Sahihi shekh Allah akubaarik sana sana hawa munaafikuuna wanataka kuwazuia watu wasimuombe Allah washenzi wale ningekua khalifa ningeondoka na shingo zao wallah
Sheikh msabah allah akuzidishiye umri uko na hekma kubwa sana ya ufikishaji daawa lau na wengine mashekhe wangekua kama wewe pasingekua uvutano katika utafauti wa ufahamu. Na kwa sasa ni mashekhe wachache kama wewe wanaweza kuongeya kweli.
Mukitatizana kwa jambo lolote basi rudini katika kitabu cha Allah na Suna (hadithi ) za mtume muhammad (saw) ,wala musipate shida inafaaa au haifaii inafaa haifaii, RUDINI KATIKA MAANDIKO NA SIO KUFUATA MAZOEA YA WAZEE WETU WALIOTANGULIA. ALLAH AALAM
Hajasema hajamaliza je watu waisome wenywe kimpya komya ama,sababu amesema mtume alikua afundisha sio?,na hakudumisha hayo na ndo mwana salah zingine ni za kimya na zingine sauti na basi hata hio ya fatiha khatam na dua hakuifanya basi
Ash-Sharh 94:7 فَإِذَا فَرَغْتَ فَٱنصَبْ Na ukipata faragha (bbada ya Salaa), fanya juhudi (duaa). ( فإذا فرغت فانصب ) أي فاتعب ، والنصب : التعب ، قال ابن عباس ، وقتادة ، والضحاك ، ومقاتل ، والكلبي : فإذا فرغت من الصلاة المكتوبة فانصب إلى ربك في الدعاء وارغب إليه في المسألة يعطك .[ وروى عبد الوهاب بن مجاهد عن أبيه قال : إذا صليت فاجتهد في الدعاء والمسألة ]
 نور على الدرب حكم الدعاء الجماعي بعد الصلاة المكتوبة  حكم الدعاء الجماعي بعد الصلاة المكتوبة الدعاء الجماعي بعد الصلاة المكتوبة، أو في غيرها، بدعة لا أصل له، حتى في غير الصلاة، كونهم يدعون دعاء جماعيًا، ما له أصل، إنما الإنسان يدعو لنفسه، أو يدعو ويؤمن إخوانه كالقنوت، يدعو الإمام ويؤمن المأمومون، أما يدعو بصوت واحد جماعيًا، هذا لا أصل له، ولا سيما عقب الصلاة، كل هذا بدعة. فالإنسان يدعو لنفسه، بينه وبين ربه في آخر الصلاة قبل أن يسلم، أو بعد السلام بينه وبين ربه، يدعو من دون رفع اليدين، لا بأس بهذا، بينه وبين نفسه، أما أن يدعو الإمام ويرفع يديه وهم يرفعون أيدهم معه ويدعون هذا لا أصل له، وليس من الشرع، وهكذا رفع الصوت بالدعاء جماعيًا بصوت واحد كل هذا لا أصل له، لا في المسجد، ولا في غير المسجد، نعم.
Naam hakika maiti afanyiwe vyote tu asomewe Dua pia pasomwe hizo sura au qur-an yote kwajili ya kujalia thawabu zake zimfikie marehem kwa kua vyote vinalengo moja.
@@hilalkhalfan1452 Tafakali kisha chukua hatua. Kama imeanzishwa nyumbani kwangu au kwa nani tumia akili kutafakali kwa kuzingatia elimu sahihi ya dini naimani utapata jibu sahihi kupitia akili na elimu sahihi ya Quraani na Sunna na Aqwaali sahihi za wana zuoni
«1500» وعن أَبي أمامة رضي الله عنه قَالَ: قيل لِرسولِ اللهِ صلى الله عليه وسلم: أيُّ الدُّعاءِ أَسْمَعُ؟ قَالَ: ((جَوْفَ اللَّيْلِ الآخِرِ، وَدُبُرَ الصَّلَواتِ المَكْتُوباتِ)). رواه الترمذي، وقال: (حَدِيثٌ حَسَنٌ). . nadhani haya ni maneno ya bwana Mtume Muhammad
@@MasuTV-elimu Kwadilili hiyo imetajwa hapo dua ya pamoja baada ya sala.......???? Au imesha thibiti mtume kusoma dua kwa pamoja baada ya sala......????? Hadithi hiyo yazungumzia kitu kingine kabisa yazungumzia nyakati bora sio kusoma watu wooooote dua kwa pamoja. Simamia masimamo ya uelewa wa wanachuoni tu.
Haya yanetoka wapi sasa inaonekana unaamuwa kuwatana watu bila sababu kwanza issue tulikuwa tunayoongelea nyingine na masuala ya kusoma bismillahi kwa sauti au kwa kimya nyingine all in all umefunguwa mdomo wako nimeshakujua ni dunder head or pig headed sina mda mchafu kuongea na majuha get lost
Ktika uislamu hatuna kufanya jambo nje ya utaratibu kisa kina thawabu. kama ni hivyo basi yafaa kusoma Qur'aan chooni Kwani kuna ubaya gani. Maana ni kitendo cha thawabu tena nyingi tuuu. Ktika dini Tusimamie Haqqi. Na dini haihitajii Ziada Ushahidi ukitaka kasome Sura ya 5 aya ya 3. Kisha tafuta Tafsiri za wanazuoni kama Tafsiri ya INB KATHIIR. INB JALIL TWABARII wametafsiri vipi aya hiyo
Mfano wako hauendani na anachokisema. Kisha tafsiri za Qur'an ziko nyingi mbona unataja mbili tu? Hao wanawachuoni wengine wamesemaje ktka tafsiri zao juu ya aya hiyo?
@@jamalishoo3802 Hakuna dalili ambayo mi nimeiskia au kuisoma kua yafaa dua ya pamoja baada ya sala eti kisa hakuna ubaya wowote. Uislanu ni dini ya dalili sahihi zilizo thibiti kama hauna data basi ni bora kukaa kimya kuliko kujifanya unaweza kuongea kisha ukazusha. Kama kuna dalili ya dua ya pamoja baada ya sala tunaitaka kwani hakuna anae kataa kheri labda mjinga tuuu. Na ndo maana watu wa bidaa na watu wasimamiao msimamo wa sunna na watu wema walio tangulia hua upo katika kuzusha tuuu. Lau kama sote tukisimama katika dakili sahihi. Hutaona mtu wa ALFAATIHA. Wala mtu wa maulidi. ila watu waenda kinyume na dini wanazusha mambo kwasababu ya matamanio yao binafsi.
Kama dini ilikamilika itabidi utuambie katika swala ya ishaa baada ya Alhamdu, JEE MTUME SAW ALISOMA SURA GANI KILA SIKU ILI TUIGE?, NA KAMA ALISOMA SURA TOFAUTI ITABIDI UTULETEE UTARATIBU WA HIZO SURA MAANA TUKISOMA NYENGINE WAKATI YEYE KASOMA NYENGINE ITAKUWA SIO UTARATIBU. NA UTULETEE UTARATIBU WA KILA RAKAA TARAWEKH MTUME SAW ALISWALISHA KWA SURA GANI NA KWASIKU ALISOMA ROBO JUZUU AU NUSU AU YOTE AU ALISOMA SURA GANI MAANA TUKIBADILISHA TUTAINGIA MOTONI KWA MAFUNZO YAKO. NA UTUAMBIE...
@@rashadali6160 kusoma dua kwa mapoja Mwenyezi Mungu sw hupenda zaidi kuliko amali ya pekeake. INNALLAHA YUHIBBU LJAMAA. YAANI, HAKIKA MWENYEZI MUNGU MTUKUFU HUPENDA JAMBO LA PAMOJA. kwaio lolote la pamoja lina nguvu kuliko pekeako. Kama swala, au dua, au adhkari, na yenye kufanzika kwa umoja yote.
@@nassleydady5783 hakuna katazo juu ya hilo iwapo hutatoka nje ya sheria. Uswali wakati unaoruhusiwa ambao haujakatazwa na Uswali rakaa mbili mbili, itakuwa ya faradhi umetimiza na sunna yako ulioengeza utalipwa. Hakuna ubaya juu ya hilo
Jazakha Allah kheri
shakhe unakwepa sana hujibu maswali shekh
Sahihi shekh Allah akubaarik sana sana hawa munaafikuuna wanataka kuwazuia watu wasimuombe Allah washenzi wale ningekua khalifa ningeondoka na shingo zao wallah
Ma Sha Allah Allah u barik
Sheikh msabah allah akuzidishiye umri uko na hekma kubwa sana ya ufikishaji daawa lau na wengine mashekhe wangekua kama wewe pasingekua uvutano katika utafauti wa ufahamu. Na kwa sasa ni mashekhe wachache kama wewe wanaweza kuongeya kweli.
Mche Allah
Sheikhe nimekuelewa allaaah akulipe mema
Tuendelee kuheshimian n tofauti zetu
Mashaallah
Mukitatizana kwa jambo lolote basi rudini katika kitabu cha Allah na Suna (hadithi ) za mtume muhammad (saw) ,wala musipate shida inafaaa au haifaii inafaa haifaii, RUDINI KATIKA MAANDIKO NA SIO KUFUATA MAZOEA YA WAZEE WETU WALIOTANGULIA.
ALLAH AALAM
Maa daliiluka min kitabi'llah wamin sunnat rasulullah
Msabah muogope ALLAH,
Masuala ya dini unayajibu vipi pasi na dalili.
Kabisaaa, huyu anajibu kulingana na Hisham zake na haifai, wanazidi kupotisha watu
Someni .. 😂Hadith zipo tena swahihi
hongera shekhe wetu
tuma dawa iwendefu kidogo inatufundisha sana
Nakuelewa allah akuongoze allah
Hajasema hajamaliza je watu waisome wenywe kimpya komya ama,sababu amesema mtume alikua afundisha sio?,na hakudumisha hayo na ndo mwana salah zingine ni za kimya na zingine sauti na basi hata hio ya fatiha khatam na dua hakuifanya basi
Akili zko Bdo ndgo ukifkria utpta jbu
uzuri wa she wakisalafi angekupa dalili vzr si kuongea kisanii
Ash-Sharh 94:7
فَإِذَا فَرَغْتَ فَٱنصَبْ
Na ukipata faragha (bbada ya Salaa), fanya juhudi (duaa).
( فإذا فرغت فانصب ) أي فاتعب ، والنصب : التعب ، قال ابن عباس ، وقتادة ، والضحاك ، ومقاتل ، والكلبي : فإذا فرغت من الصلاة المكتوبة فانصب إلى ربك في الدعاء وارغب إليه في المسألة يعطك .[ وروى عبد الوهاب بن مجاهد عن أبيه قال : إذا صليت فاجتهد في الدعاء والمسألة ]
UWAHANI NI KITU HATARI SANA..UTAONA IKITOLEWA SALAMU BAHADA YA IMAM KUTOA SALAM..USIMAMA GHAFLA KUKIMBIA ILI DUA ISIMKUTE KWENYE SAFU
Hujamfahamu sheikh msikilize tena
Dua msikitini muhimu....

نور على الدرب
حكم الدعاء الجماعي بعد الصلاة المكتوبة

حكم الدعاء الجماعي بعد الصلاة المكتوبة
الدعاء الجماعي بعد الصلاة المكتوبة، أو في غيرها، بدعة لا أصل له، حتى في غير الصلاة، كونهم يدعون دعاء جماعيًا، ما له أصل، إنما الإنسان يدعو لنفسه، أو يدعو ويؤمن إخوانه كالقنوت، يدعو الإمام ويؤمن المأمومون، أما يدعو بصوت واحد جماعيًا، هذا لا أصل له، ولا سيما عقب الصلاة، كل هذا بدعة.
فالإنسان يدعو لنفسه، بينه وبين ربه في آخر الصلاة قبل أن يسلم، أو بعد السلام بينه وبين ربه، يدعو من دون رفع اليدين، لا بأس بهذا، بينه وبين نفسه، أما أن يدعو الإمام ويرفع يديه وهم يرفعون أيدهم معه ويدعون هذا لا أصل له، وليس من الشرع، وهكذا رفع الصوت بالدعاء جماعيًا بصوت واحد كل هذا لا أصل له، لا في المسجد، ولا في غير المسجد، نعم.
Naam hakika maiti afanyiwe vyote tu asomewe Dua pia pasomwe hizo sura au qur-an yote kwajili ya kujalia thawabu zake zimfikie marehem
kwa kua vyote vinalengo moja.
Nani kafundisha ilo lingine ?
Dini haikuanzishwa nyumbani kwenu.
@@giltaemi4017 Kumbe ilianza nyumbani kwako!
@imsimbe ndio ilivyo na sio RAI. Ukisoma utajibu hivyo kwa ufupi baada ya kujua
@@hilalkhalfan1452
Tafakali kisha chukua hatua.
Kama imeanzishwa nyumbani kwangu au kwa nani tumia akili kutafakali kwa kuzingatia elimu sahihi ya dini naimani utapata jibu sahihi kupitia akili na elimu sahihi ya Quraani na Sunna na Aqwaali sahihi za wana zuoni
Wewe umebaki watu watu.jibu swali kwa quran na Sunnah
Majibu ya kichwani Kama kawaida ya Sheikh bila ya Kitabu, Hadith Wala Athari Allah Atuongoze
«1500» وعن أَبي أمامة رضي الله عنه قَالَ: قيل لِرسولِ اللهِ صلى الله عليه وسلم: أيُّ الدُّعاءِ أَسْمَعُ؟ قَالَ: ((جَوْفَ اللَّيْلِ الآخِرِ، وَدُبُرَ الصَّلَواتِ المَكْتُوباتِ)). رواه الترمذي، وقال: (حَدِيثٌ حَسَنٌ).
. nadhani haya ni maneno ya bwana Mtume Muhammad
Akuongoze Wewe Katika Ubaya Wakukataa Au Kukataza Kuomba Duaa.
Huyu nadhani ana upungufu wa akili...yaan ww muislam kbx unaanzaje kutakaa dua mcktn??
@@MasuTV-elimu Je, Unadalili kwamba mtume alifundisha adhkari baada ya swala kwa sauti?
@@MasuTV-elimu
Kwadilili hiyo imetajwa hapo dua ya pamoja baada ya sala.......????
Au imesha thibiti mtume kusoma dua kwa pamoja baada ya sala......?????
Hadithi hiyo yazungumzia kitu kingine kabisa yazungumzia nyakati bora sio kusoma watu wooooote dua kwa pamoja.
Simamia masimamo ya uelewa wa wanachuoni tu.
Shekhe uwe unatoa dalili katika Qur- an na Hadith
Kila hoja kaitolea dalili ila kinachokusukuma wewe ni msimamo ulionao wa kuona sahihi ni vile ufatavyo wewe. Lakini shekh hajaegemea upande wowote
Wewe mzushi waulizwa swali waruka ruka
Endeleeni kuhumu watu kwa jinsi mnavyoelewa nyinyi... Mmeshakuwa miungu sasa
Hata mpaka sasa wako wasiojua waseme nini kwenye kurukuu na kusujuduu wemgine wansema ( asumani asumani asumani)
Acheni masikhara katika mambo ya mungu
Kuna mtu alinijibu mimi hivyo wallahi nokashaangaa sana
Sijamtaja jina au umemjua niliposema hivyo au unataka kukosoa tu uonekane umekosoa
Kama wewe ni shekh ulikubaliana hivyo basi ni Sawa tu. Lakini imekushindeni bismillah kusoma kwa sauti mtaiweza subhanallahi. Uwo wako ni wehu tu.
Haya yanetoka wapi sasa inaonekana unaamuwa kuwatana watu bila sababu kwanza issue tulikuwa tunayoongelea nyingine na masuala ya kusoma bismillahi kwa sauti au kwa kimya nyingine all in all umefunguwa mdomo wako nimeshakujua ni dunder head or pig headed sina mda mchafu kuongea na majuha get lost
Ktika uislamu hatuna kufanya jambo nje ya utaratibu kisa kina thawabu.
kama ni hivyo basi yafaa kusoma Qur'aan chooni Kwani kuna ubaya gani.
Maana ni kitendo cha thawabu tena nyingi tuuu.
Ktika dini Tusimamie Haqqi.
Na dini haihitajii Ziada Ushahidi ukitaka kasome Sura ya 5 aya ya 3.
Kisha tafuta Tafsiri za wanazuoni kama Tafsiri ya INB KATHIIR. INB JALIL TWABARII wametafsiri vipi aya hiyo
Mfano wako hauendani na anachokisema.
Kisha tafsiri za Qur'an ziko nyingi mbona unataja mbili tu? Hao wanawachuoni wengine wamesemaje ktka tafsiri zao juu ya aya hiyo?
@@jamalishoo3802
Hakuna dalili ambayo mi nimeiskia au kuisoma kua yafaa dua ya pamoja baada ya sala eti kisa hakuna ubaya wowote.
Uislanu ni dini ya dalili sahihi zilizo thibiti kama hauna data basi ni bora kukaa kimya kuliko kujifanya unaweza kuongea kisha ukazusha.
Kama kuna dalili ya dua ya pamoja baada ya sala tunaitaka kwani hakuna anae kataa kheri labda mjinga tuuu.
Na ndo maana watu wa bidaa na watu wasimamiao msimamo wa sunna na watu wema walio tangulia hua upo katika kuzusha tuuu.
Lau kama sote tukisimama katika dakili sahihi.
Hutaona mtu wa ALFAATIHA.
Wala mtu wa maulidi.
ila watu waenda kinyume na dini wanazusha mambo kwasababu ya matamanio yao binafsi.
Kama dini ilikamilika itabidi utuambie katika swala ya ishaa baada ya Alhamdu, JEE MTUME SAW ALISOMA SURA GANI KILA SIKU ILI TUIGE?, NA KAMA ALISOMA SURA TOFAUTI ITABIDI UTULETEE UTARATIBU WA HIZO SURA MAANA TUKISOMA NYENGINE WAKATI YEYE KASOMA NYENGINE ITAKUWA SIO UTARATIBU. NA UTULETEE UTARATIBU WA KILA RAKAA TARAWEKH MTUME SAW ALISWALISHA KWA SURA GANI NA KWASIKU ALISOMA ROBO JUZUU AU NUSU AU YOTE AU ALISOMA SURA GANI MAANA TUKIBADILISHA TUTAINGIA MOTONI KWA MAFUNZO YAKO. NA UTUAMBIE...
wacha dharau
SHEKHE MBONA UNAONGEA BILA DALILI BILA HADITH BILA QURAN
Asiyetaka dua baada ya swala ni chizi tu,hakuna hoja ya msingi ya kuwakataza watu wasiombe dua msikitin,ila mawahabi wameletwa kuwavuruga watu
Kijana hamna anaekataaa Dua baada ya swala Ila ttz linakuja je kusoma Dua ya pmj inafaa au haifai
@@rashadali6160 kwahiyo watu wakisoma dua ya pamoja wanapata dhambi?? Wapi palipokataza kusoma dua pamoja??
@@rashadali6160 kusoma dua kwa mapoja Mwenyezi Mungu sw hupenda zaidi kuliko amali ya pekeake. INNALLAHA YUHIBBU LJAMAA. YAANI, HAKIKA MWENYEZI MUNGU MTUKUFU HUPENDA JAMBO LA PAMOJA. kwaio lolote la pamoja lina nguvu kuliko pekeako. Kama swala, au dua, au adhkari, na yenye kufanzika kwa umoja yote.
Tumeamriwa tusali sala5 je nikisali 6 nikiongeza 1 ili nipate thawab nyingi kuliko wote nitapata dhambi kwan kunaubaya gn hapo nikiongeza swala?
@@nassleydady5783 hakuna katazo juu ya hilo iwapo hutatoka nje ya sheria. Uswali wakati unaoruhusiwa ambao haujakatazwa na Uswali rakaa mbili mbili, itakuwa ya faradhi umetimiza na sunna yako ulioengeza utalipwa. Hakuna ubaya juu ya hilo