Kufunga Mikono katika sala

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии • 15

  • @SalehLofy
    @SalehLofy 11 месяцев назад +5

    Nawapenda sana IBADH wanatahadhari sana katka mambo ya dini kuliko dhehebu lolote duniani kwa utafiti wangu

  • @SoudSanawari
    @SoudSanawari 7 месяцев назад

    Masha Allah Allah akuhifadhi

  • @SUZANASUZANA-ku3jk
    @SUZANASUZANA-ku3jk 7 месяцев назад

    Shukran sheh ubarikiwe

  • @أحمدبنسليمانآلعبدالسلام

    asnte mkuu
    upo nchi gani ww umepotea

  • @seifseif24
    @seifseif24 9 месяцев назад

    Assalam aleykum warahmatullahi wabarakatuh
    Mashaallah lakin kunakitu sijakifahamu hapo ulisoma hadithi y mwanzo kuwa aliwekwa sawa swahaba kwenye kufunga kwake mikono uje wakushoto halafu juu yke wakulia aweke juu y kifua chake kimtazamo huyo swahaba kapewa elimu hapo au sio kuwa kufunga mikono ipo kwenye swala naam au sio
    La pili:
    Ulisoma hadithi kuwa mtu aliredeshwa n mtume kwenye swala yke kuwa hakuswali unavyo stahiki au sio hasa kama ww unaweza kuswali kama ulivyo Sema ivyo hadithi maana hapo sijasikia idhkari z rukuu wala sujuud wala tashahudi na ww je unaswali hivyo basi kitahidi kuzifatilia kiundani hadithi
    Jazakallahu kher

  • @MohamefMullah
    @MohamefMullah 9 месяцев назад +1

    Sheikhe kunyenyua mikono kuweka kifuani kuachia mikono sio faradhi wala sunna kwa hivyo hakukuwa na haja ya mtume kumfundisha aliekosea kuswali, kosa lake swala yake haikuwa na utulivu, lakini tunakushukuru kwa kutuelimisha

  • @aliali-gw5pq
    @aliali-gw5pq 7 месяцев назад

    Mm nataka nikukumbushe mtume alimtuma MUADH Yemen peke yake (AHAD) kwenda kufundisha tawhid swala na zakaat, nyinyi khawariji riwaya AHAD hamzikubali ktk mas'ala ya tawhid na swala vp apo?

    • @adamcity9441
      @adamcity9441 7 месяцев назад

      Muadh alikuwa kiongozi wa msafara hakuwa peke yake.

  • @أبوفيصل-د3ش
    @أبوفيصل-د3ش 5 дней назад

    Wew ni ibaadhwi.
    Na kwa kuwa niny ni wajinga Ndo mana Hamueki mikono ktk kufunga sala.
    Hakuna hadith inayosema Mtume hakufunga Sala.

    • @Ujumbewadini
      @Ujumbewadini  4 дня назад

      @@أبوفيصل-د3ش مَّا يَلْفِظُ مِن قَوْلٍ إِلَّا لَدَيْهِ رَقِيبٌ عَتِيدٌ (18)
      ( ما يلفظ ) أي : ابن آدم ( من قول ) أي : ما يتكلم بكلمة ( إلا لديه رقيب عتيد ) أي : إلا ولها من يراقبها معتد لذلك يكتبها ، لا يترك كلمة ولا حركة ، كما قال تعالى : ( وإن عليكم لحافظين كراما كاتبين يعلمون ما تفعلون ) [ الانفطار : 10 - 12 ] .

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 4 дня назад

      @Ujumbewadini Unapaswa ujibu hojja.
      Sisi hatuna shaka kuwa nyiny mna maimam wenu wa hadith ambao sio hawa wa Ahli sunna waljamaa pia Mna maimam wenu wa Fiqih ambao sio ktk wale Maimam wa 4.
      Unatakiwa Une ujib Hojja hizi kielimu sio kuleta Aya ambazo hazihusian na nilichozungumza Kwanz Hii Aya Ni Hojja dhid Yenu.Mcheni Allah enyi Maibadhw.

    • @أبوفيصل-د3ش
      @أبوفيصل-د3ش 4 дня назад

      Hayo mnayosema Juu ya Uislam yanadhibitiwa na mtakuja kuulizwa.

  • @selemankishema5780
    @selemankishema5780 8 месяцев назад

    We mpumbavu? unafundisha na unatafsiri hizo khadithi unavyotaka wewe na masheikh wako

    • @Ujumbewadini
      @Ujumbewadini  8 месяцев назад

      Hatamki neno ila karibu yake yupo mwangalizi tayari. (Qaaf:18)

    • @KhalifaSalim-s3f
      @KhalifaSalim-s3f 7 месяцев назад

      Muislam anatakiwa kuwa na adabu wewe unamuita mpumbavu adabu huna wewe na adabu ni chombo cha kuweka elimu kama huna adabu kila siku utasoma na elimu yako haitokaa kwasababu chombo chako kinavuja