MAPENZI YA BONGO Pt 2

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 май 2024

Комментарии • 372

  • @sayuni123-kl6xk
    @sayuni123-kl6xk 22 дня назад +83

    Hawa wadada wote wana akili na ni wasitaarabu.Huyu dada mwenye mtoto ana akili kuzidi na ni msitaarabu sana Mungu akutangulie

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 22 дня назад +24

    Wewe mtoto uko vzr sana mwenyezi mungu akupatie wakwako 🙏

  • @hellendaniel3809
    @hellendaniel3809 22 дня назад +33

    Tusomeshe watoto.
    Nimefuatilia interviews za wadada wanaogombania wanaume ila hawa kweli shule ni nzuri. Wanajibu kisomi.Busara na hekima

    • @Tyughcdrbdt
      @Tyughcdrbdt 22 дня назад

      Sanaaa

    • @hildagabriel1003
      @hildagabriel1003 22 дня назад

      Kabisa elimu ni nzuri sana

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 21 день назад

      Eti elimu ni nzuri 😂😂😂😂😂😂😂😂

    • @hellendaniel3809
      @hellendaniel3809 19 дней назад +1

      ​@@JELSONMAUKIEeee siuliona vile vibuyu vingine vilivyoshikana😂😂😂😂

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 19 дней назад +1

      @@hellendaniel3809 . Hahahahaha haya bana.umenishinda tabia 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @OmanOman-ru4eu
    @OmanOman-ru4eu 22 дня назад +18

    Leo umewahisha part 2 tu Hongera sana

  • @memoryngambi7570
    @memoryngambi7570 22 дня назад +15

    Ninyi wanawake mnaakili sana na ni wa staarabu sana, mwanaume alikua na bahati sana ila kutokua naakili kumempinza,tena wote mumuache na mue marafiki wazuri,ili akaumie baadae.

  • @BenaCharles
    @BenaCharles 21 день назад +4

    Wadada makin sana hekima ni muhimu nimewapenda wote ♥️♥️♥️

  • @AnethKimario-rj6hl
    @AnethKimario-rj6hl 22 дня назад +19

    Daaah kat ya cku nimefurahia hiki kipindi ni Leo Hongeran Sana kumgombania MTU ambae Hana malengo na wewe ni Sawa nakudek bahar daah afu ukiangalia tena kameokotwa kijijin aiseee

  • @silviaamakweliukweliutajul8395
    @silviaamakweliukweliutajul8395 10 дней назад +1

    Umesamehewa dadang hukujua chochote mungu atakuongoza utampata mwenzie

  • @NeemaMsuya-kk6bs
    @NeemaMsuya-kk6bs 21 день назад +8

    Leo ndo mara yakwanza nimeona watu wastarabu😇😇

  • @EmanuelPantaleo
    @EmanuelPantaleo 9 дней назад +1

    Hawa wadada wanaupekee wao Mungu amewapa 👏👏👏

  • @DoreenMwanga-dg7xp
    @DoreenMwanga-dg7xp 22 дня назад +73

    Hivi unampaje mwanaume kila kitu et bado ni mpe nauli arudi kwao si atembee kwa miguu au apande gari la mizigo pumbavu

  • @NeemaDevotha
    @NeemaDevotha 18 дней назад +3

    Nime aminii mwanaume become matured akiwaa na responsibility 😂😂

  • @fistonnibigira167
    @fistonnibigira167 22 дня назад

    Wow bro I like your job man🇿🇦🇧🇮

  • @rqiyaabdallah840
    @rqiyaabdallah840 22 дня назад +22

    Awa wadada oteni wastaarabu mashallah Awana shidi

  • @SurprisedIguana-rv6by
    @SurprisedIguana-rv6by 17 дней назад +2

    Daaaah ila inaumizaa Sanaa dada mzuriii ila mwamba bado ana mchiti

  • @eunicegerminus193
    @eunicegerminus193 22 дня назад

    Hapo nimewapenda bure❤❤❤❤maamuzi mazuri safi kabisa

  • @MagrethStephano-ro1jn
    @MagrethStephano-ro1jn 21 день назад +13

    Wasomi wanamaliza haya mambo kisomi Kuna kina neyla uwiii😂😂😂😂😂

  • @marthabizuru5584
    @marthabizuru5584 22 дня назад +4

    ila mnapata wap nguvu za kuhudumia mwanaume🤣🤣🤣

  • @agnesmartin5716
    @agnesmartin5716 22 дня назад +1

    Safi sana dada ubarikiwe kwa kugundua Hilo na kuamua kumuacha tafuta wakwo kipenz kwakua ushaujua ukweli

  • @ZolufaMas-ie4un
    @ZolufaMas-ie4un 22 дня назад

    Bro unafanya kazi poa juu wamezidi sana hawa maboys ❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mwanamwendy9265
    @mwanamwendy9265 22 дня назад +4

    Pole mwaya, achana nae, inawezekana Dan alikupenda kwa ajili ya pesa

  • @user-hb8ph8fk5s
    @user-hb8ph8fk5s 22 дня назад +18

    Labda niulize wenzang 😥 mlipewa mioyo gani mi nikitoa msaada mmoja tu najiona kama nateketea😂😂😂

    • @Asha-kj5lu
      @Asha-kj5lu 22 дня назад

      Wewe ni mimi kabisaaaa

    • @VivianSamwel
      @VivianSamwel 22 дня назад

      😅😅😅😅

    • @user-hb8ph8fk5s
      @user-hb8ph8fk5s 22 дня назад

      @@Asha-kj5lu Yan labda ale mama ang jmn na c mwanaume

    • @user-id8bu6lw8x
      @user-id8bu6lw8x 21 день назад

      Yn nimecheka km mbwa

    • @user-hb8ph8fk5s
      @user-hb8ph8fk5s 21 день назад

      @@user-id8bu6lw8x 😂😂pole huenda ikawa pengine Kwa kuwa niliwahi kuumiza mapema kabla ya kujipata😂😂walinifunza kutokuwaamin wakanipa na usugu

  • @franciscakija1702
    @franciscakija1702 22 дня назад +5

    Haya ndo ninayopenda sasa. Part 2 yaani weeee.

  • @Sharifajafari-ys6gx
    @Sharifajafari-ys6gx 3 дня назад

    😂😂😂😂😂😂😂awa ni watoto wa chuo wa uwasibu eeee kama sikosei we kaka😂😂😂😂

  • @Enockmtiba
    @Enockmtiba 12 дней назад +1

    Dada wa watu mzuriii maskini anaenda mcheat na kibonge

  • @petroprenge8716
    @petroprenge8716 21 день назад +2

    Wanaume wenzangu sitetei usaliti kwa hawa dada zetu lakini tujitahidi tusiruhusu kutegemea mwanamke/wanawake kiuchumi. Huyu Daniel kama angekua amechuma kwa jasho lake nadhani angekua amepoteza wanawake hawa wawili pekee. Lakini sasa hivi kapoteza wanawake zake na kapoteza ofisi yake na mali alizopewa na mwanamke.

  • @CHARITYINVOCAVITY
    @CHARITYINVOCAVITY 22 дня назад +1

    Jmn si mwongee tuu kiswahili..kaaaah! Icho kingreza mnatuchosha tuu

    • @user-lf5uk6mq4t
      @user-lf5uk6mq4t 21 день назад

      😂😂wanajitia wasomi sanaa wakati watu tumesoma mpaka viatu vikaisha

    • @DianaMhule
      @DianaMhule 11 дней назад

      😂

  • @majaliwamussa9268
    @majaliwamussa9268 22 дня назад +4

    Dada wa kwanza mzuri mashaa Allah

  • @SaidiRegu255
    @SaidiRegu255 22 дня назад +1

    Pole san dear uyo sio mume kaa nae mbali

  • @saeedahhenry711
    @saeedahhenry711 22 дня назад +9

    Ukute uyo kaka Yuko na huyo dada sio anampenda alimkubali to kuwa nae kwajili ya pesa ndio akajitafutia kitu roho inapenda Dan Yuko sahihii 😅😅😅

    • @user-qn4vk2pp7n
      @user-qn4vk2pp7n 22 дня назад +2

      Ukiumizwa nd utaacha kuongea hayo maneno dear

    • @DM.2200
      @DM.2200 22 дня назад

      Kamtumia kama daraja avukie ng'ambo ya pili 😅😅

    • @saeedahhenry711
      @saeedahhenry711 22 дня назад +2

      @@user-qn4vk2pp7n siku zoote ukweli huwa mchungu lakini lazima ukweli usemwe ivi mwanamke unapata wapi hiyo nguvu ya kumuhudumia mwanaume kama mtoto wako huoni kama anafosi kupendwa dada

  • @saiditwaha5634
    @saiditwaha5634 19 дней назад

    Wako poa sana kwenye talk....very smart girls.

  • @glorykasanga7663
    @glorykasanga7663 22 дня назад

    Mdada anakizungu kingii jamniii angel kiswahili tu

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 22 дня назад +1

    Good sister mamzi mazury❤

  • @josephswai3921
    @josephswai3921 21 день назад +6

    Dah watoto wote wazuriii sijui nipite na yupiiii

  • @Promiseonlinetv244
    @Promiseonlinetv244 22 дня назад +22

    Mapenz yamekaà pembeni yana tutazama tu😂😂 tunavyo yasema sema

  • @fatmambeyela6697
    @fatmambeyela6697 22 дня назад +2

    Hyu bint mstaarabu sna na ana hekima coz ame apologize kwa ummy na kuachananae, ila wanaume jaman walau muwe mnathamin mwanamke anaekushika mkono ktk chochote msivunje miyoyo yao🙌🙌sasa DANIEL kakosa yte hya sasa arud kwao akalime

  • @idybwoytz8485
    @idybwoytz8485 22 дня назад

    Wadada wotooo ni wazuliiii San kabixa tena wana hakiliii nyingii San hongelaaa 🫡

  • @Caren-og7qd
    @Caren-og7qd 21 день назад

    Dah! Natamani part 3, hawa wadada ❤️😂

  • @user-eo4hd8xu6d
    @user-eo4hd8xu6d 22 дня назад +7

    😂😂😂wasomi kumbe wanamaliza kesi kisomi ingekuwa wale WA kiswaz wangedundana na mitusi Juu

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 21 день назад

      Hahahaha kumbe elimu muhimu hacha nianze kucheat hili kesi imelizwe kisomi 😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MulhatAly
    @MulhatAly 22 дня назад +4

    Wanawake wenzangu acheni kujidanganya hakuna mwanamme anaeweza kukaa na mwanamke. Mmoja hiyo haiwezekan hata umpe nn

  • @ArafaOmary-ou2jj
    @ArafaOmary-ou2jj 19 дней назад

    Mapenzi nichangamoto sana mungu atutetee tu

  • @nipheremmanuel4383
    @nipheremmanuel4383 22 дня назад

    Mshumi. ......... mtoto wa kishua Toka tukiwa shule 😂😂😂😂

  • @mwakajumba25
    @mwakajumba25 21 день назад

    Nimewapenda mnoooo Hawa wadada❤️❤️❤️

  • @JudyLee-hf9cy
    @JudyLee-hf9cy 22 дня назад +1

    Achana nae huyo mwanaume ni msenge😮

  • @JeladMahenge
    @JeladMahenge 2 дня назад

    ❤❤❤❤ wadafa wastalab adi lahaaa

  • @brianosiemo86x4
    @brianosiemo86x4 20 дней назад

    I need any single girl from dah ♥️♥️♥️

  • @scolasticanalle9105
    @scolasticanalle9105 22 дня назад +3

    Wadada Wana hekima sana hadi raha....

  • @RahmaSalum-jz4wp
    @RahmaSalum-jz4wp 21 день назад

    Tupeleke tukaone nauli na virago vinavyotolewa kwa nyumba😂😂

  • @ZuhuraMoshi-co2wc
    @ZuhuraMoshi-co2wc 22 дня назад

    Sema Dan anapenda macho😂

  • @frankjackson9575
    @frankjackson9575 4 дня назад

    DANIEL KACHEZEA DHAHABU ..MWANAMKE KAMA HUYO MSTAARABU NA ANAONEKANA ANA TRUE LOVE NA BADO ANAMCHEAT 🥲wanasemaga thamani ya kitu utakiona kikiondoka...daniel atamkumbuka sana huyo mwanamke .

  • @jacklinemrina456
    @jacklinemrina456 22 дня назад +6

    Hawa wanadada wanabusara sana wote

  • @francokinyunyu2619
    @francokinyunyu2619 19 дней назад

    Daniel hapa kapoteza mke pumbavu zake😂😂😂

  • @manktarimo8146
    @manktarimo8146 22 дня назад +1

    Hawa wadada n wastaarabu sana ❤

  • @JoyceJackson-ti4nb
    @JoyceJackson-ti4nb День назад

    Kumbe wanawake wezangu mnajuwa kupenda hivo na hamsemi mwee

  • @Sharifajafari-ys6gx
    @Sharifajafari-ys6gx 3 дня назад

    Mimi nije udumia mtoto wamtu kaaaaa dunia itapinduka

  • @Mercy508
    @Mercy508 16 дней назад +1

    kwani hela za kuwafungulia maduka wanaume mnatoa wap?😂

  • @enockmaige8936
    @enockmaige8936 22 дня назад +1

    Mm hapa nataka nibaki single tu maana kwenye ndoa tunachitiwa kwenye mahusiano ndo

  • @ElizaPhidelisi
    @ElizaPhidelisi 22 дня назад

    Nmewapenda bure jmn❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @user-rl5qu4zj9b
    @user-rl5qu4zj9b 18 дней назад +1

    Jamani hawa wanawake wastaraabu sana aiseee

  • @linnerphilip4260
    @linnerphilip4260 22 дня назад +1

    Jmn huyo da bonhge mstaarabu .... Ety aondoke. Akati mjin tyr ana connection ataabak tu hiyo f40. Ataanzia life afu mr Uky hajaridhika anaona content bado haijakamilika hadii ampate daniel kwa simu😂😂

  • @GoodluckAlex-vd6vc
    @GoodluckAlex-vd6vc 20 дней назад

    Washukuru ni wanakula hela za mwanamke ukute boy unatoa hela alafu anapewa boy mwenzako kinachofuata ni kutumia Parachute tu😅😅😅

  • @selinakatega6691
    @selinakatega6691 22 дня назад

    Sasa jamani mnamuachaje daniela harakaharaka namna hiyo jamani😂😂😂tena woooteee khaaa

  • @user-jc3gl6li7e
    @user-jc3gl6li7e 22 дня назад +4

    Ummy ni wife material unge endelea na maisha mengine you deserve someone better achana na huyo daniel anakupotezea mda

  • @maryamedi9141
    @maryamedi9141 22 дня назад +3

    Bora tujikalie single duu

  • @juddysemiti7920
    @juddysemiti7920 10 дней назад

    Huyu dada hawez tena kurudia kuhudumia mwanaume😂😂

  • @praygodisacksalmon7843
    @praygodisacksalmon7843 22 дня назад +1

    wamekutana wakiwa wote ni wastaarab Hadi raha, congrats to them, ningewapata mm hao ningewachangany ata nane

    • @DM.2200
      @DM.2200 22 дня назад

      Wana hekima kwa kwel shule ipo vizur apo kichwan

  • @abdultandala6576
    @abdultandala6576 17 дней назад

    Unamuacha mtu kisa kakucheat ni sawa na kukimbia nchi kisa mvua😂😂😂😂mvua iko popote😅😅

  • @emmybarye9283
    @emmybarye9283 22 дня назад

    Mwengine nae kampenda mwengine 😅😅😅

  • @hildaruben3372
    @hildaruben3372 22 дня назад

    Kupatwa kwa kiingerezaa😂

  • @DignaZawad
    @DignaZawad 22 дня назад

    Akii kuna wadada mnajua kupenda .

  • @RahmaSenga
    @RahmaSenga 22 дня назад

    Pole sana dada

  • @user-lz5it9yn4q
    @user-lz5it9yn4q 22 дня назад +1

    Mnaigiza ama??? Unampaje mwanaume pesa nk🤣🤣🤣🤣 wazaz wako je ulishawalipa nn kwa malez yao

    • @MariamSamwel-nz8vu
      @MariamSamwel-nz8vu 22 дня назад

      Haya maisha serious ndugu yangu wanaume nao wanatafta aje

  • @kivuyo_john
    @kivuyo_john 21 день назад

    Aisee Hawa wanaume wanaolelewa ivi hizi frusa wanapateje maana wengine tuna damu ya kunguni😂

  • @frolamganyulo853
    @frolamganyulo853 21 день назад

    Hizi hela mnazowapaga mnatoa wapi jamanii 😮hamna ndugu zenu Kijijin huko mkawasaidie jamanii 😢

  • @YaziduKaisi
    @YaziduKaisi 7 дней назад

    Hawa wote ni wastaarabu sana aisee

  • @user-no7pz1bz4y
    @user-no7pz1bz4y 19 дней назад

    Dada mstaarabu sana huyu mashalaa 😢😢😢😢😢😢❤❤❤

  • @jumaomary7615
    @jumaomary7615 22 дня назад

    Mr uk uzungu mwingi leo vp kaka..😂😂😂😂

  • @user-ix9kq6ke2m
    @user-ix9kq6ke2m 22 дня назад

    Mashaa Allah dada mchepuko😂

  • @TasmiaDulla
    @TasmiaDulla 22 дня назад

    Cc ummy mtaratibu san pole dada ❤

  • @SofiaMasawe
    @SofiaMasawe 22 дня назад

    😂😂ila wote wazur

  • @kidimusic-tz8205
    @kidimusic-tz8205 22 дня назад +1

    Dada ummy mstaharabu sanaaaa ❤

  • @user-ny4ig2ii8b
    @user-ny4ig2ii8b 19 дней назад

    wabongo kwa kupenda kuongeà kinger nihatar ogopaaa

  • @zubedamrutu3156
    @zubedamrutu3156 22 дня назад

    Mh hahaha hapotu simpi chochote lakini mh

  • @linahlawrence694
    @linahlawrence694 22 дня назад

    Kumbe wadada wanachukua hawa wanaume mpka mkoan 😢😢nyie hawa viumbe ni mbwaaa😂😂

  • @AidaFredy
    @AidaFredy 22 дня назад

    Jaman uyu dad wa miwan ni mpole

  • @Dayotz
    @Dayotz 20 дней назад +1

    Em ongeen kiswahili vzr kingereza holaa hmjuii dadeq

  • @SmilingEucalyptusTree-df6ek
    @SmilingEucalyptusTree-df6ek 22 дня назад

    Kwanza dada nikupe hongera kwa kumhudumia mwanaume mimi hiyo hela ya kumpa mwanaume bora nikatoe msaada kituo cha watt yatima siwez mpea mwanaume hata jero ya vocha kama hataki kwendaaaa

  • @OmanOman-ru4eu
    @OmanOman-ru4eu 22 дня назад

    Nimewapenda wapole wastarabu waelewa

  • @amiriissa6767
    @amiriissa6767 21 день назад

    wanawake bna au wabongo bna kingereza kiiiiing ongeen tu kiswahil.

    • @FAUSTAMBAGA
      @FAUSTAMBAGA 20 дней назад

      na awakijui kazi kutuchosha tu

  • @rosemarysimfukwe
    @rosemarysimfukwe 22 дня назад

    Good job

  • @user-sp6ff1js6t
    @user-sp6ff1js6t 22 дня назад +1

    nitumie nauli mm nije dada angu achana nae anazinguwa yan anashindwa kueshimu upendo wa mt jmn

  • @mwajumamashakakilasi1438
    @mwajumamashakakilasi1438 22 дня назад

    Wanaume dah! Mnajuaga kutustrees

  • @user-jk1ib1oq7r
    @user-jk1ib1oq7r 22 дня назад +6

    Naomba mawasiliano na uyo dada ambae hasomi chuo n mpolee saan

    • @jacksonpeter8629
      @jacksonpeter8629 22 дня назад

      😂😂acha ufala unataka ukalelewe
      Tafuta pesa zako😂

    • @paulajoho2223
      @paulajoho2223 22 дня назад

      ​@@jacksonpeter8629😂😂😂😂😂

  • @Tyughcdrbdt
    @Tyughcdrbdt 22 дня назад

    Wastaarabu sanaaaa❤❤

  • @estherlisahelifuraha9312
    @estherlisahelifuraha9312 20 дней назад

    Maskini mpaka nywwle zimechambuka 😢

  • @user-ev6bq9gf1f
    @user-ev6bq9gf1f 22 дня назад

    Dah watu mna mambo

  • @user-eb9br2nh6t
    @user-eb9br2nh6t 10 дней назад

    Uyo bonge mstalabu ameamua kukuachia sas unamp naul ya nn usinge mwita k voo apo ungemsubik om umpe naul

  • @user-ik8zb6wc3m
    @user-ik8zb6wc3m 22 дня назад +8

    Niko wa kwanza like zenu plz

    • @AgnesDavid-et3zn
      @AgnesDavid-et3zn 22 дня назад

      Like upeleke wapi mnakera

    • @ESTHERENDLES-db1zw
      @ESTHERENDLES-db1zw 22 дня назад

      Me huwa mnanikwaza sana mnaoomba like hiv ni wazma kweli kwenye ubongo wenu

  • @jacklinejackson9600
    @jacklinejackson9600 22 дня назад

    Moyo wa kujitolea A😂

  • @user-cv3dt5jv4l
    @user-cv3dt5jv4l 21 день назад

    Huyu dada mwenye mtoto anaongea kama nana dollz ( video queen ) kwenye UTU ya Alikiba