Nimependa sana historia hii ya mwalimu Kalolela, nimekumbuka nikiwa nasoma chuo Cha ufundi mbeya wakati huo MTC nilipata kusikia Mwl Kalolela ametokea Iyunga Mbeya. Na nyimbo zake ziliimbwa sana kule. wakati huo tunasali kigango Cha Ikuti. ubarikiwe sana Mwl Kalolela.
Tafadhali mwalimu Deo nakuomba uweke wimbo wa ," Tazameni karamu ya Bwana iko mezani"
Hakika mwalimu navutiwa na nyimbo zako ubarikiwe sana
Furaha Sana kumwona Mwalimu DEO, nyimbo zake zapendeza na Tamu Sana. Mungu ampe maisha marefu.
Jamani mwalimu nilikutana nawe huko Musoma mwaka 1997
I really fell in love with his songs and his trademark staccatos. I am happy, even excited to see him.
Mwl kalolela uko vzuri Sana nyimbo zako ni nzuri Sana zinatubariki
Nimependa sana historia hii ya mwalimu Kalolela, nimekumbuka nikiwa nasoma chuo Cha ufundi mbeya wakati huo MTC nilipata kusikia Mwl Kalolela ametokea Iyunga Mbeya. Na nyimbo zake ziliimbwa sana kule. wakati huo tunasali kigango Cha Ikuti. ubarikiwe sana Mwl Kalolela.
Mkuu sikujua upo hapa
Huyu jamaa kanifundisha muziki nyumbani Parokia ya Nzovwe.
Good
Yan watu Kama hawa wanao jua wito siku ya kipaimara Roho MTAKATIFU alikuwa nao haswaa