RAHBY-MILIO YA RISASI KARIBU NA IKULU YA RAIS SYRIA, WAASI WA ISRAELI NA UTURUKI WANASONGA MBELE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 дек 2024

Комментарии • 146

  • @erickngatunga2359
    @erickngatunga2359 3 дня назад +2

    God favours his people Mungu ibariki Israel

  • @AhmedAhmed-z6m7t
    @AhmedAhmed-z6m7t 3 дня назад +5

    Shukran sana Ibrahim Rahbi unatuhabarisha ya maana sana

  • @bishweko
    @bishweko 4 дня назад +9

    Hapo nyuma nilikuchukulia kama mtu wa mlengo wa Maghalibi.(Samahani Sana) Kwa maneno Yale niliyo SEMA wakati ule . Tangu vita ya Hizbullah na Israel nimeanza kukuelewa vyema Sasa . Uchambu uko wazi ❤❤❤❤❤. Allah akurehemu Mdomo wangu

    • @Josephgoliama1
      @Josephgoliama1 3 дня назад +1

      Huyu ni mtetezi wa waarabu hana jipya. Hana positive thinking kuhusu magharibi. Ni mchambuzi mzuri lakini siasa za waarabu ndio mtetezi wao

    • @juliusejulius6704
      @juliusejulius6704 3 дня назад

      kabisa​@@Josephgoliama1

    • @AdamDaudy-e6u
      @AdamDaudy-e6u 3 дня назад +2

      Huyu ni mchambuzi bobezi wala kuegemea upande wowote tatizo sisi wa tz siyo wafuatiliaji makini wa kile kinacho endelea Duniani

  • @ramygichero1016
    @ramygichero1016 4 дня назад +5

    Hongera kwako kaka upendo juu yako uschambuzi wako umetukuka

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 3 дня назад +1

    Ahsante kwa taarifa nzuri.Uchambuzi wako ni mzuri sana.

  • @fatimawazeer701
    @fatimawazeer701 4 дня назад +3

    Waleykumsaalam warhamatullah wabarakatuh Alhamdulillah

  • @HashimSwale
    @HashimSwale 4 дня назад +5

    W.musalam warahmatullah wabarakatuh......🎉🎉🎉

  • @muhammedwakif6216
    @muhammedwakif6216 4 дня назад +5

    Wakichukua Syria wataizunguka Lebanon na itakuwa rahic kuwapiga Iran 🇮🇷 hii ndio planning B yao
    Allah atulinde na fitna

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 4 дня назад +2

    Well said ALLAH KNOWS BEST

  • @bashirksabu3540
    @bashirksabu3540 2 дня назад

    Turkey ni nchi ya kinafiki Sana edogan mnafiki mzuri Sana. Ndio tatizo la waarab.

  • @EriyaRichard
    @EriyaRichard 3 дня назад +7

    Sisi wa kristo tuna salimiwaje mwandishi leo nimeona niseme2 ukweli una tutenga tupo tuna kusikiliza muda mrefu Sana

    • @yahyamgeni8903
      @yahyamgeni8903 3 дня назад +2

      Usijali ttzo hajazoea mpe mda bro

    • @abdallahibrahim280
      @abdallahibrahim280 3 дня назад

      Kwan waarabu wakristo na waafrika wakristo uarabuni wanasalimianaje ?

    • @bamunaza
      @bamunaza 3 дня назад

      Mbona kasalimia salamu tatu au mi ndo nimesikia peke yangu

    • @AdamDaudy-e6u
      @AdamDaudy-e6u 3 дня назад

      Ukitaka ukweli kabisa hakuna maamkizi Rasmi ya kikristo Duniani Dini pekee yenye Maamkizi ni Uislamu . Ni uniform Dunia nzima

    • @AdamDaudy-e6u
      @AdamDaudy-e6u 3 дня назад

      Unaposema tumsifu yesu kristo hapo umawasalimu watu vipi? Na yesu Mwenyewe aliwaamkia wafuasi wake vipi?

  • @gracelifechurchtz3787
    @gracelifechurchtz3787 4 дня назад +8

    Shida ya Waarabu wanachanganya siasa na u din ,hawana umoja,hawawezi kushinda wala kufikia malengo yao

    • @SaidAbdala-f7p
      @SaidAbdala-f7p 3 дня назад

      Shida sio ya warabu. Shida ni ya duniya nzima. Miaka 70 sasa iliyopita. Duniya tulimwachiya mmarekani aitawale pamoja na Europa. Sasa ndio tnayoyaona. Hebu angaliya kwenye CNN kipindi kinaitwa insade Afrika angaliya utaona wanaonesha utamaduni wetu ni kucheza nogma. Muziki. Kumbe watu huku wanapanga vipi watoto wao wa kizungu vipi waje kuila.nchi. kwa warabu kule utaona wamewachiya wamerekani waeke mabezi yao ya kijeshi. Halafu unajuwa maana ya ukimbizi au refuges yote ni mipango ya wazungu. Kama duniya haijajeuka au kuamka basi Amerika empayer na british empayer watakuja kutumaliza. Hebu funguwa kwenye RUclips halafu andika Netanyahu islam in Afrika. Sikiliza vizuri. Siasa itungwe upya. Na isiwe ya UN ya kama hii ya sasa hii si UN hii ni kama kbabaisha tu.. marekani na Esrael sio nchi mbili. Ni nchi 1 yenye majina mailing. ..cha muhimu tu hapa ni russia kubonyeza newkliyer.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 3 дня назад

      Hata hapa nchini kuna mazuzu kibao yanayochanganya dini na siasa.Akiwa wa dini yake hata akikosea hawataki kuona anakosolewa.

  • @EmmanuelKivuyo-mx3cw
    @EmmanuelKivuyo-mx3cw 4 дня назад +6

    Hivi huo uislamu wa wawapi ambao unawaambia wauwane wao kwa wao hapana hao sio waislamu wote ni makafiri mungu amewaasa waislamu washikane kwa kamba moja wala wasitangane mpaka siku ya mwisho

    • @KhamisOmar-kt4kz
      @KhamisOmar-kt4kz 4 дня назад +2

      Kweli nakubaliana na ww uislam haujasema uuwe wasio na hatia hawa ni vibaraka wa marekani

    • @mboneamalaki5674
      @mboneamalaki5674 4 дня назад +3

      Waislam wengi hawaelewi hii kitu,Iran ni adui mbaya wa Uislam kuliko adui mwingine yeyote.

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 4 дня назад +2

      Mmmm naona wasemaji wa uislam mmekuwa wengi ila chakushangaza nyote sio waislam

    • @sonnyr1899
      @sonnyr1899 4 дня назад

      @@mboneamalaki5674
      Kwani Iran ni mkristo?

    • @ommymehmed8880
      @ommymehmed8880 4 дня назад

      Muongo fisadi mkubwa ...hujui kaa kimyaa​@@mboneamalaki5674

  • @arroyyo9597
    @arroyyo9597 3 дня назад +3

    Turkish president ni mnafik ana 2face

  • @salymsuleiman2035
    @salymsuleiman2035 4 дня назад +7

    Mm nilisema edorgan ni mnafiki

    • @MikelSitoe
      @MikelSitoe 4 дня назад +2

      yule sio ntu wa kawaida yule ni nnafiki wa wanafiki, pamoja na wenzake wa kiarabu

    • @ce-08
      @ce-08 4 дня назад +1

      😂ndumila kuwili yeye anaangalia faida kwa Uturuki tu

    • @AllyRashid-t6k
      @AllyRashid-t6k 4 дня назад +1

      ​@@ce-08kweli yule na neta paka wote saw

  • @iddikibwana9185
    @iddikibwana9185 4 дня назад +3

    Rais wa uturuki ni mnafiki hawawezi kumpindua Rais wa Syria.

  • @issakhamis9581
    @issakhamis9581 3 дня назад

    Waleykum msalam

  • @AbdiKiza-t2h
    @AbdiKiza-t2h 3 дня назад

    Waleikum Salam warahmatullah wabarakatuh

  • @MohammedBwanga
    @MohammedBwanga 4 дня назад +2

    Tusiwe watumwa wa fikra wengi wetu tunaamini hii dini ya kiislam ni ya waarabu hapana jamani muumba anasema mbora wenu NI Yule anaemcha m/Mungu ,lkn pia uislam NI dini na c uarabu uarabu NI. Kabila SW km Masai wahutu na Watusi kuna warabu wengi hawana dini ,wengine wakristo,na makafiri tusichanganye. Uarabu c dini NI kabila.wafahamiisheni na wengine dini c kabila ila dini NI. Mmfummo. Nzuri na ustarabu aambao tumeukana.tukajitia kuandika katiba na sheria zetu lkn pia na hizo tunazippaka mavi ilobaki nii tusubiri laana Tu juu yetu

  • @johnmpemba3057
    @johnmpemba3057 2 дня назад

    Well said

  • @petromagobonza4025
    @petromagobonza4025 День назад

    Duuu😮

  • @sonnyr1899
    @sonnyr1899 4 дня назад +5

    Erdogan ni kama Ruto katika Afrika mashariki hawa ni vibaraka watiifu wa magharibi

    • @abdullahmanalex2306
      @abdullahmanalex2306 4 дня назад +2

      ndivyo

    • @donaldmgunda4970
      @donaldmgunda4970 3 дня назад

      ​@@abdullahmanalex2306Tena ruto ataleta balaaa Sana East Africa hii tyr NATO wanajenga kambi kenyaa Hilo Ni bomu lingine 😢

  • @AllyRamadhan-vc4wh
    @AllyRamadhan-vc4wh 4 дня назад +1

    Waislam tuzinduke hizi habari kuna watu wazifundisha kila siku ndo kwanza wanapingwa nakuitwa makafir ila kile wanocho kifundisha kila uchao kinaenda kinajidhihilisha( na wanafundisha kwa kufuata aya za Quran na Hadith sahihi za mtume)kila cku mtakuwa mnakuja tu hapa kulalamika kwasababu tumejawa viburi vya uelewa na kuipenda dunia sana

  • @davidandrew6332
    @davidandrew6332 3 дня назад +1

    Hata siku moja Wazungu na Waarabu hawajawahi kua wazuri kwa wa Africa, wapambane na Hali Yao

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 4 дня назад +2

    Israil kwa Syria bado hajashinda. Manake Syria ilikuwa haipigani. Sasa apo kwa urusi waasi wajitasmini

  • @MwajumaMRM
    @MwajumaMRM 4 дня назад +1

    Kazi ipo 😢😢

  • @lbrasanchoo5290
    @lbrasanchoo5290 3 дня назад +1

    💚

  • @EmmanuelKivuyo-mx3cw
    @EmmanuelKivuyo-mx3cw 4 дня назад +3

    Hivi ni lini waarabu wataishi kwa amani kila siku wao tu na vita mbona ulaya hatusikii vita . Waarabu wajitathmini warudi kwa mola wao miaka 500 iliyopita waarabu waliishi kwa amani na furaha sasa wamekuwa watu wa kuuana tu hapana tumechoka kusikia kila siku watu wanakufa tunataka kusikia maendeleo watu waoane wafurahi dunia ni sehemu ya kuishi sio uwanja wa vita. Ahsante

    • @AbdallahSumbinyo-ln9qi
      @AbdallahSumbinyo-ln9qi 4 дня назад +2

      Tatizo wameacha muongozo wa Allah"rejelea hadithi ya mtume(s a w)" hawatakuwa radhi mayahudi na manasara mpaka mfate Mila zao

    • @zahraalbaloochi2841
      @zahraalbaloochi2841 4 дня назад +1

      Makosa makubwa wameshirikianana wazungu makarifi hawana khair Sasa hao wazungu ndio fitna wanawagombanisha kwa maslahi zao

    • @ce-08
      @ce-08 4 дня назад

      ​@@zahraalbaloochi2841 sasa hapo alaumiwe mzungu au muarabu kwa ujinga wake kukubali kuraghaiwa

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 3 дня назад

      Hawaja wahi ishi kwa amani hao warabu! Babu yao mwenyewe ibrahimu! Alikua bingwa wa vita😂😂 sasa wajukuu wata achaje njia ya babu yao, Israel kizazi cha Sarah, saudi Arabia kizazi cha hajri ,Jordan ni kizazi cha ketura, hao wote ni wake za ibrahimu, na hao wote ndio mabingwa, dunia ipo viganjani mwao, na ndio wametapakaa kona zote za dunia, u.s wameikamata mayahudi, Europe na Africa yote wameikamata wa saudi Arabia, Asia yote wameikamata wa Jordan, mu Iran ndie anawapa taabu sana hao jamaa, tangu kizaza na kizazi.

  • @SalimMohamedFaraj
    @SalimMohamedFaraj 4 дня назад +2

    Wacha nifanye mambo yangu siwezi kupoteza muda na MB zangu kwaajili ya kufatilia hizi habari za mashariki ya kati, ikiwa wao wenyewe hawajionei huruma mimi nawaonea huruma ya nini pumbav zao wacha wamalizane.

  • @PizzaBoy-w1g
    @PizzaBoy-w1g 3 дня назад

    Hassnte ssana rhaby😢😢😢

  • @BenjaNetanyahu
    @BenjaNetanyahu 3 дня назад

    Waambie hao waislamu wa bongo, hawaijui vizuri Iran! Wakizani wengi wa Iran ni ndugu ktk uislamu wao, mi najua tangu zama za ibrahimu, ndugu wa Israel ni saudi arabia.

  • @YohanaJoshua-h2j
    @YohanaJoshua-h2j 3 дня назад +1

    Mungu ataishindia Israeli dhidi ya madhwalim

    • @paschalcharles3617
      @paschalcharles3617 3 дня назад +1

      MASHOGA hawawezi kushinda vita hii🙌

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 3 дня назад

      ​@@paschalcharles3617ondoa hoja ushoga.sio waisrael wote ni mashoga.kuna wanaomuomba sana mungu hata ww huwafikii wao kiimani.pia ujue mashoga ni wachache sana na ndio maana wanazaliana.

    • @YohanaJoshua-h2j
      @YohanaJoshua-h2j 3 дня назад

      @paschalcharles3617 kweli kabisa nakuunga mkono kuwa iran na washirika wake ni mashoga

  • @MohamedyMsagati
    @MohamedyMsagati 3 дня назад +1

    Hamna mtu mbaya duniani kama serikali ya uturuki ni edorgan ni mnafiki sana

  • @sylvestermhojaaron9659
    @sylvestermhojaaron9659 3 дня назад

    MUNGU IBARIKI ISRAEL MILELE DAIMA

  • @muhitira
    @muhitira 4 дня назад

    Walikumwissalam warahmatullahi wabarakatuh,Kaka R-B,Arabuni hamna UISLAM ,UISLAM Upo AFRIKA pekee❤❤❤

    • @ce-08
      @ce-08 4 дня назад +1

      😂😂 Yan waliokufundisha dini unawaambia hawalijui dini Yao kitabu wameandika wao kwa lugha yao na wewe unaishi kwa kufata tamaduni na taratibu zao alafu unasema eti hawana dini nyinyi yenu ipo wapi😂

    • @JamaalTzJamaalTz0
      @JamaalTzJamaalTz0 4 дня назад +1

      ​@@ce-08😂😂msikilize mwehu wewe kasome historia iyo dini yenyewe waliikataa

    • @ce-08
      @ce-08 3 дня назад

      @@JamaalTzJamaalTz0 😂😂 Yan wenye dini Yao ndiyo hawaijui kwahyo Makkah dini hawaijui hizo fix hizo labda aseme baadhi

    • @JamaalTzJamaalTz0
      @JamaalTzJamaalTz0 3 дня назад

      @@ce-08 sibishani mzee nenda kasome ujue hutaki wasalimie ndugu jamaa popote pale walipo

    • @ce-08
      @ce-08 3 дня назад

      @@JamaalTzJamaalTz0 hapo nikulishana matango pori bhana 😂 et mwarabu haijui dini mbona Makkah hatuoni waongozaji wakiafrika pale Mimi nikiambiwa baadhi Yao nitakubali lakini uwezi kusema wote alafu huyo muafrika yupi tumuone hata mmoja ambae yy n msaf sana kuliko waarabu wote

  • @issadullah2074
    @issadullah2074 3 дня назад

    W.msalam nipo nakusikiliza
    Broo

  • @jumamasele5793
    @jumamasele5793 4 дня назад +2

    Wa kwanza

  • @RaphaelDaffa
    @RaphaelDaffa 4 дня назад +2

    Aleykum Salam kaka....

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv 3 дня назад

    Edogan ni mnafik sana

  • @bibleknowledge-b1y
    @bibleknowledge-b1y День назад

    Mtubu mumuamini Mungu wa kweli katika biblia sio hayo yaliyotungwa..

  • @هلالحمدالندابي
    @هلالحمدالندابي 4 дня назад +1

    Ushindi kwa izrail pole Mzee hao tizama kama moto walio kula iraq.naapo. Watan chakazwa waislamu wapo kaa mkao baadae utatueleza vizuri

  • @mimibusarachibu
    @mimibusarachibu 4 дня назад +2

    Bwana Rahbi,naona kuna habari ambazo hazijathibitishwa kuwa kiongozi wa waasi hao kauliwa kwenye shambulizi la anga la Urusi!Hivi yaweza kuwa ni kweli?

  • @athumanisudi891
    @athumanisudi891 4 дня назад +2

    Nasema kwamba hao waasi watajua hawajui mbele ya mzee putin naamin ushindi mbele watachakazwa hao subirin mtaongea vizur muda utaongeabtu

    • @AwardHakimu
      @AwardHakimu 3 дня назад

      Sio kweli urusi hawezi kuwepo Kila mahali walichofanya Nato ni kumgombanisha na ka mbwa kadogo Ukraine na walijua TU lazima Russia ijae kwenye mtego kwaiyo urusi hawezi kupeleka majeshi Kila sehemu

  • @RamadhanMgeni-gt1tu
    @RamadhanMgeni-gt1tu 3 дня назад

    awa wez kushinda mbele ya ulusi

  • @pastorzakariatv1786
    @pastorzakariatv1786 4 дня назад +2

    Waasi wa islael😂😂😂😂 kwa kadili mnavyozidi kuwa waongo na kujawa na hila Zaid ndivyo Mungu anavyozidi kujitenga na ninyi waarabu na waislam mtakufa sana Saiz mnauana wenyewe laana mliyoipata islael kwa kuchinja watoto na kuwakeketa wanawake laana hiyo

  • @SAYMOEKARIM
    @SAYMOEKARIM 4 дня назад +2

    ni kweli Russia na Iran wamefanya uzembe . ila hakuna watakachoambulia zaidi ya kipigo

  • @roypeters9829
    @roypeters9829 4 дня назад +1

    Lakini ondoa udini..

  • @abdalahasuman8740
    @abdalahasuman8740 4 дня назад +1

    Dunia kigeu geu

  • @GeraldBahegwa-rn3vb
    @GeraldBahegwa-rn3vb 2 дня назад

    Uturuki hawawezi kushirikiana. Na israel

  • @godwinkatemi5157
    @godwinkatemi5157 4 дня назад

    Waaleikum musalaam

  • @JumaUbwa-c1c
    @JumaUbwa-c1c 4 дня назад +2

    Wengi wetu hatuelewi kuwa vita vyote ni maslahi hasa kwa maghribi na kwa upande wa syria ni kumvuruga putin achanganyikiwe asijuwe ashike wapi kwani amewashika pabaya huko Ukraine

  • @HerryMwampashi
    @HerryMwampashi 3 дня назад +1

    Hakuna amani kwa waovu

  • @hanifahassan-sf1gg
    @hanifahassan-sf1gg 4 дня назад +1

    Mwaka huu niwakupigana tuuu

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 3 дня назад +1

    Unapoziona akili za waarabu ndo waisramu ndivo walivo

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 3 дня назад +1

      Yaani wao ni rahisi kujazwa ujinga,hawajitambui kabisa.

  • @selemanisalum7685
    @selemanisalum7685 4 дня назад +1

    Wameshafurushwa wameuwawa wengi magaidi nchi si yao hawajuwi njia na vichocholo ndio mana wamewamaliza

  • @KenedyThabiti
    @KenedyThabiti 4 дня назад +2

    Kaka una akili nyingi sana

  • @RegobertoAnselim
    @RegobertoAnselim 4 дня назад +1

    Nakuelewa sn kaka kwa uchambuz wako👊

  • @MakukaOmary-e2b
    @MakukaOmary-e2b 2 дня назад

    Watachapika tu na urusi muda utaongea

  • @XaveryBillings-w1t
    @XaveryBillings-w1t 3 дня назад

    Israel inapambaniwa naMungu ni suala la muda tuu

  • @kibwetere1418
    @kibwetere1418 3 дня назад

    Wacha wapasuane

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 3 дня назад

    Sema wazi kwamba MBC ya Saud iliungana mkono na Israel kabisa

  • @uwimana6533
    @uwimana6533 4 дня назад +1

    Ndomana msiria hamtaki mturuki siomtu mzuri 😂😂😂😂

  • @RAKIIMRAKIIM
    @RAKIIMRAKIIM 4 дня назад

    Kaka Eshima Yako Kwa Uchambuz Uliotukuka ......

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 4 дня назад +2

    Hakika Mimi ni sunnii lakin nipo upande wa shia katika vita hii manake yupo mwamba putin

    • @ce-08
      @ce-08 4 дня назад

      Kwahiyo unawapinga wasunni wenzio😂😂😂 alafu unajinadi wewe ni sunni amia shia tu

    • @Mumewangu
      @Mumewangu 4 дня назад +1

      @ce-08 hata mzazi wako ukinuona anafanya mambo mabaya unaruhusiwa umpinge lakin usimkatae kwa sababu ni mzazi wako.
      i

    • @ce-08
      @ce-08 3 дня назад

      @@Mumewangu pale ni siasa tu kwa mfano sisi Tz Kuna waislam na rais wa sasa ni muislam wapo waislam wanao mkubali Rais wetu na kunaambao wanampinga kwakuwa labda vyama tofauti lakini uwezi kusema eti unamkataa kiongozi wa dini yako au waumin wenzako kisa wanampinga Rais unayemkubali
      Huku wewe na Mimi ndiyo tunaona kama wanatumia lakini kumbuka icho kikundi kilianza harakati zake toka Arabic spring kutaka kumuondoa rais wa Syria alafu huenda watu wengi wanaamini alipo IRAN ndyo upande wa haki lakini kumbukeni hata yeye anamikakati yake haendi tu Bure sehemu

    • @suleimanmohammed5344
      @suleimanmohammed5344 3 дня назад

      ​@@Mumewangukwa iyo unaunga mkono mauwaji aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanya Asad na Putin kwa wasunni, uliza Asad amefanya nini Irdib na maeneo mengne ya Syria na kama hujuu syria Asilia zaid ya 70 ni wasunni hao mashia ni wachache sana ni kwa vile wana nguvu ya dola na kusaidiwa na Iran na Urusi.

  • @GeraldBahegwa-rn3vb
    @GeraldBahegwa-rn3vb 2 дня назад

    Iran, Hezbollah,hamas na wa houth wote ni magaidi.

  • @bibleknowledge-b1y
    @bibleknowledge-b1y День назад

    Dhambi zenu hizo mtubu zitawaelemea...

  • @alwiyiynmission2820
    @alwiyiynmission2820 4 дня назад

    View 36
    Bado wajihesabu wa kwanza.....hongera lakini

  • @abdallahibrahim280
    @abdallahibrahim280 3 дня назад

    Huu ni ukafiri tu, hamna vita vya waislam wenyewe kwa wenyewe

  • @emmanuelsunday8325
    @emmanuelsunday8325 3 дня назад

    Kumbe umegundua israel nihatari sio wakumcheze kichwa chake kimebarikiwa

    • @bamunaza
      @bamunaza 3 дня назад

      Kwani wewe neno hatari unalielewaje,
      Au kusema fulani hatari kwa wewe ndo unaelewa kuwa ni kubarikiwa.
      Nadhani, sina uhakika kuwa unaamini kuwa Israel ni taifa la mungu lililobarikiwa, elewa tu kuwa kama ni kubarikiwa, basi wamebarikiwa Wazayuni(kwa akili zako) maana hii Israel uionayo wewe ni yenye kuishi wengi wayahudi, ikifuatiwa na waislamu, wakristo nk huku wote wakiongozwa na Wazayuni Wa kiyahudi.

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 3 дня назад

    Rahab uchambuzi wako upo vipi?

  • @abdiboru3259
    @abdiboru3259 4 дня назад +1

    Pia nawe Sasa bro Hawa wahasi ni waislamutu na kama ni waislamu si wasaidie hamas

  • @abdillahkhamis191
    @abdillahkhamis191 4 дня назад

    Kwani uturuki yy anataka nn haswa pale misri

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 3 дня назад

    Ushahidi wako ni upi kwamba Israeil ndio inahusika na waasi wa Tahrir Sham?

  • @lucksonsikaona505
    @lucksonsikaona505 3 дня назад

    Putini mwemyewe Kila siku anapoteza wanajeshi wake Sasa ataweza kupigana na hso magaidi

    • @hamisisalum6116
      @hamisisalum6116 3 дня назад

      Kwani anayepigana huko ni nani?
      Urusi inapigana na hao magaidi mpaka watajuta, tayari kiongozi wao ameshaliwa kichwa.
      Madege mengi ya kivita na silaha yamepelekwa huko kuwanyoosha wahuni hao.
      Israel hawezi kufanikiwa kwa mbinu yake hii, yaani ni kifo cha nyani miti yote huteleza.

  • @azizmiraji2610
    @azizmiraji2610 3 дня назад

    Vipi muislam anakubali kupandikizwa chuki juu ya muislam mwenzake na kuanza kumpiga muislam huu ni ujinga kabisa

  • @stevensenghana1593
    @stevensenghana1593 3 дня назад

    wewe taarifa yako ni ya upande mmoja

  • @stevensenghana1593
    @stevensenghana1593 3 дня назад

    sorry brother leo nimekuelewa ila mimi ni msun inshalah 😂😂😂

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 3 дня назад

    Rahab unachambua vipi?
    Faham
    Iran Asad ni wamoja
    Asad na Israel ni wamoja
    Urus Iran Asad ni wamoja
    Huo ndio uhakika usio pingika

    • @bamunaza
      @bamunaza 3 дня назад

      Wewe umetokea wapi mbona unashida

  • @shaabansabour1214
    @shaabansabour1214 3 дня назад

    Wewe ndio unagawa sunni na Shia sio uhalisia wa vita, ukweli lsrael na Marekani hawajawahi kufanikiwa wala hatawahi kufanikiwa. Tueleze kwani Mrusi ni Shia au Sunni?
    Hayo ni mawazo yako tu. Ibrahim. Wewe kwa vile unapewa Air Time na vyombo vya Magharibi basi lazima utalalia upande wa Magharibi.

  • @abdiboru3259
    @abdiboru3259 4 дня назад

    Lakini wahasi Hawa si waislamu Wanauwa waumini

  • @XaveryBillings-w1t
    @XaveryBillings-w1t 3 дня назад

    wewe ni mnafiki sana tena sana acha upotoshaji , waasi wamechoka udikteta wa bwana assad na putin , waasi wamefanya jambo jema

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 4 дня назад

    Acha wauane, wapate yale yanayosababishwa na mikono yao, na hao wote hakuna atakae baki salama. Wote watakufa..

  • @aishathabit3732
    @aishathabit3732 3 дня назад

    Rahab mbona hukamilishi maelezo yako?
    Kwanini hutaji Iran inashirikiana Israel na Asad kuuwa waislam wa Syria ?
    Iran haikupeleka jeshi Israil lakini itaungana na Israel na kupeleka majeshi ikiwa wanao uliwa ni waislam

    • @bamunaza
      @bamunaza 3 дня назад

      Aisha! Aisha! Aisha.
      Nakuita tena Aisha. Nakukumbusha Mwenyezi Mungu juu ya kuwa Muadilifu. Nakukumbusha Mwenyezi Mungu kuwa utawajibika kwa maneno yako siku ambayo viungo vyako vitajibu kwa niaba yako