Mh. Byabato, you have made me cry too…Pongezi sana kwa moyo wako wa dhati kuleta maendeleo ya mkoa wetu. TRUST me machozi haya hayatapotea bure!!! Watakaonufaika na Tunaopenda maendeleo haya ni wengi kuliko hawa wachache wanaopinga na wenye hira na nia mbaya kwa maendeleo na mkoa wetu. Piga kazi Kaka, we have your back!!!!
Sehemu yoyote duniani yenye wachawi wengi huwa maendeleo kupatikana nivigumu sana, njia rahisi nikumrudia mwenyezi Mungu, airehemu kagera, mashekh, wachungaji, makasisi wote watangaze dua maalumu kwa huo mkoa nawana siasa wawepo nao watubu,Mungu niwarekhema ataiponya kakera, 2Nyakati,7:14,
Pole Kiongozi ! Duhhhh, nimeumia sana. Mungu akutie nguvu na Yeye apigane na wanaopigana na wewe na kukwamisha miradi yamaendeleo Jimboni kwako. Please soma Yer 1:19. Nimeumia sana maana na mimi nikionozi mahali fulani
Suala kupiga goti na kulia ndo hapo Sasa ndo umeharibu. Bukoba mwanaume jasiri hawezi kulia. Kupiga goti, ni ishara ya unyenyekevu wa Hali ya juu. Goti huwa linapigwa Kwa Mungu tuu. Mungu atakasirika na sidhani kama ilikuwa sahihi. Omba msamaha Kwa Mungu. Maana imeandikwa ( Flp 2:10-11).Kwa jina la YESU KILA GOTI LIPIGWE.
Aisee! Natamani ungekuwa mbunge wa kwetu Songea huko.Waziri unatamani Maendeleo ya wanainchi. Mungu akusimamie ktk kazi zako, Hao wanaokukwamisha watashindwa.2025 utapita
Apambane kijana...Bukoba kuna baadhi ya watu wana ubinafsi wa hali ya juu...Yaan kama kitu hakimpi faida yeye anaachana nacho na anaweza kukipinga...sijui roho hiz wanazitoa wap...Bukoba ingeishaendelea kitambo sana maana uwezo inao na iko strategically located...Lakin baadhi ya watu tena viongozi wakubwa tu wa manispaa hiyo wanairudisha nyuma....
Mheshimiwa Byabato wewe ni kijana bora kabisa, mzalendo na mpenda maendeleo. Najivunia wewe kuwa Mbunge. Nimekushuhudia namna unavyopambana na mahitaji ya watu wa jimbo lako. Barabara, umeme, maji tayari umefanya zaidi ya 90% sasa stand, soko, kanoni yamewashinda waliokutangulia kwasababu ya fitina za watu. Lakini umefanikisha. BIBLIA INASEMA “USIOGOPE” nami ninakwambia usiogope songa mbele Hakuna mwingine ya kufanya kama siyo wewe. Historia utakuandika vyema. Wanabukoba walio wengi wanakupenda na kukuombea. Mwenyezi Mungu akutunze
Mpeni ushirikiano kiongozi huyo. Ana moyo wa kufanya kazi. Ni kwa faida yenu wana bukoba. I just got emmotional by just watching him. Be strong son. And lead your people with prayers to break the stronghold.
Wewe ni mwema sana . Unavoongea tu ni mkweli . NA UKWELI UPO KATIKA FAMILIA NZIMA WANABUKOBA WANAPASHWA KUJUA HILO . SISI WENGINE TUMESHAFANYA KAZI NA NDUGU ZAKO . FAMILIA YAKO NI YA UAMINIFU . PIGA KAZI WANAOONA WANAONA WAPUUZI ACHANA NAO . ONUKAMA TAFUKAMA IWE WAFUKAMA ASANTE SANA.POLE SANA .
Kweli unachosema Bukoba nikwetu ila wanafiki ni wengi sana wanakwamisha maedeleo toka zamani unafikia ni mwingi sana unakosesha maedeleo tunachekwa sana uku nikoani Wasomi niwengi ila wanafiki niwengi elimu ya mwanabukoba aiwasaidihi tunakwamisha
Mkuu ninakuelewa sana endelea mbele tupo tunaokuombea..shida bukoba ujuaji mwingi jameni punguzeni, kila jambo mnataka liende mnavyotaka nyinyi na ajabu bukoba ndo mkoa ambao watu wanaweza kua na umoja mkubwa katika mambo yakurudisha nyuma mendeleo na wakawa na mgomo baridi majority of them. Loh!
Hasa wanapinga nini?. Kama ni stend kwa hapo mjini katikati ni makosa, hapo panabana mno hauwezi kupanua maendeleo ya bkb kwa kubakisha stand na soko mjini kati Byabato
Mbinu mojawapo ya kuleta maendeleo ya kweli katika Bukoba municipal, ni kuboresha miundo mbinu kama kujenga/ kupanua barabara,ujenzi wa bus stand, hivyo yeyote anayepinga uwepo wa miradi hii, atakuwa haitakii mema Bukoba municipal, na mkoa wa Kagera kwa ujumla.
Duh adi nimelia et tatzo Ujuaji mwingi mno bukoba kila mtu anajuwa ndo maana apaendelei mim cku ya kupiga kura nakuja kukuchagiwa ndugu yangu we piga kazi
Wengi wao waliotoa comment hapa ni uelewa mdogo masikini,hamjakutana na mizozo au mivutano ya viongozi katika kuleta maendeleo kwa wananchi.Mheshimiwa huyu kulia,mambo ni mengi na yanakwaza sanaa.Hata mkuu wa mkoa alishayasema hayo ya watu kukwamishana hapo Bukoba.
ni mnafiki tu.Kwa nini asiwataje wanaomkwamisha?Kama Waziri, kwa nini asiwalipue hao Bungeni? Kwa nini asiwashtaki kwa Samia?Ni aibu kuona Waziri analalama kama Mwendawazimu.Ametuaibisha Wahaya.
Uchaguzi Umekaribia 😂😂 mtalia kila aina ya Machozi Mamae.Kama unapenda wana Bukoba Ungeomba Serikali yk ya au Chama chako cha CCM waondoe Vyeo vya hovyo kama Wakuu wa Mkoa na Wiraya na Warete Serikali za Majimbo ndo yaamue Maendeleo ya Wananchi wao sio Maendeleo ya Wananchi yamuliwe Dodoma
Wananchi msimuamini mwanasiasa yoyote ata ajigalagaze vp chini kampeni zikinukia ndo mambo yao ao iv bukoba stendi tayali ishajengwa wahaya wenzangu au bado 😂
Wewe acha usanii ,hayo yote ni mapicha ili kuwahadaa wana nchi na kuwa fanya mazuzu ili upate ubunge wa huruma hapo wana nchi msikubari ngonjera hizo mtupeni kapuni huyo msikubali hao tena
Tatizo ukiwa opposite mda wote pasipo hoja maalumu ni ujinga wa akili wewe unahisi alieko upinzani ni mleta maendeleo rahasha si kweli Kuna watu ni chama tawala kama huyu jamaa anafanya kazi tatizo lilipo tu ni kwa viongozi wadogo wadogo wa chama Cha CCM walioko chini oya ni vivuruge Hadi wanakela wanajikutaa wanajua Kila kitu me pia hutaman nideal nao
Uwe unapokea na simu za watu hasa wenye ulemavu, na yule dada mwenye ulemavu wa bugashani alikuomba scooter 🛵 ukampatia kiti mwendo ambacho siyo msaaada kwake, kwahiyo Mzee milion 5 kwako siyo kitu fanya kitu kwaajil ya yule dada anapitia changamoto kubwa sanaa japo anajituma😢😢😢😢
@@estergordian-vv9jx Chifu usimlinganishe na hizi takataka. Akiwa Meya tena CHADEMA ambapo serikali ya CCM inaminya pesa, alifanikiwa kuboresha miundombinu ya barabara nenda mpka kilimahewa, Kashenye, Kahororo, nk. Mradi wa maji mkubwa unaojengwa Kahororo, utu na uungwana ndani ya manispaa haupimiki. Chief kijana mchapakazi, asiyejikweza, mwenye uwezo wa kujenga hoja akasikika popote, usimlinganishe na hawa watia huruma waliobebwa na mfumo. Bukoba haiwezi kuongozwa na kijana arrogant, anayelialia ingali ana mamlaka , mbunge ana mamlaka tena waziri unafika kila eneo, ikulu haubishi hodi, afu uje kulia?? Hiii ni inaonesha kiasi gani dogo ni dhaifu, hachangamani na watu, syo mbunifu, mjanja, mwenye weledi wa kutatua matatizo ya jamii. Kazi hii ni ya mnyamwezi Chifu (mwamba) uliza CCM wakwambie vizuri uwezo wake tangu akiwa mwenyekiti uvccm Hadi Diwani, muulize Kagasheki akusimulie moto wa Chifu
Huyu ata wasipojenga stand kushinda ata shinda tuu hata kama maana kawa muwazi mapema nini kinamkwamisha. Jamani kamati ya siasa ya wilaya msaidieni kwa moyo mmoja tuache nongwa tusije kumkwamisha Raisi wetu Dkt. Mama SSH. UKimukwamisha Mbunge mtakuwa mmeikwamisha Serikali yetu. TUACHE NONGWA.
Pole mh byabato mungu atakusimamia katika kazi zako akufanyie wepesi wakila jambo.
Mh. Byabato, you have made me cry too…Pongezi sana kwa moyo wako wa dhati kuleta maendeleo ya mkoa wetu. TRUST me machozi haya hayatapotea bure!!! Watakaonufaika na Tunaopenda maendeleo haya ni wengi kuliko hawa wachache wanaopinga na wenye hira na nia mbaya kwa maendeleo na mkoa wetu. Piga kazi Kaka, we have your back!!!!
2025 kura yngu añayo uyuuu bora nipoteze nauli
Sehemu yoyote duniani yenye wachawi wengi huwa maendeleo kupatikana nivigumu sana, njia rahisi nikumrudia mwenyezi Mungu, airehemu kagera, mashekh, wachungaji, makasisi wote watangaze dua maalumu kwa huo mkoa nawana siasa wawepo nao watubu,Mungu niwarekhema ataiponya kakera, 2Nyakati,7:14,
Kwa kweli umenena ila mbona Mbeya inaenda?! Au Kwa sababu baada ya nyumba mbili ni Kanisa?
@@BeatriceHenry-t3i mbeya imechangia sana nyumba zaibada ninyingi lakini kule wanakumbia diniyetu ya zamani kumbe nyuma yake kuna yaliyo jificha
Pole Kiongozi ! Duhhhh, nimeumia sana. Mungu akutie nguvu na Yeye apigane na wanaopigana na wewe na kukwamisha miradi yamaendeleo Jimboni kwako. Please soma Yer 1:19. Nimeumia sana maana na mimi nikionozi mahali fulani
Mungu anaweza, tunakuombea, machozi hayo Mungu ameona moyo wako na atatenda.. Mungu akulinde na familia yako💪❤️🙏🏿
WATU WA BUKOBA TANZANIA MIMI NI MKENYA LAKINI KIONGOZI KAMA HUYU NI BARAKA MFANO WA MAREHEMU MAGUFULI ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Unazijua siasa za bongo ww au unazisikiaga tu 😂😂😂
Byabato oyeee Magufuri oyeeee mlikuwa na chemistry Moja SS ni majungu wanamsingizia mama Samia roho chafu tuu Magu aliwapasha
Kipindi cha uchaguzi ww hawa wajanja
Barikiwa Sana mhe isaidie tu usichoke
Mungu akusaidia sana kwa kazi hii mungu atakusaidia yeye ndie Leo maka kesho
Suala kupiga goti na kulia ndo hapo Sasa ndo umeharibu. Bukoba mwanaume jasiri hawezi kulia. Kupiga goti, ni ishara ya unyenyekevu wa Hali ya juu. Goti huwa linapigwa Kwa Mungu tuu. Mungu atakasirika na sidhani kama ilikuwa sahihi. Omba msamaha Kwa Mungu. Maana imeandikwa ( Flp 2:10-11).Kwa jina la YESU KILA GOTI LIPIGWE.
POle sana Mungu akutie nguvu
Ongera mweshimiwa tuko nyuma yako tunakupenda tunakupongeza pambana kiume tuko nyuma yako tutakusapoti mpe mama ongera yetu kwakutupenda nani kama mama ❤❤❤❤❤
Aisee! Natamani ungekuwa mbunge wa kwetu Songea huko.Waziri unatamani Maendeleo ya wanainchi. Mungu akusimamie ktk kazi zako, Hao wanaokukwamisha watashindwa.2025 utapita
🙏💪
Nikweli kabisaaa,WAKOLA MWANA WA MAE.
2025 bado sana watamkumbuka Magu😁
Mimi nakuelewa vizuri sana kaa na wanafiki wako,huna jipya wala huna lolote kulia lia tu.huna loloteee
Pole byabato
Noma sana hiii
Tanzanian have leaders manze this people are proud of their country
Waitara amekuambukiza?
Apambane kijana...Bukoba kuna baadhi ya watu wana ubinafsi wa hali ya juu...Yaan kama kitu hakimpi faida yeye anaachana nacho na anaweza kukipinga...sijui roho hiz wanazitoa wap...Bukoba ingeishaendelea kitambo sana maana uwezo inao na iko strategically located...Lakin baadhi ya watu tena viongozi wakubwa tu wa manispaa hiyo wanairudisha nyuma....
Inauma sana. Bukoba sijui tumerogwa na nani?
Mama haya yasikie hayo yakiongozi ,sijuwi yawananchi watasemaje watampa au 😂?
Mheshimiwa Byabato wewe ni kijana bora kabisa, mzalendo na mpenda maendeleo. Najivunia wewe kuwa Mbunge. Nimekushuhudia namna unavyopambana na mahitaji ya watu wa jimbo lako. Barabara, umeme, maji tayari umefanya zaidi ya 90% sasa stand, soko, kanoni yamewashinda waliokutangulia kwasababu ya fitina za watu. Lakini umefanikisha. BIBLIA INASEMA “USIOGOPE” nami ninakwambia usiogope songa mbele Hakuna mwingine ya kufanya kama siyo wewe. Historia utakuandika vyema. Wanabukoba walio wengi wanakupenda na kukuombea. Mwenyezi Mungu akutunze
Saf kampaina meneja wetu 2020
Wewe Samia ni wezi
😂😂😂😂😂😂😂 leo mnajifanya mnalia kuomba huruma pole sana
Karibu kuwaza kabla yakuandika
Mtanyooka tu awamu hii
Pambana Mheshimiwa.... Bukoba yetu iko nyuma sana kwakweli.
Huyu kijana tumepiga wote skuli ni mzuri sana wana BK msikubali kumpoteza.
unalia nini kubwa zima tulia
@@wilfredmbowe3644unayoyaongea huyaelwi kwanza kagera haikuhusu ndo maana
Muililie na ndiyoooo mliyoipitisha ktk Iga.
Nakupongeza usivunjike moyo fanya kazi ndugu yangu
Pambana kaka, Mungu yupo.
Usiseme uliomba pesa no mali za umma
Piga kazi kijana na ubunge utapata Mungu yuko pamoja nawe 🙏
Mpeni ushirikiano kiongozi huyo. Ana moyo wa kufanya kazi. Ni kwa faida yenu wana bukoba. I just got emmotional by just watching him. Be strong son. And lead your people with prayers to break the stronghold.
Daaaaaaaah yaaaan wazzir analiaaa mamamaeeee sa wabunge wa kawaidaaa watafanyaaa Nini ??????? This is stupidy
Sijaona point tukutane 2025
Kipindi Cha kampeni magufuri alisema bukoba ujuaji mwingi
Pambana kaka. Uongozi nikazi Ila kikubwa watumikie wanachi wako walio kutuma.
Mtangulize Mungu maana uongozi unatoka Kwa MUNGU
Hata kwetu mbeya wapo.
Wakwamishaji wa maendeleo. wao kwao kila kitu Ni kupinga tuu.
Chapa kazi. Maneno yao achana nayo. N/ Waziri
Kazi iendelee.
Byabato once mda wa kupga kura lazm nije nikuunge mkono 😊
😂😂😂 hapana
Unafaa sana. Bukoba ni ngumu lakini unaweza waziri. Hiyo barabara imeua wengi sana .
uchanguzi umefika tutona mengi
Kha sijaelewa mm.mwenzenu pole muheshimiwa jamanj kwann lakini mnamfanyia hivi😂😂😂
Mpumbavu kwel yaan , siuwataje hao wanaokwamishaaa?? Kama wameiba peleka mahakamani... Kalilie kwa mkeo huko tunamachungu sie
Wewe ni mwema sana . Unavoongea tu ni mkweli . NA UKWELI UPO KATIKA FAMILIA NZIMA WANABUKOBA WANAPASHWA KUJUA HILO . SISI WENGINE TUMESHAFANYA KAZI NA NDUGU ZAKO . FAMILIA YAKO NI YA UAMINIFU . PIGA KAZI WANAOONA WANAONA WAPUUZI ACHANA NAO . ONUKAMA TAFUKAMA IWE WAFUKAMA ASANTE SANA.POLE SANA .
Kweli unachosema Bukoba nikwetu ila wanafiki ni wengi sana wanakwamisha maedeleo toka zamani unafikia ni mwingi sana unakosesha maedeleo tunachekwa sana uku nikoani Wasomi niwengi ila wanafiki niwengi elimu ya mwanabukoba aiwasaidihi tunakwamisha
mambo saf
Bado hamjasema na mtasema yaani mpk msemeeee hiyo ndyo CCM
Mkuu ninakuelewa sana endelea mbele tupo tunaokuombea..shida bukoba ujuaji mwingi jameni punguzeni, kila jambo mnataka liende mnavyotaka nyinyi na ajabu bukoba ndo mkoa ambao watu wanaweza kua na umoja mkubwa katika mambo yakurudisha nyuma mendeleo na wakawa na mgomo baridi majority of them. Loh!
Mkoa wenye wasomi wa kiwango cha juu ,ajabu ni miongoni mwa mikoa maskini Tanzania.Nini tatizo ?
Yaani Hawa wajanja sana wanajifanya Wanahuruma sana kwa Sasa waongo sana na matapeli mbwa coco Hawa 😂😂😂😂
Fikiri kabla yakuandika
Usanii
hii sio sawa kwa kiongozi sifa ya kiongoz ni kuwa na moyo mkubwa
We pengine hujakaa Bukb ..yan hapa kuna watu wapo radhi wazuie maendeleo ili mradi wapate la kusema kwenye uchaguzi
Kijana pambana.
Hasa wanapinga nini?. Kama ni stend kwa hapo mjini katikati ni makosa, hapo panabana mno hauwezi kupanua maendeleo ya bkb kwa kubakisha stand na soko mjini kati Byabato
Mbinu za kijeshi hizo
Mbinu mojawapo ya kuleta maendeleo ya kweli katika Bukoba municipal, ni kuboresha miundo mbinu kama kujenga/ kupanua barabara,ujenzi wa bus stand, hivyo yeyote anayepinga uwepo wa miradi hii, atakuwa haitakii mema Bukoba municipal, na mkoa wa Kagera kwa ujumla.
Na inaonekana wanamfanyia hujuma
Tatizo sio waziri natizo ni rais kuchangua matope ndio wanaomuagusha rais
Kiongoz makini safi sanaaa pambana uongoz nivitaa
Tatizo la baadhi ya wahaya ni wajuwaji mno, hata chalamila aliisha waambia
Wahaya wengi wajuaji Sana piga kazi
😂😂 nenda kajiajiri achana na siasa
Haoo wanaokwamisha watolewe madam kwetu pataendelea wenye nia nzuri wasapotiwe
Ubunge umepewa na mwendazake ss subiri 2025 utakiona
Duh adi nimelia et tatzo Ujuaji mwingi mno bukoba kila mtu anajuwa ndo maana apaendelei mim cku ya kupiga kura nakuja kukuchagiwa ndugu yangu we piga kazi
We ria ata ikiwezekana urie ata damu ira kitajurikanatu 2025 sisi niwatu wazima atuwezi tishiwa namachozi sisi siyo mirima tutakutana
Wengi wao waliotoa comment hapa ni uelewa mdogo masikini,hamjakutana na mizozo au mivutano ya viongozi katika kuleta maendeleo kwa wananchi.Mheshimiwa huyu kulia,mambo ni mengi na yanakwaza sanaa.Hata mkuu wa mkoa alishayasema hayo ya watu kukwamishana hapo Bukoba.
ni mnafiki tu.Kwa nini asiwataje wanaomkwamisha?Kama Waziri, kwa nini asiwalipue hao Bungeni? Kwa nini asiwashtaki kwa Samia?Ni aibu kuona Waziri analalama kama Mwendawazimu.Ametuaibisha Wahaya.
Unaakili saana
@@jonathanakhabuhaya1693wewe huyaelewi unayoyaongea inaonekana bukoba huijui vzr
yn apo bado
Hata ulie vipi hamna kura msenge wewe
Ndg yetu pambana maisha ni vita
Nagira nkwibe simka nkuteme
Uchaguzi Umekaribia 😂😂 mtalia kila aina ya Machozi Mamae.Kama unapenda wana Bukoba Ungeomba Serikali yk ya au Chama chako cha CCM waondoe Vyeo vya hovyo kama Wakuu wa Mkoa na Wiraya na Warete Serikali za Majimbo ndo yaamue Maendeleo ya Wananchi wao sio Maendeleo ya Wananchi yamuliwe Dodoma
Mmmh mbona simwelewii huyu tena
Inaonekana kuna majungu
Hakuna kitu wewe mwajifanya watakatifu kumbe ni majizi makubwa .
Wananchi msimuamini mwanasiasa yoyote ata ajigalagaze vp chini kampeni zikinukia ndo mambo yao ao iv bukoba stendi tayali ishajengwa wahaya wenzangu au bado 😂
Wewe acha usanii ,hayo yote ni mapicha ili kuwahadaa wana nchi na kuwa fanya mazuzu ili upate ubunge wa huruma hapo wana nchi msikubari ngonjera hizo mtupeni kapuni huyo msikubali hao tena
Duh
Mh Byabato unatosha mitano tenaaa ccm mbele kwa mbele 🔥🔥
Kumbe Bukoba wagumu sana kuelewa eh!?
Basi ndo maana Bukoba pako hivyo!
tuweni makini sana,hawa jamaa uchaguz ukiwa unakaribia wanajifanyaga wasanii sana,watajiliza,watatupigia magoti,wataanza kutekeleza baadhi ya miradi chapchap ili tuwachague tena@#Tumeshawasoma😂😂
Kwa Byabato ni tofauti kaka ...mbunge wetu kafanya makubwa.
Tatizo ukiwa opposite mda wote pasipo hoja maalumu ni ujinga wa akili wewe unahisi alieko upinzani ni mleta maendeleo rahasha si kweli Kuna watu ni chama tawala kama huyu jamaa anafanya kazi tatizo lilipo tu ni kwa viongozi wadogo wadogo wa chama Cha CCM walioko chini oya ni vivuruge Hadi wanakela wanajikutaa wanajua Kila kitu me pia hutaman nideal nao
Hivi mtu na akili zk anaweza chagua Chademaaaa??? Ofisi hawana walamba asali , huyu kijana ni mchapa KAZI ila hawamu ya kuuza Bandari itamwangushatuuu
Na bado mtapiga sana magoti 2025 hiyooooooo asnt yesu umewachanganya wenyewe bila chadema ah
Chadema walileta nn pimbi ww
Yani tutaona mengi sana kipindi hiki na uchaguzi unakaribia Nasemajeee bado hatujaona tutaona saaaaaaaaana
Uwe unapokea na simu za watu hasa wenye ulemavu, na yule dada mwenye ulemavu wa bugashani alikuomba scooter 🛵 ukampatia kiti mwendo ambacho siyo msaaada kwake, kwahiyo Mzee milion 5 kwako siyo kitu fanya kitu kwaajil ya yule dada anapitia changamoto kubwa sanaa japo anajituma😢😢😢😢
Mkuu hawezi kusaidia kila mtu aisee....wacha afanye makubwa yanayoweza kusaidia jamii nzima
@@explorewithbertin🙏🙏🙏🙏
Usimwabudu mwanadamu mwenzako!
Itakua hujui maana ya kuabudu wewe 😂😂
Mlimdhurumu Chifu Adronicus Kalumuna kura, sasa acha Mungu akuonyeshe dhuluma kuwa ni dhambi
Ww mandaz Tena yakalimati jitathmin alikuwa meya alifanya nn
@@estergordian-vv9jx Chifu usimlinganishe na hizi takataka. Akiwa Meya tena CHADEMA ambapo serikali ya CCM inaminya pesa, alifanikiwa kuboresha miundombinu ya barabara nenda mpka kilimahewa, Kashenye, Kahororo, nk. Mradi wa maji mkubwa unaojengwa Kahororo, utu na uungwana ndani ya manispaa haupimiki. Chief kijana mchapakazi, asiyejikweza, mwenye uwezo wa kujenga hoja akasikika popote, usimlinganishe na hawa watia huruma waliobebwa na mfumo. Bukoba haiwezi kuongozwa na kijana arrogant, anayelialia ingali ana mamlaka , mbunge ana mamlaka tena waziri unafika kila eneo, ikulu haubishi hodi, afu uje kulia?? Hiii ni inaonesha kiasi gani dogo ni dhaifu, hachangamani na watu, syo mbunifu, mjanja, mwenye weledi wa kutatua matatizo ya jamii. Kazi hii ni ya mnyamwezi Chifu (mwamba) uliza CCM wakwambie vizuri uwezo wake tangu akiwa mwenyekiti uvccm Hadi Diwani, muulize Kagasheki akusimulie moto wa Chifu
Huyu ata wasipojenga stand kushinda ata shinda tuu hata kama maana kawa muwazi mapema nini kinamkwamisha. Jamani kamati ya siasa ya wilaya msaidieni kwa moyo mmoja tuache nongwa tusije kumkwamisha Raisi wetu Dkt. Mama SSH. UKimukwamisha Mbunge mtakuwa mmeikwamisha Serikali yetu. TUACHE NONGWA.
Hiyo ndio bk
Kitendo Cha mweshimiwa kupiga magoti na kulia mbele ya kadamnasi imeonyesha udhaifu na kutokomaa kisiasa.
hivi bukoba tumelogwa.sijui ,mbunge.anaangaika kuleta maendeleo,. lakini baadhi wanabukoba tena wanasiasa wenzane ndiyo wanafanya mbinu za kumkwamisha
Sibijui
Nilijua hatamaliza bila kuweka misifa ya kumiliki V8!
Haya maigizo sana,hawa inatakiwa 2025 iwe fundsho
Bukoba yetu😢
Kuongoza watu inahitaji mwoyo 😢
Duh...😂
hivi ungekua ni wewe afu ni waziri unaona kitumbua chako kishatiwa mchanga afu kwa wahaya lazima ujishushe jamaa mjanja afu anabusara
Mbinu za kuomba kura hzo..!! Hakuna kilichofanyika
Kwa washomire bila kulia hupewi
Wataa kwaeri wabanza kuria kabra ya uchaguzi ndo umefika pore sana c.c.m oyeee
Fix
nabatu mtaona mengi