Wakazi wa Njiru, Chokaa na Mihango wasema watalipa familia ya Kirima

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 окт 2024
  • Mamia ya wakazi wa maeneo ya Njiru, Chokaa na Mihango wanaoishi ndani ya shamba la aliyekuwa mwanasiasa Gerishon Kirima wameanzisha mazungumzo ya kulipia vipande vyao vya ardhi ambavyo wanaishi. Runinga ya Citizen imedhibitisha kuwa familia 900 zinazoishi ndani ya shamba hilo zimeelezea nia yao ya kulipa shilingi laki tatu kwa ploti. Haya yanajiri huku viongozi wa makanisa wakitaka serikali kuu kuingilia kati na kufanya majadiliano kama ilivyofanyika katika shamba la Waitiki ambapo mmiliki alilipwa shilingi bilioni 1.2 .

Комментарии • 46

  • @carolinemungai9511
    @carolinemungai9511 11 месяцев назад +10

    Sawa kila mtu ako na haki kuishi pahari popote but sikunyakua mashamba ya watu by force

  • @bensonngichabe946
    @bensonngichabe946 11 месяцев назад +1

    Hiyo familia wako na maringo sioni kama maoni yenu itasikika.nawajua vizuri sana.

  • @thomasnjuguna202
    @thomasnjuguna202 11 месяцев назад +12

    Kwani mnaforce muuziwe kwa nguvu, nani amemwabia mwenyewe anauza?

  • @tutukagara9452
    @tutukagara9452 11 месяцев назад +2

    Wafike bei 7m Kila mtu

  • @MercyMwongeli-b4q
    @MercyMwongeli-b4q 11 месяцев назад +8

    Babu owino naye analeta siasa hapa, shame on you

  • @gwg216
    @gwg216 11 месяцев назад +5

    On a light note well binadamu ni wale wale tu once they are given that period to pay and amount kuna obviously wale watasumbua sana kulipa and it will be a game of cat n Mouse 😮 na hii economy mtu anatoa wapi laki tatu a kawaida mwananchi.... Right now they can jitetea with all sorts of sweet things but kwa ground ku pay itakua ngori..... But all in all hopefully wataelewanwa

  • @HOI555
    @HOI555 11 месяцев назад +3

    300k per plot kwa prime land😂😂😂😂they got jokes

    • @Mima-cl2im
      @Mima-cl2im Месяц назад

      Hiyo prime land aliipataje? Wote tunajuwa Karima alikuwa mayor wa Nairobi, land kwakwe ilikuwa ni kunyakuwa tu.. Hii ndiyo Kenya mnyonge hana haki.

  • @bernardoloo2023
    @bernardoloo2023 11 месяцев назад +1

    I have worked with the Kirima family in kiambu...that is the most chaotic family i have ever seen in my life...There,s Even a Bishop there who does not listen unless you have money 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @lawrenceokaki489
    @lawrenceokaki489 11 месяцев назад

    rush to court for stay orders. That family may not entertain any talk considering how they were frustrated with the court process

  • @carolinemungai9511
    @carolinemungai9511 11 месяцев назад +4

    Hata wenye wako na midomo hawezi kubali kwao kunyakuiwe

  • @gilbertnyachae4060
    @gilbertnyachae4060 11 месяцев назад

    What about kirima family loose the case

  • @carolinemungai9511
    @carolinemungai9511 11 месяцев назад +3

    Kwani mutaforce muuziwe cha nguvu namuwacha zenyu kisumu

    • @marithawairimu1543
      @marithawairimu1543 11 месяцев назад +2

      Kila mtu ako na haki kuishi mahali anataka Kenya aki tuwache ukabila.....wakikubali kukaa chini well n good

    • @generalkago5361
      @generalkago5361 11 месяцев назад

      BOMOA BOMOA BOMOA, KITWARAMBA !!! WANA AZIMIO !????😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😊😊😊😊😊😊😊😊😊

    • @veronkelly6337
      @veronkelly6337 11 месяцев назад +2

      Ukabila haitakusaidia kwa chochote na si wajaluo pekee yao wamejenga huko

    • @Mohammadbora-cd6jg
      @Mohammadbora-cd6jg 11 месяцев назад +1

      ​@@generalkago5361Usiongee vbaya huwez jua hio bomoa bomoa kesho itakuwa wapi...

  • @thomasnjuguna202
    @thomasnjuguna202 11 месяцев назад +4

    Bona walijenga kwa wenyewe alafu eti 40*60 walipe 300000 ??

  • @kenvlgs
    @kenvlgs 11 месяцев назад

    Hizi kesi za shamba zimekuwa mingi sana,...sielewi

  • @moha9043
    @moha9043 11 месяцев назад +3

    Start parking rather than arguing

    • @gwg216
      @gwg216 11 месяцев назад +1

      Aki gosh kwanza kama the ruling was already given its triky they better also rush to court they try wapewe stay orders as they mediate ndio kusibomolewe

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im Месяц назад

    Mtu mmoja anachukuwa ekari zote hizo . Karima alikuwa mayor wa Nairobi, aliwezaje kununuwaekari zote hizo? Kweli Kenya ni man eat man society.

  • @elizabethmwethia6527
    @elizabethmwethia6527 11 месяцев назад +1

    Lakini bona hua munanunua hii shamba namunajua tu hii sii mara ya kwaza hii shamba uuzwa tena inabomolewa

  • @sentonybanks5068
    @sentonybanks5068 11 месяцев назад

    Mimi ni last born wa kirima before tuongee nirushieni deposit kwanza

  • @AnneWanjeri-h8s
    @AnneWanjeri-h8s 11 месяцев назад +3

    Deuteronomy 27:17 cursed is the one who removes neighbor boundary mark and all people sa Amen. Proverb 22: 28 Do not move the ancient boundary or go into fields of the fatherless.

  • @johnndegwa67
    @johnndegwa67 11 месяцев назад

    300k??? Wazimu nyinyi

  • @MrMutiraph
    @MrMutiraph 11 месяцев назад

    Now they want Ruto to adopt uhuru's strategies? Hahaha

  • @MrMutiraph
    @MrMutiraph 11 месяцев назад

    What's the market value per plot

  • @laurynblessing001
    @laurynblessing001 11 месяцев назад

    0

  • @estherndanu8729
    @estherndanu8729 11 месяцев назад

    This are not squatters this are tycoons.manyumba tunaona ni za maskini?mnatu enjoy nyinyi

  • @estherndanu8729
    @estherndanu8729 11 месяцев назад

    Walipiwe shamba?this are land grabbers church you're wrong on this.shame on you

  • @generalkago5361
    @generalkago5361 11 месяцев назад +1

    Why didn't this same GOVERNMENT extend an olive branch to our inlaws, the KAMBAS dwelling in MAVOKO EAPC LAND ??? What's so special about these KIRIMA LAND THIEVES ?????

    • @charlesbii6749
      @charlesbii6749 11 месяцев назад +3

      Hiyo ni shamba ya kampuni,hii ni ya mtu,ni rahisi hii kusolve

  • @wanyonyirobert2735
    @wanyonyirobert2735 11 месяцев назад

    Watoke. Wajaluo wako na upuzi

  • @Vk-wt9hl
    @Vk-wt9hl 11 месяцев назад

    Kirima was a known thief how did he acquire massive tracks of land in Nairobi? The curse will forever haunt him to his grave

    • @njihiapeter8564
      @njihiapeter8564 11 месяцев назад +3

      work hard, he bought the land 1971 with a bank loan, followup

    • @TranquilNatureEscapes
      @TranquilNatureEscapes 11 месяцев назад +2

      you grandfather was poor man🤣🤣

  • @Fadh254
    @Fadh254 11 месяцев назад

    I am willing to mediate between the Family and the land owners for free na kila Mtu aridhike let the land group team contact me