Ruby feat Mbosso - Uridhike (Official Music Audio)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 сен 2023
  • Artist : Ruby feat Mbosso
    Song : Uridhike
    Producer : Mafeeling
    Writter : Rackizy Coco
    Record Label : Majeshi Music
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 722

  • @Jaydannychawaboy.
    @Jaydannychawaboy. 8 месяцев назад +620

    Mih ndo wa kwanza hapa Kwa hio niwaombeni like hata tano basi 😢😢😢😢❤❤❤

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 8 месяцев назад +24

      Nipe na mm like... Nitakulike pia..... Usipo ni like siku like 😜😜😜😜

    • @salumkupenda1250
      @salumkupenda1250 8 месяцев назад +10

      Zinakupa kula

    • @Jaydannychawaboy.
      @Jaydannychawaboy. 8 месяцев назад +6

      @@salumkupenda1250 🤣🤣🤣🤣ndio

    • @MrTwoRocks
      @MrTwoRocks 8 месяцев назад +7

      Next time Omba nyingi

    • @user-cf5sy7lv9l
      @user-cf5sy7lv9l 8 месяцев назад +5

      Zina kusaidia nn kuma wewe

  • @dasproz50
    @dasproz50 8 месяцев назад +74

    Nimekuja hapa kwasababu ya mbosso wanao mpenda Mbosso likes pls hapa twende nalo.

  • @OFFICIALSEMAH
    @OFFICIALSEMAH 8 месяцев назад +34

    Hii imekaa poa sana Kenya 🇰🇪 mpo wapi Tanzania 🇹🇿 gonga like za Ruby ft mbosso ulidhike❤

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul 8 месяцев назад +213

    Jaman sisi wa mwanzo mwanzo tupeni haki zetu... Maua yetu jaman....
    Ruby kaua,,,,,,,,
    Mbosso kaua pia,,,,,,,,,, hii imeenda, nasema hii imeenda

    • @nasraali144
      @nasraali144 8 месяцев назад +2

      Hii sauti ya haitham Kim marehemu sio ruby huy

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 8 месяцев назад +2

      @@nasraali144 mmmh 🤔🤔

    • @nasraali144
      @nasraali144 8 месяцев назад

      @@RamadanPaul iskilizie vizur ruby akiimba anajikamua sanaaa kwenye kiitikio ndo Katia sauti yake ruby

    • @user-pn9eb3oo3z
      @user-pn9eb3oo3z 6 месяцев назад

      😢

    • @FiveZone-np6yt
      @FiveZone-np6yt 5 месяцев назад

      🎉🎉🎉

  • @sesilialazaro4617
    @sesilialazaro4617 8 месяцев назад +32

    Jamni tukubaliabe Ruby ako na sauti flani ❤wangapi tunakubaliane❤😅😅 uridhike moyo ❤

  • @dennohgift
    @dennohgift 8 месяцев назад +39

    Ruby back to the top like she never left.
    Mbosso kapita kwenye hilo verse kichizi....jameni nipeeeni likes zangu

    • @salvinakalinga5973
      @salvinakalinga5973 8 месяцев назад

      Kabisa yani💥💥💥mimi huwa nasemaga Ruby hata akae miaka 5 bila kuimba akisema anarudi akatoa wimbo mzuri tutamsikiliza tu💥💥💥💥💥

  • @janetdundul3858
    @janetdundul3858 8 месяцев назад +47

    Nyimbo tamu sana weheeeeeee tafazali msinibanie👌😘🥰🥰🥰💐🔥🔥🔥🔥

    • @jojigeorige1056
      @jojigeorige1056 2 месяца назад

      Unaskia kabinti kanaimba " nikupe kisima uchimbe" maniner

  • @salvinakalinga5973
    @salvinakalinga5973 8 месяцев назад +86

    Nyimbo nzuri bwana nzuri kupitiliza 🙌🙌🙌🙌HUNA BAYA😂❤❤❤

    • @JULIANABJM
      @JULIANABJM 8 месяцев назад +1

      Baya lake nitakua kiko kupitia mume wa Lulu kaombwa rushwa ya ngono tangu enzi hizo mbona alikua haongei 😂

    • @WitnessNgusi-or4eq
      @WitnessNgusi-or4eq 7 месяцев назад

    • @user-pn9eb3oo3z
      @user-pn9eb3oo3z 6 месяцев назад

      Atariii sana

    • @FiveZone-np6yt
      @FiveZone-np6yt 5 месяцев назад

      acha kabisa fayaa🎉🎉🎉

  • @ireneatieno8729
    @ireneatieno8729 2 месяца назад +3

    Wapi video jameni. Wimbo tamu! Baada ya kuskiza mara moja imenifurahisha 😊😊😊

  • @em_vee_josh
    @em_vee_josh 8 месяцев назад +24

    Mkenya Wa Kwanza kucomment nipeni likes tafadhali

  • @Babyzay178
    @Babyzay178 8 месяцев назад +33

    Moyo uridhike Baba wapi like za moyo uridhike Baba 🥰🙌

  • @allytwalibuhusseni9339
    @allytwalibuhusseni9339 4 месяца назад +2

    Nipeni like moja ya best song in 2024 rubby best female awards coming soon for this year

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 8 месяцев назад +21

    Wamekutana wote talented Ruby na Mbosso matokeo yake 🔥🔥🔥🔥

  • @VailethPaul-sw9gb
    @VailethPaul-sw9gb 8 месяцев назад +1

    Haaaa mwenzio mwenzio natak nikiamshe kilio jmn ruby umeua dada

  • @kelematinlondon854
    @kelematinlondon854 2 месяца назад +1

    🥰keep it up good work y’both🔥🔥🥰🥰❤️‍🔥❤️‍🔥❤️‍🔥

  • @salvinakalinga5973
    @salvinakalinga5973 8 месяцев назад +18

    Dada ruby leo nashinda kukusikiliza wewe tu mwendo wa ngoma baada ya ngoma💥💥💥💥💥🙌🙌🙌hapo pa HUNA BAYA😂😂 Umetisha dada❤❤❤❤❤

  • @Nalitumpaboy-dm4tk
    @Nalitumpaboy-dm4tk 8 месяцев назад +2

    Aya sasa mondi,chawa,mbosso wote wametoa magoma ila ibrah wa mmakonde alikaa mwaka sioo pw anachofanyiwa ata kma ni gang mbn mondi kawaluhusu

  • @asiamuss3279
    @asiamuss3279 7 месяцев назад +4

    Baada ya kuona mtoto wa mama ki ki ki kimbooo😅😅😅

  • @eveyuya9496
    @eveyuya9496 8 месяцев назад +43

    Now this is the queen of vocals. I love you Ruby. Here for you all the way from 🇰🇪

  • @basiaathuman5947
    @basiaathuman5947 8 месяцев назад +7

    ❤ruby kama ruby no one like you nakubali sana

  • @annmakena4196
    @annmakena4196 2 месяца назад +1

    Mbosso sauti💯🔥

  • @BraydenBrilliant-ru4qd
    @BraydenBrilliant-ru4qd 7 месяцев назад +1

    ❤❤❤❤yaani mahaba tele napenda aki ya nani❤❤

  • @johnsonchonja4032
    @johnsonchonja4032 8 месяцев назад +13

    Mafundi wawili ndani ya track moja,, 🔥🔥🔥🙌💯

  • @therndabt
    @therndabt 8 месяцев назад +53

    This is going straight to my “Melodic Africa” playlist

  • @vj39500
    @vj39500 8 месяцев назад +34

    Sauti yako ndio inanimaliza, Ruby be blessed 🙌 ❤❤

  • @eppiemodest
    @eppiemodest 8 месяцев назад +10

    Duh. Ruby + Mbosso eh 🎶🎶🔥🔥🔥👍🏼👍🏼♥️♥️♥️

  • @BizdenAfrica
    @BizdenAfrica 8 месяцев назад +4

    Ruby number one nipe like zangu ❤

  • @petermarinojoseph
    @petermarinojoseph 8 месяцев назад

    Rubby nakukubal mpk kiffo.... Cina wimbo wako nisioukubali dada anguh more success

  • @geniusgangkenya8732
    @geniusgangkenya8732 8 месяцев назад +27

    The real queen 👸 of melodies 💯🥰 is back.... ladies and gentlemen....Ruby👸🥰

  • @salvinakalinga5973
    @salvinakalinga5973 8 месяцев назад +6

    Leo nina raha jamani ni full music ,uwiiiiii💥💥💥💥💥💥

  • @chachaali2255
    @chachaali2255 8 месяцев назад +44

    My Favorite Ruby Coming Back Like She Never Left✅

  • @user-lm3tc3ou5r
    @user-lm3tc3ou5r 3 месяца назад +1

    Mmh kawimbo katam sikaishi ham❤❤ nawe usikubali akapite my gonga hapo

  • @user-ch5zu5ir6j
    @user-ch5zu5ir6j Месяц назад

    Ruby ndy mwanadada mwenye voko Kal tz bisha we

  • @Ramjamcomedian
    @Ramjamcomedian 8 месяцев назад +5

    emu ongezeni sauti ya radio kwq kunipa likes jaman😢

  • @superserengeti9629
    @superserengeti9629 8 месяцев назад

    Saiv ni khan aka mbosso sio lile jina la kiwaki la maromboso enzi SU😁😁😁shikamoo pesa🏃

  • @levistar_tz
    @levistar_tz 8 месяцев назад +10

    nyimbo kalisana ❤❤❤❤❤

  • @user-kh2du4ww2p
    @user-kh2du4ww2p 8 месяцев назад

    Ruby wanguh tunamiss nyimbo zako tunaomba usikae kimya kipenz chetu

  • @margarethamichael2757
    @margarethamichael2757 8 месяцев назад +9

    Waoooo songi tamu hatari ❤️❤️

  • @reginaharrizon7369
    @reginaharrizon7369 8 месяцев назад +22

    But why,!! our girl is so talented 😍
    Mbosso you're my sure bet ❤️

  • @PiliPrisca-yk8rp
    @PiliPrisca-yk8rp 8 месяцев назад +1

    Unyamaaaa ni mwingi

  • @missiontown001
    @missiontown001 8 месяцев назад +9

    Dada ulikuwa wapi nakupenda sna....❤

  • @sasanow2333
    @sasanow2333 5 месяцев назад

    She's legendary. The goat. Mboso the goat. Watu wetu hawa.

  • @user-nq4md3sj6d
    @user-nq4md3sj6d 8 месяцев назад

    wangapi wamekuja sababu ya MBOSSO? gonga like

  • @emmanuelmwendesha8154
    @emmanuelmwendesha8154 8 месяцев назад +5

    Queen ni mmoja tuu wa bongo ambaye Ruby🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @nabillkhamis8188
    @nabillkhamis8188 8 месяцев назад +1

    Hakika iko pw

  • @PanchoValentino-wh7wt
    @PanchoValentino-wh7wt 8 месяцев назад +2

    Ooh Ngoma kalii Saaaana aiseeee 🔝🎶🎼 good music 🎶🎵 only

  • @judithmafwimbo2281
    @judithmafwimbo2281 8 месяцев назад

    Ruby sauti yako ni nzuri sana lakn sijui kwann haujawa famous sana

  • @BAHATIKIBA-ul6wx
    @BAHATIKIBA-ul6wx 8 месяцев назад +1

    NaKubal Hili Goma Kwel Ruby Umekill Pamoja Na Muhindi Wa Kusini Salute Kwenu

  • @GaudanceSillo-vg3xz
    @GaudanceSillo-vg3xz 8 месяцев назад +2

    Daah ... Dada mamgi kimambi kama nakuonaa yaan mmmh ... Leo nilkua nafuatilia ishu yote ila am too proud of RUBBY lets bang with world ... #sillo music for life

  • @ilyasmuhsin3285
    @ilyasmuhsin3285 8 месяцев назад +3

    Umbuje umetisha hatareee

  • @sultanmsoloni8635
    @sultanmsoloni8635 8 месяцев назад

    Wasafi na majizo wanakaugomvi,Baada ya majizo kutambulisha studio mpya,Ruby akaibuka kuwa majizo alimtaka,punde Ruby katoa ngoma ft mboso msanii wa wasafiii

  • @user-nt4nn3tm9x
    @user-nt4nn3tm9x 8 месяцев назад +1

    Umeridhika kweli hii hatari

  • @mariam-dp5hw
    @mariam-dp5hw 6 месяцев назад

    Wamekutana ma tajir wa saut yaan music ukawa mwaaah!!!!!

  • @nasri1061
    @nasri1061 8 месяцев назад +1

    Bora hata ruby arudii coz Kuna vidada vilidhanii vitaweza lishinda vocal la ruby⚡⚡⚡

    • @salvinakalinga5973
      @salvinakalinga5973 8 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂Ruby kiboko jamani💥💥💥💥💥💥

  • @geoffreycalvin2288
    @geoffreycalvin2288 8 месяцев назад +5

    Fundi wangu bora wa muziki wa muda wote kuwahi kutokea nchini Tanzania ❤ go Ruby

  • @MildredWanjiru-rs5gd
    @MildredWanjiru-rs5gd 8 месяцев назад +3

    ❤❤❤ i love this song somuch ...wow yan mbosso ft Ruby hii kali tena sana..wapi liks bana

  • @gabrielokumu5745
    @gabrielokumu5745 8 месяцев назад

    Ruby nice staff soo shocking that sikua nmesubscribe..mbosso is the reason I support wasafi✊

  • @ramadhanhamidu4992
    @ramadhanhamidu4992 7 месяцев назад

    Ruby sijui anakwama wapi au mdomo ndio unao mkwamisha maana anavyoimba bongo hii kwa wanawake sijaona bado

  • @abdunnasser9580
    @abdunnasser9580 8 месяцев назад

    Baada ya rubi kumtukana boss majizo nangoma inatoka

  • @falsafa-2545
    @falsafa-2545 8 месяцев назад +1

    Akikuomba mpe aridhike. Mlo kutwa mara moja ; visenti haba ila lazima nihakikishe nimepata nafasi ya kusikiliza nyimbo za mbosso. Hongerea sana @mbosso kwa kibarua kizito . Mziki mzuri kwelikweli.

  • @ashurajengela3926
    @ashurajengela3926 8 месяцев назад +6

    African voice 🔥🔥🔥 achana na maboss wanao taka uchi mwaya tutakupa support ivo ivo jitahidi kufanya promo tu 🥰🥰🥰

  • @racholito
    @racholito 6 месяцев назад +2

    one ❤ from 🇰🇪🇰🇪

  • @user-ic2sn4zp9r
    @user-ic2sn4zp9r 4 месяца назад

    Ruby uko vizur Yani unajua ❤❤❤❤❤

  • @enjobw5682
    @enjobw5682 6 месяцев назад

    Wimbo wangu pendwaa ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @ramadhaninongo442
    @ramadhaninongo442 8 месяцев назад

    kali Sana pumbav ulikua kimya kisa nn wakat ngoma kali zipo

  • @charlesmashaury1898
    @charlesmashaury1898 8 месяцев назад +3

    Ruby unajua mpaka unakera aisee sema nini endelea kutupa music mzur

  • @professorkinju1101
    @professorkinju1101 8 месяцев назад

    Ni me zi di wa ....mai dodo wangu🤗🤗🤗🤗 weka like

  • @chiefndatu1895
    @chiefndatu1895 8 месяцев назад +1

    Mwenye mziki wake karudi ❤🎉🎉

  • @salvinakalinga5973
    @salvinakalinga5973 8 месяцев назад +4

    Wimbo mzuri alafu hata wala hauchoshi kuusikiliza 💥💥💥💥💥najisikia tu kucomment kila nikija RUclips ❤❤❤

  • @jumahassan273
    @jumahassan273 8 месяцев назад +1

    Ruby kipenz nimekubali ngoma Kali

  • @user-fs7hl6vg2p
    @user-fs7hl6vg2p 8 месяцев назад

    Umetishaass mwamba rubyyyyyyyy

  • @mariamhussein6059
    @mariamhussein6059 8 месяцев назад +6

    Aisee Ruby unajua mpaka unakeraaa.... 🙌🙌 The only one Vocalist in Tz forever 🥰🥰

  • @magdalinemulei9358
    @magdalinemulei9358 4 месяца назад

    Wachimba visima mpoo🎉🎉🎉🎉❤

  • @siryoreemmanation936
    @siryoreemmanation936 8 месяцев назад +46

    Ruby is onto the Next Level❤

    • @geofreysadok4823
      @geofreysadok4823 8 месяцев назад

      Why umeweka picha kama yangu kwenye account yako 😂.navi force tujuane tafadhali

    • @user-pn9eb3oo3z
      @user-pn9eb3oo3z 6 месяцев назад

      😂😂😂😂

  • @GudgudInformer
    @GudgudInformer 6 месяцев назад

    Hakuna Diva wa kumfikia Ruby Bongo

  • @cristaproduction7033
    @cristaproduction7033 8 месяцев назад +1

    Mi wa kwanza

  • @wisemelodytz589
    @wisemelodytz589 8 месяцев назад +33

    Our own queen 🔥🔥

  • @user-xq5pn7xy2x
    @user-xq5pn7xy2x 3 месяца назад

    Waoooooooo❤❤❤❤❤❤❤ imenibamba warahi hii song❤❤❤❤❤❤

  • @alexpius3827
    @alexpius3827 8 месяцев назад +1

    Ruby una pepo yako peke yako, hii sauti yako hata malaika wanafrah@iamrubyafrica ❤❤❤❤

  • @glorianikiza3940
    @glorianikiza3940 8 месяцев назад +6

    Hii imeendaaaaaaaa❤🔥🔥🔥

  • @saidingailenairoshi3194
    @saidingailenairoshi3194 8 месяцев назад +1

    I always love sauti ya ruby tena kashirikiana na my all time star mbosso massive love my ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @lisaliza9788
    @lisaliza9788 8 месяцев назад +11

    Mashairi to another level 🇰🇪🇯🇵❤

  • @gracenjuguna6890
    @gracenjuguna6890 6 месяцев назад

    😍😍😍😍moto zaidi ya pasi

  • @SmartBoy-un5in
    @SmartBoy-un5in 8 месяцев назад

    haya ndio aliyo sema mange kuandika hit 🎵 song haujui

  • @5Multpurpose
    @5Multpurpose 8 месяцев назад +1

    King mboso🎉 na bibie mideko hapo sasa hiiii imeenda

  • @user-jt2xo5dw7e
    @user-jt2xo5dw7e 8 месяцев назад +1

    Nyie mbosso anaimba

  • @gamerstech5689
    @gamerstech5689 8 месяцев назад +3

    kilungiiiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥👌👌👌👌

  • @paulmash7276
    @paulmash7276 8 месяцев назад +4

    Wish that rubis part was a bit longer....so sweet much love from kenya..🇰🇪🇰🇪

  • @seiftanzania5320
    @seiftanzania5320 Месяц назад

    Huyu Ruby ni msanii Mzuri sana

  • @malengaWetuTv2699
    @malengaWetuTv2699 8 месяцев назад

    Ngoma kali sana mbosso amefanya kama anavyofanyaga

  • @simonjoshua1233
    @simonjoshua1233 8 месяцев назад +10

    Let's go Tanzania 💯💯

  • @valentinoswenya748
    @valentinoswenya748 8 месяцев назад

    Unabaya ruby jamani daaaah❤

  • @OmmyConscious
    @OmmyConscious 8 месяцев назад +10

    🔥🔥🔥

  • @GmtKariakoo
    @GmtKariakoo 8 месяцев назад

    Nimekuja kwa mboss sema ajawai kutuangusha🎉

  • @Waytozanzibar
    @Waytozanzibar 8 месяцев назад +130

    Ruby has Natural voice that can console and boost up your vibes while in bed with your special one 🔥🔥🔥😜💯💯🫶

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 8 месяцев назад +5

      Lakini hana bahati sijui kwa nini

    • @Waytozanzibar
      @Waytozanzibar 8 месяцев назад +1

      ​@@leokamil6284 Ndio binadamu tukivyo, sio watu Wote watakupenda wapo wataokuchukia nakutamani ufikwe na Matatizo Siku zote. Mimi Namkubali sana 🔥🔥🔥💯

    • @Zalhathamohdsaid
      @Zalhathamohdsaid 8 месяцев назад

      ​@@leokamil6284 nami najiulza

    • @user-pn9eb3oo3z
      @user-pn9eb3oo3z 6 месяцев назад +1

      Wakati wa mungu bado akifika ,mungu akimnyooshea mkono,atakuwa tyuu juuu

  • @brianjuma1980
    @brianjuma1980 8 месяцев назад +27

    A collab we never expected😢❤❤

  • @slimmuhabesh2400
    @slimmuhabesh2400 8 месяцев назад

    Mbosso Umeua Humu Kupitiliza...

  • @saidizuberiissa7286
    @saidizuberiissa7286 8 месяцев назад +4

    Ruby ni msaniii mnoooma

  • @PendoAlly-md1zo
    @PendoAlly-md1zo 6 месяцев назад

    Yani ya moto mboso kaua robi motoooooo

  • @DJGRACECRIS
    @DJGRACECRIS 8 месяцев назад +1

    À santé kwakazi nzuri dada yangu myaka ine ahufanyi répétition lakini unafanya kazinzuri kama hiyi asante sana