TUME MAALUM YA KUCHUNGUZA AJALI YA JENGO KUANGUKA KARIAKOO, WAZIRI MKUU AWAPA MAAGIZO MAZITO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 ноя 2024

Комментарии • 26

  • @GervasLyimo-f7p
    @GervasLyimo-f7p 3 дня назад

    Sina shaka yeyote Tume itafanya kazi nzuri sana. Tatizo lipo kwenye kipengee cha SERIKALI KUCHUKUA HATUA STAHIKI. Huo ndio mwisho wa kila kitu.

  • @MejasonMzazi
    @MejasonMzazi 3 дня назад +10

    Kama muhusika wa jengo lililoanguka hajakamatwa mpaka leo, basi watanzania wengi wenye akili timamu tutakuwa hatuna imani hata kidogo na tume iliyoundwa na waziri mkuu. Maana tutaichukulia hiyo tume kama iliyoundwa kwa misingi ya kisiasa ili kufunika kombe mwanaharam apite.
    Ingekuwa vizuri kama kabla ya tume kuendelea na majukumu waliyopewa, wangemkamata kwanza mmiliki wa jengo, pamoja na wahusika walioshiriki kutoa vibali vya ujenzi bila kufuatilia ujenzi uliokuwa unafanyika hadi kusababisha vifo vya watanzania wenzetu, na kuacha wengine na ulemavu wa kudumu, pamoja na hasara ya kupoteza mitaji yao ya biashara.
    Kama ni tume mbona huwa zinaundwa nyingi tu, na matokeo yake hakuna hatua yoyote ambayo huchukuliwa kutoka katika tume hiyo. Watu wanalindana na kuogopana tu miaka yote.

  • @mohammedkhimji7505
    @mohammedkhimji7505 3 дня назад

    ungeni tume, kamati, kikosi, nk... watakao teseka ni wananchi tu! ila asanteni sana kwa hizo burudani... mungu awalinde nyinyi na familia zenu. Amen

  • @EmmanuelSimion-d3e
    @EmmanuelSimion-d3e 3 дня назад +2

    Mh!! Nchi hii mbah, inaunda Tume nyingi LKN sasa!!

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula 3 дня назад +6

    Fanyeni msako kubaini majengo marefu kuzidishiwa uzito wa kujszwa mizigo km stoo

  • @adamkapolo8817
    @adamkapolo8817 3 дня назад

    95% uzembe bado majengo mengine mengi kkoo mpaka mnazi mmoja

  • @eddechriss2664
    @eddechriss2664 3 дня назад +1

    Kuchimba chini ili kuongeza lower basement ni sawa na mtu aliyesimama kisha kukatwa mtama, hapo me naona mwenye jengo hawajibishwe, structure engineer pia aangaliwe kwenye design zake

  • @Khamis_Waya
    @Khamis_Waya 3 дня назад +1

    Tanzania bhana, aya wacha tuone

  • @AbeliIrikaeli
    @AbeliIrikaeli 3 дня назад

    Yani namuomba mungu atufungue ufahamu jamani

  • @HassanHassan-si2rt
    @HassanHassan-si2rt 3 дня назад

    Shem 2 my country

  • @sais2460
    @sais2460 3 дня назад

    Waziri mkuu watanzania hawakuamini Tena tokea udanganye Msikitini IZanzibar Kuwa Magufuli ni mzima wakati ulijua amekufa.

  • @sofiakhan9706
    @sofiakhan9706 3 дня назад

    Wakati wa moto mtaa wa aggrey walisema vichochoro na vibanda vitaondoka na hakuna kilichofanywa na scraper wanachoma kama kawaida na ukilalamika kelelle au sauti usiku wanakwambia karikoo wanakibali na kuna majengo ya nhc mengi mabovu tena yanamomonyonyoka roof ya juu na chini na hakuna matengenezo na wala ufuatiliaji

  • @YahayaKiobya
    @YahayaKiobya 3 дня назад

    Isiwe Kariakoo TU Bali zoezi hili lipite nchi nzima kwani ktk miji mingi nchini Kuna majengo mengi yaliyojengwa
    Chini ya viwango

  • @EmmanuelSimion-d3e
    @EmmanuelSimion-d3e 3 дня назад +2

    Prof Tibaijuka mbona hajamzingatia??

    • @MejasonMzazi
      @MejasonMzazi 3 дня назад +1

      @@EmmanuelSimion-d3e Prof Tibaijuka ni mpumbavu tu anaeingiza siasa baada ya kutemwa na mfumo. Yeye alikuwa waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi kwa miaka 10 lakini hakuwahi kufanya hayo anayoongea sasa.
      Wanasiasa wasijaribu kuendelea kutufanya watanzania ni wajinga eti kwa sababu wao wamefanikiwa kuhodhi madaraka fulani serikalini.
      Tunataka viongozi wa vitendo, sio wa maneno kama Prof Tibaijuka ambae akiwa kwenye mfumo anaboronga, akitolewa anajifanya ana plan nzuri za kutuvusha ili kutafuta plan ya kuja kugombea ubunge baadae.
      Prof Tibaijuka mama alietuibia mamilioni yetu ya kodi kisha akaenda kununua mboga 😂😂😂 anafikiri kila mtu ni mjinga wa kumshikia akili 😂😂

  • @mirajiabdallah1339
    @mirajiabdallah1339 3 дня назад +1

    vp kuhusu wanaotekwa hatuoni tume😢😢

  • @JSL19963
    @JSL19963 3 дня назад

    okay, private sector inawakilishwa na nani? Maana wataalamu kama wote ni watumishi wa serikali?

  • @deogratiaskatinda9232
    @deogratiaskatinda9232 3 дня назад

    Tanzania na tumeeeee!

  • @EdwiniMushumbusi
    @EdwiniMushumbusi 3 дня назад

    Ikishindikana kwa maghorofa tuwaige wajapani na wachina.Serikali ndio yenye jukumu la kujenga.Wananchi wanauziwa au kupangishwa tu

  • @djRemmy1541
    @djRemmy1541 3 дня назад

    kama bado mpaka saivi engineer aliejenga ilo jengo ajakamatwa sijui serikali mtakua mnatutakia nini?

  • @ChipugeLaulian-fz1mv
    @ChipugeLaulian-fz1mv 3 дня назад

    Tume unda tume😂😂😂

  • @geofreybakina6010
    @geofreybakina6010 3 дня назад

    Wachunguzi waje na mkakati wa soko jipya

  • @victormosha3839
    @victormosha3839 3 дня назад

    Ulaji tuuu kitu kipo wazi tume ya nn lini tume za huyu jamaa zilishaleta majibu,usaniii tuu

  • @deohaule8161
    @deohaule8161 3 дня назад

    Hivi ile tume ya uchunguzi wa moto ulio teketeza soko la kariakoo umeishia wapi? Je wananchi walipewa mrejesho wowote ule?
    Je hii tume itatoa mrejosho kwa jamii baada ya uchunguzi kukamilika?

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 3 дня назад

    Nimesoma comment hii imenitosha kusema kwamba kama namimi ningeandika ningeandikahivo hivi ulivyo andika ukweli mtupu