Jamani tumuogopeni mungu hii kweli ni ibada kama ibada kafundisha mtume gani je wanawake wa kiswahaaba walifanya hivi kweli? Allah atuonge na awaongoze ndugu zetu hawa ambao hufanya majambo bila elimu na kuwaiga watu wema waliopita nao ni maswahaaba
Hapo wanamsifia mtu au kwa sababu hawajimba kiarabu ww unavyojiona umekamika mpaka uwakosoe wenzio peleka uko na dini yako ya kinafki waache wamsifu mtume wao
Vichekesho kuwa mwaomba watu wachangie juzuu na misahafu mukiwa mbioni na kutunga nyimbo na kucheza ngoma. Semeni wazi kama mwahitaji tarumbeta na vinara mupambe zaidi ngoma zenu.
Masha Allah Allah awajalie pepo❤
MashaAllah napenda sana dhikri MashaAllah mwenyezi mungu awape umri mrefu
Ok
Masha Allah
Naipenda sana maashaalla
Mashallah napenda dhikri
Mashallah
Mashaaallah.. You tube account yetu iangalie hku kwa jina la KHAIRIYYA ONLINE TV
Mashallah.....❤❤❤
Masha Allah ❤❤❤❤nimeipenda hiii jomon ❤❤❤😂😂
Kusini raha sana
Tena rahaaa saaana
❤❤❤mm napenda. Sanaaaa waleabao hapend wanakosaraha sana
Masha ALLAH 👏👏👏💪
Masha Allah.❤❤❤❤❤
Mashaallah ❤❤❤
Imenipa furaha sana
mukovizuri sana mnachambua hadi lahaa
Jamani tumuogopeni mungu hii kweli ni ibada kama ibada kafundisha mtume gani je wanawake wa kiswahaaba walifanya hivi kweli? Allah atuonge na awaongoze ndugu zetu hawa ambao hufanya majambo bila elimu na kuwaiga watu wema waliopita nao ni maswahaaba
Wewe kinacho kusumbua no husda tuu waache watu na raha zao hujalazimishwa kuangalia
Dhambi yao nini kumtaja mungu na kumsifu mtume au kusifia uumbaji na sifa zake Allah shida nn asa usijipe mapana elim huna
Hapo wanamsifia mtu au kwa sababu hawajimba kiarabu ww unavyojiona umekamika mpaka uwakosoe wenzio peleka uko na dini yako ya kinafki waache wamsifu mtume wao
Hakuna dhikiri kama hivi
Vichekesho kuwa mwaomba watu wachangie juzuu na misahafu mukiwa mbioni na kutunga nyimbo na kucheza ngoma. Semeni wazi kama mwahitaji tarumbeta na vinara mupambe zaidi ngoma zenu.
Muombe mungu akuongoze insha'Allah
Hii ndio dini ya mtume Muhammad kweli ?