reach there
God bless me niende Canada
Mwenyezi Mungu azidi kukulinda Abdul.
Mjomba Abdallah 😅😅😊team mangina,Aunty Rehema, sophia,Abu,chibubu love guy my family
Mkenya mimi na nmeipenda interview hii sana
Hbr kaka nimekubali sana nami naomba urafiki nije huko canada
👍👍 nime jifunza mengi thinks
Ongereni kwa kazi nzuri mayor zidi kui fanya na mnachangia sana kwenye mafanikio yangu
He is speaking FACTS! Simple and clear!
Absolute 💯 ✅✅✅✅
Yes up 🔝
How can I come to Canada
Hello EBM swahili Mm ni fun wako mkubwa.naishi ulaya lakini napenda kuhamia canada ama america.naomba mawaidha.asanti
Good job bro
Sorry.. I need to come Canada 🇨🇦 how can l get connection. Help uss pls
Wahooo very nice guy nimefurahi sana mungu akubariki naomba unisaidoee nifike huko nipate kazi
Good interview. Very informative.
Mungu azidi kukuweka sawa kaka Biggy... hope to meet you 🙏
*majaliwa🙏
Kaka wewe uwe na moyo Huwo Huwo ❤❤🎉
kaka asante mungu akubariki . ilove you
Hi i am watching from Kenya, thanks for sharing, i am 40 and i need a job us Forklift operator, Please advise is it easy for me to get a job in Canada us forklift operator?
" nilikula nggumu mjomba" so deep ..bro njoo calgary
Huyu Dingi yupo safi kabisa... ila shida waafirika hatupendani hapa ughaibuni.... Much Love from Seatte, WA
Nipatie namba yako mkuu
Kweli. Na moja ktk nasaha ninayompa mtu alokua ughaibuni au anaetaka kuja ughaibuni....mambo yako kueka private. Asijue yyte umekuja vp, unaishi vp, kipato chako, km unafanya chchte utokapo na jengine maendeleo ya wtto wako. Unaeza kupata marafiki wengi lkn ujue kikulacho kinguoni mwako.
Huku hatupendani kabsaa. Kuna watakaokuonyesha na kuna watakaojificha. Akili kichwani mwako. Muhimu shirikiana nao lkn lako usimwambie mtu.
Safi sana brother Big
Nimependa sana interview I wish one day nitoke njee ya Tanzania nikapambane njee ya nchiiiii...
Dogo wa isanga vipi?
Safi sana
Ukawe mwaminifu na hard worker sio mambo ya kujiongeza kama bongo.
MZEE WA MJEGEJE NATAFUTA MKE 👇
ruclips.net/video/7GCHaegr-aw/видео.html
@@hassanbilali1697 lazma kujiongeza.Sio lazma uwe bongo ndio ujiongeze bro.Huko ndio chaka linataka ujiongeze haswaa coz bila kujiongeza utajipata umekwama katika mzunguko uouo wa maisha
Awesome.
Bye bye stress. After listening to this I am out of bed and back to my normal.. He won’t come back from death . Whatever will be will be . Waaaaahala
😂😂😂😂😂😂😂bigi ndio mm huwa nawambia warabu nyinyi hamuezi nipanda akili yangu musinilete ush....g😂😂😂😂
Sound good
I was there for five years and returned back home it is so tough it is not a joke
🤔🤔😢😢😳😳
You not serious
It’s tough most can’t manage
You must be a lazy person, period
Nothing is easy.Seems like u never had right procedure
Mzee wangu nime kufatiliya sana video zako naomba msahada wako niko Mozambique
Mimi nataka kuja lkn Sina elimu sijui kizungu hata hio kazi ya kuosha choo nikotayari nitimize malengo ya watoto wangu
Ndugu una uchu sana dah😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Masomo ama kizungu isn't requirement. Find a way to reach there
Lahaula! Alhamdullilah na tembo haiendi pamoja!
Iyo ndio athari ya canada.Na sio athari tu ya canada,bali athari ya watui waliona maisha ya ulaya ndio kila kitu
@@hhonest9553 sorry sikuelewa your response to my comment. Such a coincidence I have lived in canada past 35 years. My comment sikukataa what he said but the combination of Alhamdullilah na tembo. Gives a very wrong and mixed message.
Be blessed,ubarikiwe,kazi ya nanny ndo nataka,nojibu please
big ananyesha sana, much love
How I can come there,I was I Saudi Arabia for 3yrs, please connect me.
Bro ka nene pa san🤝😂
i agree with is guy 👏👏👏👏👏....KWa kweli ma Isha sahi sio yakuchagua kazi, just chapa kazi..hata kama nikuosha mbwa yote nikazii bro 🔥🔥🙏🙏 bili vile alivyo SEMA Bali tu kutafuta watoto wako 🙏🙏🙏🙏👏👏👏🔥🔥🔥
Kazi ni kazi ndio ila akili muhimu.Kazi izo zakufnya siku za mwanzo ukiwa umeingia kwenye nchi.Ukichanganya unatakiwa uwe smart na kupanda ngazi sio kustick na company miaka 25 just go get pAid 20$/hr
Mr Biggy majengo mombasani saanaa. one love mzee baba 🙏🙏
Sory nisaidie namba za begg
Brother send something small am your fan here kenya
Mr. bigy bigy anaslide tu maisha dah,,,yani fully kubembembea