Pastor,kusema kweli mahubiri yako yamekuw manufaa Sana kwa maisha yangu,wakati wa shida mi naskia tu,Kuna siku moja niliweka Na Kuna mwanaume mmja alikuw ananigombesha Sana juu ya Kuku yangu et amekula mimea yake ,nikafikia penye ulikuw unasema si vita vya damu Na nyama,nikanyamaza kabisa ,akarusha panga Kuku yangu ,panga ikageuza mwelekeo ikaenda Hadi kwa dirisha Lake ikapasua vyoo kidg ikate Bibi yake aliyekuw nyumbani ,,tuliskia yowee uuuui,akaambiwa badala ya kuhama anunue vyoo immediately ndo waanze kuongea Na caretaker, Mungu akuongeze nguvu ujumbe ufikie watu wengi,napenda mahubiri yako sana
Amen ubarikiwe sana mchungaji Kwa ujumbe mzuri akika nimejifunza mengi kupitia masomo yako mungu azidi kukuinua mtumishi na azidi kukuzingira pamoja na familia yako yote
Amen mchungaji,nakusikiliza kutoka saudi Arabia na kila nikifunga nakuomba mafunzo yako yananibariki sana.mungu azidi kukupea uzima ili uzidi kutulisha na neno lake......be blessed
Good afternoon friend. Did you remember to listen to that valuable message again? We have a tendency of forgetting. So repeating is very important. May God bless you abundantly
Wewe ndiye ulioewa neema ya kipekee ya kufundisha neno Kwa ufadaha bila chuki MUNGU akubariki Sana nimekuwa nikifatikia mahubiri yako mengi na nimebatikiwa saana
@@cliffrmmbaga9157 Asante soma tu BIBLIA YA VITABU 72 ila hata kama huamini Soma tu Ili kujua Mbona unasoma vitabu vingi hata magazeti unasoma Au soma tu kama gazeti ukielewa sawa usipo amini sawa pia maana hufungwi
Pastor,kusema kweli mahubiri yako yamekuw manufaa Sana kwa maisha yangu,wakati wa shida mi naskia tu,Kuna siku moja niliweka Na Kuna mwanaume mmja alikuw ananigombesha Sana juu ya Kuku yangu et amekula mimea yake ,nikafikia penye ulikuw unasema si vita vya damu Na nyama,nikanyamaza kabisa ,akarusha panga Kuku yangu ,panga ikageuza mwelekeo ikaenda Hadi kwa dirisha Lake ikapasua vyoo kidg ikate Bibi yake aliyekuw nyumbani ,,tuliskia yowee uuuui,akaambiwa badala ya kuhama anunue vyoo immediately ndo waanze kuongea Na caretaker, Mungu akuongeze nguvu ujumbe ufikie watu wengi,napenda mahubiri yako sana
Amina,jina la Bwana na libarikiwe, Asante mchungaji kwa fundisho nzuri
Asante Mungu,mjaze padre Mmbaga na mengi ya kiroho.
Amen pastor Mungu akubariki
Amen pastor mungu akubariki sana
Amen amen am soo blessed nice courageous and powerful message nimesonga hatua kubwa since I started listening ur sermons God bless you pastor
Amina Sana.tuombe mungu atatujibu (Imani yako itakuponya)
Madhabahu zimejawa hofu kubwa muda huu. Zingine zinatamani umeme ukatike, network za simu zisifanye kazi. Bali hazitaweza kwa jina la Yesu. Amen.
Asante Mungu wangu Kwa Neno lako lililo hai; Mfiche Mtumishi wako ( Pr. David) adui asimuone!
Amen ubarikiwe sana mchungaji Kwa ujumbe mzuri akika nimejifunza mengi kupitia masomo yako mungu azidi kukuinua mtumishi na azidi kukuzingira pamoja na familia yako yote
Bwana YESU CHRISTU ASIFIWE! Nawasalimu katika jina la Yesu Christu. From USA California.
Nafurahi ninaposikiliza mafundisho haya ubarikiwe pastor
Ameeen mutumishi wa mungu umetuongezea 🙏
Maadui wasikuone pastor 🙏
Amen mchungaji,nakusikiliza kutoka saudi Arabia na kila nikifunga nakuomba mafunzo yako yananibariki sana.mungu azidi kukupea uzima ili uzidi kutulisha na neno lake......be blessed
Amina,nimefarijika na somo hili dhidi ya machungu nilio nayo kazini naamini nitayaweza mambo yote kwake yeye anitiaye nguvu, 🙏🙏🙏
What a great massages. Thanks pastor. I have learned alot
Good afternoon friend. Did you remember to listen to that valuable message again? We have a tendency of forgetting. So repeating is very important. May God bless you abundantly
Ni somo nzuri sana , Mwenyezi akubariki Pr. David
Amina Pr. Mungu azidi kukutumia.
Amen nimebarikiwa na mahubiri haya, Mungu akutie nguvu Mchungaji, na azidi kukutumia.
Amen
Amen.ubarikiwe pastor Mbaga
Kuzini ni dhambi kubwa sana inayo tutesa vijana yesu hilo hajapitia
Ooh sawa ali beba magojwa yote....asante Yesu.
Praise God....Yesu hakupitia magojwa
Pastor Mmbaga UBARIKIWE.
Mungu akubariki Mtumishi mafundisho yako yamenifungua sana kiroho
Amina Pr. kwa NENO. Somo ni zuri, limenibariki 🙏🏾
Amen amen amen !najikuta kufunguliwa kabisa.
Amen
Mibaraka ya neno hili yatufikia na kuturejesha karibu na kiti cha neema. Mibaraka mchungaji
Ameni 😄🙏🙏🙏🙏barikiwa pr
Amina 🙏 pasita nabarikiwa sana na haya masomo mazuri, Mungu akubariki
naomba kuuliza ukitubu mwenyew bila mchunaji kuuongoza toba Mungu anakusamehe au hadi uende kanisani
Mungu awabariki
Ameeeni🙏🙏🙏
Naweza kusema labda changamoto ya ndoa kwakuwa hakuwahi kuoa
Ameeen
Barikiwa sana mchungaji
Hivi pastor ni kweli mizimu ipo
AMEEEN POSTER MBAGA..MUNGU AKUBARIKI KWA SOMO HILI.NIMEBATIKIWA MNOO.
Amen
Amen 🙏🙏🙏 God bless you so much pastor let's us get out from there In Jesus Name
I am blessed. Thank you pastor David
Nkweli pastor unacho kisema
Ubarkiwe. Kwa. Kuusaidia. Ulimwengu.
Pastor naomba ikiwezekana yaweke mahubiri platforms zingine audiomark na boomplay
mimi ni tajiri wa kubariki wengine tokea sasa
Barikiwa mchungaji lakini niombee nami natamani siku moja niwe mhubiri
Hi ndiyo nilikuwa aisubiri sanaaa
Amina
Waaah! Mungu anisaidie kwa haya mafunzo
Amen amen pastor 🙏
mimi ni mama. Sasa Yesu alipitia katika kipindi ca ucungu wa kuzala sawa wa mama wa naumiaka wakati wanatafuta jifungula? God bless you
Mchungaji ninabarikiwa sana na mafundisho yako sahihi kupitia neno la Mungu(Biblia).Mafundisho haya yana leta mwanga zaidi kwa wote.
Balikiwa pr David kwa somo nzuri
Yesu hakuoa na hakuwachwa
Kwan kuoa au kuolewa ni matatzo?
😂😂😂😂😂
Wewe ndiye ulioewa neema ya kipekee ya kufundisha neno Kwa ufadaha bila chuki MUNGU akubariki Sana nimekuwa nikifatikia mahubiri yako mengi na nimebatikiwa saana
Amen and Amen
Powerful
Amen Amen
Kiti Cha rehema Kiko wapi
Makabayo wa2 sura ya2 soma tu kuanzia hapo mstari wa kwanza au sura yote
Kuna kitu utagundua hapo mtumishi.
@@oscarjanuary1620 MAKABAYO NI NINI? MBONA SIIONI KWENYE BIBLIA
@@cliffrmmbaga9157
Asante soma tu BIBLIA YA VITABU 72 ila hata kama huamini Soma tu Ili kujua
Mbona unasoma vitabu vingi hata magazeti unasoma
Au soma tu kama gazeti ukielewa sawa usipo amini sawa pia maana hufungwi
Yesu hakupitia kwa shida ya ndoa
Swali
Je! Mtuakitoa zaka na sadaka kwa kuwapa waitaji amekosea?
AMEEN
Amina passs
Waiting
Ubarikiwe pastor
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏 Amen jemeni from kenya nizaidieni phn no za mchungaji huyu injili yake inanitouchii sana
🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌️✌️.
Powerful
Amen
Amen