SALEH JEMBE SIMBA WAMUACHE INONGA AONDOKE/HAJAUMIA ANAFANYA MAKUSUDI/HAIPENDI SIMBA TENA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 апр 2024
  • СпортСпорт

Комментарии • 205

  • @VenanceNtakabile
    @VenanceNtakabile Месяц назад +1

    Ni kweli kocha anamatatizo ona hata asisiti zake sio nzuri ajitathimini utawatumiaje wachezaji wanaoshindwa ?

  • @VeronicaAdam-lx8yd
    @VeronicaAdam-lx8yd Месяц назад +1

    Umeongea point kabisa koach simuelew kabis

  • @martharichard163
    @martharichard163 Месяц назад

    Uko vinzur

  • @bezalelmbijima8182
    @bezalelmbijima8182 Месяц назад +1

    Uko sahihi Inonga amekuwa bishoo. Simba timu kubwa wasituharibie Simba yetu. Simba itarudi kwenye hadhi yake tu.

  • @alexkalonga5323
    @alexkalonga5323 Месяц назад

    Inonga akiendelea kubaki Simba kinachofuata ataondoka Kwa Risas

  • @magaigwa4204
    @magaigwa4204 Месяц назад

    Huyu kocha anashida kubwa tu, huwezi kuchezesha timu bila washambuliaji na ukategemea kufunga magoli.

  • @user-iz3eq6sp6c
    @user-iz3eq6sp6c Месяц назад +2

    ahsante sana saleh jembe ❤

  • @yakoubaliy7559
    @yakoubaliy7559 Месяц назад +1

    good kaka uko vizur

  • @nassoromar762
    @nassoromar762 Месяц назад +1

    Well spoken, Mr. Saleh

  • @mboya4jc
    @mboya4jc Месяц назад +2

    Gamondi hakusema kama unavyodai. Journalism ya kihovyo kabisa. Gamondi is a class act coach and person

  • @malatujuma2565
    @malatujuma2565 Месяц назад

    simba angalieni msizalishe nyota nyekundu nyingine.

  • @samsonhamery3809
    @samsonhamery3809 Месяц назад

    Msimwonee Inonga.Inonga Ni beki nzuri Sana Tena mchezji mpole mwenye nidhamu kubwa.Mnaposema hajaumia je taarifa ya daktari inasemaje?!

    • @omaryluhanga9387
      @omaryluhanga9387 Месяц назад

      Hujui unalolisema fatilia kiundani utapata majibu

  • @VenanceNtakabile
    @VenanceNtakabile Месяц назад

    Inonga aende na kocha aende

  • @frbm1729
    @frbm1729 Месяц назад +2

    Simba apewe mgunda ndo watacheza cafe champion

  • @kawelesiakisanga6670
    @kawelesiakisanga6670 Месяц назад

    Viongozi waliokuwepo tokea mwanzo hapafai waondoke waje wengine acheni kuwakumbatia na huyo Benchiker aondoke aslaunu wachezaji

  • @user-hu4el2rx2u
    @user-hu4el2rx2u Месяц назад +4

    Inonga mshenzi aondoke atumtaka

  • @thehustlerafrica4368
    @thehustlerafrica4368 Месяц назад +1

    Safi sana salehe

  • @mwlmartinmahona
    @mwlmartinmahona Месяц назад

    Kocha hana mbinu mbadala hivi Mgunda kwann asichukue nafasi ya matola hapo naona matola hamna kitu pale na huwez kumlinganisha na Mgunda

  • @saidsalim7177
    @saidsalim7177 Месяц назад

    Kaka hpo nnakupa big up, kwsbb mm nilisema kuw gemu za klabu bingwa bc kocha alifny makosa ya kung'ang'ania kuchezesha viungo na kuwaacha washambuliaji nnje. Hlo lilituharimu sn, lkn w2 walikuja juu na kubisha.

  • @abuuaidh6500
    @abuuaidh6500 Месяц назад

    Hata Huyo Chamilon anafanya kakosa ya wazi. Shida ya Simba Hawana Mfungaji. Mbona wamecheza vizuri na wamepata nafasi nyingi Ila simba hawana Mfungaji.

  • @mckobatz5861
    @mckobatz5861 Месяц назад

    No brother Saleh ni miongoni mwa ninaowaheshimu sana sana sana ila hapo kwa coach I don't buy what you're giving us. We unajua mwalimu awe na nguvu ni lazima awe na backup ya uongozi maana jukumu la uongozi ni kuiunganisha timu failure to do that kila siku tutabadili wachezaji na walimu na Simba haitokuwa na safari ya kwenda mbele binafsi naamini anaweza kuja Pep hapa na bado kusiwe na mabadiliko endelevu kulingana na namna uongozi tulionao unavyofikiria na kuyachukulia mambo. Ninaamini hawa hawa akina Ngoma wapeleke Yanga wataperfom na akina Aziz walete Simba watadumaa it's all about leadership usituchonganishe na coach tafadhali. Coach bila backup ya uongozi imara lazima atapoteza dressing room unaacha kuwaambia viongozi wabadilike au wawajibike kupisha wengine bado unataka kujenga mihemko kwa mashabiki waanze kumpa presha mwalimu unawapa loophole akina mangungu wapate kichaka Cha kujifichia

  • @miangijunior4358
    @miangijunior4358 Месяц назад

    BRO MI PEKEYANGU NAKUELEWAGA SANA KULIKO WENZANGU
    HAPO KWA COACH NA INONGA UPO SAHIHI SANA ILA UMEMSAHAU SAIDO

  • @SalimFeruz
    @SalimFeruz Месяц назад

    Transformation kwanza kocha abaki. Wachezaji baadhi wabadilike na usajili mpya uzingatie mahitaji ya ubingwa vikombe, tulionao si wa ubingwa

  • @danieltsaxara9199
    @danieltsaxara9199 Месяц назад

    Kaka Ile gemu kocha kaongea kwa hasira kwa kuwalaumu wachezaji ila kiukweli hata goli alilosababisha husen kazi, kama siyo inonga kususa tusingefungwa

  • @aminnoour4788
    @aminnoour4788 Месяц назад +3

    Sale coach yuko natatizo kubwa sana . Habadili liste kila siku

    • @jovovichmedia9424
      @jovovichmedia9424 Месяц назад

      Wachezaji wenyewe mnao

    • @NiceMussa
      @NiceMussa Месяц назад

      😅

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 Месяц назад

      ​@@jovovichmedia9424 Kwani siku zote unacheza wewe😂😂😂😂

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 Месяц назад +1

    Nyie mmefunga kocha.UCHAWI UMEZIDI MNAMROGA JEMBE HAMUMTAKI.USIFUNIKE MAOVU.VIONGOZI KWANZA'ALIYETOKA SABABU NI NN.ACHENI KUPOTOSHA WATU

  • @abduldihomba1632
    @abduldihomba1632 Месяц назад +1

    Tatizo siyo kocha salehe tatizo ni wachezaji wenyewe wanapata nafasi ngapi wanashindwa kufunga hata ukimleta gadiola simba haitabadilika tatizo ni wachezaji

  • @alfonceanton2273
    @alfonceanton2273 Месяц назад +1

    Saido ndiyo anasababisha na wenzie waonekane hawaelewi maelekezo ya Mwalimu

  • @CharlesAlly-qm5yc
    @CharlesAlly-qm5yc Месяц назад +2

    Wachezaji wa kikongo hawafai kabisa kazi yao kuuza mechi

  • @ABDALLAHMWATANDA
    @ABDALLAHMWATANDA Месяц назад

    INONGA ANATUHUJUMU,, AENDE TU, ANA TUMIKA KUTUUMIZA ..... FACT ,, BODY LANGUAGE YA INONGA ANATAKA KUONDOA.....

  • @methodemgaya
    @methodemgaya Месяц назад

    Uko vizuri umeeleweka

  • @user-iz3eq6sp6c
    @user-iz3eq6sp6c Месяц назад

    wewe nimkweli ubarikiwe sana na mungu mimi simba dam dam

    • @Zaburi-
      @Zaburi- Месяц назад

      Mungu/MUNGU sio mungu

  • @omaryluhanga9387
    @omaryluhanga9387 Месяц назад

    Kweli inonga hatufai aondoke

  • @omaryluhanga9387
    @omaryluhanga9387 Месяц назад

    Ki ukweli tunamuhitaji kocha mzalendo, MGUNDA aje hapo atutaki ujinga

  • @loishiyesamwel1374
    @loishiyesamwel1374 Месяц назад +1

    Ni kauli ya hovyo tena ni Fedheha kwa Simba pamoja na ligi yetu,
    Huyu coucher wa Yanga atutake radhi, katutusi kweli, kwamba ametuhurumia kutufunga Simba magoli mengi,

    • @user-cy4ll5fk8r
      @user-cy4ll5fk8r Месяц назад

      Una yajua matusi au nikutukane ndo ujue matusi,?

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Месяц назад +1

      ​@@user-cy4ll5fk8rTUKANA MSENGE WEWE UNAMTISHA NANI HAPA.

  • @HamadKhalfan-ur4hm
    @HamadKhalfan-ur4hm Месяц назад

    Timu apewe mgunda tuachane na huyu kocha

  • @jovovichmedia9424
    @jovovichmedia9424 Месяц назад

    Acheni ujinga simba haina wachezaji wa maana wamechoka

  • @alinassor391
    @alinassor391 Месяц назад +1

    Kombe la mapinduzi waachiwe wenyewao wazanzibar na km kuna kombe la muungono bc ndio waingie hao walioungana

  • @user-hu4el2rx2u
    @user-hu4el2rx2u Месяц назад +1

    Inonga.aende zake mpumbavu sana sio mechi hii tu Kuna mechi kama tatu nne zote anatoka bila ya kuumia aende anakokwenda pumbavu

  • @dennisbarongo2411
    @dennisbarongo2411 Месяц назад

    Salehe nakuelewa sana na nakubaliana na wewe kuwa kocha ana tatizo.

  • @jonamnyone8014
    @jonamnyone8014 Месяц назад

    Inonga ni mchezaji mzuri lakini huwa nasema Inonga wa timu ya taifa ya DRC si huyu anaecheza Simba. Kuna tofauti kubwa ya uchezaji anapokuwa na timu ya taifa la DRC anakuwa very serious lakini anapocheza Simba anacheza na majukwaa hawi serious.

  • @rajabumwarabu9092
    @rajabumwarabu9092 Месяц назад

    Wewe Simba Kuna wasaliti jiulize kwanini walimtoa Mgunda?

  • @nicholasmwakatali3499
    @nicholasmwakatali3499 Месяц назад

    Inonga kajifanyisha tu,Wala hakuumia. Kitaalamu ni kwamba Bora ushikilie kile ulichonacho kuliko kukiacha kile kilicho mkononi,hicho ndicho chako. Yeye Inonga baada ya kuona Far Rabat ya Morocco wanamhitaji akahudumu kwenye club Yao basi anaona Simba sc Haina maana kwake. Binafsi nimeumia sana. Nashauri uongozi wa Simba waachane na Inonga wamuuze alafu tutafute beki mwingine mzr ya Inonga. Naamini Simba sc hatuna tabia ya kung'ang'ania mchezaji.

  • @donaldbenedict5761
    @donaldbenedict5761 Месяц назад

    Serehe jembe huna baya umechambua vizuri aisee

  • @richardnganya2311
    @richardnganya2311 Месяц назад

    Dereva mzuri gari bovu.

  • @alfoncejohn2104
    @alfoncejohn2104 Месяц назад +1

    KWA LEO SIKUELEWI UNAPOTOSHA UKWELI.UMEPEWA HONGO WW

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 Месяц назад

    Salehe jembe uletewe machezaji km babacar fredy ngoma pa omary Fred hakuna machezaji pale mizee kweli ovyo kabisa

  • @HajiWanguvu
    @HajiWanguvu Месяц назад

    Salehe leo umefanya inter view bola toka nimekujua

  • @Shemahonge-ku7xx
    @Shemahonge-ku7xx Месяц назад

    Gamondi hanaheshima hajierewi utasemaje umecheza kamaukomazoezini kocha anaejierewa hawezi ongea ujingahuo ashaanza kurewa sifa

  • @bezalelmbijima8182
    @bezalelmbijima8182 Месяц назад

    Uongozi unayumbisha timu. Inatuumiza mashabiki! Kocha hatufai mara mia angebaki Mgunda hawa wachezsa pembeni waondolewe wasaidizi wanawavuruga makocha! Timu apewe Mgunda inaumaaaaa!

  • @hajeemchenga6139
    @hajeemchenga6139 Месяц назад

    Wachezaji wameoza bana acha kumlaumu kocha

  • @emlongetcha88
    @emlongetcha88 Месяц назад +1

    MJINGA KABISA WEWE... UNAMSAJILIA WACHEZAJI ALAFU. WAZEE WAZEE WAZEE HAWAELEKEZEKI.

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng Месяц назад

    mgunda mrudisheni jamanii tunamwomba mgunda jamaniii Arudi

  • @badendavid8456
    @badendavid8456 Месяц назад

    True

  • @musikibulezi5916
    @musikibulezi5916 Месяц назад

    Inonga aeende tu

  • @ramadhanimkwama2975
    @ramadhanimkwama2975 Месяц назад

    Bro umesema kweli, kocha sio yaan Kwanza ajui kupanga kikosi,kocha wa Simba ni uchebe tu

  • @Kevworx
    @Kevworx Месяц назад

    Benchika mpuuzi tu ww kila siku unaanza na Saidoooo humpi nafasi Luis, Chasambi na wengineo nilichogundua kocha huyu ana uwezo mdogo sana

  • @olaislukumay2208
    @olaislukumay2208 Месяц назад +1

    Kocha hana tatizo nadhani wachezaji Wana shida sana

  • @LwessoKisekaJuma-wb1zu
    @LwessoKisekaJuma-wb1zu Месяц назад

    Mtoa habari kama huelewi lugha uwe unauliza Gamondi hajazngumza hv,usimsingizie please

  • @hafidhnzota2142
    @hafidhnzota2142 Месяц назад

    Wewe Msenge UNATUMIWA

  • @kandydgitaltz
    @kandydgitaltz Месяц назад

    SALEHE KAUMIA SANA TIMU YAKE KUFUNGWA NA HUYO MTANGAZAJI HAKUNA KITU GAMONDI ALISEMA WAPI NO FACTS NO RIGHT TO SPEAK, WATANGAZAJI WA NAMNA HII NDIO WANAHARIBU WATANZANIA WASIO WEZA KUCHIMBA MAMBO KWA NDANI ZAIDI

  • @tanaseleli8429
    @tanaseleli8429 Месяц назад +1

    Wewe umetumwa kocha hanashida makocha wangapi wamepita tatizoni viongozi

  • @rajabumwarabu9092
    @rajabumwarabu9092 Месяц назад

    Kocha ni shida ! Nilitegemea atamuweka nje Saidoo ili atengeze timu Simba Iko vizuri shida ni Saidoo tu.

  • @PendoMatemba-ql1ng
    @PendoMatemba-ql1ng Месяц назад

    huyu couch katukera sana wachezaji ni walewale Anaoingiza uwanjani kila mpira ukichezwa Abadilishe wachezaji Atoke couch Atumtaki

  • @JilbertDanifordMathayo-sn2gy
    @JilbertDanifordMathayo-sn2gy Месяц назад

    SALEE WEWE PIA NI MCHAMBUZI BOVU KWA SABABU MASTRAIKER TULIO NAO UNLIDHIKA NAO?

  • @babycandycharles7816
    @babycandycharles7816 Месяц назад

    Wewe kakaangu umeongea ukweli kocha wa Simba ndiotatizo kocha walisema kaenda kusoma timu ilibaki na matola timu ilishinda aliporudi yeye tu timu haijashinda mpaka leo kochanae waovyo

  • @rajabumwarabu9092
    @rajabumwarabu9092 Месяц назад

    Unampanga Saidoo 9 kanute 10 umfunge nani?

  • @bezalelmbijima8182
    @bezalelmbijima8182 Месяц назад

    Hapa kweli inaumaaa sanaaaa Kocha kazi yake haipo kama ameshindwa kuwaelekeza wachezaji ambao wanafunga mtu goli 7! Halafu waporomoke mara moja kiasi hiki kweli? Misimu mitano wame consist kubakia robo fainali championship Halafu aseme hawafundishiki kweli? Apewe Mgunda tumalizie msimu ndipo tufanye tathimini. Kwanza tubaki wamoja Simba mtu asituvuruge kuanza kulaumiana. Ni mpira una maajabu yake.

  • @vumiliamgendi148
    @vumiliamgendi148 Месяц назад

    Kocha nae nishida kweli kabisa,kaka salehe tunaomba utusemee sisi tunaomba mgunda arudi aje kumalizia msimu nawamkabizi tim Moja kwa Moja waache uzungu mwingi kwani wao ni wazungu

  • @ShabaniSamkunde
    @ShabaniSamkunde Месяц назад +1

    Wachezaji wabovu usi tetee ujinga unataka utetee viongozi angalia yanga wana chezaje kocha hana kosa

  • @paterinishayo-ef4sx
    @paterinishayo-ef4sx Месяц назад

    Mgunda runamtaka viongoz wqnashida gan na mgunda

  • @user-xu1xu3ho7v
    @user-xu1xu3ho7v Месяц назад

    Wewe Salehe Jembe usijibu kila swali unaloulizwa. Sio kila swali analokuuliza mtangazaji ulijibu. Wapi Gamondi alisema kuwa hakutaka kuwafunga Simba?Ungamuuliza mtangazaji ili akujibu hilo ndiyo ujibu wewe swali lake.

  • @user-ms9fn2xf6i
    @user-ms9fn2xf6i Месяц назад

    Upo Sawa!

  • @user-vb8ki3jo9t
    @user-vb8ki3jo9t Месяц назад +1

    Simba wanavuna walicho kipanda robatinyo alikuwa mzuli sana bechika mzulisana ila wanaongea mmno

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Месяц назад +1

      MA COCHA WOTE WAWILI NI WAZURI VIONGOZI WANATAFUTA NJIYA ILI WAENDELEE KUKAA VITINI.

  • @sophiamikidadi9526
    @sophiamikidadi9526 Месяц назад

    Uko sahihi jembe

  • @yunusmhenga1397
    @yunusmhenga1397 Месяц назад

    Yule Juma mgunda kama angekua sio mtanzania angethaminiwa sana na angeimbwa sana

  • @eddiemay547
    @eddiemay547 Месяц назад

    We wacha ujinga cocha mzuri wachezaji kuna tatizo

  • @Shemahonge-ku7xx
    @Shemahonge-ku7xx Месяц назад

    Watuwengi nimewaambia hiri kuwa kocha kashindwa kufundisha timu maana kama unasema niwagumu kuerewa wewe kamamwalimu unatakiwa utumie uarimu wako iriikuvushe mpaka mwisho wamsimu

  • @AbshirMubaarack
    @AbshirMubaarack Месяц назад

    Mcjidanganye bn,hata angekuw Ancelloti,kwa kosi hilo la fred vunjabei.Mmh hmn wachezaji hapo

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 Месяц назад

      Hamna wachezaji ila Kuna nani?

  • @ahadikabuje
    @ahadikabuje Месяц назад

    Mm nikopomoja na ww salehe Kwa kocha anachelewa kufanya sabu

  • @elistarish
    @elistarish Месяц назад +2

    Salehe chukua form TFF,Uko vizuri sana mbona

  • @EmmanuelDominiko
    @EmmanuelDominiko Месяц назад +1

    Salehe wewe ni chawa umeumwa kwenda huko huna jpya

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 Месяц назад +1

      KWELI ANAWATETEA VIONGOZI KWA KUANZA KUMTUPIA LAWAMA COCHA SIO BURE KALAMBISHWA ASALI HUYO

  • @stellamboya8673
    @stellamboya8673 Месяц назад

    Sio inonga tu wachezaji wengi Simba wanaonekana hawapo sawa

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 Месяц назад

    Kombe la muungano ni uchawa wa kuingiza siasa kwenye mpira wa miguu! TFF lazima wajue uendeshaji wa mpira wa miguu ni gharama, ni semi professional, si enzi za chandimu. Klabu zinanunua wachezaji kwa gharama na mishahara kubwa sana, huwezi kuwatumia kama dai waka (day workers). Klabu ziandae wachezaji, pre_season, kwa michiano ya ligi kuu, mapinduzi, CRDB, CAF, Muungano, professionals wapate muda wa kurudi makwao kuchezea timu zao za Taifa. Katika ratiba tight kama hii watapata wapi muda wa kupumzika?.!Wachezaji wakipata majeruha au uchovu gharama kwa vilabu. Hapa kuna shida kubwa. Michuano ya Muungano haina tija wala maslahi kwa vilabu wala wachezaji. Michuano ya kombe la Mapinduzi inatosha kuliunganisha Taifa, TFF na ZFF acheni uchawa!

  • @emmanuelherman-cs8yq
    @emmanuelherman-cs8yq Месяц назад

    Kocha atalaumiwa Bure wachezaji hawako sawa . Ndg Saleh kama mchezaji unampamaelekezo hayatekelezi utafanya Nini kama kocha. Mf inonga Sasa hivi hana Nia na Simba

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 Месяц назад

      Ana wachezaji wengi sio Inonga peke yake kwanini asifanye mabadiliko ,mfano Chasambi alicheza lini? Kennedy Juma yupo kwanini asiwe anafanya mabadiliko wakati mwingine kila siku wale wale na hawafanyi vizuri kwani usiwatumie wengine, hivyo kocha nae mmmmhhhh😂😂

  • @hamidushabani3209
    @hamidushabani3209 Месяц назад

    Kocha Hana shida mi namtetea kabisa kama viongozi wangempa uhuru kocha kwa kusign mikataba mizuri Saidoo hasingeanza kikosi Cha kwanza Cha Simba Miqson sio wa kukaa benchi ila kutokana na mikataba mibovu ya viongozi walioingia na wachezaji kulazimisha lazima waanze hivi kwa umri wa Saidoo ni WA kufundishika ule?

  • @HamisSalige
    @HamisSalige Месяц назад

    Wachezaji wanashida sana Koch anacho kisema yupo sahihi wachezaji wetu wamechoka wametumika sana kwenye mashindano tusimlaum kocha ili sio kweli

  • @rashidisalumu144
    @rashidisalumu144 Месяц назад

    Duuuh

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k Месяц назад

    Wewe salehe kaz yako ni maneno polojo tu kocha ndo kaz yake bas wewe upewe iyo tim kwani simba itafukuza makocha mpaka lini wachambuz wengi nchi hii ni mapoyoyo tu

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz Месяц назад

    Wachezaji gan yanga kashinda,kizali,mpira wa Kaz,halafu,baka,kagaragazwa,c wa yanga,we hujaenda shule, Saleh uko saw,

    • @gaudencebruno5570
      @gaudencebruno5570 Месяц назад

      Kwan ww ayubu hajagalagazw au hyo bacca hajawagalagaza chama na babu saido kwa wote

  • @abelchisasi-sg7mo
    @abelchisasi-sg7mo Месяц назад

    We ni fala mjinga ksbisa , pumbavu Jembe usimba umekuathili, unatukana kocha wetu , ongea Hovyo uone tukunyooshe

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 Месяц назад

      Kwani hapo ametukana kocha au ameongea lile analofikiria yeye?

  • @ShabaniSamkunde
    @ShabaniSamkunde Месяц назад +1

    Acha ushamba wazee wenge

  • @MezdDimoso
    @MezdDimoso Месяц назад

    Kocha mapungufu yake tumeyaona sana anashinwa kuwatumia wachezaji

  • @HasaniKitumba
    @HasaniKitumba Месяц назад

    Inomga auzwe tu hana mapenzi na simba

  • @hkombe4923
    @hkombe4923 Месяц назад +2

    Kuanzia mechi zijazo asicheze

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz Месяц назад

    Dube atashinda lzma,sheria ya FIFA

  • @gideonmwaweza8177
    @gideonmwaweza8177 Месяц назад

    Cocha mwongo sana

  • @jovovichmedia9424
    @jovovichmedia9424 Месяц назад

    Ndugu yangu jembe viongozi wa simba wanakutumia kumponda benchika hapo hakuna wachezi wa ushindani kama viongozi wamekutuma na kukupa chochote kitu unazingua sana

    • @taseleli9181
      @taseleli9181 Месяц назад

      Hakuna Cha KUTUMIWA hivi hata kama ukiangalia wale akina Chasambi walisajiliwa wa nini Simba Ina wachezaji wengi kwanini wengine hawapangi, kocha nae ana shida plan zake kila siku hazifanikiwi kwanini asibadili plan nae anatakiwa kulaumiwa pia

    • @jovovichmedia9424
      @jovovichmedia9424 Месяц назад

      @@taseleli9181 tatizo waliosajili ni viongozi sio kocha huyo kocha ana viwango barani Africa tatizo mashabiki wa Simba mnawatetea viongozi wenu wa hovyo kwani ni makocha wangapi mnawaondoa na kuwatupia lawama kwa kuwalinda viongozi na wachezaji wenu wasio na viwango badilikeni angalieni wenzenu ifike kipindi mkubali ukweli wachezaji wa hovyo hawana viwango na wengine wamechoka benchika anawaambia ukweli hamtaki muacheni basi mlete kocha mwingine

  • @SabraNassor-hv1xi
    @SabraNassor-hv1xi Месяц назад

    jembe lawama kwa kocha tuu acha uzushi simba inawachezaji wabovu

  • @musikibulezi5916
    @musikibulezi5916 Месяц назад

    Anacheza kinafiki sana