Amen Hallelujah yaani hizi jumbe zimenifanya nijue makosa yangu mengi bila huruma ya Kristo sijui ingekuwaje na kuhusu madeni imenifanya niwe muoga hata wa deni la shilingi 50 na nilikuwa napuuzia madeni yale M-pesa sasa nimelipa na namalizia yote Asante Mtumishi
Barikiwa mjakazi wa Bwana, umenigusa sana,mie kuna mtu nimemdai hela yangu muaka mitatu inapita sasa,mara nyingi ninapokuwa na uhitaji humtafuta na kumkumbusha anipe hela yangu ,kumbe nilikuwa nakosea,ninapomsamehe sasa napaswa kufanyaje? Je namwambia ile hela ninayokudai usinipe tena au ninaifuta tu mimi na kumwomba Mungu anisamehe? Nimekuwa nikimwomba sana Bwana aniwezeshe kulipa mkopo wa chuo ambao nimekuwa nikiuona kama mlima mkubwa sana kwangu maana sijapata ajira huu ni mwaka wa 14 sasa
Roho Mtakatifu ananishuhudia hilo deni litalipwa..unachotakiwa kufanya ni kumwambia kuwa kwa imani ya wokovuuliyoipokea ..kumdai vile haikuwa sahihi..hivyo kwa neema aliyonipa Bwana Yesu Kristo..nimekusanehe kama maandiko yanavyotushuhidia kuwa tunatakiwa tuwe wa kwanza kusamehe ndipo deni zetu zitasamehewa .Zaidi omba hekima kwa Roho Mtakatifu ili unapoenda kuyasema haya ,Bwana Yesu Kristo ajitwalie utukufu
@@mjakazieunicelucas nashukuru sana,Mungu wa mbinguni azidi kukutia nguvu katika utumishi mkubwa aliokupa.umalize mwendo ukiwa ni mshindi.pia nahitaji soft copy ya kitabu. Barikiwa dada yangu Eunice.
Biashara yoyote lazima uongozwe na Roho Mtakatifu, na pia kuna biashara zingine zitakutia mitegoni au kukosana na Bwana kama hukumsikiliza Roho Mtakatifu
@@mjakazieunicelucas nimesikiliza swali ni kwamba akija anataka kukopa nisimnyime baada ya hapo nisimdai mpaka arudishe mwenyewe na katika kusubiri mimsamehe hivyo ama

Halleluya..Bwana Yesu Kristo ajitwalie utukufu
@@mjakazieunicelucas Amen
Amen
Amen
Amen Amen nimeelewa sana Mungu atusaidie
Hakika
Huu ujumbe ni wangu kaabisa, Amen nitafuata maagizo ya mafundisho haya.. Amee
Bwana Yesu Kristo akuwezeshe
Barikiwa mjakazi wa Bwana, umenigusa sana,mie kuna mtu nimemdai hela yangu muaka mitatu inapita sasa,mara nyingi ninapokuwa na uhitaji humtafuta na kumkumbusha anipe hela yangu ,kumbe nilikuwa nakosea,ninapomsamehe sasa napaswa kufanyaje? Je namwambia ile hela ninayokudai usinipe tena au ninaifuta tu mimi na kumwomba Mungu anisamehe? Nimekuwa nikimwomba sana Bwana aniwezeshe kulipa mkopo wa chuo ambao nimekuwa nikiuona kama mlima mkubwa sana kwangu maana sijapata ajira huu ni mwaka wa 14 sasa
Roho Mtakatifu ananishuhudia hilo deni litalipwa..unachotakiwa kufanya ni kumwambia kuwa kwa imani ya wokovuuliyoipokea ..kumdai vile haikuwa sahihi..hivyo kwa neema aliyonipa Bwana Yesu Kristo..nimekusanehe kama maandiko yanavyotushuhidia kuwa tunatakiwa tuwe wa kwanza kusamehe ndipo deni zetu zitasamehewa .Zaidi omba hekima kwa Roho Mtakatifu ili unapoenda kuyasema haya ,Bwana Yesu Kristo ajitwalie utukufu
@@mjakazieunicelucas nashukuru sana,Mungu wa mbinguni azidi kukutia nguvu katika utumishi mkubwa aliokupa.umalize mwendo ukiwa ni mshindi.pia nahitaji soft copy ya kitabu. Barikiwa dada yangu Eunice.
@leahg2549 Amen...Sifa na utukufu ni kwa Bwana wetu Yesu Kristo.....nitafute WHATSAPP ME 0625553365
It's true tuwe watendaji WA Neno barikiwa Kwa ujumbe huu umenijenga kiimani
Sifa na utukufu ni kwa Bwana wetu Yesu Kristo
Amen Amen Amen bila kusahau LOAN BOARD wale walilipiwa chuo ni deni pia
Hakika
Kama nafanya biashara yangu na watu wanakopa na wanalipa je
Biashara yoyote lazima uongozwe na Roho Mtakatifu, na pia kuna biashara zingine zitakutia mitegoni au kukosana na Bwana kama hukumsikiliza Roho Mtakatifu
Wa kwanza barikiwa mtumishi injili inatufikia nafuatilia nikiwa oman team strong haturudi nyuma
Halleluya...Bwana Yesu Kristo azidi kujitwalia utukufu
Ni vibaya kwani mtu akikuomba kiasi cha fedha nakusema atakirudisha da eunice
Umesikiliza vizuri?