Waalaykum salaam dada swalah ya mwanamme na mwanammke haina tofauti iliyothibiti kwa mtume Muhammad Sala na Salam ziwe juu yake ni kuweka mkono wa kulia juu ya mkono wa kushoto sehemu ya kuweka ni kwenye kifua sio kitovu tukumbuke maneno ya mtume Muhammad Sala na Salam ziwe juu yake amesema swalini kama mlivyoniona nikiswali
Kwa uchache wa elimu yangu ni kwamba tunatakiwa kuswali kama alivyoswali RasuulAllaah, sasa sijui ni kwanini tunasema ni sunnah ikiwa tunalazimika kuswali kama RasuulAllaah na siyo vinginevyo.
Kwani ukiambiwa sunna unaelewa vipi wewe.sunna maana yake ni utaratibu au mwenendo aliokuja nao mtume ambao ni wajibu kila muislamu kufuata iwe ni kauli au kitendo.
Mashaallah shekhe Muhammad bachu Mungu akuzidishiye ilmu zaidi inshaallah tunafaidika sana Alhmdulilahi..khadija said Nahdi mld kenya
Shukran kwa Darsa ALLAH akulipe kila la kheri
Endelea kutpa elmu sheikh bachu
Samahan shekh mm ni mwanamke naomba kuuluza,na kama nikifunga swala kwakuweka mikono yangu katika kitovu ni makosa
Hamna tofauti kati ya swalaah ya mwanaume na mwanamke. Amesema RasuuAllaah "swalini kama mlivyoniona nikiswali"
Swala ni juu ya kitovu hadi kwenye kifua ndo pahala pake
Waalaykum salaam dada swalah ya mwanamme na mwanammke haina tofauti iliyothibiti kwa mtume Muhammad Sala na Salam ziwe juu yake ni kuweka mkono wa kulia juu ya mkono wa kushoto sehemu ya kuweka ni kwenye kifua sio kitovu tukumbuke maneno ya mtume Muhammad Sala na Salam ziwe juu yake amesema swalini kama mlivyoniona nikiswali
@@ALIKHAMIS-un4fv shukran
Kubana miguu kwa wanawake nao tunaachia au tunabana