ITIKADI CHAFU ZA MAKHURAFI (WATU WA TWARIQA):SHEIKH ABDALLAH HUMEID ALHADHRAMY حفظه الله ورعاه

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 18 янв 2025

Комментарии • 26

  • @abdilahiahmed8854
    @abdilahiahmed8854 3 года назад +3

    Allah yubarik fika sheikh abdalla humeid mungu akupe umri wakutu elimisha

  • @9119-r4t
    @9119-r4t 3 года назад +4

    Allah akujaliye baraka kwa elimu yako abdallah humeid

    • @salumjabir813
      @salumjabir813 Год назад

      Elimu ipi....sema itokafi
      ...elimu gani?

  • @gammamohammed6601
    @gammamohammed6601 3 года назад +3

    Allah akuhifadhi abdallah humeid

  • @saydsultan9499
    @saydsultan9499 2 года назад +1

    JazaakaAllahu khayrAn

  • @timaali153
    @timaali153 2 года назад +1

    Allah akuhifadhi sheikh wangu

  • @mohammadsalim7508
    @mohammadsalim7508 2 года назад

    Allah akuhifadh sheikh abdallah ibin humeid amin

  • @AlisaidAbdurahman
    @AlisaidAbdurahman Год назад

    Allah akupe umri sheikh uendelee kutoa da'awa.

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 9 месяцев назад

    unajua ufahamu si kila mtu anaowakutosha

  • @ZainamavooMavoo
    @ZainamavooMavoo 29 дней назад

    Ww mwehu kweli

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Год назад

    Ningeomba mashegh wote bila kujali itikadi ya madhehemu …mujitahidi sana kujenga uma na umoja wa kiislamu,,,musitugawe sisi wafuasi na kama hamuwezi basi bora mukae kimnya tu…..,,kusemana kwe vyombo vya habari sio kitu kizur kama unamuona mwenzako kakosea mfuate kwasiri ili umwambie

    • @husnimbarak-gf5ez
      @husnimbarak-gf5ez 10 месяцев назад +1

      Lazima Aseme ili watu waelewe.. Kama hutaki kumsikiza kaa kando kijana

    • @ilyasabdul-malik4571
      @ilyasabdul-malik4571 9 месяцев назад

      Pole sanna sanna mana hujafaham malengo ya uislam na nni unataka uislam

    • @husnimbarak-gf5ez
      @husnimbarak-gf5ez 9 месяцев назад +1

      Kasome dini yako vizuri .. surah ya kwanza imeteremshwa kwa mtume Muhammad ilihimizwa asome, sio kila kitu kufwata ma ustadh, na usikosee kuwaita ma ulamaa, utakosea sana hapo , soma elewa dini yako , sheikh Abdallah humeid yuko sawa kabisa ..

  • @AlisaidAbdurahman
    @AlisaidAbdurahman Год назад +1

    Bahafidh mrongo mkubwa, kijomba tu cha kawaida kitapeli.

  • @salehothman4723
    @salehothman4723 2 года назад +1

    Kwa kukusaidia tu nlivyoelewa mm ni maulamaa wa umma huu wanadarja kubwa sana kama Mitume banii israil. kwa maana KAMA ndo lengo hapo sio KUWASHINDA banii israil.ALLah atujaalie ufahamu mzuri wa kauli za maulamaa na ATUEPUSHE na vikundi vchafu vya KIWAHABI

    • @SameerMdumbemalongo
      @SameerMdumbemalongo 2 года назад +1

      Acha itikadi za kishirikina wewe

    • @abdulraheemhussein1832
      @abdulraheemhussein1832 2 года назад +2

      Huyu bongo lake kajazwa itikadi za watu wa Ahlul Bida'i wal hawaa. Allah atuongoze na kutulinda na makhurafi. Baina yetu na yenu ni Qur'an, Sunnah na ufahamu wa salaf as saalih.

    • @Chiefdomain
      @Chiefdomain Год назад

      Saleh limekuchoma maskini.. usikasirike bure, fungua macho yako ujiokoe na upotofu huu uko wazi mno

    • @hafanabdallah3112
      @hafanabdallah3112 Год назад

      😂😂😂 poleni sana mawahabi mtume ndio kasema lkn hujaelewa nakwambia mtume wetu swallahu alay wasalam asema ulamau ummaty kal anbiyau banii israil ktk hii hadithi hapo pana qaf tashbih makusudiwa sio mitume lkn wanadaraja kama mutume ya banu israil soma vitabu uwelewe😂😂😂

  • @salehothman4723
    @salehothman4723 2 года назад

    Mm katika audio hiyo uloweka kama evidence cjaona kauli kwamba Alghazal ni bora kuliko Mitume labda wengeaikiliza vizuri maana nyinyi mawahabi ufahamu wenu upo mbali kwa7bu fahamu ni rizk t.

    • @abdulraheemhussein1832
      @abdulraheemhussein1832 2 года назад +1

      Kaka bongo lako lijaze ilmu ya Ahlul Sunnah wal jama'ah Fi manhaj salaf as saalih. Utaitaje mtu wahabi? Allah pekee ndiye Al Wahhaab. Hii ndiyo shida ya kusikiliza watu wa Ahlul Bida'i wal hawaa. Je, umewahi kusoma hata kitabu kimoja Cha Al Mujaddid , Muhammad bin Abdul Wahhab? Nakusihi usome vitabu hivi: Kashfu as shubhaat na Al usuul ath thalaatha wa 'adillatuha.

    • @dulaseif5001
      @dulaseif5001 Год назад

      Acha kuongopa WAHABII NI JINA LA MUHAMMAD IBN L WAHABI
      Na nyie ndio mawahabi musiojua k2 maana munapotosha kwa ujinga wenu
      Wahabi ,shafiiy,ibadhi,maliki, nk wote kwa hiyo nyie ni mawahabi na sie shafiy

    • @ibrahimfarouq8339
      @ibrahimfarouq8339 7 месяцев назад

      ​@@dulaseif5001Mmh

  • @rashid3562
    @rashid3562 Год назад

    Km huo ndo ushahid bc ww ndo hujafahamu ten fumba Domo lako chafu