After The Long Wait, The Swahili Cover Of "ذاك الأناني" Finally Here It Is, I Hope You Love It, Please Kindly Share The Link To Your Socials, And Don't Forget To Subscribe Connect With Brother Nassir On Instagram instagram.com/brothernassirofficial?igshid=14g5e0ozq963x
Ghafla imenipa furahaa❤️❤️❤️❤️❤️ brother nassir umenipaa jeraa lov ur song ❤️❤️❤️❤️tobaa 🌸🌸🌸tunakupa nafasi fans wako utuoneshe furaaa😘😘with new song we know moyoni mwako unamahaba
Nimeipenda sana hii nyimbo, tamu kama asali aiseee. Kazi nzuri kaka. Fanya hima basi hufanye kollabo moja na lavalava hakika mtamalizaaaaaa tena mapema
Mashaallah bro uko juu sanaaa umetolea aswaa kabisaa kama dhak alaanani.. ilaa ingekua u noor uyuni ingekua tamu zaidii inested of wangu uyuni ❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Kaka nassir nakubali kaz zako sanaa ilaah nina ombi moja kwako utunge ujumbe wa watu wenye madhaifu na wazee wanao kanya kuwa usiwe katika uhusiano kwa udhaifu fulani sas lete ujumbe huu wajue watu wote wana haki ya kupenda na kupendwaa....
Mashallah uko vizuri sauti yako inatosha bro uko na talent Lkn swali ni hii ni Al nasheed au ni nyimbo kam za bongo Kiukweli bro wengi hapa wanao comment wanakupongeza lkn ukweli jua umokosa mwelekeo
After The Long Wait, The Swahili Cover Of "ذاك الأناني" Finally Here It Is, I Hope You Love It, Please Kindly Share The Link To Your Socials, And Don't Forget To Subscribe
Connect With Brother Nassir On Instagram
instagram.com/brothernassirofficial?igshid=14g5e0ozq963x
MashaAllah 💕 💕
Wooow good work brother Nassir nimeipenda❤❤❤
Yah bro Karib Tanga
Mashaaallah Mombasa
Uje zanzibar
Ghafla imenipa furahaa❤️❤️❤️❤️❤️ brother nassir umenipaa jeraa lov ur song ❤️❤️❤️❤️tobaa 🌸🌸🌸tunakupa nafasi fans wako utuoneshe furaaa😘😘with new song we know moyoni mwako unamahaba
💋💋💋
Watching from dubai nice swahili version of ذاك الأناني
Kama unamkubali brother Nassir gonga like hapa
Asante bro
@@BrotherNassir imetulia japo INA vinada kwa mbali
@@BrotherNassir imetulia japo INA vinada kwa mbali
Ipo vzry
Nakubali brother naasir twakupenda tz ❤️🇹🇿
Asante sana 🥰
Ilove al habib ❤️
Wallah hii nasheed yapoza moyo mungu akujalie kila la khery kakangu
Wow kaka umeweza.......HANI that's my nym I can't express how I'm feeling after listening this song ....lots of love to you brother
Ooh brother nasri nimeipnd San mum nishabik yay
Sabra
Kaka unawez
Naipenda sana nyimbo hii sana kila mara na angalia nzuri mashallah😍😍😍😍
Bro natamani kuwa mtunzi mzuri wa nyimbo Kama ww, mashallah 🙏🙏😊
Honey ajjab sana brother nassir uko vizuri bro
Mashaallah my broo good talented
i am proud of you ,may allah open your way
MashaAllah Allah akuzidishie kila la kheri afya uzidi kutupa vizuri zaidi na zaidi inshaAllah
Beautiful swahili love song 🥰🥰🥰 love from somalia
brother nassir , unajua wewe ni fundi kaka angu , mungu akuzidishie
I a m a muslim mimi ninapenda sana hi qaswida kwanza amina kalea ninaipenda my brother i iove you so much my brother abdinassir❤❤❤🤩🤩😍
Naipenda sanaa 😍😍😍
Mashallah brother nassier umetupa furaha munqu akujaze furaha katika ndoayako Mana take umetupa furaha katika nashid zako💓😍😀💞
Wallah iko so romantic inanifanya nifkr mambo mazur about my life ya ndoa yatakavokua😘😘😘😘💞
Mashallah iko poa sna bro😍😍👌
Soooooo nice...Ma Sha Allah...Na Mungu akuzidishie...Ameen
Wow nmeipenda hongera kaka
MashaAllah 🥰🥰🥰
Who else loves him as I do!!!!!
Mashaallah bro nimeipenda hatareee
Naipenda sanaa ina nifarijii
Masha allah bro nassirr umetisha bro nakuhitaji kwenye shughuli
Mashaallah hi nyimbo imekua usngz Wang hongera kwa kaz nzur
We mtu mbaya sana doooooh
MASHAALLAH,hii nzuri xana
Ulo juu masterr💯💯💯❤️
Nyimbo nzuri sana hongera nipo saudia umeweza🥰💯
Mashallah bro kazi imesimama mashallah bro Allah akuzidishie kipaji chako
Asante kaka
My favorite song from thani to hani 😘😍😍😍
Be blessed bro
Hy princess
Mashallah brother nassir keep it up 👍
Mashaallah napenda sana kumsikiliza bro nassir nice song 😘hongera
Nice one #by brother nassir 👌👊👀
Ilove u brother napenda sana unavyoimba
Babaeeee unauaaaaaaaa yaniiii fireeeeee 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Mashallah .......am in love with this song
Mashaallah kazi nzr big up nakupenda bure 🥰🥰🥰
Brother nassir uko top bloody ❤❤❤🔥🔥🔥🔥
Wallah Nassir utaniibia mkee wangu anapenda Qaswida zako uku kwetu wanakuita Goodluck wakiisilaam
Finalisttttttt...hiyoooooooo
Mashallah 💖💖 siku zote brother nasry ananifurahisha😍😍😍😍
MashaAllah MashaAllah hasbiyallah Allah akuzidishie al akhy nassir,Nasheed inatuliza muna MashaAllah what a voice....
❤
MashaAllah brother Allah akupe Afya uzidi kuendelea
Nimeipenda sana hii nyimbo, tamu kama asali aiseee. Kazi nzuri kaka. Fanya hima basi hufanye kollabo moja na lavalava hakika mtamalizaaaaaa tena mapema
MA Sha Allah Brother Nassir nime ipenda
Baba nimeikubali hebwana we mashaallah ❤ 🔥🔥🔥
Iko sawaaaa
mashaallah nzuri kwl sanaa mashaallah umeipatia kwl aisee
Juni boy ,Alhinai classic MashaAllah siboeki na nyimbo zako am addicted to ur song bro nassir
MashaAllah... this brother is damn talented wlhy. I can't get over this piece
Hani is my name...thnx brother nassir
Mashaallah bro uko juu sanaaa umetolea aswaa kabisaa kama dhak alaanani..
ilaa ingekua u noor uyuni ingekua tamu zaidii inested of wangu uyuni
❤❤❤❤❤❤❤❤❤
MashaAllah nice one .🔝...who else is listening while goin thru comments
Thanks 🙏
😍its really nice
Nice
Mmmmmmh hii moto, manshaallah
Nyc one mashaallah
Mashaallah kametulia kabit hongera kwako kaka nassir
Napend Xana nyimbo Zak broo❤
I love this with all my ❤️ its so good dont know why nimeona leo just thought of u came to your channel
Nakubali brother nasir uko juu👑👑
Asante kaka
Kaka hatar unajua balaa mashallah
Masha Allah nice one ♥
Twakupenda Sana toka TZ dar es salaam si uende WCB tu kaka
Hatari na nusu 😍😍
brother nassir nitaku kuonesha nashid honey habibty honey habibty
Brother Nassir MashAllah wewe nikiboko sijakuonea mfano kaka.
MashaAllah uko vizuri unimaliza na hiyo hunnie🥰🥰🥰
Thanks suu
big up my broda Allah akujaze kipaji chenye kheri
MashaallaH broo
Ajab nahisi kama namsikiza Rashid Al majid. Gd work brother Nassir.
I love brother nassir voice may Allah bless you
Nice 😍😍😍
Asante
Mashallah kaka nassir hogera uko juu 🥰👌👌👌👌💕✨✨🌟bajuni boy hogera
Santaaaa 🥰 Honey 😍 Haubahatishi 🙈🤩
Asante mamake naniii 🥰
Nassir is the best.....mashallah
so fascinating.....we believe what you still doin bro keep on moving. ......🥰
ahsante sana rohoyagou ime fourahi kabisa
Upo sawa broo
Asante
It's very nice mashallah brother Nassir wa Allah yubarik fil kheir inshallah 🌷🙏🏻🙏🏻🙏🏻🌷
I very like your song it's heals my hear 🥰🥰🙂🙂
Mashaallah nice song
Mashaallah brother Nassir, first one to comment from Tanzania... Brother uko njema sana...keep it up
Asante kaka
Manshallah manshallah nassir Allah akulinde yarab iko vizir saana
Mashaallah mashaallah maneno ajjab Allah amlete habibty wako🤲🥰Allah akubariki na akuzidishie Ameen
Shukran 😇
Kaka nassir nakubali kaz zako sanaa ilaah nina ombi moja kwako utunge ujumbe wa watu wenye madhaifu na wazee wanao kanya kuwa usiwe katika uhusiano kwa udhaifu fulani sas lete ujumbe huu wajue watu wote wana haki ya kupenda na kupendwaa....
Sawa kaka in sha Allah 🥰
MashaAllah Brother Nassir 🔝🔝💯🔥🔥
mashaallah tunakukubali sana brother nassir
mashaAllah tabaraka Allah naipenda
I'm literally obsessed with this song😍😍😍😍
Alhamdulillah so Sweet the melodies my dedication Hani 😍
Mashallah brother
Thanks kaka
mashallah broo imewezaa
Mashallah uko vizuri sauti yako inatosha bro uko na talent
Lkn swali ni hii ni Al nasheed au ni nyimbo kam za bongo
Kiukweli bro wengi hapa wanao comment wanakupongeza lkn ukweli jua umokosa mwelekeo
ما انا عادم الجواب ولكن ............. ...
I love it, si proud of you / I Will contact you for my wedding Inshallah 🙏🏾🤧💓
Hongera brother Nassir
Bismillah Mashaallah mashaallah 💣💥🙌
Mashaallah ❤ beautiful song ❤❤
Hello
Maa Shaa Allah
Hii song poa... iko fitty
Hii nyimbo itaniuwa honey
Ajjjaaabest mashallah mashallah🥰